HAKUNA KUPOA! KAFIKA KAANZA MAZOEZI/TAZAMA MAZOEZI YA KWANZA YA KELVIN KIJILI BAADA YA KUTUA MISRI
Вставка
- Опубліковано 11 лип 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com/tz/app/simba-s...
📱 Play Store - play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC UA-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - Спорт
Leo nime kua wakwanza nipeni like za kutosha wana msimbazi
Like za nini
SASA LIKE ZINAKUPELEKA WAP KAKA
More love Simba nguvu moja♥️♥️♥️
Nguvu moja❤❤❤❤
❤❤
Hatimae NIMEKUWA wakwanza Sasa kila siku nyie tuu❤❤❤
Hemedii
😁umechelewa
Lawi kwa ukweri namonea huruma
simba nguvu moja
Onana thank you 😂❤
Kibu Denis wapi tena mbona haonekani
Kibu denisi ashapata million mia ndoto zake zimetia yupo zake Ughaibuni anakula maisha😂😂😂💔
🔥🔥🔥🔥
Kazi kazi
Mtu wa kazi ✊
🦁⚽🦁
❤❤❤❤❤❤
Hana bayaa nguvumoja❤
❤❤❤
Nice
Simba nguvu moja
Kibu vipiiii simuonii
Kibu D wap jamani@
Safiiii😅
Huyu kijiri ni carvajal mtupu
Hatujapata ukweli wa kibu,katuacha wana simba au kuna jambo nyuma ya pazia?
Wana msimbazi hatunaga mbambamba Wala haturingi
❤❤❤❤❤🙏🤣
Jamani Israel Mwenda ni kweli kaenda Singida?😢😢 Ety wanyama wenzangu
Muache tulimpenda lkn kaamua lake😢 nampenda sana mwenda sijui kapombe wanamganda nini
Jamn kibu yuko wap
Kibu wapii
Unyama mwing
Umeongea point minaishangaa unalikuta limtu lizima linakua siliasi miniwakwanza achen upumbavu uo situnataka oja zatimu yet
Kibu yupo au ayupo semajii🗣️🗣️
Kramo yupo kweli,,,?
Kama uikubali simba na unaamini itachukuwa makombe yote kwa kupitia hawa watoto wa 2000 nipeni mauwa yangu🎉 like 500tu.
Kwaiv vivurana subili tuone
Jama kid D wap jaman musemaj
Kibu denis na israel mwenda mbona hawaonekan
Kibu denga hatumwoni
Kijili kachoka anashika kiuno tu 😂
Kuwa wa kwanza ndio nn..na kuomba comments sio POINTS ZA MSINGI.. POINTS ZA MSINGI HAPA NI KUTOA MAWAZO CHANYA JUU YA TIMU YETU HII ILIYOPOTEANA KWA MISIMU 3 HII MFULULIZO NA MSIMU HUU NDIO KWA AIBU KUWA.. TOENI USHAURI ELEKEZI WANAPOSOMA NAIMANI KUNA USHAURI WATAUCHUKUA NA KUFANYIA KAZI..
Kila raheli chama langu
Kib mbona hayupo
Onana yumo na kibu yumo sema timu ya kitajiri hii kila mmoja ana raster wanafanana
Umemuona wapi Onana wewe?
Mbona kibu simuoni
kwani kibu yuko wapi simuoni
jamn kibu yupo wap
kibu yopo Bongo anazurula😂😂😂😂
Ubaya ubwela
Kilakitu adharani jamani ndo maana mnacholwa saana na wapinzani jaribuni kuweka mambo private basi dui
Yani sijui vp😢 mbona wenzetu hawana huu ujinga
Si muoni onana humu ndani
Na hutamuona tena
Kibu yukwapi
Kitanuka tarehe nane
Tusionyeshe mbinu zetu jaman
Nguvu moya
❤❤
Nguvu moja 🦁💪
Kibu mkandaji yuko wap