RISKY |《 02 》
Вставка
- Опубліковано 7 кві 2024
- SUBSCRIBE BONCENA GOT TALENT
FOLLOW US IN
+255659096471
FACEBOOK; / angess.nsyengula
INSTARGRAM; boncena_tz...
TIKTOK ; / boncena_gottalent
YOUYUBE ; / @boncenagottalentfaceb...
OR BONCENA GOT TALENT
INSTAGRAM; BONCENA_TZ
IIKTOK ;BONCENA_TZ
Hongera saa ila episodi ya kwanza kama siyo ya pili kuna maneno ya biblia umekosea Yesu alimwaga damu yake siyo yetu 18:32 😊
Hii movie ipo seriously!! Imetulia beat nzuri mazingira pia yamekaa vyema!!
We boncena wewe kiboko akuna Cha VEVO Wala nn ya ndan ya mwezi mmoja unatoa muvi tatu ah we kiboko kwakweli mungu akubsriki saaana
Acha kumfananisha ClamVevo na Vitu vingine wengine
Kbs 👍👍@@shericktv509
@@shericktv509😂😂😂
Boncena ni kanumba mpya kama akiwa na huu mwendelezo
Hahahahahahaahhhh
Hongera Boniface nnachojivunia kwa boni hua anatoa muv kwa wakat na ndefu sana sana sana yaani acha t nampenda sana huy kaka
Wowowoooo
Yupo vizur but kwenye hizo dk ametupiga dk 33 but imeishia dk 16😄
Boncena hii n more fire bana ety mungu wako anakwambia usikue na mwanamke unajua kuingiza hongera sanaaa 🎉🎉🎉
Chizi kapewa rungu 😂😂naona unamapepe sana chizi wetu km kuna kitu kinakusumbua kichwani😮
Ni moto🔥🔥🔥🔥 nkupe maua🎉🎉🎉🎉 yko boncena hongereni nwafatilia sana ❤️❤️❤️❤️
hili ni bonge la picha honger kwa kaz nzuri
Nimefika Toka Kenya kz nzuri sana🎉🎉🎉🎉🎉
Mbadala wa kanumba sasa kapatikana jaman au mnasemaje kikubwa akaze buti story kama hizi nzuri Big up sanaaaa
Jamani yule chizi chiz😂 simuelewi .kama humuelewe kama mm like zangu❤
Haya mambo ni real life,na sio kwa pastor tu hadi watu hutafuta utajiri kwa njia kama izi...wengine hawaruhusiwi kuoa wengine hawaezi zalisha😢#kazi nzuri 🎉🎉🎉 ila bony utakufa na ugwadu 🙌 🙌 🙌
Kazi Kali sana,, sijaelewa mwisho wa ep1 na mwanzo wa ep2 mdada anapotea kwa effect tofauti
Safi sana movi ndefu unaangalia mtu anaenjoy sio hao wakinavevo wabatoa movi fupi
Kijana ww unajua
Ki ukweli risk ni nzuri mno,hongera bonsena kazi nzuri
Atakae Shere kwa watu 10000 nampa laki 2 ili wajifunze kupitia hii #risk
Nakukubali man
laki za kenya ama Tanzania🤭😹
😂😂😂tz@@lizchepkorir2000
@@lizchepkorir2000 za kwetu kenya 🤣🤣🤣🤣
Ni ela ngapi ya kenya iyo
Boncena usikoseye mungu lako afadali muji iite messenger ama mufanya kazi ya mungu ama mutu ya mungu usiji iite nabii maana ni nabii wale mwenyezi mungu amechaguwa kama nabi adam nabi nuhu ma nabii nyingi mpaka nabii mohamed ile inne mungu kapewa vitabu zabur ni ya nabii daud towrad ni ya nabii musa injiil ni ya nabii issa furkaan ndiyo kitabu ya mungu mwishoni ni ya nabii muhamed S.A.W sasa uki ji iita nabii hu ogobi laana ya mwenyezi mungu tena malibo ya mungu hakuna lowyer fikiriya nduguyangu bouncena usikoseye munguyako
Uko vzr ukituliaa unatoagaa movie nzurii mnoo ongeraa zakooo
Sasa sijaelewa bon umekuwa padiri?
Kazi nzuri boncena kiukweli tunataka kuona vitu kamahivi kwenye ubora wa filam tanzania
Patate apa sasa. Filamu nzuri sana.
aloo movie kali jamani sasa ruta ume kuwa una fanya sasa
Movie kalisana broo kila unachofanya moto nakupa mauwa yako🎉🎉🎉🎉
Bonny umepigaje apo... Nice work bro.
Mbona jini mtoto wa shule
Jamani wagen kama mamimi karibuni 😂😂❤❤❤🎉🎉 tuangalie move hii tamuuuuu😅
Kaka luta man mumeigiza vizuri sana ujumbee umefika kwa hadhira. Lakini mnatufanya tusiamini watumishi wa Mungu wanaotulisha neno, lakini najua wengi mlio igiza hii movie sio wenye imani ya kikristo ko jaribu kuigiza kulingana na imani za dini zenu ili msitukoseshe imani juu ya mapastor watu.
Sio wote mapastor wako ivyo ila wapo
Mbona anakutesa ivyo bro uyo dem kwanin sasa anakuambia ivyo 😂😂😂😂
Kijachaa ameweza sana Kaz mzr❤❤🎉🎉 Frome omani apa
Nakukubali sana mwmba unajuwa
Leo wa kwanza nipeni maua yangu
Ww unasema wa kwanza una 2 min wapo wenye 3min wao watakuwa wangapi 😁😁😁
Nakuombea uwwndelee hivohivo mungu asidi kukuinua❤❤❤❤
😂😂baba kemea pepo
Nzuri sana ila mnakera sana dakika zinaonekana nyingi ila ukianza kuangalia dakika milizoweka haiishi mnaishia katikati
muendelezo wa filamu kama hizi utakufanya uonekane bora... we ni great hii movie n bonge moja la filamu fanya vyema kaka wewe ni kanumba kabisa
Nitamu sana kama asali,ni ruth from kenya,congratulations bro man vip man.
Walai nimeipenda hiyo bit inanikumbusha wakati wa Steven kanumba boncena got talent god job man
Lkn huyu binti anazingua ingekuwa yeye kuweza kwenye hela zote zile
KAZI njema
Kaz nzuri boncenaa
Nishatangulia, likes zangu jee?
Unatry kumean Mungu wao tofauti na wako
Saluti Boncana unajuwa
Kali hiyo nimeipend sana❤
Nyie mbwa Tumalizieni unyago bas
Ongera San bwana boncena ❤
Unazingua muvi mwisho dk ya 16 afu video mnaweka dk 33, mnatimalizia MB zetu hamtusaidii kununua bando yaani sisi tuwasapoti afu nyie mshiriki kutuibia MBs zetu huo ni UZUCHU. Jirekebishe la sivyo mtapoteza mashabiki by the way MOVE nzuri ❤.
Kabisa
Kaz nzr ila sjajua dhamira yako kukata kipande umemaliza vibaya hiki kipande
nmeielewa muvi lakini sehemu ya malaika badilisha asiwe anakuja kama mwnafunz boresha atokee na vazi jeupe.
Lazima kuna kitu ndomana anatokea kama mwanafunzi sidhani kama mwamba kakurupuka
Rutaman anajua jamn tumpeni pongezi
Chizi ana bible mpya😂😂
Baba kemea pepo😅😂
Baba kemea pepo👆👆👆
Boncena endelea hivi hivi unaturudisha enzi za marehemu kanumba
Baba kemea Pepo 😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅 nimecheka sana ,itafakari vizuri hiyo kauri
Uko vzr utafika mbaliii jiaminii,unajua Sana
Wangapi wanamuona mpenzi wa boncina analilia unyama tena kwa kulikia wa boncina
😂😂😂Ni enjoy😂😂😂 ila naitaji kumuona kobelo
Best series 🎉🎉
Bonface hataki mahusiano na ako serious wah mwenzangu unachekesha😂😂 hongera lakini
Sasa huyo demu ataki uzagamue si utakufa na upwiru basi mzagamue mwenyewe
Boncena pastor 🎉🎉🎉🎉😂😂hogera sana
Boncena umetisha sana❤❤❤🎉🎉🎉
Mbona haija Isha part 2
Hongera sana bonsina
Hongeren sana 🔥💯
Hahah nshamuona mimende
Am the first one much love from ndola zm
Imetulia sana
Hongereni sana kwa kazi nzuri ❤
Beta ungemchukua rose kama Dem wako
Mjitaidi mumalizie iyi series ninzuri sana,plz musiishie nyiani
Sasa huyo binti anaekuja kukwambia ni jini au ni malaika mbona sielewi toka jana
Hii yenyewe Bon safi sana.
😢😢😢😢😢😢😢mbona imeishia mbali ivo😮😮😮
Mgeni wa kijiji tumemiss
Mmmh si alitoa 😂Jana or nk juzi
Mi ndio nimefunga😂 much love from kenyq
akika muvi ni nzuri inafundisha na inaelimsha kwa kweri
ebanaeee hii movie ruta man
Iyo man kali man
Yaan kipande umeandika kina dk 33 afu kinaishia dk ya 16 aaaah sio pouwa mzee
Nimewahi
Unatobowa Kaka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🔥
Hongera kwa kazi nzuli
Karibu Tz nchi ambayo kichaa ananyoa nywele kihuni 🤣🤣
😂😂😂 ati ananyoa kihuni
Ee 😂😂
😂😂😂
Kazi nzur
Goubwa ni shizi ana pendezeana naaliyake kabisa jameni 😅😅😅😅😅
Ongea bwana mjomba naon iyi cinema ina kitu ndan yakee....tuna zid kukufatiliy....ila tun subiria mgen wa kijiji bwana .....tumuon mgang baisa
Nakubali Saana Boncen🎉
Adi natamani niwe mwigizaji wako
Wakwanza nimimi niko apa congo
Ongera Sana.
Vizuli kabisa
Sasa inaishaje hivyo nafasi inakuwa wazi nikajua inaendelea😢😢😢
Nakukubali sana boncena😊😊
Kanisa yupo na uniform zake 😂😂😂😂😂
Mnazingua mbn mnaandika dk 33 alafu kitu kinaishia dk ya 16 ndo nn sasa acheni utapeli sasa
Kaz nzul san nimeipendaaa mnooo
RUTA MAN VIP MAN UNAACHA NYAMA MAN
Nipo chini ya mnyaya naisubir laki mbili😂😂😂