Innalilah wainailayh rajiuun poleni Allah awape subira kikubwa kumuombea dua ila ushauri msije kukubali aanikwe uwanjani sijui kumuaga kinyume na utaratibu wa kiislamu
@@mttanzaniamalimilo6657Kumbuka huyo alikuwa Rais wa nchi hizo habari za udini weka pembeni.Uwanjani lazima apelekwe watu wote wapate kumuaga.Kitakachobmlinda hapo ni amari zake njema tu hayo mengine ni mbwembwe tu za kidunia.R.l P Mzee Mwinyi 😭😭
Pumzika Kwa amani baba yetu Kwa kweli sijapata ona rais mwenye upendo kama mwinyi alikuwa rais hata kumuona hata sisi makapuku tulifika kwake na kuongea naye kama kawaida moezi wa yatima wengi sana alikuwa akiishi nao hapo nyumbani,mwenyezi Mungu umrehemu Mzee wetu kipenzi Kwa wakati wake ,amen
Usimsifie mtu kupitiriza mpe heshima yake tuu lakini kusema hujaona raisi mwenye moyo mzuri kama yeye unakosea .mzee kikwete kilasiku watu wanaenda kipiga story nyumban kwake
Walalhi niliipenda sauti ya huyu mzeee my love for him was pure jana nilikuwa mnyonge sana ndio baadaye nafungua simu naona kifo chake Allah ampe pepo mzeee wangu mzeee
Hakika mwinyi alitukuta Tanzania hatuna nguo Tulikua tuna vaa mawingu leo wanasema batiki Nitamkumbuka sana mzee huyu daftari shukeni bure Ukifungua shule unapewa 15 likiisha unapelekwa kwa mwalim ana saini nyuma unapewa jingine Nuru ya maisha ndio ilianza kung'aa baada ya mze huyu kushika usukani Nyerere mambo mengi mno yalimshinda
Kbs jmn mana alikuta wt wajinga awajjo chochote walilala tu lkn akawaamsha wt wkaanza kuishi maisha ya amani nakumiliki kila kitu uyu mzee akuwa na tamaa kbs ktk uongozi wk uyu na mzee magu walijali waanchi kuliko mapato ya serikal lkn uyo kikwete hpn kbs
Hata ingelikua niwewe au mmoja ndani yafamilia imejaaliwa hivi basi hakika ingelikua km ulivosema.....huyu mzee hakua tajiri na alichokua nacho hakujifaharisha kubwa nikutoa nasaha kwa wanawe na wawenziwe ....astahafiru mnaanza tena vijineno yyote alonacho kapewa na muumba mbingu na aridhi jamani nyee
Pumzika kwa amani rais wangu wapendwa ila jmn mnakosea sn kwann mnamtowa kwao alipozaliwa na mnaenda kumzika sehemu alo owa tu na mwenyewe alishasema akifa akazikwe kwao alipo zikwa baba ake ss nyie mnaenda kumzika ugenini alipo owa kwann mbona marais wote wamekufa na wamezikwa walipo zaliwa i so sawa kbs
Hivi bi Khadija alikuwa haendi naye public? Sasa mwishoni alikuwa anakaa na Bi mkubwa au mdogo.Akiwa mzima na nguvu inaeleweka, akizeeka,akachoka na kuugua, usipokuwa makini Bi mdogo unaweza usimuone mume hata miaka 10 mnaongea kwa simu tu😊 labda uelewane sana na mke mwenzio akuruhusu uje muona.
😭😭😭mmezika kaka mwaka juzi mnazika baba mwaka huu allah awape subra amin
Umejibu vizuri sana kijana.kweli mmelelewa vizuri hata ongea yako.Mungu aendelee kuwaweka pamoja.
Pumzika kwa amani baba wataifa letu la Tanzania hakika mwenyezi Mungu ndiye mwenye maamuzi yote kwan kila nafsi itaonja mauti
Baba wa taifa la Tanzania ni mwalimu julius kambarage nyerere
Legacy live long
Innalilah wainnalilah rajiuun! Mwenyezimungu amjalie pepo Mzee wetu! Poleni wafiwa wote! Na Sisi Watanzania kwa ujumla!
Uzuri wa waislamu ndio huo hakuna cha VIP ...SANDA NI ILE ILE
Sanda ni ile ile!!
No mambo mengi ukifa wew ni mavumbini tu
😂😂😂😂
wala kaburi la kuslide wote mavumbini halisi
Kweli
Wtt wa mwinyi hatuwajui lkn doto magari tunamjua Yaan dotto angekuwa mtt wa mwinyi ingekuwa balaa
😂😂😂😂 nacheka kama mazuri
Innalilah wainailayh rajiuun poleni Allah awape subira kikubwa kumuombea dua ila ushauri msije kukubali aanikwe uwanjani sijui kumuaga kinyume na utaratibu wa kiislamu
Nayale maywele sasa akili han
Hahahahaaa
@@mttanzaniamalimilo6657Kumbuka huyo alikuwa Rais wa nchi hizo habari za udini weka pembeni.Uwanjani lazima apelekwe watu wote wapate kumuaga.Kitakachobmlinda hapo ni amari zake njema tu hayo mengine ni mbwembwe tu za kidunia.R.l P Mzee Mwinyi 😭😭
Alhamdullillah
Allahumma ghufirlahu warhamhu waaskinahu filjannat 🤲
Anafanana sana na Dr hussen mwinyi utadhani mapacha
Mtu mnyenyekevu , mwenye kumpenda Mola wake
Pumzika Kwa amani baba yetu Kwa kweli sijapata ona rais mwenye upendo kama mwinyi alikuwa rais hata kumuona hata sisi makapuku tulifika kwake na kuongea naye kama kawaida moezi wa yatima wengi sana alikuwa akiishi nao hapo nyumbani,mwenyezi Mungu umrehemu Mzee wetu kipenzi Kwa wakati wake ,amen
Usimsifie mtu kupitiriza mpe heshima yake tuu lakini kusema hujaona raisi mwenye moyo mzuri kama yeye unakosea .mzee kikwete kilasiku watu wanaenda kipiga story nyumban kwake
SANAA. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI.
Kabisa
Poleni wafiwa Mwenye Enzi Mungu amrehemu amlaze pema peponi amjaalie katika as'habul yamiin ampe kauli thabit yaarab ameen. Inna lillahi wa inna ilayhi rajiun
Allah hummaAmeen
Allah amfanyie wepesi ktk maisha yake ya kaburini
Innallillah Waina Ilayhi Rajiun. Allah amsameh na poleni familia
Walalhi niliipenda sauti ya huyu mzeee my love for him was pure jana nilikuwa mnyonge sana ndio baadaye nafungua simu naona kifo chake Allah ampe pepo mzeee wangu mzeee
Mungu ampe pumzika la Amani miaka aliyopewa hii ni sherehe pamoja na kwamba ni mciba familia Mungu awatie nguvu
Usishangaealikuwa na wake wawili bi siti mkubwa na bi khadija mdogo wote ni weupe
Mwninyi alikua na wake watatu
Nikweli woote weupe
Mtangazaji unachanganya mada. Mtoto anasema baba kafa akiwa na miaka 99. Wewe unasema 98.!!!!?
Hakika mwinyi alitukuta Tanzania hatuna nguo
Tulikua tuna vaa mawingu leo wanasema batiki
Nitamkumbuka sana mzee huyu daftari shukeni bure
Ukifungua shule unapewa 15 likiisha unapelekwa kwa mwalim ana saini nyuma unapewa jingine
Nuru ya maisha ndio ilianza kung'aa baada ya mze huyu kushika usukani
Nyerere mambo mengi mno yalimshinda
pua zile zile zarais wetu
Rip
Pole saana kakangu kwa kumpoteza mzazi amba alikuwa wingu kwa Taifa zima kwa ujumla...😭😭
Innalilah wainna illah rajioon, allah amuhifadhi miongoni mwa waja wake wema yaallah
Dis
Pwenti nilioipenda nanilioondokanayo kwa furaha kumaliza madalakaýake kiuadilifu alha amlipe kwayake nakingine hajalewa kujilimbikizia yemwenyewe shahid kwahilo lamwisho kuwapa ulithi wa elim ikiwemo yakiroho hayomaneno aliozungumza broo hapo yanatokana na iman thabit sio brabra mwenyeiz mungu awapesubra na mshikamano kwenyefamiliayenu aamin
Kbs jmn mana alikuta wt wajinga awajjo chochote walilala tu lkn akawaamsha wt wkaanza kuishi maisha ya amani nakumiliki kila kitu uyu mzee akuwa na tamaa kbs ktk uongozi wk uyu na mzee magu walijali waanchi kuliko mapato ya serikal lkn uyo kikwete hpn kbs
Mfalme wa oman Qaboos alipofariki alizikwa hiyohiyo siku hata majirani zake wa Dubai hawakuwahi kuzika huku kwetu mpka siku 3 anakalishwa kwanini?
Kwa sababu hapa ni Tanzania siyo Oman
Pumzika baba upendi umeonyesha ndani na nje pumzika baba yetu aukuuwa na makuu
Innalilahi wainna ileyhi raajiun. Poleni sana !!
RIP😢😢😢
Wakifa wanaacha majumba ya kifahali na mali ila wananchi wao hali tete
Hata ingelikua niwewe au mmoja ndani yafamilia imejaaliwa hivi basi hakika ingelikua km ulivosema.....huyu mzee hakua tajiri na alichokua nacho hakujifaharisha kubwa nikutoa nasaha kwa wanawe na wawenziwe ....astahafiru mnaanza tena vijineno yyote alonacho kapewa na muumba mbingu na aridhi jamani nyee
Hii famly imebarikiwa sana
Ila jamaa amefanana sana Hussein
Pumzika kwa amani baba na tutakukumbuka daima
Watt wake wazuri mashallah
Yaani km ulikua kwenye akili yangu
Pole baba pole saaana tunaumiya hata ss 😢
Upumzike kwa amani, Mzee Mwinyi!
Inalilah wainnailayh rajiun
BABA mwinyi tumetoka na wewe mbali tutazifaata Hikima zako daima
mungu ni mwema
Innalillahi wainnailahi rajiun poleni sana familia
Polen sana😢😢😢😢
Poleni sana wanafamliya
Inalilah wainalilah rajinguni kila nafs itaonya umaut
Kachukua rangi ya mama
Innalillah wainnaillah rajiun Allah ampe kauli thabiti 😢
KUMBE WATOTO NAO,,NAMBA ZILISHASOMA
Kwa maana gani
Poleni Sana
R I P BABU MWINYI😢
Alhamndulillah kuwaacha familia yake mnamaelewano
Buriani🙏
Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun.allah ampe kauli thabit ila wake zake wote walikua ni wazanzibar ndio mana
Inalilah wainalilah rajuuni
Pumzika kwa amani rais wangu wapendwa ila jmn mnakosea sn kwann mnamtowa kwao alipozaliwa na mnaenda kumzika sehemu alo owa tu na mwenyewe alishasema akifa akazikwe kwao alipo zikwa baba ake ss nyie mnaenda kumzika ugenini alipo owa kwann mbona marais wote wamekufa na wamezikwa walipo zaliwa i so sawa kbs
Unakosea nafsi ilipofia palepale inatakiwa kuzikwa ndo sheria ya dini
MUNGU AMLAZE MAHARA PEMA PEPONI BABA YETU MWINYI
Apumzike kwa amani mzee wetu
Innaa lillahi wainaa ilayhi raajiun.
🎉🎉
Inna lilah waina ilah rajuuun
😢😢😢
Inalilahi wainailah rajiun😢
Azd
Anwar
انا لله وانا إليه راجعون
Huyu jamaa ana maisha mazuri hata ngozi yake ina onekana ime nawiri
Poleni
Kila nafsi inaonja umauti 😢
😊
Pumzka Babu yetu
Innalilah wainnailah rajiun
❤
Inna lillahi waina illaihi rajiuun
Marehemu alikuwa na wake wangapi?
Wawili siti & Khadija
Mi wa mwisho ila hajawahi niona my live for him was pure
Wawili na mmoja hajulikani wanambagua leo hata kuaga ameaga kama raia
@@vanessajames2192 km aliolewa basi haki yake atapata inshallah
mung amlaze mahali pema akhera endako
Atali sasa
Ponzika kwaaaman
Hivi bi Khadija alikuwa haendi naye public? Sasa mwishoni alikuwa anakaa na Bi mkubwa au mdogo.Akiwa mzima na nguvu inaeleweka, akizeeka,akachoka na kuugua, usipokuwa makini Bi mdogo unaweza usimuone mume hata miaka 10 mnaongea kwa simu tu😊 labda uelewane sana na mke mwenzio akuruhusu uje muona.
Huyu mwana sitti
Huyu mtoto kama chotara subhana Allah
Subhanallah ya vipi Sasa na ndio mwanawe
Wake zake machotara na mtto kawa hivyo subhanallah ya nni
Unamjuwa Mamake hata unashangaa na hio rangi....watu wa Zanzibar wengi wako na Arab decent....hilo neno nimeshindwa Kwa Kiswahili 😂
wazanzibar ndio rangi yetu
Wajawaja hamna smile .muogopeni Mungu
😢😢😢 poleni sana familia
Rest in peace
99 au 98 ?
May alikuwa anakamilisha 99
99 mwaka huu
Mwez wa 5 ….99
😢😢😢
Poleni
Poleni sana