RAIS MWINYI ATAKA KULIA - "KABLA BABA HAJAFA ALITUITA - AKANIAMBIA NIONGOZE FAMILIA -MUNGU NISAIDIE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 171

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  10 місяців тому +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @moddy8744
    @moddy8744 10 місяців тому +18

    Allah Amrehemu nwinyi na Alhamdulilaah tuna Maraisi wazuri wenye imani, proud kuwa na Raisi kama Samia Suluh wala si rahisi kupata Raisi mzuri kama Samia Suluh Allah Amzidishie imani na Amuhifadhi daima na ampe afya njema

  • @neemaemanuel7715
    @neemaemanuel7715 10 місяців тому +12

    Allah akufanyie wepesi katika mtihani huu wa kuondokewa na baba,ambae ni baba bora Sana kwako na kwetu sote, Hakika alikuwa mwema na mfano wa kuigwa, tuchukue mema yake na kuzidi kumuombea kwa Allah amfanyie wepesi katika safari yake inshaalah

  • @fatmaaliomar9733
    @fatmaaliomar9733 10 місяців тому +2

    Aleikum Salam Pole Muheshimiwa Rais wetu na familia yako yote.Allah amfikishie dua zote marehemu Ali Hassan Mwinyi ampe nuru kwenye kaburi lake.Amina .

  • @mchangashehe6365
    @mchangashehe6365 10 місяців тому

    Allah akupe nguvu ufuate nyayo za marehemu babako. Ameen. Kwa wema wake alotutendea Watanzania wengine tulikuwa wadogo Enzo za uongozi wake lkn hadithi yake inasimuloka vizuri. Mashaa Allah. Mola amjàlie wema wake akaukute katika hesabu.

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 10 місяців тому +10

    Mtu mwema,mwanadamu mwema,mhe Rais mwema.May ALLAH bless u 4ever.Inshallah

  • @maryasimwe271
    @maryasimwe271 10 місяців тому +1

    Mwenyezi mungu awaponye kwa mawazo na machungu😢

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 10 місяців тому +1

    Pole sana Rais wa Zanzibar kumpoteza Mzee wetu mwenye hekima nyingi na mcheshi, Babu yetu Mzee Mwinyi.Mungu ampe pumziko la milele mahali pema.Amina.

  • @salimsaid9852
    @salimsaid9852 10 місяців тому +3

    Namuomba Allah Akupe Subra Raisi wetu Mpendwa wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi katika kipindi hichi kwako na Taifa kwa ujumla.Allah mpe makazi bora n mema mzee wetu Ali Hassan Ali Mwinyi Mkutanishe na watu wema Peponi.Litie noor Kabur lake Ya rabbi hakuna anaeweza kulitia noor isipokuwa wewe.Ameen.

  • @swalehamir7748
    @swalehamir7748 10 місяців тому

    Allah akupe subra wewe na familia yako na Tanzania kwa jumla Allah ailaze roho ya mzee wetu mahali pema peponi

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 10 місяців тому

    Poleni sana! Mwenyezimungu awe faraja kwenu awape subra! Mzee wetu tunaamini Mwenyezimungu amempokea ! Innalilah wannalilah rajiuun!

  • @aminageid6297
    @aminageid6297 10 місяців тому +3

    ❤Allah atupe moyoo uliotulia yarabbi nafasi mutumainnat Inshaallah kheir Munguu ampe wema panapo wema inshallah ampe kitabu mkono WA kulia ampanulie kaburu lake nuruu na ampeleke peponi Inshaallah ❤

  • @shabanimbenu2163
    @shabanimbenu2163 10 місяців тому +1

    ALLAH amuhifadhi maala pema peponi, Amiin🙏

  • @aseelaisaa428
    @aseelaisaa428 10 місяців тому +6

    Pole sanaaa Dr Hussain very emotional walllah.Alllah atakupozeni yarabiiii Amin hawezi kujua mtu illa Alifikwa na msiba mzitto kuondojewa na mzeee hassa akiwa kipenzi Kwa familia. Poleni sana

  • @zainabmuhammed6294
    @zainabmuhammed6294 10 місяців тому

    Amin Inshallah mwenyezi mungu ndiye muuamuzi wa yt Inshallah

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому +4

    Allah akubariki na ambaarik mama Samia ameketi chini pamoja na ukuu wa nchi mwenyezi mungu awape barka viongoz wetu

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 10 місяців тому +5

    Miongoni mwa faida aliyoifanya Marehemu mzee Mwinyi ni kuwasomesha watoto zake maana utangulizi alioutoa Mh Raisi Hossein Mwinyi ndio maneno aliyoyasema Nabii Mussa pindi alipotaka kufikisha ujumbe kwa Firauni na Allah alimfanyia uwepesi.
    **Hii familia ni njema sana mashallah**

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 10 місяців тому +1

    Allah amuhifadhi miongoni mwa waja wake wema yaallah

  • @AsyaBakari-b1v
    @AsyaBakari-b1v 10 місяців тому +1

    MMungu akupe subiri wewe Rais wetu Amtiliye muangaza ndani ya kaburi lake Ampe kitabu chake Kwa mkono WA kulia babu yetu amin

  • @JalinaPalanga
    @JalinaPalanga 10 місяців тому

    Allah awape subra na tunamuomba Allah ajaalie kaburi la mzee wetu liwe miongoni mwa viwanja vya pepo amiin

  • @MASABOTV
    @MASABOTV 10 місяців тому

    Pole sana Mh.Rais mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwako

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 10 місяців тому +9

    Rais una somo kubwa hapo Allah amekukumbusha hakuna kitu kizuri km kiongoz muadilifu hio ni hazina kubwa nakuomba utuongoze tufikie mda tusitamani kiongoz mwengne haya maisha nimapito

  • @ZainabuIddy-r1o
    @ZainabuIddy-r1o 10 місяців тому

    Pole sana mweshimiwa Dr Hussein Mungu akupe Afiya njema na mengi saidi ili uendelee kongoza family kama mzee Babu yetu kipenz baba Ali hasani Mwinyi alivio kuambia naamin yote yataendelea kua vzur sana kama mzee alivio kuaga na sisi wote watanzania tupo pamoja twendele kumuombea apumzike Kwa aman❤

  • @taflemusa790
    @taflemusa790 10 місяців тому

    Poleni poleni sana kwa familia na muungano wa Tanzania kwa jumla Allah awape subra na imani inshaalla

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 10 місяців тому +23

    What a humble spectacle for President Mama Samia Suluhu to sit on the floor with othef fellow women during the solemn sent off moment!

    • @foodbasiccourt2028
      @foodbasiccourt2028 10 місяців тому +2

      Hivi mnajua ni mtoto wa mwinyi kwasiri sana walimficha mnaongozwa na watoto wa mtu mmoja

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 10 місяців тому

      ​@@foodbasiccourt2028hiyo ni Zanzibar mahali ambapo miaka ya tisini ilikuwa marufuku kula mchana uwe muislam au dini nyingine hivyo hata kwenye ndoa sio wa kuzaa hivyo hovyo hivyo acha kujipalia makaa kwa Mwenyezi Mungu kwa kuzusha mambo

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 10 місяців тому +2

      Mama mnyenyekevu sana! Na Mungu ambariki! 🥰

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 10 місяців тому +1

      @@foodbasiccourt2028 kama kweli ni bora tuongozwe na familia yenye adabu kuliko watu wasio na adabu hata kidogo..!

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 10 місяців тому +1

      That was Islam Alhamdulillah Allah kareem all people are the same no matter what.😢 radhitu billah raba wabili Islam dini❤❤❤

  • @AbdallaNassorAbry-ku6ig
    @AbdallaNassorAbry-ku6ig 10 місяців тому

    Alhamdulillah Alla amlaze pahala pema peponi . Kwa hakika haya ni mawaidha kwa viongozi wa nchi pia na kwa waislamu wote docter zidi kufanya juhudi waonganishe waislamu kwa kuwa na huruma nao ili iwe ni story mzuri na wewe kama mzee wetu. Doctor jitahidi uongozi ni amana

  • @istambulahmed6664
    @istambulahmed6664 10 місяців тому +1

    اللهم ثبته بالقول الثابت

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 10 місяців тому +3

    Pole sana kiongozi Hussein Mwinyi hili Jambo ni gumu Sana Mwenyezi Mungu awafariji

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 10 місяців тому +4

    Wallah Raisi Mwinyi,mola wangu naomba 1petro 3:19 ikatimie kwake sb ya hapa ulimwenguni ulitenda kwa haki bila chenga,ulikua mwema sana. Hukua na kona kona mzee,hadithi yako inasimulika wallah ingawa ukiongoza sikua najitambua sana. Ila sikuwahi kusikia la kuniwasha masikio linalokuhusu.
    Naiombea roho yako ika 1Petro 3:19 ikatimie kwako mtumishi wa mwenyenzi Mungu.Nitakuombea daima mzee wetu. Ukitenda mema kwa watu hata hapa duniani na kumcha Mungu utalipwa na Mungu duniani na mbinguni , mfano mzuri familia yake mzee na hata mbinguni pia malipo yapo

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 10 місяців тому +4

    Allah akuongoze

  • @rukiamapara-de4mg
    @rukiamapara-de4mg 10 місяців тому +2

    Mwenyezi mungu amrehemu

  • @KauyeKhatibu
    @KauyeKhatibu 10 місяців тому +2

    Allah amjalie mzee wetu fridaus yawe makazi yake inshallah

  • @vinanimwinyi3163
    @vinanimwinyi3163 10 місяців тому

    Allah amjalie janatul firdausi..Allah awjalie wana family subra na awfanyie wepesi

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 10 місяців тому +8

    Kwenye kifo ndipo wanadamu wote tunapokuwa sawa.

  • @songombingo108
    @songombingo108 10 місяців тому

    Umenitoa machozi Rais Hussein Mwinyi. Allah awape subra.

  • @madammubiruhamsin5205
    @madammubiruhamsin5205 10 місяців тому +18

    nyinyi huyu mwinyi Rais Mstaafu peponi.

  • @AswilaSeif
    @AswilaSeif 10 місяців тому

    Pole sana DR Hussein mungu ATAKUPA moyo wasbr🤲🤲

  • @DullahSallah
    @DullahSallah 10 місяців тому

    Ishaallaah

  • @LeylahHilal
    @LeylahHilal 10 місяців тому

    Mungu akubariki mh Rais wa Zanzibar Hussein mwinyi,nakumbuka uliwahi kumsaidia matibabu marehemu babu yangu moi tena VIP Kwa kupata nyonga ya plastick Allah akubariki pole Sana Kwa msiba Rais wa Zanzibar na watanzania wote.

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar 10 місяців тому

    ALLAH hu AKBAR walahi hii nchi ALLAH atamu bariki❤❤❤❤ nchi mapenzi kila mtu ana pata

  • @agneselia9000
    @agneselia9000 10 місяців тому

    Mungu akutunze Rais Samia kwa wema wako amen

  • @annakulola
    @annakulola 10 місяців тому

    Poleni sana Mungu awatie nguvu na awafariji

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 10 місяців тому

    Pole sana Baba yetu rais Hussain mwinyi na familiy kw ujumla mungu awape faraja Amiin

  • @hamadichopoti2996
    @hamadichopoti2996 10 місяців тому

    Najisikia furaha Sana nikimuona Rais anafata miongozo ya Dini hawana haha ya viti wamekaa chini wametuliaa❤

  • @fatumadiwani4098
    @fatumadiwani4098 10 місяців тому

    Allah amuweke mahali pema mzee wetu Ali Hassan Mwinyi,amsamehe makosa yake na ampe pepo ya ngazi ya juu,ameen

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 10 місяців тому +9

    Poleni kwa kuondokewa mzee wenu na ni mzee wetu watanzania wote.allah ampe kauli thabit.amfungulie milango ya janna firdaus iwe magazine yake.

  • @aristideskilawe5024
    @aristideskilawe5024 10 місяців тому

    Nakupa pole sana Kaka yangu Dr Hussein. Tumeondokewa na BABU/BABA na Rais aliyeipenda Tanzania na watanzania. MUNGU awatie NGUVU katika kipindi hiki kigumu unapopitia MAUMIVU ya kuondokewa na Baba yetu. Mungu alimpa maisha marefu Baba yetu na ninafikiri ni kwa sababu ya unyenyekevu wake na upendo alikuwa nao kwa watanzania. Hakika Mzee amekwenda Peponi yaani mbinguni. Apumzike kwa Amani

  • @AshaMohd-tq1qo
    @AshaMohd-tq1qo 10 місяців тому

    Pole sana rais wetu kiongozi muadilifu Allah atakupeni moyo wasubra kwahakika kuondokewa na mzazi nijambo zito ila subra nakumkumbuka kwadua ni vitu muhim sana hasa kwa watt wke, chamsingi nikufuata nyayo zke namema yke aloyafanya ili iwe niswadakatuljaaria kwake , tumempenda ila Allah amempenda zaid haina jinsi kuyapokea😢

  • @danielmadale7710
    @danielmadale7710 10 місяців тому

    pole rais Mwinyi. Mungu akutie nguvu wakati huu Mgumu.

  • @WazirJuma-gd5oo
    @WazirJuma-gd5oo 10 місяців тому

    Allaah Amfanyie wepesi mzee wetu Ally hasani mwinyi wepesi ktka safari yake hyo nzito

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 10 місяців тому

    Allah akuhifadhi Rais Hussein Mwinyi kuna viongozi hata kuisoma quran mtihani

  • @lingsonKasomwa-ho1tf
    @lingsonKasomwa-ho1tf 10 місяців тому

    Pole sana Mhe Hussein Mwinyi . Mungu akutie nguvu na hekima zaidi katika kuongoza familia na nchi.

  • @salmameja-bw2kw
    @salmameja-bw2kw 10 місяців тому

    Allah awape subra familia,,amfanyie wepeS kiongozi wetu ,amuondolee kila ziti,amsamehe madhambinyake

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 10 місяців тому +8

    Mbele yake nyuma yetu. Mwenyezi Mungu ampokee kwa mkono wa kulia 😢

  • @qaboosabdulrrahmaan1314
    @qaboosabdulrrahmaan1314 10 місяців тому

    💥الذين يحملون العرش و من حوله يسبحون بحمد ربهم و يٶمنون به و يستغفرون للذين ءامنوا ربنا و سعت کل شيء رحمة و علما ٠٠💥 فألهِم أهله الصبر و السلوان

  • @zegelibilishanga6047
    @zegelibilishanga6047 10 місяців тому

    ❤ama kweli mzee mwinyi alikuwa mtu wa watu,Kwake hakuna hata sehemu moja niyoona ktk mtandao akinezwa
    Kutukanwa wala kzushiwa baya Mungu ampe weoesi

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 10 місяців тому +2

    Ndivyo inavyokuwa, umepewa jukumu ONGOZA familia yake hata sisi tuliokwisha poteza wazazi wetu tena wote ndivyo tulivyoambiwa. Ni kawaida,usilie sasa umekuwa

  • @jokhasimba4376
    @jokhasimba4376 10 місяців тому +3

    INNA LILAH WAINNA ILAIHN RAJIUUN
    AĹLAA AMPEKITABU CHAKE KWA MKONO WA KULIA AMPE KAULI THABIN AMSAMEHE ALIYOYAFANYA KWA KUJUA NA ASIOYAJUA ALOFANYA KWA SIRI NA DHAHIR
    AAMMIN AAMIN

    • @jamilajumaa2980
      @jamilajumaa2980 10 місяців тому

      Ameen

    • @jokhasimba4376
      @jokhasimba4376 10 місяців тому

      Sisi tulikupenda ila allaah anakupenda zaid kakuandalia makaazi mema kwa wema wako uliokuwa nao ulikua nahuruma na upendo wa dhati
      Allaah akutilie nuru kaburi lako
      Ammin ammin

  • @fatumapedersen193
    @fatumapedersen193 10 місяців тому

    Pole sana jamia ja mwinyi na msiba. Na watazania wote.

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 10 місяців тому

    Mola akufanyie wepesi Dr mwinyi umejitahidi sana Toka Mzee astaafu kuongoza nchi hii ulikuwa Dr wake mzee hongera sana Hussein pole swahiba wangu

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 10 місяців тому

    Pole sana. Allah atawapa subra ingawa subra ngumu jamani tunajua tulikosa wazazi 😭😭😭uchungu. Wake Allah awape kauli thabit jamii muslmn yaarab

  • @jogoomohamed2652
    @jogoomohamed2652 10 місяців тому

    Pole sana mkuu,pole sana kiongozi bora,pole sana mja MWEMA.Hakika ndo dunia.Mkuu

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 10 місяців тому

    Rais wetu mpendwa mheshimiwa mama yetu samia suluhu hasan hakika anawapenda na kuwahutumia raia zake!!ALLAH amlikinde na MAHASIDI na amifadhwi

  • @issakarim4413
    @issakarim4413 10 місяців тому

    Pole sana mh.raisi umefikwa na jambo kubwa uwe na uvumilivu na pia wananchi tuko pamoja na ww letu sote hilo

  • @merisianayoel2542
    @merisianayoel2542 10 місяців тому

    Allah amjalie mzee wetu pepo qiwe mahala pake

  • @nurbertkapungu2997
    @nurbertkapungu2997 10 місяців тому

    Pole Mh Rais Msiba umetugusa sana

  • @DazuuMwajuma
    @DazuuMwajuma 10 місяців тому

    Poleni sana

  • @HusinaKisuda
    @HusinaKisuda 10 місяців тому

    Allah amurehemu baba yetu

  • @mbwanambwana3646
    @mbwanambwana3646 10 місяців тому

    Allah amlaze mahala pema peponi

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 10 місяців тому

    Mashaallah

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 10 місяців тому

    Mungu atakuwezesha na kukuongoza sawasawa na Baba yako alivyotamka,❤Mungu Akubariki sn Mh H Mwinyi
    .

  • @AminaJuma-r4v
    @AminaJuma-r4v 10 місяців тому

    Inalilah waina ilah rajighun ALLah ampe kaul thabit Amiyn

  • @SuleimanMachano-t3z
    @SuleimanMachano-t3z 10 місяців тому

    Allah Akbar anilahulhamdu yaaaraby mpe subra na uvumilivu rais wetu

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 10 місяців тому

    Rais wetu ww na ndugu zako Allah akupeni subira na aimarishe udugu wenu pia ila mh tudumishie amani yetu mlio ileta ww na wenzako tunakupenda sana

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 10 місяців тому

    Pole sana raisi mwinyi mungu atakupa subra inshaallah

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 10 місяців тому

    Amen

  • @FridaElisha
    @FridaElisha 10 місяців тому

    Mwenzi Mungu awatie nguvu wote.

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 10 місяців тому

    Wema hauozi Allah amrehemu Mzee wetu na awabariki nyinyi wanafamilia

  • @bakarifakih4228
    @bakarifakih4228 10 місяців тому

    mzee wetu tulimpenda sana.mzee asietaka makuu.allah kamwihitaji hatuna budi kusema,innalillah wainailah rajiun

  • @MohdAli-nz4ng
    @MohdAli-nz4ng 10 місяців тому

    Pole kiongozi wetu mola akupeni subra

  • @ZahoroHamisi-l2d
    @ZahoroHamisi-l2d 10 місяців тому

    Pole

  • @changamotoyouthdevelopment8055
    @changamotoyouthdevelopment8055 10 місяців тому

    Mungu amrehemu Hayati Mzee Mwinyi

  • @AbdallaSuleiman-v5n
    @AbdallaSuleiman-v5n 10 місяців тому

    Qasida za juma faki

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 10 місяців тому +7

    Sisi masikin sijui tutasaidiwa Lin. Maana ukoo wangu hakuna hata alieajiriwa serekalin.. Mungu mwenyewe Atatusaidia

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 10 місяців тому

      Mungu hatakuacha

    • @MonaAlmona-c1n
      @MonaAlmona-c1n 10 місяців тому +1

      Jiajirin wenyewe kwa biashara serikalin akuna ajira wanapeana wenyewe kwa wenyewe

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 10 місяців тому

      Mungu atuinue sote kwa huruma yake

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 10 місяців тому

      Ameen

  • @margaridaagostinhoacaciona3656
    @margaridaagostinhoacaciona3656 10 місяців тому

    Bismilahi Rahman raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi yake Amin Amin Amin yaraab Amin alhaamdulilaah mungu nakuomba umswameh madhambi yake na umuondolee adhabu ya kabur yaraab nakuomba pokea Dua yangu nakuomba umswameh madhambi yake Amin Amin Amin yaraab Amin waheshimiwa rais wote mashalhaah mashalhaah mashalhaah mama samia ni mama mwenye mapenzi sana alhaamdulilaah mama nakuombeea mungu akuondolee na maadui inshaalhaah mama samia mungu atakujalia pepo inshaalhaah inshaalhaah inshaalhaah mungu nakuomba pokea Dua yangu yaraab Amin alhaamdulilaah

  • @muhidinishauri5035
    @muhidinishauri5035 10 місяців тому

    Simama imara kaka mungu atakusaidia

  • @hashimmziray7416
    @hashimmziray7416 10 місяців тому

    Inalilah waina ilah rajuun

  • @ConfusedBloomingFlower-nl5rx
    @ConfusedBloomingFlower-nl5rx 10 місяців тому

    Pole sna rais Hussein Allah ndo alimpend zaid r I p mzee mwiny

  • @azzaalhabsi1505
    @azzaalhabsi1505 10 місяців тому +13

    Firdaus iwe makazi yake

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 10 місяців тому

    Mzee wetu tulimpenda sana sanaa

  • @asmaSimba-cm4zb
    @asmaSimba-cm4zb 10 місяців тому +1

    Basi hapo ukute usalama kama wote ukijichanganya kusogea Kwa mama tu ndo utajua.

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 10 місяців тому

    Poleni sana jamani.Mwinyi alikuwa muungwana.

  • @superangeltv4615
    @superangeltv4615 10 місяців тому +4

    Ww ni rais bado unaamini matibabu ni england je mm na watu wengine tutaenda wap

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 10 місяців тому +2

      tulia nenda china

    • @africangirllifestyle7686
      @africangirllifestyle7686 10 місяців тому

      @@sabihaibrahim143😂

    • @matihassan3539
      @matihassan3539 10 місяців тому

      Kapange foleni mwimbilo

    • @hijamshamu873
      @hijamshamu873 10 місяців тому

      Maisha hayafanani, rizika na hali yako.

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 10 місяців тому

      Unataka uende wapi..kufa utakufa tu hta uende wapi kwahyo tulia omba mwisho mwema ufe usingizi kimya kimya

  • @michaelamos3164
    @michaelamos3164 10 місяців тому

    Mungu amlehemu mzee wetu

  • @AbediBilla-jz4ip
    @AbediBilla-jz4ip 10 місяців тому

    Inshallah

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 10 місяців тому

  • @utamutv_
    @utamutv_ 10 місяців тому

    Inakuaje MH unanza kumshukuru rais wa jamuhuri ya mungano watanzania?? Mungu umemuacha wap jaman

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 10 місяців тому +1

    😢

  • @MwagumaOthman
    @MwagumaOthman 10 місяців тому

    Mungu awape moyo wanna subra ktk kipnd hch kigumucha msiba

  • @mohddelo
    @mohddelo 10 місяців тому

    Safi