WASIFU wa OMBENI PHIRI: AMEACHA WATOTO 2 - ALIFANYA KAZI GLOBAL PUBLISHERS MWAKA 1 - ELIMU - KIFO...
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- WASIFU wa OMBENI PHIRI: AMEACHA WATOTO 2 - ALIFANYA KAZI GLOBAL PUBLISHERS MWAKA 1 - ELIMU - KIFO...
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Kaacha mchumba,,labdà mama tofauti hao wàtoto itakuwa ngumu kidogo
Kma ni Mungu mapnz yake yatimizwe ila kma ni mwanadamu ole wake
Mwenyezi mungu ampunguzie adhabu ya kaburi na mungu aitie nguvu family yake
Dah Mungu amlaze mahali pema peponi Amina
Poleni sana mbele yake nyuma yetu
Pumzika kwa aman mpendwa 🕊️🕊️
Poleni sana
Ila ndugu zanguntujikinge corona ipo😢
Wasafi pipo siwaoni🥺🥺
Polenii jamaniii sanaaa😢😢😢😢
Kifo cha huyu kijana kimeniuma jamani😢May his soul RIP
Ungekufa wewe
Alipata ajali?
Mm kimeniuma sana tena sana hb
@@AverinaShirati you are so heartless and evil .
Dah polen
RIP Ombeni 🙏
😢😢😢😢 bye bye bro omben jamani km mshumaa 😢😢😢😢
Poleni sana
Mwenyezi mungu amrehemu kumbe kweli nilifikiri ni mitandao tu jamani
Poleni
Alf diamond ajitoi kwenye misiba ya watu zao zaidi eti akiojiwa Nina machungu sanaaa ...Hila mungu mkubwa IPO siku mazuri au mabaya yatajionesha ..we muislam anavaa msalaba me diamond ata interview zake sitizamagi mpk mwisho sizielewagi
Mkiina ivyo ajafunga ndoa na huyo aliyezaa nae wakristo sisi uwa atutangazi mwanamke aliyezaa nae muelewe wale msioelewa
Muangalir kama hiyo sio Marburg 😢😢
gone to soon ..May his soul rest in peace 😢
RIP kaka
Kijana mdogo aliekua na ndoto nyingi 😢
Hivi unajua maama ya wasifu wa marehemu???? Atajwe mzazi aliezaa nae????????? Halafu??????? Inabidi urudi wa wazee wako wakuelekeze ... Au basi ngoja nikuache pengine umri wako ndipo akili yako ilipofikia... 😅😅
Punzika kwa amani mpendwa wetu
Jamn mim nimetumia sana
Kafara hzo😢😢😢😢
Kumbe?😢
Kumbee!?? Kina nani Sasa wamemtoa kafara?
Hilo jina la ki Zambia
Watoto hao alizaa peke yake?
Why
kwanini wanawake au mwanamke alozaa nae asithaminiwe kwani mpaka ndoa ifungwe na neno mke au mme litajwe bora wangemtaja jina ma watoto
@@paulabelleghe451 watanzania sisi washamba sana
Pumzika kwa amani 😭😭😭
Watanangazaji endeleeni kutoka kwenye Media zenu kwenda wasafi,, tamaa ya mshahara mkubwa itawaponza😢,, aliekua times fm miaka Kwa miaka mingi asingehama labda Leo tungekua nae
Mfyuuu..pointless
Mungu akisema Leo Nakuchukuwa aijalishi ww nani una nini una wadhafa Gani una Elimu kiasi gani alafu achagui dini Wala kabila achagui mtoto Wala mkubwa. So ata angekuwa Ayo TV hii ndo ilikuwa siku yake bila ubishi Mungu amrehemu na Awape nguvu wafiwa Wote Aamina 🙏🙏😭😭
Wewe utakuwa na matatizo ya afya ya akili
Huyu anatakiwa apimwe akili sio mzima,kifo cha mtu na wasafi inaingiliana nini
@@JullianaJuma kweli kabisa
Hapa kuna shida mama hajatajwa kwanini hata kama wameachana angetajwa kama mzazi mwenzie
Yan shida , apo mama yupo wamemziba kisa et Kuna mchumba
Hawajafunga ndoa ndo mana,,,
Kama amezaa hajafunga ndoa hawataji wamama waliozaa nao hiyo ndo kanuni anatajwa mtu alie halali
Was it Haemorragic stroke😮???!!
Risk of it? But sielew hii headache plus fever then DIB,😮 then death mmhhh
@@peteromary7642 ???🤔
Polen xn jmn. Wtto tuu..wife j
Wametwajwa watoto tu make je
Hata mm nashangaa yaan inaonekan mke hakubaliki kweny familia au😢 hata mjomba kule anasem marehem hajaoa sas hao watoto wametok wap kam hajaoa
Kazi kwelikweli
Hapo maana yake hakufunga ndoa rasmi
Eti alikuwa mtangazaji wann
TV hata st bongo startimes nilimuona
Hakugunga ndoa alizaa ndio maana mtoto wa pili hana ubini wake inawezekana ni kapewa ubini wa ujombani.
kuzaa sio ndoa ndio maana hata huyo dada hajatajwa