#EXCLUSIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 70

  • @mararegiononline3457
    @mararegiononline3457 3 роки тому +2

    Uko vizuri unajielezea vizuri nimependa

  • @ombeniyohaneaustin8415
    @ombeniyohaneaustin8415 3 роки тому +17

    Zee cute kuanzialeo sitoweza kukushabikiya tena wesimtarabu kwanini unapoachana na mwanaume unaelezeya upungufuwake

  • @joelibethueli5408
    @joelibethueli5408 3 роки тому +5

    Mabinti ya mujini mnapenda mapenzi tofaut tofaut na wanaume

  • @ayshunamir7801
    @ayshunamir7801 3 роки тому +3

    Zeee cute I just love ur voice

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 роки тому +7

    Mhh jmn tujitambue sisi wanaume na kuwaza mbali kuanzisha familia ya maisha yetu yaan mwanaume amepata milioni mwanamke anataka agawane nusu kwa nusu na mwanaume? kiwanja huna hata tofali huna umri unaenda hapana aisee

  • @amishmuu2104
    @amishmuu2104 3 роки тому +6

    WWE lulu hunamaajabu unangojea watu wangombanao ndio uwa inter view basi km ni kweli tulete Salam na huyu boss wako na mama dai si kaachwa Kisha umelete shamte

  • @rukiaabdallah1132
    @rukiaabdallah1132 3 роки тому +10

    Wanawake tunafeliii kabisa Kwan mtu huwez kudate na mwanaume bila mapicha mapicha kha hicho kichaa bado sijaugua

  • @oyay2821
    @oyay2821 Рік тому

    Fred itakua amem tafuna huyu cute

  • @cetus7885
    @cetus7885 3 роки тому +3

    Huyo demu kazingua sana kwenda kwenye umati

  • @petromafurumarindi6153
    @petromafurumarindi6153 3 роки тому +2

    MAPENZI YA SIKUIZI NI ERA WANADADA WA SIKUIZI WAKIONA TU UNA MKWANJA VISA AVIISHI AKIAMNGU NGOJA NIZITAFUTE NITAKUJAGA APO WASAFI NIWACHANE NYIE WANADADA✅👍

  • @adolphyamin1245
    @adolphyamin1245 3 роки тому

    Pumbav wawili in the house

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 роки тому +1

    Arafu anaongea kira kitu huyu dada khaaaaaaaa

  • @hemedy2546
    @hemedy2546 3 роки тому +3

    😂Zee cute Ni mnyama sana

  • @rukiasalum5671
    @rukiasalum5671 3 роки тому +2

    Yaani nimejikuta nachaka eti bora adonoe kuku kuliko kukupa wewe🤩🤩🤩🤩

  • @robbyzacharia9961
    @robbyzacharia9961 3 роки тому +5

    Wee naye ulipiga za nini hizo pic za uchi ulimwamini amekuwa mama ako mzazi huyo mfyuuuuuu usituchoshe🙄🙄

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 роки тому +4

    Hahaha nimecheka sana Stan jmn

  • @fredmbossa
    @fredmbossa 3 роки тому +1

    Wanawake wengi wanamatatizo ,kwanini ukiwa na mauhusiano unakuwa limbukeni sana mpaka unakubali kupigwa picha za utupu na hadi kurekodiwa vidio,Yani ni ujinga mtupu .., kumbukeni kuwa picha na vidio vinabaki kwenye mitandao na miaka inayokuja mwanao wa kumzaa atakuja kuona utupu wako kwa picha na vidio ulizojirekodi Leo au kurekodiwa

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 3 роки тому +1

    Madem hawaaminiki vijana tujihadhari sana

  • @janetahmed6948
    @janetahmed6948 3 роки тому +3

    Nyie wote malaya mapenzi hakuna

  • @princehalawa_official7980
    @princehalawa_official7980 3 роки тому +3

    Nilikuwa nakupenda mno na shabiki yako lakini nishatoka kukushabikia coz sio mstaarabu

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 3 роки тому +1

    Kugawana pesa ni tatizo,milioni moja pasu pasu

  • @harunamwaholi6551
    @harunamwaholi6551 3 роки тому +2

    Kugawana nusu kwa nusu hapo ndo kama panavuruga akili.nikipata kias tugawane sawa hawa wanawake tuwe makini nao sana

  • @alicekisanga8004
    @alicekisanga8004 3 роки тому +4

    We love stan and what you are saying won't change anything. You don't make sense.

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 3 роки тому

    Aaaahhh wee hata kam kuomba basi sio hivo duuu mtu kaingiza millioni wataka nusu kwa nusu UCHURO HUO...nyie wanawake kuweni na akili boyfriend wako kaingiza millioni kaa nae chuni mupange jisi ya kuongeza iyo millioni sio utake nusu kwa nusu utapeli huooo....

  • @edwardnatharyblessed7067
    @edwardnatharyblessed7067 3 роки тому

    Duuuuh,yaani na huo muonekano wote unaniteza kisa mwanaume asiyekujali, achana naye bana zee cute hebu jaribu kupambana na kwani hauna professional yeyote inbox me

  • @emmanuelsimon9599
    @emmanuelsimon9599 3 роки тому

    @mhmm ,,cjaelewa mada topic iliyopo hapo 🤐🤐
    Translate to swahili

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому

    wacha awachiye hizo picha kwani kulikuwa na haja gani yakujirekodi si umeyataka mwenyewe?

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 роки тому +1

    Bado wanapendana

  • @tabasamtv6728
    @tabasamtv6728 3 роки тому +1

    Sasa mtu umeshalala na wanaum mjin kbao na habari anazo kama mm ntalala hvyo hvyo.

    • @aishaamwalimu2887
      @aishaamwalimu2887 3 роки тому

      Bora ampe kuku adonoe kuliko kumpa yeye😂😂😂.

  • @laurentjozee8777
    @laurentjozee8777 3 роки тому

    Stani bakora hebu fanya connection basi

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 роки тому

    Mamae

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 3 роки тому +1

    😀😀😀

  • @samparkproscuter5412
    @samparkproscuter5412 3 роки тому +1

    Nlpokuona kweny bingwaaa ndo nkjuaa w n mbovu sema izo makeup xo usringe Sana

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 3 роки тому

    Sasa hivi wasichana wengi hawana mapenzi ya kweli mawazo yao nikupata wanaume wenye pesa tu na kula starehe bhasi

  • @mteghaelectricalnewbrand5382
    @mteghaelectricalnewbrand5382 3 роки тому

    Apo kwenye kugawana nusunusu ndio pazuri eti

  • @amanitanzar
    @amanitanzar 2 роки тому

    Demi nazi huyu... Hazimo kabisaaaa

  • @fathiyafadhil3430
    @fathiyafadhil3430 3 роки тому +1

    Wazimu wako

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 Рік тому

    Sikuamini wewe haya kidogo

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 роки тому

    Achaneni na utoto, hata kitaa tunamegana lkn hatunaga maujinga Sasa cjui nyie,cjui ndio Sanaa ubunifu au laa!

  • @robbyzacharia9961
    @robbyzacharia9961 3 роки тому

    Wewe nawe yote hayo kuna haja gani ya kuyaongea jamani na ningekuwa mimi ningeziachia muda huo huo hata hujatoka hapo kenge mweusi wewe🌚

  • @issakamangila4143
    @issakamangila4143 3 роки тому +2

    Lulu ineed tha girl ilike her

  • @mpendampk3262
    @mpendampk3262 2 роки тому

    uko poa

  • @calvintheone299
    @calvintheone299 3 роки тому

    Daah stan anazingua sana unawezaje kum attack msichana mrembo ivo jaman daaah

  • @jamillahidriss2604
    @jamillahidriss2604 3 роки тому

    Mwanaume gani uyo

  • @thuwaybamachea396
    @thuwaybamachea396 2 роки тому

    Ilo shavu kilo2 nzima

  • @godfreylutengano9367
    @godfreylutengano9367 3 роки тому

    Matope

  • @micknjiku1269
    @micknjiku1269 3 роки тому

    Haha 🤣 jmn nasuti kulala 🤣au stan mze mwenzetu mpka mkorogo

  • @kefasonseth6842
    @kefasonseth6842 3 роки тому

    Acheni kupeana ujingA, lakitano yakoo , kwakazi gan unayofanyA

  • @irenemacha5661
    @irenemacha5661 3 роки тому

    Acha utoto

  • @khadijakiba3587
    @khadijakiba3587 3 роки тому

    🤔🤔🤔😬😬khee

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 3 роки тому +1

    Ataachia sababu umeanza wewe kumchafua

  • @sarahomary3615
    @sarahomary3615 3 роки тому

    Ila humu kama Kuna ugombanishi eti maana Stan ajasema analia kama mwewe alitolea mfano tuu lakini nashangaa ili neno limebebwa kamili🙄🙄🙄🙄🙄🤔🤔🤔🤔🤔

    • @rashidjuma9774
      @rashidjuma9774 3 роки тому

      Huyu diva mnafkia sana, stani alisema kama mfano tu lkn diva niya yake ni uchochozi tu 😬 cnya sana

    • @rukaiyaahmadsuleiman3951
      @rukaiyaahmadsuleiman3951 3 роки тому

      Ndio walivo ao watangazaji wanatabia ya kugeuza geuza maneno

    • @bazzgarkimea5469
      @bazzgarkimea5469 2 роки тому

      Bora sister nawe ulickiliza kwa Makin Stan ajaongea chochote kibaya nandomana alikua anakazaniz ile point alioyotolea mfano ila Stan alimkataa na bdo kaibeba

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 роки тому

    Gubu, gubu, gubu tena..

  • @fimbodaddy
    @fimbodaddy 3 роки тому

    Bora kumpa 🐔 adonoe kuliko kukupa wewe