KILIMO CHA MATUNDA YA PESHENI KWA VITENDO !

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 48

  • @aje-farmsmashambayanayotem7392

    ua-cam.com/video/7nhZBY3KIfU/v-deo.htmlsi=JnOMJeH988KOqpXq

  • @IsayaMtuli-ln9jx
    @IsayaMtuli-ln9jx Рік тому +1

    Naomba kujua mtaji wa kilimo panshen heka mbili niwe na koasi gamo

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  Рік тому

      Karibu AJE-FARMS
      Ifuatayo ni budget ya kilimo Cha pasheni kwa ekari moja:-
      Miche 1000 @ 700/=
      Kusafisha na kulima shamba ekari 1 @500,000/=
      Upandaji Miche 1000 @ 200/=
      Mbolea ya samadi tan 10 @50,000
      Chanja ekari 1 @1,500,000
      Utunzaji shamba (palizi , pruning nk) ekari 1 @100,000/= kila mwezi.
      Ili kuendelea kujifunza zaidi SUBSCRIBE na BONYEZA KENGELE ILI UWEZE KUONA VIDEO NYINGINE tutakazoupload hapa kila wakati.

  • @rweikizadaniel8394
    @rweikizadaniel8394 6 місяців тому +1

    Nahitaji kitabu cha passion

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  6 місяців тому

      Bila shaka tumewasiliana kwa WhatsApp muda si mrefu.
      Tafadhali SUBSCRIBE ili kuendelea kujifunza zaidi juu ya kilimo na ufugaji.

  • @munasaidi614
    @munasaidi614 4 роки тому +1

    Wajuwa ku fundisha sanaa hongera

  • @fidenofficial3710
    @fidenofficial3710 2 роки тому +1

    My video its best it's one of video have more views

  • @manjoriwakunesa7006
    @manjoriwakunesa7006 3 роки тому +1

    Naweza kuata miche niko Dar

  • @verimundamorro2161
    @verimundamorro2161 Рік тому +1

    Mapensheni yangu yananyauka ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani

  • @simionndihabi44
    @simionndihabi44 3 роки тому +1

    Nahitaji miche ya Passion

  • @jisrainomwa4015
    @jisrainomwa4015 6 місяців тому +1

    Shida pasheni Zina uwa alidhi Yani

  • @obedihalinga925
    @obedihalinga925 5 років тому +1

    good

  • @galumabdul3822
    @galumabdul3822 2 роки тому +2

    hujazungumzia chochote kuhusu maji mwanzo hadi mwisho mpaka kuvuna au haihitaji maji kwa kiwango chochote ni kupata jua tu?

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  2 роки тому

      Kwa maeneo mengi ambayo yana unyevunyevu wa kutosha hakuna haja ya kumwagilia na baadhi ya maeneo yenye mvua chache lazima pawe na njia ya umwagiliaji kipindi tu cha kiangazi. Fuatilia vyetu vingine ili kujifunza zaidi.

  • @johnjhon4192
    @johnjhon4192 4 роки тому +1

    Nataka miche je inapatikana, ni kiasi gani unauza, niko Darje I Naweza kunifikia Ikiwa salama.
    Ningeitaji mwezi huu hata week ijao.
    Je inawezekana.
    Hadi inifikie Dar

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 роки тому

      Miche ya pesheni ipo .Kwa Dar es salaam inakufikia bila shida .Kila mche ni 500/= kuanzia miche 1000 (hii ni pamoja na gharama ya usafirishaji).Ukiagiza miche chini ya 1000 bei ni 700/= kila mwezi.
      Kwa ufafanuzi tupigie simu :0757757968.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 роки тому +1

      Na TAFADHALI SUBSCRIBE HAPA ili usikose kupata taarifa kwa wakati.

    • @johnjhon4192
      @johnjhon4192 4 роки тому +1

      Nilioda miche kwenu mbona ilikuwa midogo sana, yaani si mrefu, je itakuwa kweli.
      Nilifikiri itakuwa hatafuti moja na nusu urefu wake ili kuipa huhakika WA kukua.

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 роки тому

      Kwanza naomba ujue miche tunaipanda shambani kuanzia inapokua na majani ngazi 2 hadi tatu bila shida. Ukihitaji miche ya ngazi zaidi ya 3 itakubidi uweke order yako mapema iwezekanavyo ili kuiacha ikue kabla ya kukufikia. Miche kuanzia ngazi tatu itakuwepo kuanzia tarehe 25.6.2020.
      Ukihitaji yenye futi moja na zaidi itakubidi usubiri hadi tarehe 01.08.2020 .
      Tafadhali tujulishe chaguo lako kwa simu 0757757968.
      Kuhusu pasheni tunazo ; bei ni 1200/= kwa kilo (tunaweza kuzungumza 0757757968).Karibu.

    • @johnjhon4192
      @johnjhon4192 4 роки тому

      Okay nimeelewa next time, itabidi nieleze ya Saxe gani.
      Je pia mnayo Mbegu ya Mihogo aina ya NASE 14 hapo kwenu? Najuwa Uganda inapatikana.
      Nilitaka kama mnazo na ni kiasi gani kwa kigunia? ,

  • @catherinefaney948
    @catherinefaney948 2 роки тому +1

    Je Kwa robo heka ninahitaji Miche mingapi ya mipesheni?

  • @updatedrefreshment7205
    @updatedrefreshment7205 4 роки тому +2

    Unapotazama Elimu hii ya kilimo na mifugo na chakula cha mifugo kupitia UA-cam usisahau kusubcribe kwa kutap button nyekundu iliyoandikwa subscribe kama Mimi ili uendelee kupata muendelezo wa Elimu hii bure kabisa...ASANTENI.

  • @jimmysangawe4880
    @jimmysangawe4880 4 роки тому

    Nimesikia uweki mbolea, na kawaida shamba uwa linatofautiana rutuba, sasa utajua kuwa shamaba hili linafaa kwa kilimo cha pension

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 роки тому

      Kuna njia nyingi za kujua kama shamba lina rutuba nyingi au kidogo.Njia rahisi ni kwa kutazama uoto wa eneo hilo na kufanya vipimo vya udongo.
      KUJIFUNZA ZAIDI TAFADHALI JIUNGE NASI KATIKA SHAMBA DARASA KWA LINK HII:t.me/joinchat/PqKMBxmkx1vBE3cFsqBHMw

  • @zeyanaalharthy5049
    @zeyanaalharthy5049 3 роки тому +2

    nahitaji number ya wsup please

  • @mcraekahura7047
    @mcraekahura7047 4 роки тому +2

    miche elfu kumi kwa one acre! You are misleading people. You can plant a maximum of 800 seedlings in one acre

    • @aje-farmsmashambayanayotem7392
      @aje-farmsmashambayanayotem7392  4 роки тому +1

      It was a slip of the tongue! Watch other videos to understand. Sisi mashambani tunapanda miche 1000 katika ekari.