Ongrera Ibrahim kwa usujaa wakiume na ongera sana imani yako naujasiri wako ndoulimuokoa.. malaika mungu akulinde zaid na akupe nguvu ww na mkeo mungu pekee
Asalam alykum waallah matullah wabarakatu anko j mashallah Jaman simlizi inamajonzi sana nimelia sana jaman inamafunzo sana tunashukru anko j tunakupenda
Labda niseme tu Amen God heals 🙏 Mungu ana sikia maombi yetu na ana ponya tuombe bila kukoma tena kwahimani kubwa sana. ASANTE SANA MR. UNCLE J MAY GOD BLESS YOU FOR THIS LESSON THAT YOU DISAIDED TO RELEASE TO US.
Ibrahim, baba waimani umemwaibisha mtumishii wamungu wewe yeye hakuwa mwizi kama wakina Ibrahim wasasa, Mungu tunusuru vizazi vyetu nautuoe watu muimu kwajili ya maisha yetu
Ako j ninasiku ya tatu nafatilia simlizi hii machozi hûnibugujika kila siku kweli ww ni mwisho nikipaji ulicho jaliwa na mungu sitochoka kufatilia simlizi zako
Amazing 👏 Anko.s.mix as a family, we are great always hizi hadithi za kuelimisha sana, tuwe n imani kwa Mungu n tujaribu kutenda n kuwapenda wenzetu, kwani kufanya hivi tukumbuke pia yale tufanyavyo hutufuata hata km n muda
😭😭mbon naria sana siku zote mungu nimwema hii simulizi imenifanya nisifany kazi nakulala sikulala nimeisikiliza kwamasaa mengi sana ila zuli nanye mafuzo kubwo😊
Jmn hii simulizi si imeniliza especially kwa Sarafina,,angle na Ibra 😭😭😭😭 ila yote tisa Kumi andiko hapo limetimia kwamba hata ukiwa na Imani chembe cha haradali utaamuru mkuyu ung'oke na upandwe baharini,,,kweli Malaika alikuwa mfu na sasa amerudi kwa walo Hai... mbarikiwe sana wana smix media na mtunzi wetu bomba bila kumsahau msimuliaji wetu Anko Jay
Wow hongera Kwa simulizi hilo nimenitoa majinzi na pia limenifudisha kumuamini MUNGU bila kukata tamaa thanks 🙏 ila nilidubiri kuona kama hangelipenda kukuona yanya yake uko Kwa kina Bibi bt jmn ni fundisho tosha thanks ANKO jey
atleast mwisho umekuwa mwema. Shukran za dhati kwa crew nzima ya Simulizi Mix Mwandishi na msimuliaji Anko Jay thanx alot tuemjifunza, tukaelimika na tukaburudika.
True love never dies 😢😢 I proud of you Ibrahim
Ongrera Ibrahim kwa usujaa wakiume na ongera sana imani yako naujasiri wako ndoulimuokoa.. malaika mungu akulinde zaid na akupe nguvu ww na mkeo mungu pekee
Asalam alykum waallah matullah wabarakatu anko j mashallah
Jaman simlizi inamajonzi sana nimelia sana jaman inamafunzo sana tunashukru anko j tunakupenda
😂😂😂 nimecheka sana wallah anko j ww unafurahisha kwel nafarijika nikisikiliza simulizi zako nakupenda bureee piga like kama zote ❤❤❤❤
Anko j simulizi zako nzuli😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Labda niseme tu Amen God heals 🙏 Mungu ana sikia maombi yetu na ana ponya tuombe bila kukoma tena kwahimani kubwa sana. ASANTE SANA MR. UNCLE J MAY GOD BLESS YOU FOR THIS LESSON THAT YOU DISAIDED TO RELEASE TO US.
Aiiiii jay upande wakusifia pia upo poa silali ❤❤
I love this guy “ Anko Jay”
Mmhh jamn siwez kuvumilia kiukwel 😭😭😭😭😭😭mara hii ANKO JAY hii simuliz inasikitisha n sana na inaliza naumia roho yang 😭😭😭
Asante sana my brother from another mother
hakika nimelia sana pole kwa matatizo mungu yupo
Mungu hujimbu kwa wakati asate sana simlizi mix ako j
😭😭🥰🥰 mungu muweza wayote tuskate tamaa
Asante sana. Anko tumejifuna mengu. Mungu awape Barak zaldi
Yaani anko j umetuzoesha vibaya ukisiiliza simulizi zingine hata zikiwa nzuri unaziona mbaya
Inauma mno, nyinyi wanaume😢😢😢 mungu anawaona.
Yaaan anko j ww ni kiboko kila sauti unaijua daaah,wacha niendelee kuickiliza🔥🔥
Amejaliwa kiukweli
I was in class listening to this story and I was crying like somebody just died 😭😭😭 thank u mr jay 😭
Ibrahim, baba waimani umemwaibisha mtumishii wamungu wewe yeye hakuwa mwizi kama wakina Ibrahim wasasa, Mungu tunusuru vizazi vyetu nautuoe watu muimu kwajili ya maisha yetu
Simulizi nzuri sana inasisimua na kusikitisha pia 😢 😭wallah ila ankoJ kwa kujisifu hatari yaani😁😘
Ako j ninasiku ya tatu nafatilia simlizi hii machozi hûnibugujika kila siku kweli ww ni mwisho nikipaji ulicho jaliwa na mungu sitochoka kufatilia simlizi zako
Hatar saaana kwa kujisifia jamn
@@shabanmbalikila1406 ameuvaa uhalisia kwa wahusika sana
Hata mm sipendi kusifiwa nisifiwe kwa lipi sina umbo sina sura alhamdhulilah maisha safi kwaku ngangana mungu hakunyimi vyote Alhamdhulilah
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 jamani mpaka nmelia visivyo kawaida simulizi inasisimua sana daaah jaman wanaume walaaniwe
OMG BEST OF JANUARY 2023🔥🔥🔥🔥🔥🎉🎉🎉🎉 MARVELOUS ANKO JAY.
Woow! I'm no.1 thanks Smix kwa kibao chengine 🙏🏻
Waaooooooh👍
Daah 😭😭😭inahuzunisha Sana aiseee, lkn nashukur mwisho umekua mzur, inna'llah maa'swabiriyna
Hiiii simulizi tam balaaaa duh anko jay kwa usimuliaji umetisha mnooo
😂😂😂😂😂anko jay kwa kujisifu hatari❤❤😂😂😂
Inaumiza sana 😢😢 I feel hurt 😞 in my heart ♥️
So painfully inaliza sanaaa jaman ila imani tu itasaidia kwetu wanadamu !!😭😭😭😭 Ila huyu devid hafai kabisaaa!!
Jamn Leo tunasikiliza ktu chengine kinacho itwa NAUMIA NA MATESO ANKO TUPO PAMOJA NA POPOTE TUPO ❤️HERI YA MWAKA MPYA 🌹🌹🌹🌹🌹
Asante sana Anko J kwa simlizi nzuri tamu na yenye mafunzo Mungu aendelee kukubariki ww na mtunzi wa simlizi hii
Ukiwa na imani ktk Mungu yote yanawezekana
❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤ simulizi nzuri kabisa
Jamani dunia hii, tu ishi tu kwaimani nakumtegemea mungu maana yy hashindwi na lolote, anko asante kwa simulizi nzuri
Wanfki wapo nawawkel wapo
Amazing 👏 Anko.s.mix as a family, we are great always hizi hadithi za kuelimisha sana, tuwe n imani kwa Mungu n tujaribu kutenda n kuwapenda wenzetu, kwani kufanya hivi tukumbuke pia yale tufanyavyo hutufuata hata km n muda
Anko jay unajua kutuliwaza wajane badala tufe na stress tunakusikiliza simu nzur mungu akupe afya anko jay 🥰🥰
😀😀😀
💯 your right dear 💕💞🥰🥰
😂 😂 😂
Wow salutes kwa mtunzi na msimuliaji wetu
😭😭mbon naria sana siku zote mungu nimwema hii simulizi imenifanya nisifany kazi nakulala sikulala nimeisikiliza kwamasaa mengi sana ila zuli nanye mafuzo kubwo😊
Hembu tumkumbuke mungu Kila mara
😢😢😢 masikini jaman Mungu atuhifadhi na watoto wetu inauma sana nashindwa kustahimili 😢😢😢😢😢
Anko j you are the finest bro...hapa Nairobi nipo na wewe
😭
Aaaaswa
I’m so weak 😭l can’t stop crying
Pole Love you
Nakupenda bure anko j
Jmn hii simulizi si imeniliza especially kwa Sarafina,,angle na Ibra 😭😭😭😭 ila yote tisa Kumi andiko hapo limetimia kwamba hata ukiwa na Imani chembe cha haradali utaamuru mkuyu ung'oke na upandwe baharini,,,kweli Malaika alikuwa mfu na sasa amerudi kwa walo Hai... mbarikiwe sana wana smix media na mtunzi wetu bomba bila kumsahau msimuliaji wetu Anko Jay
Inahuzunisha sana lkn tumepata mafunźo mungu utenda na wakati wake na tukiwa na imani kama malaika kwa kweli tutashinda 🙏🙏
Wow hongera Kwa simulizi hilo nimenitoa majinzi na pia limenifudisha kumuamini MUNGU bila kukata tamaa thanks 🙏 ila nilidubiri kuona kama hangelipenda kukuona yanya yake uko Kwa kina Bibi bt jmn ni fundisho tosha thanks ANKO jey
Anko j tunakupenda buuree!!!!asante smix
Nice story japo inaumiza sana
Sio kwa simulizi hii
Nimeuzunika sana
Napenda sana simulizi zako anko j nasijajua km kwenu wee ni tajiri😂😂😂😂
Smart.sna❤❤.anko.jey
aah noma San anko j 😍🔥
kweli yamungu ni mengi imani yako ndio itakayokuponya na siku zote hakuna anaejua kesho yake,na kingine wema ni akiba tujitahid kutenda mema
Hakika kweny hii Dunia Kuna mambo mengin xana ya kuumiza daaaah
Nzur sana jaman😘
Anko jay hongera sana unajuwa kutuliwaza❤️❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰🥰
Sisi wajane 😀😀😀
atleast mwisho umekuwa mwema. Shukran za dhati kwa crew nzima ya Simulizi Mix Mwandishi na msimuliaji Anko Jay thanx alot tuemjifunza, tukaelimika na tukaburudika.
😂😂😂 hata cjamaliza ila anko j unafurahisha kwel nafarijika nikisikiliza simulizi zako nakupenda bureee piga like kama zote
Thank you uncle J
Wee kwali kuna mungu
Pongezi kwa Abraham,,simuliz nzuri anko j,,,
Imenikumbusha mengi mno imani natumaini ni sila tosha
This Restory is harts
Napenda Sana saut yako anko jay
Ila we anko jay jmn mbona me sipendi kusifiwa 😂😂,, najikuta nakukubali sana broh akitoka fm ni ww aisee nafurahia story zako ❤️❤️🥰
Bg ❤ from 🇰🇪
So sad ancle j but when some body believes God anything possible so so nice stroy been bless ancle. J wonderful one 💗💗💗
Shukran sana sana
Asante sana anko Jay
🔥 🔥
ancojey mapesa😂😂 yaani nakupenda
🤣🤣
Duuh inaumizaa Sanaa😿😿
😢😢 imenigusa sana
Simulizi nzuri Sana tente mafunzo Mungu oekee ndie dactari mkuu
Simulizi nxuri na yenye mafunzo
Jamani anko j nakupenda bule duuh mungu akutunzee
Khee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 💃💃 Ankojay assante sana brother 🙌🙌🙌
Yuo too mwaya
Ndio naanza ivoo ntarudi ku comment Like nyingi kwa Anko Jay💛❤💚 ana kiti chake mbinguni jaman.
Haki ukiwa na Imani utashinda hii story dhaaah imeniliza sana
LOUl
@@adijampoyo2154rrrrrrr😊rrrrr😊😊r ta rrrr😊rrrrr😊 WA 0c c to
Dah hii stor inaumiza sana
😢😢😢😢😢Inaumiza sana
Wewe Anko J umezidi sana kujipa masifa
Wanaume muwe na mapenzi ya kweli kama Ibrahim
Anko j tunakupenda
Miaka sapa ni kitogo sanaa,,,pole sana malaika...
Dah machozi yamenitoka moyo umeniuma sana mateso alopitia malaika kweli kwa mungu hakuna linaloshindikana tuwe na imani tuu
Mimi sitaki kusi fiwa
To be continued ❤👍👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Anko J blessings,be blessed
Daaaah,,,hi picha ina huzuni mpaka basi
Nimelia ,nikalia tena jomoni Asante mjomba J oooh
Anko mwenyew
Nice story
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Pole sana malaika wajina wangu nimeumia sana
Anko j mm sipendi kusifiwa kwa sababu wanaume waongo sana mtafika mbinguni mmechoka
Asante anko jay simliz inahuzunisha😭😭😭
Ninyi wanaume Mungu awahurumie
Ee mungu 😭😭😭
Oooohhhh my God so heart story l m so crying 😭😭😭😭 l m so sorry sarafina
Hii yaleo noma waeza mwayamchoz but tunajfunza
Inaumiza Sana Anko J
Story inahuzunisha sana
❤❤❤❤❤❤
Simulizi inaumiza sana hii waaah
IN GOD WE TRUST🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jamaniiiii😢😢😢😢😢
Asant sanaaa