Diamond brother naomba nikwambie kitu kimoja ambacho nimekiona kwa watanzania ,unathamani kubwa pia wanautambua mchango wako kwa vjna wenzako amahakika mungu akupe hekima kubwa nauendelee kuwaheshimu ili nao wakupe sapoti ya ukweli hakika mungu ni kwema .Hongera vany kwa mafanikio endelea kupambana kaka tuko wrote tunakuombea sio kwa sasa ni mwana mbeya mwenzangu hapana ila nimefurahi kwa uthubutu wako mdogo wa mbeya.Hongera MoNDI kwakuwasapoti vijana mungu akuweke kaka.
hongera sana kwa wcb kwa kuitangaza tanzania ila huo umati wote wa vijana wachapa kazi unatokea wapi siku kama ya leo ya kazi ina maana ajira bongo bado ni tatizo siamini kama wote hao wamejiajiri kama amabavyo watu wanaweza kutetea. but all in all big up to diamond and wcb
Innalilah wainna ilayhi rajiuni binadamu anapokelewa km mungu TN Ni mjomba mziki mfuasi WA shetani tubu illah tawbata nnasuha yarabbi tuongoze katika njia iliyo nyooka co ya Wale waliopotea
Angalia sign au alama anazo onyesha ,utagundua ni mtu wa iman gani mtu alie amin ni yule ajuae yupo mungu na anajua ipo siku ya malipo na atahukumiwa kwa matendo yake.......ndugu zangu kwa iman yangu ni kwamba kila kinachotumia ala( music instrument) niharamu ivo wapo wengine wanazan wanamusic ni hawa tu laahasha hata wewe unae piga zumari na kuimba kaswida umo kwan kuna wanao diriki kuimba au kusikiliza taarabu na kuwa nyooshea kidole wale waibao lizonge kama wcb.TAFAKARI NA MRUDIE MUUMBA WAKO
watu mtasema mengine na kujiuza kwa nini diamond platnumz na Alikiba hawajachukuwa tuzo ya BET na rayvanny kachukuwa? msijiulize mengi ila kwanza ushindi umengia ndani ya nyumba WCB. hongera sana Rayvanny na wasani wengine Mzidi kujitaidi ili kuhimarisha mziki tanzania na Afrika nzima. ngonga Like bila bifu yoyote.
Kweli simba hazai nyati... Huzaa simbaaaaaaaa... Hongera zenu sana kwa jitihada zenu za kuzidi kuendeleza tasinia hii ya bongo flavor... Wakali ktk hizi kazi WCB forever
Mm naishi hapa kenya but kiukweli.. sijawahi ona msanii wakenya akikubalika na mashabiki wa nchini hapa kaaa hapo nyumbani Tanzania... huku msanii mkubwa wapishana nae njiani.. kawaida kaa mtu wa kawaida.... Ss tunajua bila ss mashabiki hakuna Darasa. hakuna Alikiba..hakuna Ney wamitego... hakuna Simbaaa... yaaaani... kwa kifupi nchi nyingi zinaramani kuwa kaaa Tanzania... na wasaniii wengi wanatamani wangekuwa watanzania.... Mfano mzuri mm juzi kati nimepishana na Prezzo ktk Supermarket flan hapa kenya.... cha ajabu ni msaniii mkubwa bt nikaaa sio msaniii juuu apewi heshima yake.... Big up Tanzania
Keep on doing whatever u are doing nura and clement, this is tanzania and not kenya, remember, through we are neighbours but every country has its own culture, and that is our culture to show love to each other, so u can't force us to do the way u are doing, and stop underrating us if we have nothing to do, by the way u are not feeding us.
i love the way Tanzanians love and uplift each other unlike Kenyans who hate on each other and pull each other down due to jealousy. Tanzania will go far with their kind of respect. Developed countries too appreciate their entertainers. Kenyans will tarnish them and insult them. Today we have no musicians in Kenya. Wyre tried his best but nobody appreciates. Same to Amelina and Sudi. Prezzo was more appreciated in TZ than in Kenya. We cannot develop like that. Wivu tuwache!
Esther Nyokabi woi while they are busy not being creative to get alternative meals, Tanzanians are using music to attract tourists. Tanzanians don't show the outside world their failures. They cover their challenges with their strengths. They have better unga ya ugali by the way. I wonder why nobody imported unga from TZ.
That's Tanzania and you are welcome to visit or move there if you like it. I'm assuming you're from the US? Don't be blinded by American media that garnishes Africa's image at every opportunity. There is so much love, peace and harmony in majority of African countries so don't waste time and pack your bags. Bring friends and family too.
Oh trust me I don't worry about what America says which is why like I said I can't wait to move to Africa. I did my ancestry dna test my maternal haplogroup L3f1b1 which means my oldest grandmother on my mother's side was from Chad and moved around during the migration until they settled in Nigeria and came over via the Atlantic Slave Trade...I wasn't born in Africa but Africa was born in me as they say and I see it every single day of my 42 yr old life...and I wish African Americans and Africans had a better relationship because we are your sisters and brothers or cousins and children of Mother Africa. We have been divided for too long and we need to come together and come up. I have children all grown but one who will be 18 next year and they know my decision to move some has agreed to come with me some has chose to stay and visit from time to time...which is cool because I plan to come back and forth as well but when I die, I will transfer over to the ancestors in Africa or my soul will not rest...my heart, my soul, my mind, and my body belongs to the soil of Africa and that's where I'll be...it's nice to meet you stay in touch...and I manage the Nigerian artist Tipsy Kelvano from Enugu, Nigeria we should also network if possible. My whatsapp is +12164061199
Followed from Washington...yenyewe Rayvanny uko juu..was sooo happy though am a Kenyan. Hongera Tanzania
Diamond brother naomba nikwambie kitu kimoja ambacho nimekiona kwa watanzania ,unathamani kubwa pia wanautambua mchango wako kwa vjna wenzako amahakika mungu akupe hekima kubwa nauendelee kuwaheshimu ili nao wakupe sapoti ya ukweli hakika mungu ni kwema .Hongera vany kwa mafanikio endelea kupambana kaka tuko wrote tunakuombea sio kwa sasa ni mwana mbeya mwenzangu hapana ila nimefurahi kwa uthubutu wako mdogo wa mbeya.Hongera MoNDI kwakuwasapoti vijana mungu akuweke kaka.
Mwigane Mwakajinga fact
hongera sana kwa wcb kwa kuitangaza tanzania ila huo umati wote wa vijana wachapa kazi unatokea wapi siku kama ya leo ya kazi ina maana ajira bongo bado ni tatizo siamini kama wote hao wamejiajiri kama amabavyo watu wanaweza kutetea. but all in all big up to diamond and wcb
kama unaikubali WCB weka like za Vanny boy hapa
duuuu wabongo ila Mimi nawaombea tu mungu maaana siomakosa yeno
wcb nimnyama gani? fanyakazi wacha mambo ya wcb munapenda starehe tuuu niakina nani hawa duuuu
duuuu nini tena?
Abdul Kharim 😃😂😂😂😂
Abdul Kharim acha ujinga ndio umeaka nn rudi kitandani pliz😂😂😂😂😂
watanzania u r highly favoured wen it kams to music..hamna wivu kama wakenya wenzetu...kudos to rayvanny..
ukweli tupu
Please Diamond give Ray his gift to carry ....bless him Ray you are talented
so kwaupokeaji huo hongera san ravany kwa kuleta heshima wcb na bongo nzima😍😍😍
rayvany nouma
congrats ray vanny n wcb at large for da NYC music
SIMBA Leo ameingia mataaani dah noma #teamkiba Semeni Siimba Siimba Siimba
polisi anauliza raisi nini raiya wana mjibu simbaa ni mecheka sana nnapenda daimond sana ana roho safi
Eti Rais huyoo.....!!!! Police anauliza raisi nani? Wanamjibu Simba.
Hahahaaaaaaa
Happy Salehe 😂😂😂😂😂
Happy Salehe hahahaha. i heard it also
Happy Salehe 😂😂😂😂nmependa hyo part sana
simba nani😅😅😅😅...Lion I say
Happy Salehe Hahaaaa
Kumbe magufuli si rais tena...@diamond umechanganyisha mashabiki wako wa tanzania sana...Vannyboy hongera kwako
Liz Achieng 😂😂😂😂😂
Hassanova junior sasa kama hao ni wanamuziki yet inakaa rally ya politicians...Hehee love it
Kenyans sijui kutakuwa hivi lini 😂
Innalilah wainna ilayhi rajiuni binadamu anapokelewa km mungu TN Ni mjomba mziki mfuasi WA shetani tubu illah tawbata nnasuha yarabbi tuongoze katika njia iliyo nyooka co ya Wale waliopotea
ali albusaidi ndio maisha ya kisasa eti,Allah hukumbukwa mwisho
Angalia sign au alama anazo onyesha ,utagundua ni mtu wa iman gani mtu alie amin ni yule ajuae yupo mungu na anajua ipo siku ya malipo na atahukumiwa kwa matendo yake.......ndugu zangu kwa iman yangu ni kwamba kila kinachotumia ala( music instrument) niharamu ivo wapo wengine wanazan wanamusic ni hawa tu laahasha hata wewe unae piga zumari na kuimba kaswida umo kwan kuna wanao diriki kuimba au kusikiliza taarabu na kuwa nyooshea kidole wale waibao lizonge kama wcb.TAFAKARI NA MRUDIE MUUMBA WAKO
van we noumaaaa yani i appreciate ya men unaweza wewe haubahatishi sio wa sportsport....... washakuelewa yaaaani penda sana wewe ..... 100%......
I'm a simple man!
I see Diamond, I click.
Gonga _LIKE_ hapa bila sababu yoyote!
I luv u so much
Christine Arela ❤❤
can I get ur no plz
Lol
Chakustaajabisha TV plz plz am serious
Well-done @Rayvanny, Good work @DiamondPlatnums, Congratulations WCB for a great job done. #EastAfrica we are proud of you all. God bless EastAfrica!
watu mtasema mengine na kujiuza kwa nini diamond platnumz na Alikiba hawajachukuwa tuzo ya BET na rayvanny kachukuwa? msijiulize mengi ila kwanza ushindi umengia ndani ya nyumba WCB.
hongera sana Rayvanny
na wasani wengine Mzidi kujitaidi ili kuhimarisha mziki tanzania na Afrika nzima.
ngonga Like bila bifu yoyote.
ELONGO LUSAMBYA 🙆🙆
Kweli simba hazai nyati... Huzaa simbaaaaaaaa... Hongera zenu sana kwa jitihada zenu za kuzidi kuendeleza tasinia hii ya bongo flavor... Wakali ktk hizi kazi WCB forever
wakenya tusiachwe kama wewe unamkubali vanny boy piga like hapa
Emmanuel boss mimi ni team vanny huyu simba sijawaimpenda
+Sonia Limo bila huyo cmba ucngemjua our vanny
Sonia Limo asingekua simba vanny hangefikia apo alipo
wooooooooo this guy's are very supportive
big vanny boy
Baraka tele kwako
baba tee Baraka kwa kukuza talanta
she is so beuty girl
Hongera xna Vanboy nawakubali xan I'M LAIZER
mungu awajalie msonge mbele safi kwakuitangaza Tanzania
that kafeeling 😍😍😍😍
Hongera WCB, hongera rayyvan boy
Kijana amechukua BET mbele ya Diamond na Kiba!Hongera sana Ray Vanny
inapendeza
Atari sana
duu huyu dogo mkali yaani hata boss wake diamond kamshinda na mpinzani wao mkuu Ali Kiba ...well up dogo ...well up WCB
yaan mpaka nimelia kwa furaha hongera sana Ray and Tanzania kwa ujumla,mi ni mtz naishi USA
Grace Mushi unaishi state gan
Beintehaa
Yah!!!! Ze real president
hongera sana rayvanny with simba chibu love you anly
Daaa hadi nmelia kwa furaha 😘😘😘😘😘😘
kazi nzuri..Hongera sana
hongera kwenu W.c.b
Hongera sana wcb
wasafiii..simba be blessed
Big up from uganda
if only Kenyan can be supportive like this
😂😂😂😂
mkali wao #🐆🐆🐆...mnyama pongezi kaka
Tz wanaupendo jamani👌👌👌
kwli kwli wanatisha
wasafi mko juu tu sanaaaaa
Lol hongera Sana wa Tz hii love mlionao kwa wanamziki wenu hapa kwetu Kenya ni Ndoto 😔
hongera rayvan
I love this guy
Noma sana
harmonize hapa haonekani mwenye furaha
Kweri nime ona ata mimi
Utakubaliana na mm kuwa mashabiki wa muziki wa kitanzania tunamchango mkubwa kwa kukuza majina ya wasaniii wetu kimataifa
Mcharo Peace saana support yetu ni kila kitu
Mm naishi hapa kenya but kiukweli.. sijawahi ona msanii wakenya akikubalika na mashabiki wa nchini hapa kaaa hapo nyumbani Tanzania... huku msanii mkubwa wapishana nae njiani.. kawaida kaa mtu wa kawaida.... Ss tunajua bila ss mashabiki hakuna Darasa. hakuna Alikiba..hakuna Ney wamitego... hakuna Simbaaa... yaaaani... kwa kifupi nchi nyingi zinaramani kuwa kaaa Tanzania... na wasaniii wengi wanatamani wangekuwa watanzania.... Mfano mzuri mm juzi kati nimepishana na Prezzo ktk Supermarket flan hapa kenya.... cha ajabu ni msaniii mkubwa bt nikaaa sio msaniii juuu apewi heshima yake.... Big up Tanzania
Mcharo Peace umeona eeee watanzania kiukwel tunapenda sana wasanii wetu hasa waofanya vitu vikubwa tena vzr
haha hio kali rais nani heti simbaaaaaa Amazing
Dah!!! Tz mna upendo Kweli 👍👊✌️👏🙌
IKO POUWA SANA CONGRATULATION DOGO VANNY LKN USIANZE KULEWA SIFA
Raisi Simbaaaa huyooooo
Hata queen Darlene soon atachukua maana hawiki urembo kazini all the best WCB
mashabiki wanasema Simba polisi yupo wapi haaaaaa
kama unamkubali vanny boy kwa asilimia mia moja weka like hapa ata naye afurahi
yuko vzr vanny boy
Loi Bigirimana d
unatosha
Rayvanny penda sana ww💖💖💖
king sana ranyvan sana tu
Ahsante kwa ushindi wa wcb
simbaaaaaaaaaaaaaaaaasa Yani ni fireeee 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥
KIZA BLACK sahkmn
Keep on doing whatever u are doing nura and clement, this is tanzania and not kenya, remember, through we are neighbours but every country has its own culture, and that is our culture to show love to each other, so u can't force us to do the way u are doing, and stop underrating us if we have nothing to do, by the way u are not feeding us.
asanteni kwa kutupatia ushindi
Musa Moe wabongo bwana
simbaaaaaaa
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tuji kutoka good time
sio poa BET rayvanny umetisha bigup
Just loving tz all the bst boy
Still here. Pure love. ❤️🔥🔥🔥
+254 wapi likes za Vanny boy
kweli kabisa simba kazaa mtoto
i love the way Tanzanians love and uplift each other unlike Kenyans who hate on each other and pull each other down due to jealousy. Tanzania will go far with their kind of respect. Developed countries too appreciate their entertainers. Kenyans will tarnish them and insult them. Today we have no musicians in Kenya. Wyre tried his best but nobody appreciates. Same to Amelina and Sudi. Prezzo was more appreciated in TZ than in Kenya. We cannot develop like that. Wivu tuwache!
Ola Ola Kenyans got no time for this ni unga ama muziki 😂😂😂.
Esther Nyokabi woi while they are busy not being creative to get alternative meals, Tanzanians are using music to attract tourists. Tanzanians don't show the outside world their failures. They cover their challenges with their strengths. They have better unga ya ugali by the way. I wonder why nobody imported unga from TZ.
where is my Kenya Fam?
DVJ IVORY tuko ndani
noma sna ... +sharlin Anyanje ....
DVJ IVORY noma sana
DVJ IVORY
Tuko ndani na si tafadhali, hii ni ngori
DVJ IVORY hapa hapa
kaka mind iam fans for you
ilike this...+254
ongera xana vany boy
Nimejifunza kitu.Yaani Nasib ana uhuru binafsi Tz,kuliko viongozi wa UKAWA.
It's so sad the facts that Rayvanny and harmonize are not in good condition its the battle right now 😭😭😭😭
simba hiyo jina inasound unsounding ajiite tu platnumz ......kama king kibaaaaa yooooo
no 1 to view
namkubali kinoma noma
congrats rayvanny
Hongera sana
where is this? I can't wait to move to Africa
That's Tanzania and you are welcome to visit or move there if you like it. I'm assuming you're from the US? Don't be blinded by American media that garnishes Africa's image at every opportunity. There is so much love, peace and harmony in majority of African countries so don't waste time and pack your bags. Bring friends and family too.
Oh trust me I don't worry about what America says which is why like I said I can't wait to move to Africa. I did my ancestry dna test my maternal haplogroup L3f1b1 which means my oldest grandmother on my mother's side was from Chad and moved around during the migration until they settled in Nigeria and came over via the Atlantic Slave Trade...I wasn't born in Africa but Africa was born in me as they say and I see it every single day of my 42 yr old life...and I wish African Americans and Africans had a better relationship because we are your sisters and brothers or cousins and children of Mother Africa. We have been divided for too long and we need to come together and come up. I have children all grown but one who will be 18 next year and they know my decision to move some has agreed to come with me some has chose to stay and visit from time to time...which is cool because I plan to come back and forth as well but when I die, I will transfer over to the ancestors in Africa or my soul will not rest...my heart, my soul, my mind, and my body belongs to the soil of Africa and that's where I'll be...it's nice to meet you stay in touch...and I manage the Nigerian artist Tipsy Kelvano from Enugu, Nigeria we should also network if possible. My whatsapp is +12164061199
That's just great and inspiring to hear. I'll add you so we can communicate more.
ok cool
WCB IS THE BEST
💥💥💥💥✔✔
Yohana Tadei hongera sana vannyboy , big up to Diamond
eti rais huyooooooooo police oiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂
pamoja sana diamond
Yanga,yanga,yanga.......
jmn muongezeni v money apooo WCB maana akiwa hapo ataendana na nn WCB wanataka
💪💪💪👏👏👏💝💝💝
hongeren Saana
xx uyoo mweny africanboi yaan bongo km katoka na rayvanny us saah
ni shiiiiiidaaaaaaaaaa...duuuuuuuu
anyway congratulations wcb
jamani diamond mung akurehem tu aseee uishi milele so kwa kupendwa hivo daaa
RAIS NANI??
SIMBA SIMBA SIMBA ......
big up diamond
nakubali kundi zima la wcb oyooooooo
Huhuhuu oyooooo simbaaaaaaaaa
congratulations
harmonize looks jealous, take it easy bruh, Rayvanny is way far ahead
hata yy ana tuzo tatu
Me too, I c it
Weldone jamani
🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁SIMBA! SIMBA!😎😂😂😂😂
Sweerich 😂😂😂😂
Mhumble WaKjose 😂😂😂😂unafanya nn uku
😀😀😀😀khaaa
Alie muona masaliti weka like
Harmonize rohoo ilianza kumuuma zaman maskini
fire
Shwangwee 😆😆 Rayvan uyoo
Chibu Diii chibu deee
When you have a friend, colleague or a boss like Diamond them definitely that becomes one of your biggest blessings
awesome.. congrats to rayvee