Mungu awatunze sana Wapendwa wetu, Mwakyembe na Catherine kwa hatua zote mnazozifanya kuelimisha jamii na kupinga ushoga. Ahsante Yesu kwa Yesu Mungu yuko nanyi msiogope
Unakosea sana Mh. Mwakyembe kwa kurudi nyuma mpaka enzi Mwl. Nyerere, kizazi kilichopo sasa sio wengi wana ufahamu wa aliyoyafanya Nyerere mpaka wasome historia, Ila Ukirudi nyuma miaka 3, Utamkuta Mwamba JPM huyu hata ukimuuliza mtoto wa miaka saba wanamkumbuka!!! Huyu alisimama thabiti sana kuhakikisha kwamba hatuwaabudu hawa Wazungu na tamaduni zao za kishetani!!!
Alipoondoka Magufuli na watu wakaanza kimbia kwa wazungu na kuwaomba radhi kwa ubishi wa Magufuli na kujikomba sana kwa wazungu na kusema nchi imefunguka maana ilijifunga , na bado .
Kazi yenu ni njema sana thawabu yenu iko mbinguni,na kila madhabahu watakaeiendea kwaajili ya uharibifu DAMU YA YUSU IKAPANGUE.KILA KITU. KATIKA JINA LA YESU.
Hongera sana mwakyembe na huyo dada sasa basi kwa takwimu hizo mlizo zitoa cha kufanya sasa n kuwauwa wote wanao husika kwa vitendo hivyo vya kishetani
VIVA MH. MWAKYEMBE NA BI CATHERINE KWA KUWAAMSHA WATANZANIA WOTE KUHUSU NJAMA ZA WAZUNGU KULIANGAMIZA TAIFA LETU KWA USHOGA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI.
Alafu utasikia jitu linacoment eti anaongea kwa ukali, Kwanza inatakiwa awe na rungu ayabonde hayo mashetani, Ila ndo hivo vita yetu si katika damu na nyama, Mungu wasaidie kuokoa kizazi hiki, Mungu yu pamoja nanyi.
Mbona media zingine kimya kina millard ayo wamekaa wametulia tu This country🙌 Mungu atulindie vizaz vyetu tatizo gays/lesbians hadi viongoz wamo humo ndo maan kimy
ndio maana maandiko matakatifu yanasema hata mpinga kristo ata Kapo kua ame ingia sio wote watakao kubali kumu tumikia kazeni kwa nguvu zote Mungu yuko upande wetu🙏🙏🙏
Jamani!!! Mmh!!,walinzi wa YERUSALEM tumelala jamani,tulisinzia tukatekwa tukanyang'anywa silaha zetu,ambazo ni maombi,turudi Sasa mbele za Mungu wetu,tujinyenyekeshe mbele za Mungu tukinusuru hiki kizazi!!! Tumelala mno kanisa,tuamke basi!! Tusimame kwazamu zetu tuilinde hii nchi tuliyopewa na Mungu wetu,nahawa watu tuwaombee sana ,nami nasema baya lolote halitawakuta kwa jina la YESU KRISTO aliye hai milele na milele,AMINA
Yerurasalem hakuna mkiristo Kuna uyahadi ukiristo upo ulaya fikiria vizuri ww yesu hanauwezo wowote ukiomba dua muombe mungu sio yesu sio lolote sio chochote ni mtume km walivo watume wengine kuzaliwa bila baba usidanganyike mukamfanya mungu Adamu kaja duniani hana baba wa mama Hawa kaja duniani hana baba wala hamukuwaita waungu
Inasikitisha sana watumishi wamo kuzunguka kutafuta maji ya upako Sadaka za @ wakati bila mpangilio Tunaacha kuombea watoto wetu wanaharibiwa na hawa wapuuzi Wasiomjua Mungu Jamani kisa hela Ee Mungu turehemu
Ujumbe ufike kwa sauti na mamlaka ya jina la Yesu Krsisto.Neno la Mungu ni upanga toba isipofanyika katika hili watendaji wa hizi tabia muda si mrefu wataona nguvu za Mungu mwenye amri na Dunia yake.
Mnafanya vema mnoo na tunawaombea sana. Pia Ushauli wangu Mnapoongea Tengenezeni kusikilizana kukaa kwenye Mada Vzr itafaa sana Panglieni kila mmoja na Muda wake akimaliza aendelee mwingine mkiwa mnakatishana katishana Haikai vzr sana.
Ni kweli hatuwezi chochote bila Mungu, ila tatizo letu ni kumpinga haki ya Mungu na kukubaliana na haki za wanadamu. Hapo Mungu anatuacha maana tumekataa chini ya uchungaji wake mwema
Hao ndio wanafanya Taifa linakutwa na Majanga kila siku mara maporomoko ya matope mara mafuriko mara sijui mvua isombe watu.. mashirika ya kimataifa aya mengi sana yanatuletea usenge na usengenyaji
Lazima wakristo tuungane na tuache huu ujinga wa kila sku yanakuja madhehebu mapya,,kila dhehebu na mungu wake,,mala utaskia mungu wa TB joshua,,mara Mungu wa inuka uangaze,,mara Mungu wa ngomeni,,mara Mungu wa mzee wa upako,,sasa hapo ndo znaganyika siasa za kuleta mgawanyiko kwa wakristo,,,nashaur kuwe na umoja na chombo kimoja chenye nguvu cha kusimamia misingi ya biblia
1 Yohana 5 5 Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu? 14 Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. 15 Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba. ACHA TUMLINGANE MUNGU ,MUNGU AWABARIKI SANA NINYI MLIOAMUA KUWEKA MAMBO HAYA MAZITO HADHARANI ASANTENI SANA TUNAWAOMBEA YESU AWATUNZE. VITA SI VYETU NI VYA BWANA
Vita ni ushoga sio dini maana hakuna cha uislam wala ukristo hawa jamaa wanashughulikia yoyote na wewe popote ulipo unaweza kupambana tutakutana huko mbelee
We huna akili kabisa waarabu unako enda kuhiji sijui wanapenda nyuma kuliko nn ukienda zenji mmejaa nyie tabia hiyo imekubuu, ebu acha kuleta udini kwenye mambo ya msingi,
Serikari imekaa kimya kama haijui yanayo tendeka, yawezekana wakawa wame meza kitu. Siku zimekuwa mbaya mno ila Yesu bado anaweza. Kwanza watushi kama muliitwa na Mungu achana na mambo ya kukubaliwa misaada maana wajifanya wasaidizi kumbu tuna nunuliwa na misaada.
Hizi juhudi haziwezekani ni mpaka nchi hii itakapo amua kutengeneza sheria kali kama zile za uganda au Ghana na zifuatwe kama sheria nyingine. Na kukamata wote wanao jihusisha na hayo matendo. Vinginevyo tutaendelea kuongea sana.
Hizi mambo ukiona zimefikia hapa ujue Atakaye zikomesha zote ni ujio wa Bwana yesu tu. Kumbuka sodoma na Gomora ruthu alishindwa, Ndipo Mungu akashuka mwenyewe. Wakati wa Nuhu ivoivo, leo hii ni zamu yetu...!! Mungu atusaidie
Hii vita tusipoungana watanzania kwa pamoja tutachelewa sana kufika. Nina hakika kabisa tukikataa wote kwa pamoja hii inakoma kabisa. Nakuja nyuma yenu ndg zangu kwa nguvu sana
Yesu anakuja na hizi ni nyakati za mwisho,cha kuzingatia Sana wewe fanya wajibu wako na kusimama kwenye kusudi lake la kukuumba ili akija akute umefanya vzuri wajibu wako.
Binti yangu na mheshimiwa Mwakyembe damu ya Yesu iwafunike nimewapenda bure❤❤❤
Amina
Amina
Mungu awalinde kwa damu yake, damu ya Yesu ikawanenee mema siku zote.
Hata zisipokua kwenye media zingine lakini tumezipata na tutashare kwa ndugu na jamaa ili ujumbe ufike Asante Sana dk mwakyembe
Kwani serikali kukaa kimya kwatarifa hizi, Kama aishivo Mungu mkuu dam ya watoto wawatu wanao haribika itakua juu ya serikali hii, Amina.
Mungu awatunze sana Wapendwa wetu, Mwakyembe na Catherine kwa hatua zote mnazozifanya kuelimisha jamii na kupinga ushoga. Ahsante Yesu kwa Yesu Mungu yuko nanyi msiogope
Catherine pambana bila kurudi nyumba mungu akupambanie usitishike na vitisho vyovyote
Amina , Neno la Mungu likae kwa wingi ndani yetu .Lipate kutusaidia Amen
Ameni bwana yesu saidie maan nyakati hizi ni mbaya mno watumishi wa kweli semeni kweli wala msiogopi dunian tunapita
Dada Mungu akulinde na nakufunika Kwa Damu ya Yesu Christo pamoja na mzee wetu hapo Mungu akulinde Amen 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
BABA MUNGU
Mungu akubariki Sana kusaga kwakuripoti hizi habari naamini kama Mungu aishivo hii steshen yako itafika mbali sanaaaaaaaaaaa
Amen sana
Kusaga unanafasi yako mbinguni acha media zingine ziogope kuelimisha uma kuhusu janga hili la shetani
Hongera mtumishi wa mungu, wengine sio wa kweli wapo humo wanakuenjoy
Unakosea sana Mh. Mwakyembe kwa kurudi nyuma mpaka enzi Mwl. Nyerere, kizazi kilichopo sasa sio wengi wana ufahamu wa aliyoyafanya Nyerere mpaka wasome historia, Ila Ukirudi nyuma miaka 3, Utamkuta Mwamba JPM huyu hata ukimuuliza mtoto wa miaka saba wanamkumbuka!!!
Huyu alisimama thabiti sana kuhakikisha kwamba hatuwaabudu hawa Wazungu na tamaduni zao za kishetani!!!
Anakosea nini
Jaman haya mapambano mbona nayaona niyawawili tu kwa nn tusipigane wananchi wote
Alipoondoka Magufuli na watu wakaanza kimbia kwa wazungu na kuwaomba radhi kwa ubishi wa Magufuli na kujikomba sana kwa wazungu na kusema nchi imefunguka maana ilijifunga , na bado .
Ni wakati wa kusimama wewe na Mungu wako, hata katika Dini hakuna la maana kwa sasa
@@fahadfaraj6474 kweli eeee!!! Vijana wetu wataisha
@@edsonnelson4464 hakuna mtu wakutoka mbele na kulaani ushoga hadharani maana tutawauzi wazungu
Ameen backup yetu n watu waliosimama na kumtii mwenyezi Mungu muumba wa vyote,,maana naona viongozi wengi hawatoì tamko
Ashindwe pepo katika jina la yesu kristo
👏👏👏👏safi sana dada yangu na MUNGU akutie nguvu uendeleee kuwa na msimamo huo huo..
Kazi yenu ni njema sana thawabu yenu iko mbinguni,na kila madhabahu watakaeiendea kwaajili ya uharibifu DAMU YA YUSU IKAPANGUE.KILA KITU. KATIKA JINA LA YESU.
Hongera sana mwakyembe na huyo dada sasa basi kwa takwimu hizo mlizo zitoa cha kufanya sasa n kuwauwa wote wanao husika kwa vitendo hivyo vya kishetani
VIVA MH. MWAKYEMBE NA BI CATHERINE KWA KUWAAMSHA WATANZANIA WOTE KUHUSU NJAMA ZA WAZUNGU KULIANGAMIZA TAIFA LETU KWA USHOGA....MWENYEZI MUNGU MTUKUFU AWABARIKI.
Mungu akutunze dada yangu Catherine, hakika Yesu yuko pamoja nawewe, akika hawatakuweza
Alafu utasikia jitu linacoment eti anaongea kwa ukali, Kwanza inatakiwa awe na rungu ayabonde hayo mashetani, Ila ndo hivo vita yetu si katika damu na nyama, Mungu wasaidie kuokoa kizazi hiki, Mungu yu pamoja nanyi.
Kwa JINA LA YESU tunashinda zaidi ya kushinda kwake Yeye anayetupenda Amen.
Yeah...Yesu amekaribia sanaaa..Yuko mrangoni ...anakuja upesi sanaaa...huo ushoga ndio uliofanya sodoma na gomora vikachomwa mwoto..so tujiandae
Mwakiembe
Mungu azid kukubariki%
Mungu akulinde wewe dada
Mbarikiwe kwa Kazi njema mnayofanya, Mungu awabariki.
Mnafanya kazi nzuri Mungu awabariki
WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA...YESU KRISTO BWANA NDIE MSHINDI MILELE
We dada jeshi la Mbinguni likulinde milele yote, in Jesus mighty name.
Mbona media zingine kimya kina millard ayo wamekaa wametulia tu This country🙌 Mungu atulindie vizaz vyetu tatizo gays/lesbians hadi viongoz wamo humo ndo maan kimy
Nilikuwepo jamani niwaambie tu kuwa ishu ya Ushoga &ubasha &usagaji tusichukulie poa imeenea Sana Tanzania so tuungane kupambana
ndio maana maandiko matakatifu yanasema hata mpinga kristo ata Kapo kua ame ingia sio wote watakao kubali kumu tumikia kazeni kwa nguvu zote Mungu yuko upande wetu🙏🙏🙏
Dada unapambana sana ila wanakuskiliza kwa umakini wengine wapo umo umo kanisan mungu akuongoze njia iliyo nyoooka
Cathy endeleenyi mbele, MUNGU Yuko atawatia nguvu Kwa kuwa yeye ni muaminifu. Msirudini nyuma🙏💪👍🇰🇪
serikali inapaswa kuchukua hatua ya haraka sana
Mungu akubariki sana
Amina wapigwe kwa jina la yesu
Kwann tusivunje uhusiano na malekani
Jamani!!! Mmh!!,walinzi wa YERUSALEM tumelala jamani,tulisinzia tukatekwa tukanyang'anywa silaha zetu,ambazo ni maombi,turudi Sasa mbele za Mungu wetu,tujinyenyekeshe mbele za Mungu tukinusuru hiki kizazi!!! Tumelala mno kanisa,tuamke basi!! Tusimame kwazamu zetu tuilinde hii nchi tuliyopewa na Mungu wetu,nahawa watu tuwaombee sana ,nami nasema baya lolote halitawakuta kwa jina la YESU KRISTO aliye hai milele na milele,AMINA
Yerurasalem hakuna mkiristo Kuna uyahadi ukiristo upo ulaya fikiria vizuri ww yesu hanauwezo wowote ukiomba dua muombe mungu sio yesu sio lolote sio chochote ni mtume km walivo watume wengine kuzaliwa bila baba usidanganyike mukamfanya mungu
Adamu kaja duniani hana baba wa mama
Hawa kaja duniani hana baba wala hamukuwaita waungu
@@Bmsecret huwezi elewa tulia tu,
@@Bmsecretiyo ni imani yako huna mamlaka kumfanya mtu afuate imani yako wewe Yesu tunamjua wenye nae.
@@MartinKipenya yesu humjui ukiitambua bibilia ambaya haitambuliwei na yesu wala mungu I
Sio lazima ujibu..ujifunze kufunga kinywa, vingine vikupite@@Bmsecret
Jeshi kubwa jeshi la Yesu kristo
Mungu atusaidie na awasaidie watu wa Mungu kwa kutupambania wakristo!
Tutapataje kupona tusipo jari wokovu. Kukemea maovu yote kwa bidii. Amen
nyakati za mwisho
Respect kwenu viongozi wakuu piga vita na mabomu ya yukilia 👏🙏
Amina 🎉 cathelin kahabi ubalikiwe nimekuelewa Sana.
Amen MUNGU Awatunze fichua fichuaaaaaa iendelee In JESUS NAME
MUNGU AWABARIKI ULINZI WA KIUNGU UWE JUU YENU YESU KRISTO AWAPIGANIE SHALOOM SHALOOM
Mungu wa mbinguni awape mafunuo zaidi na ujasili mtalipwa na Mungu mwenyewe
Mungu awasaidie mwakyembe na dada,tupo pamoja kupinga hila za shetani
Amen ubalikiwe
Mungu awabariki Sana kwa kazi nzuri mnayofanya. Mungu awalinde
Mmefanya kazi kubwa sana lakin mbona serikali haiwapi support kwenye hili maana inaonyesha maisha ya Watanzania yapo hatarin kwenye hili swala
Amen
Inasikitisha sana watumishi wamo kuzunguka kutafuta maji ya upako
Sadaka za @ wakati bila mpangilio
Tunaacha kuombea watoto wetu wanaharibiwa na hawa wapuuzi
Wasiomjua Mungu
Jamani kisa hela Ee Mungu turehemu
Huyu dada ninampenda sana Mungu ambariki sana
Mungu awe upande wenu kwahili😢 mpaka Tanzania iwe safe side
Mungu awanusuru watoto wetu katika miteko ya shetani,Mungu wangu hawalunde kwa kazi zuri mnayo hifanya
Mungu hatokaa kimya
Natan sana kuwaidia hii vta
Amina, ujasiri wenu mhe na binti yetu uko juu.Naiona hasira ya Mungu juu ya binti yetu Catherine.Mungu awalinde na kuwatunza.
Tunajua Mungu ananguvu kuliko wao,lakini kuwaombea ni muhimu sana sana jamani.
Amen Amen Amen
Hayo mambo media zetu haziwez kuzipa airtime coz serikali na yenyewe inahofia kunyimwa misaada
Siyo TZ ni dunia nzima Agenda ya shetani
Hatumtaki misaaaada yao wapuuzi hao
Tayari serikali imepitisha
Nawaombea ninyi ni zaidi ya wachungaji wainjilisti na manabii .msiogope Mungu azidi kuwabariki
Mwakyembe Jo Malafyale,Kulondigwa ukuja nkulumba gwa kisu kyosa,
Naomba msaada hili sitalifumbia macho sitakubali watoto wetu waingie huko.
Wanajifunza wakati hauko nao ndo maana Watu wengi hupinga shule za boding pia hakuna watoto wanaohalibiwa kama watoto wa matajiri
Madanguro yako kwenye makazi ya raia watoto wanaangalia mambo yasiyofaa usiku sana
Ujumbe ufike kwa sauti na mamlaka ya jina la Yesu Krsisto.Neno la Mungu ni upanga toba isipofanyika katika hili watendaji wa hizi tabia muda si mrefu wataona nguvu za Mungu mwenye amri na Dunia yake.
Pastor Kathiren nampenda ana mume kweli kama hana naomba nimuoe❤
Duu mungu tusaidie
Hatariii
Noma sana
Mnafanya vema mnoo na tunawaombea sana. Pia Ushauli wangu Mnapoongea Tengenezeni kusikilizana kukaa kwenye Mada Vzr itafaa sana Panglieni kila mmoja na Muda wake akimaliza aendelee mwingine mkiwa mnakatishana katishana Haikai vzr sana.
Mung awabariki watumishi
Acha tu mungu atusaidie maana atuwezi chochote bila mungu ❤
Ni kweli hatuwezi chochote bila Mungu, ila tatizo letu ni kumpinga haki ya Mungu na kukubaliana na haki za wanadamu. Hapo Mungu anatuacha maana tumekataa chini ya uchungaji wake mwema
Yesu ni mwema atatulinda
Ameeeeeeen
Hao ndio wanafanya Taifa linakutwa na Majanga kila siku mara maporomoko ya matope mara mafuriko mara sijui mvua isombe watu.. mashirika ya kimataifa aya mengi sana yanatuletea usenge na usengenyaji
Lazima wakristo tuungane na tuache huu ujinga wa kila sku yanakuja madhehebu mapya,,kila dhehebu na mungu wake,,mala utaskia mungu wa TB joshua,,mara Mungu wa inuka uangaze,,mara Mungu wa ngomeni,,mara Mungu wa mzee wa upako,,sasa hapo ndo znaganyika siasa za kuleta mgawanyiko kwa wakristo,,,nashaur kuwe na umoja na chombo kimoja chenye nguvu cha kusimamia misingi ya biblia
Duu udukuzi huo hongeren kutufichulia
Kwakweli Mungu atutetee tuu hali ni mbayaaa sanaaa😭😭😭
1 Yohana 5
5 Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu?
14 Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kuwa, tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia.
15 Na kama tukijua kwamba atusikia, tuombacho chote, twajua kwamba tunazo zile haja tulizomwomba.
ACHA TUMLINGANE MUNGU ,MUNGU AWABARIKI SANA NINYI MLIOAMUA KUWEKA MAMBO HAYA MAZITO HADHARANI ASANTENI SANA TUNAWAOMBEA YESU AWATUNZE. VITA SI VYETU NI VYA BWANA
😢😢Catherine unaitaji ulinzi jaman
Hongera bint njoo kwenye Uislamu tupambane woto Muumba atatuvusha salama
Ko kwenye ukristo hawezi au co embu acha ayo mambo swala kubwa nikupinga hili swala chafu
Vita ni ushoga sio dini maana hakuna cha uislam wala ukristo hawa jamaa wanashughulikia yoyote na wewe popote ulipo unaweza kupambana tutakutana huko mbelee
Kweli kabisa aje kwenye Uisilam
Mana ana saidia kutoa maovu kwa kusema na mikono
Yaaan we unachuki sana dini imeingiaje hp?
We huna akili kabisa waarabu unako enda kuhiji sijui wanapenda nyuma kuliko nn ukienda zenji mmejaa nyie tabia hiyo imekubuu, ebu acha kuleta udini kwenye mambo ya msingi,
Hallelujah
Kuanini munawapa umaharufu mashoga iyo ni frimasson mugu alindi familia yagu na mumu wagu
Damu ya yesu iwafunike watumishi wa mungu.
Mungu awatunze lazima shetani ashindwe
Ee Yesu utusaidie tuvuke hapa kabla ya kurudi kwako kuja kulichukua kanisa lako
Mungu wa mbinguni awapiganie, ushindi upatikane
Mungu wa mbingu. Na. Nchii. Awalinde
Serikari imekaa kimya kama haijui yanayo tendeka, yawezekana wakawa wame meza kitu.
Siku zimekuwa mbaya mno ila Yesu bado anaweza. Kwanza watushi kama muliitwa na Mungu achana na mambo ya kukubaliwa misaada maana wajifanya wasaidizi kumbu tuna nunuliwa na misaada.
Hizi juhudi haziwezekani ni mpaka nchi hii itakapo amua kutengeneza sheria kali kama zile za uganda au Ghana na zifuatwe kama sheria nyingine. Na kukamata wote wanao jihusisha na hayo matendo. Vinginevyo tutaendelea kuongea sana.
Naamini wapo wachache watakaookolewa
Amina kubwaaaq
Hizi mambo ukiona zimefikia hapa ujue Atakaye zikomesha zote ni ujio wa Bwana yesu tu.
Kumbuka sodoma na Gomora ruthu alishindwa, Ndipo Mungu akashuka mwenyewe.
Wakati wa Nuhu ivoivo, leo hii ni zamu yetu...!! Mungu atusaidie
Hii vita tusipoungana watanzania kwa pamoja tutachelewa sana kufika. Nina hakika kabisa tukikataa wote kwa pamoja hii inakoma kabisa. Nakuja nyuma yenu ndg zangu kwa nguvu sana
Yaani mpaka machozi yananitoka kweli Yesu yupo karibu Sana. Yesu wwtu njoo tafadhali utuchukue
Yesu anakuja na hizi ni nyakati za mwisho,cha kuzingatia Sana wewe fanya wajibu wako na kusimama kwenye kusudi lake la kukuumba ili akija akute umefanya vzuri wajibu wako.
Yesu awalinde
Serikali imelala saNaaa
Imelala ni mashaliti ya mikopo unafikili haioni huwez fungua shilika au kampini bila selikali isjue au kukusajili Mzee nimazito ya silini sana
Waafrica tuludiiiiie tama duni zetuu ivi ivi hatuta fauru😢😢
Mungu ainuliwe sifa zake njema,, kweli ndungu zangu watanzani wamesimama kidete kukemea LGBTQ,,Bali Kenya imekimya, na raisi ame sign mukataba.
Mungu awatete,awaongoze na kuwalinda
Hapa sasa inabidi watumishi wa Mungu, roache kujifungia ndani tutoke tukagombanie uongozi. Mwenye haki akisimama nchi inakuwa na haki
Unadhani ni lahisi
@@JAMESGASPER-kj5bk inawezekana tukiamua