Its because you don't support your artists, if you did support your own they would show you the same love, diamond anapeana pesa juu anazo na amesupportiwa na watu wao, wakenya na hii ujinga, your artists are sleeping hungry because of your stupidity
Diamond una moyo wa kipee sana ndomana watu wanakupenda mpk bas watu km ww ni wachache sana ktk dunia hii kwel kutoa ni moyo na sio utajir nakuombea kwa mungu akuweke miaka 💯 iri wasaidike weng zaid 😘😘😘😘
Mimi ninatoka Namibia, baba yangu alikuja kutoka Tanzania kuja kusaidia wakati wa mapambano ya ukombozi na UN. Nampenda sana Diamond Platnumz. Huwa nasikiliza wimbo wake wenye kugusa moyo. Mungu akubariki kaka
Utaleta wanii tuta wapenda lakin mwisho wa siku watakusaliti, utaleta wafanya kazi lakn mwisho wake wanakusaliti. Ila sisi mashabik tuko naww mpaka mwisho wa mziki wako✊ Wasafi 4Life ❤❤❤
diamond i am born in tanzania 🇹🇿 now i accept you very much i don't know where i will find you god bless you very much your videos and your songs i love it very much but i bless you to god increase your talent to make us happy i wish you good blessings
We love you too Simba. Hivi kenya, kuna msanii anaweza fuatwa hivi? Swali tu? Tanzanians wanapenda wasanii wao sana ndio maana entertainment industry ya TZ iko juu sana, hata inainua uchumi kwa kutengeneza ajira kwa vijana wengi. Well done majirani zetu 👏🏽👏🏽
MOND wewe Nakukubali sana Brothers wangu yaani nikitu ambacho ukifahamu tu. Ongera sana endelea kupigania maisha yako pamoja na watu wengine nao wazidi kufanikiwa bro piga kazi wenye majungu hacha waongee tu.🦁👑👑👑.
Maisha mema kaka diamond mungu akufanye uishi miaka 3000 katika dunia hii sisi tunakuona mtandaoni tunakuombea mungu daima na wote wanao shindana nawewe na kukuombea maovu mungu atawaazibu
Sikuzote uwezo unajieleza naamini sana ndani ya nasibu utu uko mbele kwasababu anajua ziki na maisha magumu fikiria wako wangap lakin wote wamepewa b5 tano brother acha waongee piga kazi nakukubali San simbaaaaa wa Tanzania
I don't understand the language but i just love the way you shown Diamond love because i also love him very much my husband made me fall in love with his music and since then i can't go a day without his music Ghana girl from UK
Asee this man is amazing ata wasiompenda moyo wao unawasuta....just imagine mtu analala ad chin asipomwona mond haondok afu useme ni uchawi..noo iyo ni coz of kaz nzur anayoifanya...kizur chajiuza
Nassib mungu akujalie kwa moyo wako.Siku nyingine wangize wawili x2 wakusalimie kwa salama wako uwezi jua wazuri na wabaya wako.Tunakupenda sana. By kusini.
The fact that he appreciates this is good. He doesn't act like other celebs and think it's annoying. He is really a Simba. In my country Swaziland noone is a celebrity. We are so proud. They would never do this for anyone.
I am flubergasted by the love the Tanzanian people are showing to Simba aka Diamond platnumz not evwn here in SA i have seen this, u can swear this guy is a president of Tanzania and even if he can run fir elections i am sure he will win clean fair and square, love your music my brother i am from SA in Western cape, and i would love to buy your Cds but i don't know where i can access them. Much love Simba From Kenneth Mhlahlo
Msani wetu Diamond twakupenda saaana na mwenyezi Mungu azidi kuku bariki... Kitu nakuomba sana msaidie kijana wangu pia nimsani mdogo ako na 17yers old anakipaji chakuimba kweli... Mimi ni mama yake nisaidie sana Simba.
I ASSURE YOU DIAMOND WHAT YOU HAVE DONE TO THIS GUYS,GOD HAS SEEN IT,AND IT WILL NEVER BE FOR NOTHING,EXPECT MORE AND MORE BLEASING FROM GOD, ila fungua company ambayo utawasaidia hawa vijana kwa kuwalipa kila mwezi,na sio kila siku wanakuja kuomba!BIG UP SAANA🙏🙏👏👏👏
I don't think if it was my Kenyan celebrity hangetoka kuongea nao,the next step ni rungu za polisi, wahuni wamo nyumbani kwangu, simba is a great example of a celebrity
In Kenya no artist can do such a thing the pride they have is on a high level let me support diamond music 🎶
Very true indeed
@@gracemuthoni8214 it a nom in TZ,HATURINGI NA MATTER WHAT
True no one my dear
Its because you don't support your artists, if you did support your own they would show you the same love, diamond anapeana pesa juu anazo na amesupportiwa na watu wao, wakenya na hii ujinga, your artists are sleeping hungry because of your stupidity
@@KIM-xl6zs we have many who are doing well but not can do what diamond has done
Diamond has the largest fan base in Africa. The guy's just loved
From congo D.R.C we love you mtoto waki manyema 🇨🇩🇨🇩 like zenu jamani
We diamond mi nishasema we ndo mssnii namba 1 duniani anaependwa zaidi.
Mondi msafi wa roho ♥️♥️♥️WCB4life Canada 🇨🇦 🇨🇦🇨🇦
No any artist that doing what diamond doing in Africa I love the way how he is talking with his fans in Peaceful
@@speshhuh1712 😂😂
Harmonize went and searched
@@Salumubrown 😍
@@Salumubrown l͎o͎v͎e͎ y͎a͎ kutosha
ua-cam.com/video/SFNHa9xcxAE/v-deo.html
Diamond una moyo wa kipee sana ndomana watu wanakupenda mpk bas watu km ww ni wachache sana ktk dunia hii kwel kutoa ni moyo na sio utajir nakuombea kwa mungu akuweke miaka 💯 iri wasaidike weng zaid 😘😘😘😘
ua-cam.com/channels/SH4F3k0Z5ZvrpIZoMKbOgA.html
Kweli kabisa diamond ni msanii wa kipekee
Ndo maana wale wenye roho mbaya wanamchukia
Jenifer ana moyo gan huyoo kwenda zako huko pesa za dunia tyu hizo
@@juxjemc5768 jinyonge sasa
I’m proud Ghanaian 🇬🇭 but trust me this is true love ...I love Tanzania 🇹🇿 youth for loving diamond ...we all saw his beginning.. God bless you Simba
Thanks for y'ur love
Mimi ninatoka Namibia, baba yangu alikuja kutoka Tanzania kuja kusaidia wakati wa mapambano ya ukombozi na UN. Nampenda sana Diamond Platnumz. Huwa nasikiliza wimbo wake wenye kugusa moyo. Mungu akubariki kaka
Allah akuze kipaji chako zaid n uwe n moyo huo huo milele allah akulinde na mabaya akulinde na husda na akupe mwisho mwema
Mungu akujazie kila la kheri 😭😭😭Amin🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Licha ya luv kwa diamond mpka kwake ,hali ngumu ya kimaisha imechangia na na uhakika hizo hela wame muomba ,vijana na msoto
Utaleta wanii tuta wapenda lakin mwisho wa siku watakusaliti, utaleta wafanya kazi lakn mwisho wake wanakusaliti. Ila sisi mashabik tuko naww mpaka mwisho wa mziki wako✊
Wasafi 4Life ❤❤❤
Wako Wap waliompenda 20%.binadamu hawana shukran ndugu ww tenda wema sepa zako2
@@omarylukindo5306 Kweli mkuu nmekuelewa😀😀
Hujasema Bali umenena daah
@@officialmrtop1018 kaka binadam tunajisahaulisha
Kabisaaa #wcb4life 🐍🐍🐍🌹🌹🌹❣️❣️
diamond i am born in tanzania 🇹🇿 now i accept you very much i don't know where i will find you god bless you very much your videos and your songs i love it very much but i bless you to god increase your talent to make us happy i wish you good blessings
Bravo....this is my first time seeing an artist given money to his fans, without throwing it to them. Bravo D P'z
Diamond Platinumz has a great influence to his fan s.
I never knew diamond was this humble indeed never judge a book by its cover 💕💕💕u kind God bless you 💝💝💝
Am from Uganda and I always love diamond's music may you always be like that for the love you showed them be blessed 💕
We love you too Simba. Hivi kenya, kuna msanii anaweza fuatwa hivi? Swali tu? Tanzanians wanapenda wasanii wao sana ndio maana entertainment industry ya TZ iko juu sana, hata inainua uchumi kwa kutengeneza ajira kwa vijana wengi. Well done majirani zetu 👏🏽👏🏽
Tuko busy
@@joycewambui5796 🤣🤣🤣
Tuko busy We have a lot of work to do
@@joycewambui5796 😂😂😂
We are busy hii ni upuzi
diamond understands that his fan are the major key to his success... i love this
Simba the really King of Africa
Big love from.kenya
MOND wewe Nakukubali sana Brothers wangu yaani nikitu ambacho ukifahamu tu.
Ongera sana endelea kupigania maisha yako pamoja na watu wengine nao wazidi kufanikiwa bro piga kazi wenye majungu hacha waongee tu.🦁👑👑👑.
Bro anajitahid kujibrand
I see why u are 2million steps ahead all artists in Africa, Love that spirit
Mwenyezi mungu azidi kupea nguvu na moyo huo huo na akuongeze mda mrefu wakuishi hii dunia, nakupenda buree tu simba
Am From Ghana 🇬🇭 and I really love this artist very humble 😇🙏💰
Kweli platnumz baba lao I'll be like you one day yes🇹🇿🇹🇿
Kerp it up Diamond thats were all ur servings and earnings comes from thank you From Zimbabwee Simba
If i was in Tanzania, I would do the same I love this guy. Love from Uganda
want to see you in Ivory Coast 🇨🇮🇨🇮 please simba 😭❤️❤️🥺
Not by might, Not by Power But only because of God's holy Spirit. (These is love my eyes are teary) Much love from South Africa...
From South Africa KZN
I soooooo wish to get such an opportunity to meet Diamond one day
Maisha mema kaka diamond mungu akufanye uishi miaka 3000 katika dunia hii sisi tunakuona mtandaoni tunakuombea mungu daima na wote wanao shindana nawewe na kukuombea maovu mungu atawaazibu
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sikuzote uwezo unajieleza naamini sana ndani ya nasibu utu uko mbele kwasababu anajua ziki na maisha magumu fikiria wako wangap lakin wote wamepewa b5 tano brother acha waongee piga kazi nakukubali San simbaaaaa wa Tanzania
i love the way he treats his fans 💯❣❣❣❣❤💛
I love the heart of this guy is humbled.
I'm a student...and my first wish of traveling is Tanzanian I sooooooo wanna meet Diamond just once
Wawwwwww 💓💓💓😍😍🙏🙏😄Haiti non 😭😭
Love u simba am from Sierra Leone u are my idol I will always cherish u.
Much love from 256🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬Tunakupenda Sana simbaaaaa, more blessings from Jah
DIAMOND HAS THE HEART OF A LION LOVE YOU
Respect Tsh 5,000 for each person. God bless you.
Weeeeeeeeee gonga like kwa mond
Huyu plutnumz bwana kunamda utafikili kama ni laisi anapendwa kweli
@@arseneirabaruta7090 amini yan
HUMILITY IS KEY TO SUCCESS IN A GREAT SPIRITUAL WAY.CONTINUE TO BE LIKE THAT DIAMOND
I dnt understand the language but the way he dealt with his fans. Lot of respect for tht
dah Mungu akubariki sana Naseeb yaani moyo huo ulipewa ulipoumbwa na Mungu...unyenyekevu -'humility' barikiwa sana mkuu
Diamond you're such a good person ❤️ God bless you
Heshima ya mwenye hekima haipotei kamwee mungu akutanglie sana mond,
Live up the zealous spirit simba....your one in a million
diamond you gat me now, am from sierra Leone you truly know the people that make you go higher up there
much love
I don't understand the language but i just love the way you shown Diamond love because i also love him very much my husband made me fall in love with his music and since then i can't go a day without his music
Ghana girl from UK
llse siku ukitok dunian taifa litabak napengu mpak mwixho waduniya hakun wakurizi 💕💯💯🙏
Asee this man is amazing ata wasiompenda moyo wao unawasuta....just imagine mtu analala ad chin asipomwona mond haondok afu useme ni uchawi..noo iyo ni coz of kaz nzur anayoifanya...kizur chajiuza
Umeonaee
With his support this guy could easily be the president, am now his fan
Diamond platnumz enjoying in Texas. 🥺🦅 The Colonies bringing noise platnumz is officially American : his Lawyer #Canada is here for him 🥺🦅
Love to simba from USA
Wow that is respect and love, he let them in, talk to them and give them money, some artists would call the whole precinct, much love
It's my first time to see an artist given out money to the fans. Much love from zambia
You are a man of heart a muslim it is you I love you from Senegal 🙏👏🙏
Eeeishi simba its very good umewakaribisha haki kweli una upendo wadhati kwa vijana wenzako mungu akubariki sana
love form India ..! long live Simbaaaaa
Nice
[3433 3 1
Diamond platnumz the pride of Africa
I didn't know him but he has a big respect for his fans l love it
you are blessed in Tanzania to have Diamond
Mungu akubaliki sana diamond kuwapa kdgo ulichonacho itawasaidia jamani dah 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakukubali bro, ww shabiki wa kweli
@@suleshm4627 🙏🙏🙏
Sasa. Uyo. Si. Alisema. Mimi. Siitoi. Pesa. Sasa. Apa. Ana fanya. Nini. Si. Yaleyale. Tu. Kama. Harmonize. Mondi. Bwana
@@madinan4462 Elewa wamemfuata wenyewe mashabiki kutowa ni moyo kaka.
Unauwakika. Mimi. Nilikuepo
Nassib mungu akujalie kwa moyo wako.Siku nyingine wangize wawili x2 wakusalimie kwa salama wako uwezi jua wazuri na wabaya wako.Tunakupenda sana. By kusini.
The fact that he appreciates this is good. He doesn't act like other celebs and think it's annoying. He is really a Simba.
In my country Swaziland noone is a celebrity. We are so proud. They would never do this for anyone.
I am flubergasted by the love the Tanzanian people are showing to Simba aka Diamond platnumz not evwn here in SA i have seen this, u can swear this guy is a president of Tanzania and even if he can run fir elections i am sure he will win clean fair and square, love your music my brother i am from SA in Western cape, and i would love to buy your Cds but i don't know where i can access them. Much love Simba
From Kenneth Mhlahlo
it doesnt matter how your life goes but the fact that your inspire these whole generation .. respect to u bro
God bless the hand that giveth. Diamond is such a loving human being
Nuff respect to the big man diamond #simba wa kweli uyu..
Msani wetu Diamond twakupenda saaana na mwenyezi Mungu azidi kuku bariki... Kitu nakuomba sana msaidie kijana wangu pia nimsani mdogo ako na 17yers old anakipaji chakuimba kweli... Mimi ni mama yake nisaidie sana Simba.
SIMBA unapendwa hadi raha, na una moyo wa kutoa, Mungu akuzidishie kaka 🙏🦁🦁🦁
As much as wanakupenda ni vyema kuongeza ulizi nyumbani... Hii dunia adui ni wengi.. #Love from Kenya.
Kama Umeona Mihela yakutosha kwa chibu de piga like hapa
He is Still a deadbeat dad
TOP 10: WAREMBO WA INSTAGRAM WALIO-TREND ZAIDI 2020👇👇👇
ua-cam.com/video/mJ5_G0bF-uw/v-deo.html
NI UPDATE AMAIZING🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hahaha hahahaha
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
This is really an humble guy very simple God bless u
I ASSURE YOU DIAMOND WHAT YOU HAVE DONE TO THIS GUYS,GOD HAS SEEN IT,AND IT WILL NEVER BE FOR NOTHING,EXPECT MORE AND MORE BLEASING FROM GOD, ila fungua company ambayo utawasaidia hawa vijana kwa kuwalipa kila mwezi,na sio kila siku wanakuja kuomba!BIG UP SAANA🙏🙏👏👏👏
Ugandan 🇺🇬 we should copy this too ❤
Thanks for giving these youths fish, I pray next time you will teach them how how to catch it themselves.... respect to you bro🙏
Unaupendo sana diamond mungu akuzidishie mara Mia moja, ukiota wengi wamepata
Diamond kipenzi cha watu mungu akubariki.amin
Sambaa twakupenda baba jemba LA east Africa mola akulinde baba
I long for such a love to an artist here in Kenya
Diamond is a legend and also humble!
I don't think if it was my Kenyan celebrity hangetoka kuongea nao,the next step ni rungu za polisi, wahuni wamo nyumbani kwangu, simba is a great example of a celebrity
😂😂😂😂
MATUSI YA DIAMOND AMCHANA HARMONIZE WAZI WAZI: ua-cam.com/video/EhmI49JzV28/v-deo.html
ua-cam.com/video/61CN7iofQLs/v-deo.html&start_radio=1
Aisee brother mondi aka simba 😍 nakupenda yan hao wako timamu kabisa daah mm nimedondosha choz aisee kaza buti sapot si ndio hiyo baba mwendoooooooo
nasemaaaaje niuweeeeeeni🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
From Kenya,Simba your the and only in Africa who can do this...much love
Whaaaaat,Tz watu wanapenda music,in kenya we dont even dream of any musician
True
That truth
😂😂😂😂😂
😂😂hio nguvu tunatoa wapi
BEN DUKE @But do dream of the marathon runners
Simba ni Simba kweli love 💕 from Kigali Rwanda
😭😭😭😭😭 hadi chozi limedondoka Dhuuu mond unamoyo wakipeke sana💕
Diamond love you Wewe Ni kipenzi cha watu Sana big love for you
He's so powerful man i can't believe it
A good thing in life appreciating your own.
ALLAH BARIQ na akuzidishie imani
Im Zimbabwean but i loved this this is true and real love...##Simba dn let them down
Safi sana mondi anajali mashabik zake 🔥🔥🔥🔥🔥💯✔
James Kama James 🙌🙌🙌🙌msenge umepambana mpak umeenda kwake ✊✊✊
That's nice, I'm feeling the joy of the fans right now ❤❤❤ which I was there, I'm one of your top fans can wait to attend your concert one day
They are few people in this world like you Simbaa👍👍
Iiiii my favorite artist I'm Mozambique