DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA G NAKO
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- G Nako Wara Wara A.k. a the Finest wa AR kama ilivyo kawaida yake bila kutumia Nguvu ameangamiza kwa style ya Aina yake ndani ya Planet Bongo ya East Afrika Radio sasa kazi inabaki kwako Tuambie umeonaje Punchline na je unadhani nani Afuate Next week lakini pia endelea kuskiliza Planet Bongo kwa kua 10 za Maangamizi zitakuepo na Siku ya Alhamis pia lakini hii ni Tofauti na J3...
2024 ✌✌✌ g nako the finest of Ar
Jamaa ana rap tam kichizzz🔥🔥🔥🔥
Cjaona weusi kama G,g is the really definition of MC ,walo dislike hawajui hii kitu.
Tisha noma mazee
Jamaaa anajua
Iko pw 10 za maangamizi
Nairobi husema mambo mbaya warawara!
G warawaraaa..ni moto,ata Kikosi kazi wanamkubali.
wara wara umetisha sn mzazi , big up
watu hawajamuelewa Huyu jamaa yani Ni kwamba ana swag alafu anajuwa kutembea na bit,, sema mistari alisahau ndo aliponiangusha next time tupa cm kule,,, gonga like Kama umenielewa
hemedi hamisi hafuliag huyu
G Nako kipaji kikubwa kuliko anavo act
G umetisha sana weusi mikono juuuuu
cku iz hatuchukui famba, hatuchukui kamba, hatuchkui namba si tunalipia chumba.......
nakuelewa sana bro G warawara nkankara finest of AR
Tz nzm hakuna msanii wa kumcopy huyu jamaa......NIKIONA TOBO SIINGII NACHUNGULIA😂😂😂😂😂🙌
Jay Star nachungulia siingiiii 😃😃😃😃
gnako nomaa
G nako ni mkali nakubale
Nomaaa respect
Tisha sana G. nikiona tobo siingi nachungulia
jay mo plz next tyme mbona kila siku mnachomoa ...we need jay mo
Umetisha g we ni shikamoo
warawara
Nouma G walawalaaa
Huyu jamaa noma ana tisha
Wanakutexa bhnaa we wakupe viitikio tu
g na nako noma weusi wakali moto wao unachoma kuna wengine wanazoma wakati wakilala na madem zao wanakoroma
nakubal nyiny ni noma mkamaten youngdee
lem tack the pictures! !!! uwezo upo juuuu sana namkubali sana kaka mbaya sana warara
mpka sasa bado sijaona aliyemkimbiza raf mc kama unakubalina na mimi gonga like sema raf mc,sema raf mc 🎶🎤
Gwarawara OG,mzuqa wa HipHop💥💥💥
Weusi ✔✔✔✔
nakukubali sana G nako...ile mbayaaaa
Damn!!! its Hot in here, This is the Realest sh**t We talkin' Bout.. HipHop Heads Thumbs up ..
Summer hapa alikua mnyama
Noma sana brother
Unaweza
yko byee ile mbaya salute g nako
that is hip hop yeah we feel music gwara kwa mwanangu finest wa A R
I know Im randomly asking but does anybody know a trick to log back into an instagram account..?
I was dumb lost the account password. I love any help you can offer me
g nako umetishaaaaa
Oyooooooo kumi za maangamizi noumaaaaaaa
wazi wazi
nakukubali bby
G umeua baba salute kwako
warara mkapa wa rap duh design moja amazing kweli wamesweat
Next time tunamuomba ibra da hustler au nikki wa pili
Dulla please naomba next niekee mtu wangu wa Nguvu Ja Dingiliii baba akooo MOTRA THE FUTURE ! mana ivyo vichwa hakunaga arif! G NAKO AN MOTRA NI FIRE ASEEEEE
hamna k2 hapooo akomae na chorus #mrchorus kwny rap uko chekechea
yuko vizuri
Yuko vzur
xanaa
Transition is insane🔥🔥
Mkali wao
G wara wara nakukubal sn G wizzy
chumaaaa Kankara Eka mekuuu
uko sawa kaka
wauwe g
HTar sana swagz ndo kal
G nako... 🔥🔥
G nako ataree daaa
umeti sha G nako
Daaaajamaa kauaaa
kweli Wewe Wara Wara kwankwara maana Naona Una hara hara tu Masikini Mb Zangu
Holaaaaaaaaa yaaani ni Nouuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuumaaaa!
Tuliocheki 2021 Gonga like
Very very talented
G nako aminia
wafunze wasojuaa G...wamezoea na sie hatihitaji mazoea
G wars wara weeeeee
oyoooo dullah next time SONGA
mhuuuu
A city boy
nomaa
Umeua mNako!!!
Chali ya R next time tunamuhitaji coyo
mleteni songaaa
huyu jamaa ni mkali sana sana
warawara! hakuna wakuwazima
Wara wara kankara baba samanta Chali etu ya R Man ur ma one an only Mc Nakuzimia ile hakunaga Man! Yani nakufananisha na Kendrick Lamar izo maswaga yani daah ! umetisha
Kendrick ndio kafanana na g sio g kafanana Kendrick g Ni kisanga mbaya man
+114hustle eti gnako wanamfananisha na kendrick lamar lyk serious 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
+Ze Bato acha kumfananisha kendrick na vitu vya kijinga
usimfananishe kendrick na vitu vya kijingaa
azizi rashidy babu eti samanta jina LA jinsia gAn
waoo saafii
G warawara
leteni Lord iyes
g wakumbuke ndugu zako uwainue tambua nako 2 nako ndy imekufanya mpaka ukahapo syo weus wape hata colabo
Jamani huyu jamaa Ni Mkali Hana simu
Oldi skl
G Nako mkali wa muda wote
Hahahahaha.nikiona tobo siingii,nachungulia.
Good kankara
Jumanne sudy
Nakubali mkali wangu
Mwaka wa ngapi ila bado tuna hit kwa dakika 10?.
g una swagga sijapata ona...,.
swagga + mzuka
ndo maanake yan
Gnako fundi
nikiona tobo cingii, nachungulia hahahhahhahh
unajua mkali
good
Chuga Bn shida
👊👊
unajua mpka unakeraaaa
Maisha hayana uchaguzi Fanya maamuzi ya kweli...
Mamaaa
tuleteeni stamina jaman
wozaaaaaaaaaaaaaa
hu huhuuuuuuu
yereuwiiiii
Rudia tena Hi imeiva