Trump amteua Seneta J.D. Vance kuwa mgombea wake mwenza

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 14

  • @kevicristian2738
    @kevicristian2738 Місяць тому +7

    Misaada kwa Ukraine kwishinei😂

  • @ShellonShadia
    @ShellonShadia Місяць тому +1

    Huu jama alikuwa na maneno matamu na mazuri sana pia amekuwa na pambania ukweli na ukombozi wawa Africa free africa

  • @IbrahimAli-yd1ng
    @IbrahimAli-yd1ng Місяць тому +3

    Kijana uyo Sio biden mzee kashakula chumvi nyingi

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 Місяць тому +3

    Chuma kingine kinakuja hicho. Nakwambia Trump atautangaza ulimwengu kwa atakavyo piga kazi.

  • @deusbarnabas9060
    @deusbarnabas9060 Місяць тому +1

    Songa mbele mtu jasiri!!

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 Місяць тому +2

    Trump umejitaidi kuteua kijana

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 Місяць тому +1

    Historia hukunyanyua pia historia hukuangusha, viongozi wetu wa kiafrica huwa wanaferigi hapo, cheki watu na historia zao sio Sisi tukisha kua na kulia na kushoto, ndio Vita hatuelewani tena, pia huuwana kisa uchu wa madaraka

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 Місяць тому

    Safi sana

  • @kjb_user0077
    @kjb_user0077 Місяць тому +6

    Wa mwisho kutazama hii video

  • @4revertv523
    @4revertv523 Місяць тому

    Swala la risasi naona kama lilipangwa ili tramp aonewe huruma 🙈🙈