MBUNGE ASHTUKIA UPIGAJI MAGARI YA SERIKALI "HAKUNA UWAZI KUNA TATIZO KUBWA,V8 YA MIL. INAUZWA MIL.1"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 9 місяців тому

    Hali ni mbaya sana nchi hii upigaji kila kona kila kila kitu, sasa imebaki nchi kuwekwa rehani kama alivosema ndugai, tunaaza kuyakumbuka maneno yake, maana ufisadi kila kona sijui hatma ya mwananchi wa kawaida itaishiwa wapi, maisha magumu bidhaa bei juu waliopo madarakani ni furaha na kicheko

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 місяців тому +1

    Mnashangaa nini hiyo ndiyo Serikali ya awamu ya sita mijizi haitumbuliwi wala kushtakiwa turamkumba sanaaaa hayati Magufuli upifajimeingi sana toeni kemnakumbuka shuka kunekucha

  • @mwikamwika4851
    @mwikamwika4851 9 місяців тому

    Magari mengi yameuzwa mwaka 2018-2020. Msiripie kuongea watu wa Sasa.

  • @florianhenry7198
    @florianhenry7198 9 місяців тому +2

    Magufuri fanya mpango urudi

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 9 місяців тому +1

    Tatizo ni uchoyo, wawape raia nafasi kununua hayo magari, hayo magari ni kodi Zetu. Tupewe nafasi raia wote tununue wote

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 9 місяців тому +1

    Magari wala sy mabovu ila yanapakiwa ili lionekane bovu kombe mazima kabisa

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 9 місяців тому

    Tusishangae walisharuhusiwa wale urefu wa kamba zao, hata kitengo cha CAG kingefutwa, maana hakina sababu ya kuwepo, iwapo wametajwa wapigaji kwa jina lakini hakuna hatuwa waliochukuliwa, wabunge mapovu yanawatoka bila mafanikia

  • @KhaleedHamad-vl7lz
    @KhaleedHamad-vl7lz 9 місяців тому

    Upigaji umekisir tanzania wtt skuli hawana madawati hospitali hamna dawa

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 9 місяців тому +1

    Rais wetu ameiacha nchi imekuwa shamba la bibi

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 9 місяців тому

    Tena mfumo wenyewe wa uuzaji wa magari hauna uwazi, wapo madalali wenye leseni Toka wizara ya fedha ambao kimsingi ndio wenye dhamana ya kisheria ya kuuza Mali chakavu za serikali, mtazame vizuri Sheria zenu mamlaka zisijiuzie wenyewe Mali chakavu za serikali. Kama madalali hawafai futeni leseni zao, fedha mnachukua wanalipa Kodi halafu kazi hamuwapi hii sio sawa, Mali zote ziuzwe kwa njia mnada wa hadhara Ili wananchi wote washiriki mnada.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 9 місяців тому

      Serikali ya CCM mnatisha. Muone huruma na kodi za Watanzania jamani

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 9 місяців тому

    Izopese kwenye majimmbo ziko wapi? Ivi mnayajuwa maisha ya wananchi nyie

  • @NixonGerson
    @NixonGerson 9 місяців тому

    Ndio ccm hiyo usijizalilishe jamani

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 9 місяців тому

    Je inakua muwazi kwa mke wako? Kila jambo unamuambia ?

  • @FintanMkesha
    @FintanMkesha 9 місяців тому

    Mnapga kelele tu wapigaji wakubwa nyie musha tuona mazuzu

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 9 місяців тому

    Sijui ni nani ameturoga

  • @AnordErio
    @AnordErio 9 місяців тому

    Hahahahahahahahahha bado atujasema

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 9 місяців тому

    Jpm baba 😢