Asante sana kwa sapoti yako,kuangalia video zangu kila ninaposti. Tafadhali naomba uendelee kunisapoti kwa kusubscribe kwenye channel yangu kulike video yangu,kucomment na kushare kwa ndugu, jamaa na marafiki. Asante sana
Mungu akubarikiii kwa masomo mazuriii ,,Nilikuw sijuii kupika chapati lain Saiz nimekuw fundiii, Nilikuw nikipika plau haina ladha siku iziii inanukiaaa na nasifiwaaaa, keki nimeshajua kupika bado kupamba nafatilia masomooo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Sufuria zinauzwa maduka ya vifaa vya keki dear,upo wapi wewe? Keki mara nyingine hawapigi yai sana kwaivo linabaki na njano,ama pia unaweka rangi ya njano,lakini pia kuna baking powder zinafanya njano
Inamaanisha umeweka moto mwingi sana keki imebabuka ..hapo ni kuiacha tu jikoni upunguze moto inaweza kuiva lakini itaungua kwaiyo utaitrim tu,na pia inaweza ikazama katikati huku ikiiva sababu kutakuwa na drop kwenye moto na itaafect keki ...lakini kikubwa kuiva,na kwa kuwa ni ya kula nyumbani haina shida
Asante sana kwa sapoti yako,kuangalia video zangu kila ninaposti.
Tafadhali naomba uendelee kunisapoti kwa kusubscribe kwenye channel yangu kulike video yangu,kucomment na kushare kwa ndugu, jamaa na marafiki.
Asante sana
Ulipo tupo 😍🥰😍🥰
Kabisa
Inabutia sana
Mungu akubarikiii kwa masomo mazuriii ,,Nilikuw sijuii kupika chapati lain Saiz nimekuw fundiii, Nilikuw nikipika plau haina ladha siku iziii inanukiaaa na nasifiwaaaa, keki nimeshajua kupika bado kupamba nafatilia masomooo🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Yaani wewe ni hatari Fire. Asante kwakutupa maujanja ujanja 😘😘😘
Jaman nimepik Na nimeweza asante Kwa darasa ubarikiwe yaan sintanunua ten kek ntakuwa napika mwenyewe shukran dada
Asante saaaaaaana nimepika nimekul na nimeinjoi
Kazi mzuri dada❤❤
Asante sn hii ni nzuri sana Kwa biashara
Asante nitajaribu
Hongera sana inaonekan vzur sana.
Haijachambuka kabisa
Samahan dada naomba niorozeshee vitu ulivotumiaa
Thanks for your recipe. Nice to meet you my new friend!
NYC Mashallah. Allah barik cz ntjrbu kwfnyia wasopnda mayai
Alhamdullillah ,inshaAllah..shukran sana kwa sapoti yako
wow nice video..watched u,hope to seee you
Mmmmmh! Good ider
Big like. Nice 👍
Mambo ni moto kumbe
Samahan dada naomba uniorodheshee vifaa ulivyotumia
❤
Naweza kutumia naz badala ya maziwa
Vp amira haiitajiki
Wow! Simple and easy I must try this. Hii channel ni 🔥 🔥🔥🔥🔥 keep it up.
Aaaaaaw asante sana@anna loves Jesus ..i know jesus loves you just as much too
Please try it..
Asantee
Inawez kaa kwa muda gan bila kuharibik
MashaAllah...nauliza hyo cake ni 1 kg?
Naweza kutumia sukari ya kawaida
Asante
Karibu sana dear
@@kekiplus1andonly UK good
Mm nilkua nauliza kwann mm nikipika keki chin inakua inajite mafuta
Je unaweza ukatukia sukari ya kawaida
Hizo sufuria za keki naweza kupata wapi halafu swali la pili kuna keki zingine zinakuwa za njano ndani wanawekaga nini
Sufuria zinauzwa maduka ya vifaa vya keki dear,upo wapi wewe?
Keki mara nyingine hawapigi yai sana kwaivo linabaki na njano,ama pia unaweka rangi ya njano,lakini pia kuna baking powder zinafanya njano
Je naweza kutumia sukari badala ya acingsugar, pili nilazima kuweka viniga?
Labda uisage sasa,ila labda kama una mashine ya kuchanganyia unaweza kutumia
Unaweza kutumia limao badala ya vinegar..
@@kekiplus1andonly Asante dear nimekupata vema
Kwahiyo ausubil keki iumuke ndo uipike
Hiv jamani mawe hayatoboi sufuria kweli ??
Vineger ni nini?
Siki nyeupe
Sufuria kubwa umeweka nini chini?
Mchanga dear..unasaidia kuhifadhi joto au moto
Lazima nitumie acing sugar
ntafanyaji kaki yangu ikiwa bado maji maji na juu imeiva
Inamaanisha umeweka moto mwingi sana keki imebabuka ..hapo ni kuiacha tu jikoni upunguze moto inaweza kuiva lakini itaungua kwaiyo utaitrim tu,na pia inaweza ikazama katikati huku ikiiva sababu kutakuwa na drop kwenye moto na itaafect keki ...lakini kikubwa kuiva,na kwa kuwa ni ya kula nyumbani haina shida
shukran that was helpfull
kwani mtindi ni lazima
Vinegar n nn ?? N kisha waeza weka vanilla ikiwa hna limau?
Limao ya maji ya kiwandani,ndiyo tumia vanila
Hizo tini una nunua bei gani
asanteee san
Asante