BINADAMU EPISODE 31 [SEASON THREE]
Вставка
- Опубліковано 10 гру 2024
- #Binadamu #Series
Story - Musa Yusuph Mahenge [Kitale]
Camera - Leonce Laurent
Editor - Emilian Kobelo/Tiga Papanko
Director - Musa Kitale
Binadamu Ni Tamthiliya Inayozungumzia Maisha Ya Wanadamu Na Mienendo Yao Kwa Ujumla.
Kwa Maoni Na Ushauri Piga Piga Simu Namba 0656 90 10 10 Au 0754 38 07 38
Wakwanza jamani mnihurumie japo like moja🌝🌝
Kwan kila episod nakaa Wa mwisho tu... naomba likes tokea saudia/kenya hata kama nimechelewa😊😊😊
Shemela huyu au mwakaribu yupi
@@fatimakaniya3714 huyu huyu.. Kwan ww n Fatima yupi
@@mwakaribukhamisi7036 mm wa nlikuwa saudia tulikuwa tukiwasiliana wife wake jay kakake said pmoja na dulla
@@fatimakaniya3714 text me with that number
Dahhh Leo nimekuwa wa pili kuangaliya asant Sana broo kitale🙏🙏🙏
Leo nimerauka naomba like 🤸♀️🤸♀️🤸♀️😂
Tena Anamuona kwelikweli
Wakwanza Leo naomba like zangu🤸🤸🤸🤸
Nipeni like zangu I'm from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wee karibuu🇹🇿🇹🇿🇹🇿
First come ....
Yaani nimeitegea sana wapi like za watu wa kigoma jijini Nairobi
Kaka kitale hiii story moto sana aseee, me nachoomba tuongeezeee japo Kwa week mara mbili, pia ubunifu mkubwa unatisha sana yaan movie haijulikani wapi mwisho ,nimependa hiyo kitu
from Muscat Oman naenjoy binadamu 😍😍😍🇴🇲💪
Shamimu nina shid na ww dada yangu
Tupo together from Muscat sultanate of Oman 😍
tuko pamoja mwanawane tumu wasaka rial ❤❤❤❤
Tujuanetujuane jmn wa oman😅😅🥰
😊
Km ulikua unaisubiria kwa ham nyoosha kidole tujuane 👍
Mtawala sijawahi kuwaza kukuchukia maisha yangu yote...
Likes zenu jamani nimewai kutizama kazi nzuri hii☺️
Kibaha mailimoja gonga like mwanangu kama mdau wa binadamu.
Kibaha mile moja me ni 8 miles emnem
Daah Ila Mtawala Ajua sanaa Big up kwa Broo Kitale script zimepangwa zimepangika🤜🤛mapambano ya Endlee mwaka huu lazima Tuzo yetu watuleteee wenyewe Inshaallah 🙏🙏😂😂
Iv maneno ya kuambiwa hawakupewa kwann 😢😢😢
Anajua mpaka anajua tena kwani si waweke tuzo jamani tumpe mtawala🔥🔥🔥
Burudani nzuri piah tunajifunza humu daah hii ni hatar sana
Siunajua bongo basata wana watu wao wameshawaanda mpk sasa kwahy sisi ndiyo tunaoumia siku zote tunaofuatilia kitu fulani ndiyo tunajua maudhui au wapi kumekosewa lkn wanakuja kupewa watu hawa hatuna mapenzi na Tamthilia zao 😡😡😡😡 inakera na kukatisha tamaa hata kuangalia yan
Me nmeanzaa kuangalia Tamthilia na kufuatilia baada kuanza kuangalia maneno ya kuambiwa na Hii Binadamu wabaya sina zingine mpk sasa labda aje atokee wakumzidi Braza Musa Kitale kweny kila nilichokiona hapa sawa ila braza 💪💪 Unapambana sanaa 🙏🙏
Mhm kilaa cku nachelewa mm tuu😜binadam wabaya iko powa ❤️❤️🔥🔥🔥
Unyamaaa sanaaa🙌🤔🤔
nakubali sana kazi kama hizi huwa nazipenda sana hasa zakwenu ndio nazipenda sana🙌🙌🙌
#Kulu kujielezea kote kumbe unamuelezea mdogo mtu, nmeipenda sana hiii 😂... Kazi nzur Director & ScriptWriter
Umeona eeeeee!! 😂😂😂😂😂😂
Kulu kaupiga mwingi
Nashukuru sana kuendelea kujifunza kuhusu mahusiano(ndoa) na maisha kiujumla kupitia series hii. Hongera kwako mtunzi.
Akulindeee! Mola
Sio burudani tu ila kuna mafunzo ya kutosha🙌
Muda wote nilikua nasubiri jamani lool🥰😘🥰
Wee bwana weeee. Binadamu kwa hewa ✌🥰
Nawakubali watu wote kwenye huu mchezo wa binadamu🥰🥰🙏🙏
Wa kwanza kutazama leo pg like za kutosha apo
Aaaaaaaah kitale watuone but inzur san mapenz yanamtesa san stany
Like nyingi kwa kuwa wa kwanza
Mtawala Ana busara kweli Masha'Allah hivi hata maisha yake halisia yupo hivia au ni katik harakati tu Ya kusaka ugali wake💫💫💫Safari hii Stan kapatika alivyokuwa mpole sasa 🙌🙌Hii filamu kuna mengi ya kujifunza wallah..Ahsant sana Kitale kwa zawadi nzuri yenye mafunzo kwa Jamiiii
Mtawala anazarau nirikutananaee kwenye daradara nikamsarimia yuko safituu kaka wawatu❤️❤️❤️🙏🙏🙏
Kitale n mt poa Sana kwa wanaokaa kigambon kuaniza mizimbin mpk kibada wanaelewa
Hivi huyu mtawal anatumia jina Gani kweny mitandao y kijamii
@@shabaningaoga164 kama umemfollow kitale basi nenda kwenye account yake mara nyingi sana huwa Ana mtag pale kwenye maongezi ya simba na yangu wakishinda huwa anamwita bwana shemeji
@@ibumajaamillah3195 daaaaaah kwrl
Jamani wa kwanza leo nipen japo like 👍 10 nimemis COCU Mbna simuoni mam MARIA aache kujichimbia shimo
Koku si hy ambae yupo kwa gari
Hpna cyoo
dah masikini stani kugongewa kunauma atar mwenye yamenikuta kama ya stani😢😢😢 hewa wanawake ndo mama zetu na dada zetu lakin ni noma wakiamua kutufanyia unyama wanakua mashetani kwa kweli ep hii imenigusa maana maisha halisi yaliyowai kunikuta #BigUpKitale kwa utunzi bora
Jamani tulikuwa tunaomba angalau muwe mnaweka vipande vitatu vitatu maana kipande kimoja yani episode moja tunasubili sana
Mwanang mm mtawala Leo kafatwa na videge john😁😁
Daaaah sema noumah hajawahi haribu
Mtawala gang like zetu hapa
#mtawala
#binadamu
Waoooooo mkuje kimeumana ukuuuu 🥰🥰
Jini fety waooooooh
Kila mtu wa kwanza 😒😒hy mie wa kati 😁😁
Mm mkisha wotee but tumeangalie movie ile ilee
Siachwi nyuma nipo from🇰🇪pamoja💪
Stanley Pole Mkeo Katosheka Akunyima Live,Mdada Nawe Jini Limekunyima Mume.ila Mungu Hamtupi Mja Wake Umepata Aliyekuhifadhi.Maria 😳😳😳.
Daaah ,tunamic sana hii kitu kitale maombi yetu nisiku mbili tunajua mnachangamoto lakini sisi pia utuhurumie gwenga☝️
Au ana was was itawahi kuisha 🤪
@@hadiadaoman1981 binadamu utawaelewa dada twashindwa kuongelea movie wao ni complain tu iko short yaletwa kwa mda.
Kwan jmn inakuwa baada y ck ngp wanatuma
Chaneligani hii mov inarushwa jamani nanisikugani saangapi
Wanawake wote ambao hatujaolewa MUNGU atuepushe na mama mkwe kama wa MARIA Amen
Aamin
Jamani naomba kwa wale wanao kaa kigamboni wahini haraka ktk numba ya Stan anaingia kwenye hatia kabla haja ua japo mpigieni cm. Nawale walio wakiomba cm yake iite akipigiwa ni rafiki yake ili asiue. tunyooshwe kidole tujuane.
mmemwoma dadaake mchirooo????? wrong number 😂😂😂😂😂
Unyama mwingi umefanyika humu kwenye hii muvi
hatimae mmeludi tena 😘😘
Ila wachawiii mungu anawaona kwakweliii,si kwakutubidua huko
Hii movie Iko Bomba sana
Sema wanachelewesha xana
Jitaidi hata kwa week mue mnatoa episode mbili kwa week
Salome na mtawala nawapenda mno bila kusahau mwena na kobelo💕💕💕💕💕💕mungu awazidishie
Ila wanawake tuna sifa jmn ssa hyu mama natham ana ishije na mumewe🙄🙄
Aaaaa hahahahahahaaaaaaaaa🤩🤩🤩🤩 safi ..bas nimeelewa sasa
Nakukubali kitare kazi nzuli washiliki nao mmepikwa vzr
Salute sana kitale
Stan unachelewa kifanya maamuzi weka mguu shingoni chap 🤣😂
Mmh wwe nae😅😅😅
Kwa wale ambao tumewamisi koku na nyamisi tupite hapa like zenu kwa kitale kwa kazi nzuri 🔥🔥
Nice more luv from Kenya
ahaaaaa kumbe wachawi ndo mnavyotufanyaga uckue..😂😂😂mnatulalia kbsa tukiamka tupo hoi 🤣
Mfanye bas mrushe nyingine.maana duh sitamani kuachi kungalia❤️❤️
Jamani Mtawala dah anateswa 😢
Wakwanza ❤
Binadamu ni 🔥🔥🔥
Tuko ndani nikiwakilisha 001🇰🇪🇰🇪 Mombasa county
79 maana Leo nimeshinda umu Lakini sio mbaya
😂😂😂Maria uko kuwangiwa na mamkwe😂😂 umepatikana walah 😂😂
Safi sana 💕,Ila mmbo ya kuchelewesha no mkirudia na mtafuta mama kitale ,
Mambo no 🔥🔥🔥🔥
Watching from Riyadh Saudi Arabia
Jirani yangu kumbe 😅😅😅😅👍
@@zainabkadzo9241 rusha namba nkusalimie
@@zainabkadzo9241 upo Zainab
Sitani baba nathani anataka kuuwa mukewe unafanya makosa ungedili na mbaba anae danga namukeo 🤣🤣🤣🤣🤣😘😘😘
STANI ali maarufu kama bwakira, pole sana kwa kipindi kigumu unachokipitia,
Sema nn au bac
41 min view 3.5k aisee inaonyesha jinsi gn hii movie inavyopendwa km unaikubali gonga like hapa
UUUWIIII NAOTA AU??🔥🔥💃💃💃💃
Jamani STAN Anauwa Hukuuuu!! SEGEREA INAKUHUSU stan
Safari hii kapatikana jamn mpk analiwa au analilia niniliyuuuuu
Ndende Mungu anakuona 😂
Binadamu wabaya ahk
.pole stany unapitia wakati mgumu sana..pole mtawala pia
Daaaah inatuchnganya fupi
Mnaupiga mwingi sana...
Na mimi jamn naombeni hata like moja
Natowa shukrani za dhathi wapendwa wetu. Tunashukuru kwa kutufurahisha.
Sio mimi nimeona nafika nyumbani ili niitizame.
Mungu azidi kuwabariki na kuwalinda.
Hongera kwa kazi nzuri 🙏🙏🙏🙏🙏
Ila tunaomba hata mara mbili kwa week
Please.
Tafadhali tekeleza malalamiko yetu jamani.😔😔
nimefungua dimba itatizamwa zaidi hii
It's 🔥 🔥 men
Yani mnazinguwa Sana katk utoajiwenu wa vipand mnatumia mda mwingi Sana wakutoa mukitowa avielewk vinakuwa vidog ebu jilekebishen
Respect binadamu wabaya good up👌👌👌
Kulthum kazi unayo😁😁😁😁
Leo tena mapema inaendelea binaadam wa zuriiiiii kweli
Stan bakola anataka kuzngua nikweli wanaume ndio Tulivo
Ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️❤️❤️❤️
niepeni hongera mana nmeishuhudia ikiwasili
Nampenda salome jamani ♥♥
SubhannaAllah kumbe wachawi Ndiyo hivyo wanavyo tuwangiya usiku? 😅 😅 😅 Usiku una mambo mengi StafiruAllah
Movie tamu lkin mwachelewa
Wa Kwanza kulike
Kitale mungu akupe maisha marefu kiukweli nainjo story
Mnachelew sana mpk tunasahau dah
...kwahiyo me hamnip like hat moja...
Good kazi nzury na mm niungeni humo ndani nije kuiba mabwan za watu huk
Kaz nzur broo kitale wale tulommis maria sobwe tujuane basi
Sema kitale unajua hadi unakera kaka,Kwa jinsi unavyopangilia kazi zako kiukweli wewe fundi bro keep it up.
K mambo n 💥💥 stan kapatikana
Wa kwanza
Lkn kwann unachelewa kuweka jmon 😊😊💥💥💥💥💥💥
Sema wanamuonea mtawala dah😂😂😂
Watu wanachamba kama wametumwa
Baraka nakukubali sana
Turn on notification#Binadamu#Akili
Kazi nzuri....,Big up.. Keep it up
Jmn nimewah like bas
6 hrs late...but sio mbaya..super guys...na follow up series niipendayo
Tupeni hata mbili kwa week. Enjoying while in Saudi congratulations
Tuko pamoja sana wahusika wa hii season halafu IPO makuni kwer