KISA CHA KIJANA ALIYEINGIA MOTONI JAPOKUWA ALIWATENDEA WEMA WAZAZI WAKE SHEKHE MSELEMU ALLY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025
  • Join this channel to get access to perks:
    / @madrasatulfurqani
    SUBSCRIBE OUR CHANNEL

КОМЕНТАРІ • 67

  • @HajiNinga-m5i
    @HajiNinga-m5i Рік тому +10

    Maashaallah mashaallah darusu zur allah akulepe kila kher shekhe

  • @ussiamini2868
    @ussiamini2868 Рік тому +4

    Jazaka llah

  • @zuhoor-mc7hq
    @zuhoor-mc7hq 3 місяці тому +7

    Masha Allah tabarakallah jazakumllahu khayra shekh wetu namuomb Allah atusamehe dhambi zetu za dhahir na za siri 😢😢 namuomb Allah atujaalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu na waja wema watakao faulu hap dunian na akhera peponi Ameen 😢

    • @imaculee1758
      @imaculee1758 2 місяці тому +2

      Kweli Mwenyezi Mungu atuhurumie tunapo Fanya makosa

    • @saidseif7469
      @saidseif7469 25 днів тому +1

      Ameen

  • @BiashaAli-w6o
    @BiashaAli-w6o 7 днів тому +1

    Alhamdulillah

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 Рік тому +4

    Shukran

  • @ifadatabdallah1233
    @ifadatabdallah1233 2 місяці тому +2

    Maa shaa Allah
    Tabaraka rahman
    Allah atuongoze ktk kufanya mambo anayoyaridhia Allah

  • @jumakambi7870
    @jumakambi7870 2 місяці тому +2

    Mashalah Allah atuepusha shari za dunia

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 2 місяці тому +2

    Subhana alha😢 mungu mpe humr mrefu mama yangu

  • @omariabuu7231
    @omariabuu7231 4 місяці тому +4

    Subhanallah

  • @mayaalharthy4924
    @mayaalharthy4924 Місяць тому +1

    Allah atupe husnilkhatim yarab

  • @kwareshabani5618
    @kwareshabani5618 2 місяці тому +3

    Mungu atupe mwisho mwema

  • @jacquelinekavita7289
    @jacquelinekavita7289 2 місяці тому +3

    MashaAllah tabarakallah,Allah atusaidie.

  • @MariamSilas-n9c
    @MariamSilas-n9c 2 місяці тому +5

    Allah atuupushe na moto wa jahana

  • @NuruBene
    @NuruBene 3 місяці тому +2

    Mashalaahaa,

  • @AbdalahAbdi-b5c
    @AbdalahAbdi-b5c Рік тому +1

    Mashalah

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi 9 місяців тому +1

    Mashallah

  • @isaya240
    @isaya240 Рік тому +3

  • @AssumaniAlenge
    @AssumaniAlenge 3 місяці тому +2

    Amaniyamungu iwejuyako shekhe.nauliza mama yangu alifariki mimi sijakuwa ivimimi nitafanya je.nahombajibu mwalim yamenipata.

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  3 місяці тому +3

      Kama wamefarki wakati wewe ni mdogo huna dhima yoyote juu yao zaidi ya kuwaombea msamaha kwa ALLAH na kuwatolea sadaka kwani katika mambo matatu ambayo mtume[rehma na amani zimfikie] amesema mtu yatampatiya thawabu miongoni mwao ni mtoto mwema anaewaombea wazazi wake dua

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 2 місяці тому +2

      @@AssumaniAlenge Siokatika Masheikh Ila Nakuambia Jitahidi Ufanye Kheri Kwania Yakwamba Unafanya Kwaajili Yamzazi Wako Auwazazi Wako. Kama Kumtolea Swadaka N,K

  • @maase2023
    @maase2023 26 днів тому

    Kwani jahanam ishafunguliwa???

  • @halimandyakowaa7736
    @halimandyakowaa7736 14 днів тому

    Wewe kuwa makini na uyo urimi wako

  • @ThabitMwangu
    @ThabitMwangu 2 місяці тому +1

    Msafara wa mamba na kenge wapo hizi habar za wakat wa nabii Musa au haujasoma?

    • @MubarakaShoo
      @MubarakaShoo 2 місяці тому

      Mweuu kweli kafirri umetoka wapi huku nyau kweli

    • @Asiaha-l7q
      @Asiaha-l7q 2 місяці тому

      Wewe ulisoma nini 🤣 unachojua nikuabudu mjukuu WA ANNA UKASEMA NIMUNGU WAKO😂

  • @maundumwingizi8027
    @maundumwingizi8027 2 місяці тому +1

    Kwani tayari watu wameshaanza kuingizwa motoni? Au ni mpaka baada ya Qiyama?

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  2 місяці тому

      Mtu yoyote anaekufa na madhambi hakutubia anaanza kupata adhabu kuanzia pale kaburini kwake mpaka siku ya qiyamah

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 2 місяці тому

      Kama si Muislamu hembu kaa kando kwanza tupishe na dini yetu.

    • @maundumwingizi8027
      @maundumwingizi8027 2 місяці тому

      @@salmahalfani6307 hujajibu swali. Watu wameshaanza kupelekwa motoni kabla ya Siku ya Hukmu?

    • @maundumwingizi8027
      @maundumwingizi8027 2 місяці тому

      @@madrasatulfurqani mada haiongelei adhabu ya kaburini, mada inaongelea kijana aliyeingizwa motoni kabla ya siku ya Hukmu. Jibu swali, watu wameshaanza kuingizwa motoni kabla ya Qiyama?

    • @ihsanimafundisho
      @ihsanimafundisho 2 місяці тому

      @@maundumwingizi8027 huna hoja kaa pembeni

  • @maryamjuma8437
    @maryamjuma8437 2 місяці тому +1

    Waongo nyie.mnaomsubiri yesu atarudi

  • @Jamal22-o5n
    @Jamal22-o5n Місяць тому

    Waislam hawana tofauti na MAZUZU, mana hata wakiambiwa uongo wa waziwazi. Wao kazi takbir, allah akbar 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 Місяць тому

      ILA NYIE SIO MAZUZU WENYEWE MANGAPI MWAFANYA MAKANISANI HADI KUNA MAKANISA WAUME KWA WAUME WANAFUNGISHWA NDOA NA NI WAKRISTO WENZENU NA BADO MNASEMA EMEN VIPI UMESHASAHAU MACKENZIE SHAKA HOLA ALIVYOWADANGANYA MUKIFUNGA HADI KUFA MTAMUONA YESU NYIE NDO WAKUSHANGAWA ILA NIKAMA HAMJIONI KUKICHA MANABII WANACHIPUKA KATIKA DINI YENU NA BADO MNAWAKUBALI NAKUSEMA EMEN SO BE AMUSLIM MY FRIEND USIKUFE KIKAFIRI BADO ALLAH ANAKUITAJI BADILIKA USIJE JUTA BAADAE

    • @khloevibe7569
      @khloevibe7569 29 днів тому +1

      Kweli aiseeeeh😂😂😂

    • @MordAlly-ng8jj
      @MordAlly-ng8jj 17 днів тому

      😂😂 unajua biblia iliyoandikwa na king James ? Huyo king James alikuwa Gay. Sasa unamfuata nami. Yesu lugha yake ni Aramaic, inakuwaje biblia imeandikwa na wagiriki tena miaka mingi baada ya yesu kuondoka?

  • @yogwesaid7435
    @yogwesaid7435 2 місяці тому

    Nyi wanongo kweli sasa aliingiaje motoni na kiama bado yaani Kwa sasa hakuna mtu ambae Yuko peponiwala motoni msitishie watu

    • @madrasatulfurqani
      @madrasatulfurqani  2 місяці тому

      Tumia akili zako vizuri acha kukurupuka

    • @habiboumbarouk6610
      @habiboumbarouk6610 Місяць тому

      Kama wewe no muislam, mbona tunaambiwa mwezi wa ramadhani milango ya pepo yafunguliwa na ya moto yafungwa no ip

    • @fettiemaganza1484
      @fettiemaganza1484 Місяць тому

      Huwezi kuujua uislam kma sio muislam

  • @LufyBlack
    @LufyBlack 2 місяці тому +4

    Mbona nyinyi waongo mtume alikwepo motoni mpaka musingizie hayo. Cku ya hukumu bado acheni uwongo. Quran ipoh hakuna hiyo hadithi

    • @salmahalfani6307
      @salmahalfani6307 2 місяці тому +3

      Nyoooooh muongo wewe na ukoo wako Kafiri mmoja wee.

    • @ThabitMwangu
      @ThabitMwangu 2 місяці тому

      We ndo haujui waliosoma washaelewa we kaa na utomaso wako au wewe ni mmoja kama huyu kijana

    • @ThabitMwangu
      @ThabitMwangu 2 місяці тому +1

      Duu elimu ni kazi

    • @MwanakhamisLumbili-x8g
      @MwanakhamisLumbili-x8g 2 місяці тому +4

      Dini yako huijui utajuà yamwenzako

    • @MubarakaShoo
      @MubarakaShoo 2 місяці тому +5

      Mweu kweli kafirri wewe umetoka wapi huku ujui utapeli wenu utajua uislamu kaambali wewe hii siyo dini yamapambio na ngomaa hapa wap waumini tuu muslimini ☝️