NEEMA CITIZEN TV THUR 16TH JAN EP/NAOMI THREATENS CATE/JAYDEN MEETS HIS MUM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 36

  • @ElmaTsuma
    @ElmaTsuma 7 годин тому +3

    Wow so amazing 🎉🎉thanks dear for the update❤❤ ungejua jana vny nlzunguka nkikutafta apa kw UA-cam😂😂😂

  • @JosphineMwende-f6q
    @JosphineMwende-f6q 17 хвилин тому

    Thanks dear,,jana nilizunguka kwa UA-cam za wengine,, but niliwatch tu though hii yako ndio unibamba momaa ❤️,,, thanks for the update usimiss tena tulizoea hii sauti yawah 😂😂😂

  • @cynthiaadams7689
    @cynthiaadams7689 9 годин тому +2

    Alphonse arrived at the wrong time. 🙄🤦
    What Jayden feared has happened, yoh Wilkister's reaction was so bad.
    Thanks for the update. 😊

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому +1

      Yeah. I feel sorry for Jayden 😔.
      Thank you for watching 🙏

    • @mamakekasupu
      @mamakekasupu 8 годин тому +1

      @@glowr7910 i bet wilkister panicked after seeing her son🤔🤔🤔…., there‘re things sometimes that happen, & one doesnt know how to react!!!, which is clearly the case here for wilkister!!!!, I honestly feel sorry for both son & mother…., at this point! Nobody should jugde this Situation for now……, until further notice!!!🫡🫡😉

    • @charitykecy8316
      @charitykecy8316 30 хвилин тому

      @@mamakekasupu 🥰 thanks babes.. love yah❤️❤️🫂

  • @CarolineIrungu-jp5cm
    @CarolineIrungu-jp5cm 9 годин тому +1

    Thanks for the update ❤❤

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      You are so welcome❤️❤️

  • @ESTHERNJUGUNA-ey5mj
    @ESTHERNJUGUNA-ey5mj 9 годин тому

    Thanks waited for this alot

  • @GloriaGati-io5md
    @GloriaGati-io5md 8 годин тому +1

    Ungetufanyia ya Jana pia wengine we only follow frm this channel, consider plz

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      Nikikuandikia what happened inaeza saidia,ama heri video?

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      NEEMA CITIZEN TV 15TH JANUARY 2025
      Mark alirudi kwa Sharon,akamwambia si poa kusema uongo lakini Sharon akamwambia mimi najua niko wazimu lakini hiyo ni kitu niliona jana na hata wakasema nisisema.Cate kanajijaza kanasema katafanyia Sharon kitu but Mark alimwambia usijali,achana na hiyo. Hii yote wanasema ndio Neema asishikanishe rada but soon Neema atajua ukweli.
      Richard alikuja kwa hotel and specifically alitaka sana kuongea na Mark. Akawasalimia akina Neema na akaomba kuongea na Mark hapo nje.
      Jojo shuleni,Yule classmate wake brayo haachi kumsumbua .Jojo naye akamwambia aende akafanye whatever brought him to school. Teacher alikuja akaamua kuchange seating arrangements. Brian huwa anakaa huko nyuma lakini leo hii teacher akamwambia akuje akae huku mbele karibu na Jojo.Brian alifurahia Sana kukaa kando ya JoJo but sasa JoJo hadai story zake .
      Richard na yeye alikuja kuongea na Mark kuhusu Naomi, aliamwambia Mark,amechoka kuishi na mwanamke mwenye hana heshima na hata hii nyumba haina mapenzi kabisa anafanya hata nyumbani naenda late ju sitaki niende mapema kugombana na yeye.Mark alimwambia just listen to your heart Richard. Richard akasema heart yake insema wadivorce Tu ju yeye hataki mwamke kazi nikunag na kugombana kila saa. Yeye anataka mwamke mtulivu mwenye atamshika mkono wakati ako chini na ata kumpea Amani nyumbani. Mark akamshow that's how a true wife should be.
      Richard alimuuliza na wewe Mark,what of wewe na Neema,how far tangu muende kuona Eddy? Mark akamwambia kila kitu iko sawa but sasa shida ni Alphonse,he is intrested in her and playing the perfect husband karibu na Neema. Richard akamwambia sasa,dawa ni moja,ongea na Cate uambie Neema ukweli ajue hauna mtu. Mark akaongezea akasema tena shida ni Jojo,she is more protective na nashindwa kama anaeza kubali mamake apendwe tena.
      Huku shuleni,madem wengine wanachukia Jojo sana just because anapendwa na Brian hadi wanajiuliza,Brayo aliona nini kwa hiki kidem...kimadharau, madem wakakuja wakagonga Jojo hadi akaangusha simu yake. Kumbe Brayo aliwaona,akakuja akawaambia nyinyi madem,msiwai bully huyu dem tena tutakosana vibaya sana lakini Jojo badala ya kuambia Brayo thanks,alichukua simu na akaenda.
      Jojo alikuja kuambia Val venye kila shule anaenda ni mashida tu...but Val alimwambia relax,ni mambo ya dunia unajua mimi na Kevo sai tuko sawa wewe pia utakua tu sawa.
      Cate na yeye alikuja akaambia Tom,babe its time sisi tuhepe ju nasikia kuna malorry za kuvukisha watu Tanzania but Tom alimwambia babe,pesa tutatoa wapi ju hii shughuli hutaka pesa mob? Cate akamwambia usijali,mathe na Mercy walinipea pesa so tuko sawa. Cate anataka kuhepa na Tom wake,wataweza kweli bila usaidizi wa Mark. Si mnakumbuka Cate akimshow mark that wataondoka in 2 weeks time ndio mark aweze kuconfess love yake Kwa Neema .
      Naomi akiwa kwa call na Karen huku Kwa farm ,alimwambia sikiza, sai tuko sawa ju Eddy ako ndani na tutahakikisha atakaa huko so usiwe na wasiwasi na hope uliongea na lawyer atuchoree story ya Eddy na asijue story ya Neema lakini Karen anamwambia unajua Eddy ako ndani kwa makosa hakufanya . Kumbe wakati huu wote,Cate akipita hapo aliskia kila kitu chenye Naomi wanaongea na Naomi hakumuona Cate na whatever Cate amesikia vizuri ni Naomi akimshow Karen venye ni yeye alimpea tactics za kufanya Eddy asiongee na Neema hadi Cate anashindwa sana,what kind of a friend Naomi is.
      Neema alikua anaongea na beshte yake Olivia ,Yule daktari, huku kwa hotel huku anamwambia sidhani kama sai niko idha ya wanaume,nataka tu kujikalisha peke yangu.Beshte wa Neema alimwambia Neema,usijinyime furaha ju ya Eddy,wewe bado msichana mdogo na usifanye mistake nilifanya. Neema alisuggest wende nje kiasi na wakati wanatoka Naomi ndio alikua anaingia. Cate kumuona Neema akakuja akamwambia please,tunaeza ongea kiasi? Neema akamwambia not now ju niko na beshte yangu hapa. Cate akakanyagia.
      Huku nje,beshte wa Neema aliuliza Neema mbona unakaa nikama unapenda mtu? Neema akamwambia ni kitu kama hiyo lakini wueh,sijui tunaanzia wapi. Beshte akamuuliza ebu niambie kumhusu? Neema akadescribe Mark venye ako gentle and humble na ako very protective. Beshte alimuuliza na mbona hamko pamoja? Neema akamwambia ni venye hatujai pata time ya kuongea but I love him soo much shida tu ni Jojo,haezi taka kuona mwanaume mwingine akireplace babake kwa maisha yangu. Neema kumbe anampenda Mark.
      Neema wakiwa hapo,Mark akapita hapo na akajiintroduce ju alikua anafanya tukazi hapo. Beshte akaangalia Neema venye anaangalia Mark,akajua mara moja,the mystery man is Mark .Neema akablush tu.
      Naomi baadaye alimuita Neema akamwambia yoh,jana we had disagreement na Richard. Lakini Neema akamuuliza,hii ndio umeniitia wakati nyinyi mumeishi kugombana? Naomi akamwambia for this one ni tofauti kiasi ju anataka kunipea talaka. Neema akashtuka but Naomi akamwambia usijifanye kushtuka iam sure ulikua unajua. Kumbe Naomi aliambia Richard ako ball but Richard akamwambia wee kaa na ball but ujue si yangu so story za ball pelekea mwenye mimba na shukuru sana kama si Neema sai ningekua nilikutupa nje kitambo sana.
      Neema alijitetea,akaambia Naomi kuhusu wewe kucheat hakuna mwenye anajua but kuhusu ball kila mtu anaona. So si Naomi bado aki hapo anajieleza venye yeye hakujua ilikuwa serious hivo , Neema akimshow Naomi that mi ata decision ya Richard kukudivorce simblame , Naomi akastuka Tu,,,,so hapo ndio iliishia Jana
      I hope it helps

  • @CarolineIrungu-jp5cm
    @CarolineIrungu-jp5cm 9 годин тому

    Mi niliwatch

  • @rodemaryatieno5547
    @rodemaryatieno5547 8 годин тому +1

    Ok appreciate

  • @GrandCanyon-i5q
    @GrandCanyon-i5q 8 годин тому +1

    Jana nilikumiss 💘

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      I was so held up. I'm glad I was able to do this today❤

  • @JosphineMwende-f6q
    @JosphineMwende-f6q 16 хвилин тому

    Woiyee mbona mum Jayden anareact hivyo akh,,, our boy heartbroken again i feel bad oooh

  • @mosesmuraz3893
    @mosesmuraz3893 7 годин тому

    Apology accepted 😊

  • @maggiewanjira2845
    @maggiewanjira2845 9 годин тому

    Kuna dame ako na sauti kama Yako hapa UA-cam na ata she does this neema clips

  • @charitykecy8316
    @charitykecy8316 9 годин тому +2

    Some of us didn't watch ya jana aki

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому +1

      Should I write for you what happened? Will it help?

    • @charitykecy8316
      @charitykecy8316 8 годин тому

      @@glowr7910 I'll appreciate aki

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      NEEMA CITIZEN TV 15TH JANUARY 2025
      Mark alirudi kwa Sharon,akamwambia si poa kusema uongo lakini Sharon akamwambia mimi najua niko wazimu lakini hiyo ni kitu niliona jana na hata wakasema nisisema.Cate kanajijaza kanasema katafanyia Sharon kitu but Mark alimwambia usijali,achana na hiyo. Hii yote wanasema ndio Neema asishikanishe rada but soon Neema atajua ukweli.
      Richard alikuja kwa hotel and specifically alitaka sana kuongea na Mark. Akawasalimia akina Neema na akaomba kuongea na Mark hapo nje.
      Jojo shuleni,Yule classmate wake brayo haachi kumsumbua .Jojo naye akamwambia aende akafanye whatever brought him to school. Teacher alikuja akaamua kuchange seating arrangements. Brian huwa anakaa huko nyuma lakini leo hii teacher akamwambia akuje akae huku mbele karibu na Jojo.Brian alifurahia Sana kukaa kando ya JoJo but sasa JoJo hadai story zake .
      Richard na yeye alikuja kuongea na Mark kuhusu Naomi, aliamwambia Mark,amechoka kuishi na mwanamke mwenye hana heshima na hata hii nyumba haina mapenzi kabisa anafanya hata nyumbani naenda late ju sitaki niende mapema kugombana na yeye.Mark alimwambia just listen to your heart Richard. Richard akasema heart yake insema wadivorce Tu ju yeye hataki mwamke kazi nikunag na kugombana kila saa. Yeye anataka mwamke mtulivu mwenye atamshika mkono wakati ako chini na ata kumpea Amani nyumbani. Mark akamshow that's how a true wife should be.
      Richard alimuuliza na wewe Mark,what of wewe na Neema,how far tangu muende kuona Eddy? Mark akamwambia kila kitu iko sawa but sasa shida ni Alphonse,he is intrested in her and playing the perfect husband karibu na Neema. Richard akamwambia sasa,dawa ni moja,ongea na Cate uambie Neema ukweli ajue hauna mtu. Mark akaongezea akasema tena shida ni Jojo,she is more protective na nashindwa kama anaeza kubali mamake apendwe tena.
      Huku shuleni,madem wengine wanachukia Jojo sana just because anapendwa na Brian hadi wanajiuliza,Brayo aliona nini kwa hiki kidem...kimadharau, madem wakakuja wakagonga Jojo hadi akaangusha simu yake. Kumbe Brayo aliwaona,akakuja akawaambia nyinyi madem,msiwai bully huyu dem tena tutakosana vibaya sana lakini Jojo badala ya kuambia Brayo thanks,alichukua simu na akaenda.
      Jojo alikuja kuambia Val venye kila shule anaenda ni mashida tu...but Val alimwambia relax,ni mambo ya dunia unajua mimi na Kevo sai tuko sawa wewe pia utakua tu sawa.
      Cate na yeye alikuja akaambia Tom,babe its time sisi tuhepe ju nasikia kuna malorry za kuvukisha watu Tanzania but Tom alimwambia babe,pesa tutatoa wapi ju hii shughuli hutaka pesa mob? Cate akamwambia usijali,mathe na Mercy walinipea pesa so tuko sawa. Cate anataka kuhepa na Tom wake,wataweza kweli bila usaidizi wa Mark. Si mnakumbuka Cate akimshow mark that wataondoka in 2 weeks time ndio mark aweze kuconfess love yake Kwa Neema .
      Naomi akiwa kwa call na Karen huku Kwa farm ,alimwambia sikiza, sai tuko sawa ju Eddy ako ndani na tutahakikisha atakaa huko so usiwe na wasiwasi na hope uliongea na lawyer atuchoree story ya Eddy na asijue story ya Neema lakini Karen anamwambia unajua Eddy ako ndani kwa makosa hakufanya . Kumbe wakati huu wote,Cate akipita hapo aliskia kila kitu chenye Naomi wanaongea na Naomi hakumuona Cate na whatever Cate amesikia vizuri ni Naomi akimshow Karen venye ni yeye alimpea tactics za kufanya Eddy asiongee na Neema hadi Cate anashindwa sana,what kind of a friend Naomi is.
      Neema alikua anaongea na beshte yake Olivia ,Yule daktari, huku kwa hotel huku anamwambia sidhani kama sai niko idha ya wanaume,nataka tu kujikalisha peke yangu.Beshte wa Neema alimwambia Neema,usijinyime furaha ju ya Eddy,wewe bado msichana mdogo na usifanye mistake nilifanya. Neema alisuggest wende nje kiasi na wakati wanatoka Naomi ndio alikua anaingia. Cate kumuona Neema akakuja akamwambia please,tunaeza ongea kiasi? Neema akamwambia not now ju niko na beshte yangu hapa. Cate akakanyagia.
      Huku nje,beshte wa Neema aliuliza Neema mbona unakaa nikama unapenda mtu? Neema akamwambia ni kitu kama hiyo lakini wueh,sijui tunaanzia wapi. Beshte akamuuliza ebu niambie kumhusu? Neema akadescribe Mark venye ako gentle and humble na ako very protective. Beshte alimuuliza na mbona hamko pamoja? Neema akamwambia ni venye hatujai pata time ya kuongea but I love him soo much shida tu ni Jojo,haezi taka kuona mwanaume mwingine akireplace babake kwa maisha yangu. Neema kumbe anampenda Mark.
      Neema wakiwa hapo,Mark akapita hapo na akajiintroduce ju alikua anafanya tukazi hapo. Beshte akaangalia Neema venye anaangalia Mark,akajua mara moja,the mystery man is Mark .Neema akablush tu.
      Naomi baadaye alimuita Neema akamwambia yoh,jana we had disagreement na Richard. Lakini Neema akamuuliza,hii ndio umeniitia wakati nyinyi mumeishi kugombana? Naomi akamwambia for this one ni tofauti kiasi ju anataka kunipea talaka. Neema akashtuka but Naomi akamwambia usijifanye kushtuka iam sure ulikua unajua. Kumbe Naomi aliambia Richard ako ball but Richard akamwambia wee kaa na ball but ujue si yangu so story za ball pelekea mwenye mimba na shukuru sana kama si Neema sai ningekua nilikutupa nje kitambo sana.
      Neema alijitetea,akaambia Naomi kuhusu wewe kucheat hakuna mwenye anajua but kuhusu ball kila mtu anaona. So si Naomi bado aki hapo anajieleza venye yeye hakujua ilikuwa serious hivo , Neema akimshow Naomi that mi ata decision ya Richard kukudivorce simblame , Naomi akastuka Tu,,,,so hapo ndio iliishia Jana
      I hope it helps

  • @lizabeth6305
    @lizabeth6305 9 годин тому

    😂😂😂😂

  • @Leahbosibori-u9z
    @Leahbosibori-u9z 9 годин тому

    Aki ci utoe ya leo ama please usiruke

    • @sheillahmunandi9388
      @sheillahmunandi9388 9 годин тому

      Enda uwatch viusasa neema search

      @mamakekasupu 8 годин тому

      @@glowr7910 thats a book writing, 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @mamakekasupu
    @mamakekasupu 8 годин тому

    Thankyou that you apologize because, one i got worried that those thugs have abducted you, as its so common in Kenia, & secondly i also got mad at you!!!!, i thought like ehat the fuck is happening….., thank heavens you safe & here.🙏🏾🙏🏾, but pls this should not happen again, at least not this year! Alhamdulilahi!!!

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      It won't happen again I promise. Thank you for your concern 🙏.

  • @Edna-y3u
    @Edna-y3u 9 годин тому

    Please toa ya jana

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      NEEMA CITIZEN TV 15TH JANUARY 2025
      Mark alirudi kwa Sharon,akamwambia si poa kusema uongo lakini Sharon akamwambia mimi najua niko wazimu lakini hiyo ni kitu niliona jana na hata wakasema nisisema.Cate kanajijaza kanasema katafanyia Sharon kitu but Mark alimwambia usijali,achana na hiyo. Hii yote wanasema ndio Neema asishikanishe rada but soon Neema atajua ukweli.
      Richard alikuja kwa hotel and specifically alitaka sana kuongea na Mark. Akawasalimia akina Neema na akaomba kuongea na Mark hapo nje.
      Jojo shuleni,Yule classmate wake brayo haachi kumsumbua .Jojo naye akamwambia aende akafanye whatever brought him to school. Teacher alikuja akaamua kuchange seating arrangements. Brian huwa anakaa huko nyuma lakini leo hii teacher akamwambia akuje akae huku mbele karibu na Jojo.Brian alifurahia Sana kukaa kando ya JoJo but sasa JoJo hadai story zake .
      Richard na yeye alikuja kuongea na Mark kuhusu Naomi, aliamwambia Mark,amechoka kuishi na mwanamke mwenye hana heshima na hata hii nyumba haina mapenzi kabisa anafanya hata nyumbani naenda late ju sitaki niende mapema kugombana na yeye.Mark alimwambia just listen to your heart Richard. Richard akasema heart yake insema wadivorce Tu ju yeye hataki mwamke kazi nikunag na kugombana kila saa. Yeye anataka mwamke mtulivu mwenye atamshika mkono wakati ako chini na ata kumpea Amani nyumbani. Mark akamshow that's how a true wife should be.
      Richard alimuuliza na wewe Mark,what of wewe na Neema,how far tangu muende kuona Eddy? Mark akamwambia kila kitu iko sawa but sasa shida ni Alphonse,he is intrested in her and playing the perfect husband karibu na Neema. Richard akamwambia sasa,dawa ni moja,ongea na Cate uambie Neema ukweli ajue hauna mtu. Mark akaongezea akasema tena shida ni Jojo,she is more protective na nashindwa kama anaeza kubali mamake apendwe tena.
      Huku shuleni,madem wengine wanachukia Jojo sana just because anapendwa na Brian hadi wanajiuliza,Brayo aliona nini kwa hiki kidem...kimadharau, madem wakakuja wakagonga Jojo hadi akaangusha simu yake. Kumbe Brayo aliwaona,akakuja akawaambia nyinyi madem,msiwai bully huyu dem tena tutakosana vibaya sana lakini Jojo badala ya kuambia Brayo thanks,alichukua simu na akaenda.
      Jojo alikuja kuambia Val venye kila shule anaenda ni mashida tu...but Val alimwambia relax,ni mambo ya dunia unajua mimi na Kevo sai tuko sawa wewe pia utakua tu sawa.
      Cate na yeye alikuja akaambia Tom,babe its time sisi tuhepe ju nasikia kuna malorry za kuvukisha watu Tanzania but Tom alimwambia babe,pesa tutatoa wapi ju hii shughuli hutaka pesa mob? Cate akamwambia usijali,mathe na Mercy walinipea pesa so tuko sawa. Cate anataka kuhepa na Tom wake,wataweza kweli bila usaidizi wa Mark. Si mnakumbuka Cate akimshow mark that wataondoka in 2 weeks time ndio mark aweze kuconfess love yake Kwa Neema .
      Naomi akiwa kwa call na Karen huku Kwa farm ,alimwambia sikiza, sai tuko sawa ju Eddy ako ndani na tutahakikisha atakaa huko so usiwe na wasiwasi na hope uliongea na lawyer atuchoree story ya Eddy na asijue story ya Neema lakini Karen anamwambia unajua Eddy ako ndani kwa makosa hakufanya . Kumbe wakati huu wote,Cate akipita hapo aliskia kila kitu chenye Naomi wanaongea na Naomi hakumuona Cate na whatever Cate amesikia vizuri ni Naomi akimshow Karen venye ni yeye alimpea tactics za kufanya Eddy asiongee na Neema hadi Cate anashindwa sana,what kind of a friend Naomi is.
      Neema alikua anaongea na beshte yake Olivia ,Yule daktari, huku kwa hotel huku anamwambia sidhani kama sai niko idha ya wanaume,nataka tu kujikalisha peke yangu.Beshte wa Neema alimwambia Neema,usijinyime furaha ju ya Eddy,wewe bado msichana mdogo na usifanye mistake nilifanya. Neema alisuggest wende nje kiasi na wakati wanatoka Naomi ndio alikua anaingia. Cate kumuona Neema akakuja akamwambia please,tunaeza ongea kiasi? Neema akamwambia not now ju niko na beshte yangu hapa. Cate akakanyagia.
      Huku nje,beshte wa Neema aliuliza Neema mbona unakaa nikama unapenda mtu? Neema akamwambia ni kitu kama hiyo lakini wueh,sijui tunaanzia wapi. Beshte akamuuliza ebu niambie kumhusu? Neema akadescribe Mark venye ako gentle and humble na ako very protective. Beshte alimuuliza na mbona hamko pamoja? Neema akamwambia ni venye hatujai pata time ya kuongea but I love him soo much shida tu ni Jojo,haezi taka kuona mwanaume mwingine akireplace babake kwa maisha yangu. Neema kumbe anampenda Mark.
      Neema wakiwa hapo,Mark akapita hapo na akajiintroduce ju alikua anafanya tukazi hapo. Beshte akaangalia Neema venye anaangalia Mark,akajua mara moja,the mystery man is Mark .Neema akablush tu.
      Naomi baadaye alimuita Neema akamwambia yoh,jana we had disagreement na Richard. Lakini Neema akamuuliza,hii ndio umeniitia wakati nyinyi mumeishi kugombana? Naomi akamwambia for this one ni tofauti kiasi ju anataka kunipea talaka. Neema akashtuka but Naomi akamwambia usijifanye kushtuka iam sure ulikua unajua. Kumbe Naomi aliambia Richard ako ball but Richard akamwambia wee kaa na ball but ujue si yangu so story za ball pelekea mwenye mimba na shukuru sana kama si Neema sai ningekua nilikutupa nje kitambo sana.
      Neema alijitetea,akaambia Naomi kuhusu wewe kucheat hakuna mwenye anajua but kuhusu ball kila mtu anaona. So si Naomi bado aki hapo anajieleza venye yeye hakujua ilikuwa serious hivo , Neema akimshow Naomi that mi ata decision ya Richard kukudivorce simblame , Naomi akastuka Tu,,,,so hapo ndio iliishia Jana
      I hope it helps

    • @glowr7910
      @glowr7910  8 годин тому

      I hope hii inasaidia aki