HUU HAPA USHAHIDI NA UKWELI KUHUSU HARMONIZE NA KAJALA KUACHANA YANI HADI AKA..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 357

  • @janeshayo1667
    @janeshayo1667 Рік тому +27

    Yustar wangu wewe nilikua nakungoja uongee Asante dada❤️❤️❤️❤️

  • @muragizinourah1042
    @muragizinourah1042 Рік тому +20

    Acunguze vizuri ajue paula alikua sehemu gani kwa hizo saa!!!utakuta ni paula.....ndo maana harmo kangangania kajala asioni ninani alokua ndani......ohoooooooo!!

    • @janepeter1420
      @janepeter1420 Рік тому +1

      Wenae fala

    • @hadijamtepa8528
      @hadijamtepa8528 Рік тому

      Hapna bwan pau c amemtoa mama Ake kampeleka uko kwenda kumueka sawa cy pau bwan

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 Рік тому +10

    Cjawahi kuchoka kukuangalia yustar unanipaga Raha sana mwenyezi mungu akuweke Yani mwanzo mwisho interview zako huwa aichoki ni kucheka tu ❤️❤️❤️😆

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +6

    Asante dada kutuwekeya wazi mana tulikuwa njiyapanda

  • @gmlikaka
    @gmlikaka Рік тому +18

    Makosa sana Harmonize kumpiga mwanamke ngumi,shenzi sana

    • @Sawat12477
      @Sawat12477 Рік тому +1

      Kajala pengine alianza juu ya hasira. Watoto wa kiume huonewa sana

    • @4figure940
      @4figure940 Рік тому +1

      Angefanyaje sasa kama unambiwa usiingie uku ww unaingia 😂😂 inatakiwa kifuata maelekezo

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 Рік тому +18

    Kelele moja kwa yusta ake weuweeeeeeh💃

    • @catherinensemwa3907
      @catherinensemwa3907 Рік тому +1

      Weuweeeeeeh❤️❤️❤️

    • @sophsoph4740
      @sophsoph4740 Рік тому +1

      Weeeeeèwwe3ww33 always da yusra👌

    • @mrbolt8194
      @mrbolt8194 Рік тому

      huyodogo nimshamba kidem chenyewe nikizee chukua hata Paula

  • @stellah3844
    @stellah3844 Рік тому +44

    Yuster Mumy kama kweli kajala rafikiako mshauri afanye biashara kwa umri wake hata siyo wa kuhangaika na wanaume tena vibenten unless aolewe kama wezake atulie maana anajiaibisha sana na anawaaibisha familia yake

    • @julianapeason6254
      @julianapeason6254 Рік тому +7

      Mtu asiejitambua hata awe na miaka 60 bado hatajitambua. Akikuwa ataacha

    • @stellah3844
      @stellah3844 Рік тому +3

      @@julianapeason6254 Najua na ndyo maana nmeshangaa huyu Dada yupo smart lakin anarafik mpumbavu,,,,japo hata chizi huzeeka na uchiz wake

    • @Sawat12477
      @Sawat12477 Рік тому +4

      Huyu kajala ni joto ya mwili. Aibu mama mkubwa. Umri hukataa tabia zingine kwanza kwa wamama. Heshimu umri. Kila kitu na wakati wake

    • @fetykhamis9413
      @fetykhamis9413 Рік тому +2

      Mim si mtu w kfatilia mamb y wasanii il mung ktimiz maomb yng wakom t kil sehm kajal kajal ah 😄

    • @fluransflurans7369
      @fluransflurans7369 Рік тому +1

      @@stellah3844 nihatari

  • @vctor6768
    @vctor6768 Рік тому +21

    This lady is talking the truth thanks so much for the update.👍👍

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 Рік тому +1

    Thank you so much for information kumbe harmonize alikuwa na mwanamke kwa nyumba

  • @shamzone388
    @shamzone388 Рік тому +20

    Yusta nakupenda sana unavyozungumza mash allah upo vizur sana..

  • @Teddy-fq5oc
    @Teddy-fq5oc Рік тому +17

    Nimemsikilizaaa huyu dada mbona kaugomvi ka kawaida katika mahusiano ili yadumu lazima kuwe na samehe alafu ukitaka cha peke yako muumbe wako..au uyo atakuwa malaika...kajala wewe kuwa mpole maisha yaendelee

  • @sultanaswaleh8892
    @sultanaswaleh8892 Рік тому +11

    Huyu dada huwa ana simama kwenye ukweli.siku zote..pongezi dadaangu

  • @dianadaudi3380
    @dianadaudi3380 Рік тому +12

    Niko hapa kupata ubuyu haongopagi huyu dada👏👏👏

  • @lydi791
    @lydi791 Рік тому +2

    Kwa kweli Harmo amekuangusha dada yustar umepambana sna harmo atuliye tuu na izo bangi zake

  • @jacksonshukuru209
    @jacksonshukuru209 Рік тому +11

    Yustar naku penda sana 😍😍 unaongeya vizuri

  • @vidinmlulemmininwa6158
    @vidinmlulemmininwa6158 Рік тому +6

    Atari sana kabisa Mambo ya harmonize yanahacha watu hoi kabisa.

  • @alwiyad1977
    @alwiyad1977 Рік тому +5

    True lady with real information

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 Рік тому +1

    Stella AGE IS JUST A NUMBER plse. As long the couple 💑 😍 love each other, life goes.Ila TABIA haina dawa hata kama ukiipaka RANGI, haitabadiliika kamwe bali itarekebika kwa muda na kurudia uasili wake.

  • @sistertrashid2488
    @sistertrashid2488 Рік тому +2

    Mimi nakupenda wewe Dada kwakweli upo vizuri una rangi nzuri sura nzuri bila mikolokolo unanoga tu ❤️❤️❤️

  • @akimanamariam4451
    @akimanamariam4451 Рік тому +1

    Yani uyu dada nimemupenda kweri🥰🥰🥰🥰

  • @nononona7625
    @nononona7625 Рік тому +4

    Munamwitaga aje😁😁 kwahivyo mbosso husema kweli 🥰🥰🥰

  • @zeinababdillahi1094
    @zeinababdillahi1094 Рік тому +1

    Tulipo ambiwa kueni muyaone mulikua mwatarajia muyaone gani sasa hapo ni kuosha uso na maisha yaendelee sikwa ubaya.

  • @fatumadugulu351
    @fatumadugulu351 Рік тому +1

    Big up yustar,ila hamo nae kwa nn kamficha chooni si umesema jumba kubwa angempeleka mbali basi,au kashamchoka kajala?

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 Рік тому +12

    Kama ni hivo harmonize anatabia mbaya sana

  • @vovobi2379
    @vovobi2379 Рік тому +4

    Ameongea vizuri sana huu dada nampenda sana

  • @aminamahya657
    @aminamahya657 Рік тому +1

    Wanaume mungu anawaona ata huwapende VP huwa waridhiki

  • @ziyadanyandwi2908
    @ziyadanyandwi2908 Рік тому +14

    Mwanaume Mungu anawaona yaani sio watu wa kuamini kabisa tunatakiwa tuishi nao kwa akili

    • @jazirajazira8116
      @jazirajazira8116 Рік тому

      Ni hatar haswa

    • @Sawat12477
      @Sawat12477 Рік тому

      Sasa wanaume wanafanya, huyu kajala mzee ameona mengi mpaka ana mtoto mkubwa... joto ya mwili ilimpeleka kwa Harmo. zari na kajala wazee wako over 40s na wanajifanya wasichana. Watulie na wajue wanaume hata wawe 70 wanaweza chukua warembo hata wandogo lakini hawa wamama wazee acheni, kushindana na mababa

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 Рік тому

      Sisi ndiyo tuliambiwa tuishi na nyie kwa akili..

  • @gmlikaka
    @gmlikaka Рік тому +10

    Kutoka hapa 254. This is the best interview

    • @marrymazengo1315
      @marrymazengo1315 Рік тому

      Umeona eeeh👏👏

    • @hukuUJERUMANI
      @hukuUJERUMANI Рік тому

      True. The most comprehensive and detailed interview concerning the Kajala & Harmonize break up so far.

    • @gmlikaka
      @gmlikaka Рік тому +1

      @@hukuUJERUMANI Absolutely

    • @gmlikaka
      @gmlikaka Рік тому +1

      @@marrymazengo1315 kabisa

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +11

    Nakweli anaenenepa analoho safi sana

    • @jacklinekarisa2415
      @jacklinekarisa2415 Рік тому +1

      Sasa hormonize naye ana ujinga jumba lote Hilo n bdo akaeka mwanamke Kwa Choo ya bedroom ako n ushamba huyu jamaa

  • @mnavikalilevavenu7406
    @mnavikalilevavenu7406 Рік тому +1

    Safi sana Harmo, we utakuwaje kebenten bwana wakati umri wako ni mdogo na vyombo unavyo? Tafuta kimwana unayeendana naye hayo manung'ayemba ni ya kuyapitia na kuyamwaga yaende yakatafute wazee wenzao huko uwanja wa fisi

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 Рік тому +3

    Wanawake tujitahidi kujisitiri haswa kiumri vijana hawa wadogo watatudhalilisha.ingawa mnasema it's just a number when it comes to love. Tujitahidi sana kutpenda hovyo hovyo

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 Рік тому +6

    Bado mpaka sasa watz kunenepa wanaona deal

  • @nairaidid4936
    @nairaidid4936 Рік тому +9

    Huyo dada nimempenda bureee.

  • @mariamhuruv3223
    @mariamhuruv3223 Рік тому +1

    Hamon anampenda kajala kutoka moyon () na kitendo alichokifanya hamon Kiko kwakila mwanaume wanaume wameumbiwa tamaa Ila wamoyon huwa anabaki moyon. Hamon anampenda kajala) wengine wapita njia tu....

  • @sabinakilian3176
    @sabinakilian3176 Рік тому +13

    ila ulipambana shoga angu😂🤔

  • @مريممريم-ذ6ه3ن
    @مريممريم-ذ6ه3ن Рік тому +1

    Hivi kweli nayale mapezi yote anaompenda bado anamchity eeeh wanaume jaman🤔😥

  • @omanbarka1588
    @omanbarka1588 Рік тому +3

    Bas hapo kulikuwa na kitu ya wezekana kuna mmoja katumia madawa ya mapenzi dawa sasa zimeisha nguvu lazima mtifuano wa nguvu dawa zimeisha nguvu

  • @marrymazengo1315
    @marrymazengo1315 Рік тому +1

    Pole mwaya yustar ulimpambania sana harmonize kama ameyabananga mwenyewe ataisoma namba

  • @barakadanieli1440
    @barakadanieli1440 Рік тому +36

    Mnamsema harmo tu eti wanaume tunanini na yule mwanamke alifata nini nyumbn kwa harmo mpaka akaenda nyumban kwakwe hakujua harmo ni wakajala nyie wanawake pia mnamatatizo makubwa tu kwanza yeye mwanamke kukubali kwenda nyumban kwa harmo ni kosa kubwa sana alikuwa anahitaji waachane na kajala kwa akili ya harakaharaka tu lazma uone mwenye makosa makubwa hapo ni nan? Wanawake mgekuwa na ujasiki kukataa kutembea na waume za watu dunia ingekuwa salama

    • @fedhandunga5935
      @fedhandunga5935 Рік тому +2

      Kweli kabisaa

    • @Sawat12477
      @Sawat12477 Рік тому +2

      Hakuna kama kajala kwake bona hakuwa na funguo za nyumba mpaka aulize security kama kuna watu ndani. Yakaa Kajala huenda akiwa na joto ya mwili kwa Harmo, kijana.

    • @pmwendemusyoka109
      @pmwendemusyoka109 Рік тому +2

      Mwanamume ndiye mwenye makosa kwanini Unaukataa ukweli? Harmonize ndiye mwenye nyumba, Mwanamke hawezi kuingia kwa ile nyumba bila ruhusa ya harmonize, halafu mwanamke hatongozi, yeye alifanya kutongozwa, na akaletwa kwa nyumba, na hata angekataa mwanamume angeenda kutongoza mwengine tu kwa sababu ashaamua kumsaliti kajala, makosa ya mwanamke Ni gani?

    • @metrinenyakoe1764
      @metrinenyakoe1764 Рік тому

      ​@@pmwendemusyoka109 yenyewe hapo kuna ukweli

    • @hadijamtepa8528
      @hadijamtepa8528 Рік тому +1

      Hapana bwana msitulaumu wadada wale bwan walikuwa Wana makubaliano Yao wenyewe ✌️

  • @bahatiunami3526
    @bahatiunami3526 Рік тому +1

    Kumbe kaongovi ako tu mbona ka kawaida Sana ata demu tu akumjua ninani wenzie huwa tunawafuma namajina tunawajua had sura tunawajua Sasa yeye alihisi tu lakini Hana uhakika kubigwa tu kawaida Sana wengine tunaishi na wakina mandoga mtu kazi

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 Рік тому +6

    Dad tumesikia lakini kwenye mpz Kuna mambo mengi ki kubwa uvumilivu sas kama sis wanadoa tunakosana na wame zetu hatuji mtandaoni labda kajala nimupitaji sio mkeeee

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 Рік тому +11

    Sio akina juma wanaoguess huyu ndo ukweli

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Рік тому +7

    Interview nzuri sana.

  • @ramsonsaid7962
    @ramsonsaid7962 Рік тому +16

    nampenda huyu dada anasema ukweli

  • @sadamkyndo2719
    @sadamkyndo2719 Рік тому +2

    Yuster hamo kamupiga kajala kisa alisikia mkimuita kale kajina mnako mwita hamo mkiwa pekeenu kana kera ety

  • @kesiyak5175
    @kesiyak5175 Рік тому +3

    Nampenda uyu Dada vikali❤

  • @jan6703
    @jan6703 Рік тому +1

    Swali moja tu. Kama nyumba ni kubwa hivyo na Harmo alikuwa na muda vile kwa nini asimfiche huyo kimada wake kwenye chumba kingine. Angemfichaje chooni ambapo lazima Kajala angeingia? Tukumbuke kuwa Harmo alishuka hadi chini kumchukua Kajala hivyo muda na mwanya alikuwa nao kumficha mtu wake. Ni ulevi au?

  • @ManaseJuma-uz2zd
    @ManaseJuma-uz2zd Рік тому

    Nyimbo mpya

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 Рік тому +1

    Aky WA tz 🤣🤣🤣🤣🤣 mnavochekacheka hapo hahaha from 254

  • @amangearge9594
    @amangearge9594 Рік тому +15

    Nampendaga huyu dada interview zake tamuu😆😆

  • @berthajohn4721
    @berthajohn4721 Рік тому +1

    Jmn hi camp nilikua naipend lkn kw mamb ya bro daaa hpn

  • @scollantandu2350
    @scollantandu2350 Рік тому +1

    Jamani unashangaa nini??? wakati wanaume wote duniani ndivyo walivyooooooooooooooooooo

  • @TheMvenTvfamily
    @TheMvenTvfamily Рік тому

    Dada umenena ukweli kabisaa,ulitenda mema Kwa roho safi lakini umelipwa mabaya ila sasa wacha wao wenyewe wafanye uamuzi,usijihushishe tena.....

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 Рік тому

    Pole sana yusta jmn wanawake tujifunze ukishaachana na mume au bwana usirudie matapishi ukilazimisha ndo haayoooooo

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI Рік тому +6

    Kazi nzuri sana! The most comprehensive, almost first-person interview, concerning the Kajala-Harmonize split up. Yusta Mgaya is a very resourceful person on this topic because both the concerned parties are seemingly her very close friends. What insight! Got me subscribing to this channel. Endeleeni hivi hivi.

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Рік тому

    Mnakibarua wakiacha warudianee ina wahusuu nin jamanii simuangalie maisha yenu jamanii

  • @abdallahrashid169
    @abdallahrashid169 Рік тому +10

    Kumbe kweli aisee Yani hii story nilikua nasikia tu watu wanaongea sikuamini lakini kwa yustar Sasa nimeamin kweli wamezinguana harmo na kajala

  • @kenslogistics4377
    @kenslogistics4377 Рік тому

    Nyumba kubwa ile si angemficha kwa room za upstairs

  • @UwurukundoJosephine
    @UwurukundoJosephine Рік тому

    Dada akksante saaana

  • @msalimsali6989
    @msalimsali6989 Рік тому +2

    Nakumbuka jack wolper alisema harmonize ni fund wa kupritend sana

  • @Rose-ue2ho
    @Rose-ue2ho Рік тому +7

    Nilikuwa namsubiri kusikia neno lake baada ya kuachana😂

    • @lisahhans295
      @lisahhans295 Рік тому +1

      JAMANI MTAKUJA KUNIKUBALI TUUU.ALIKUA NA PAULI NA ISHA JULIKANA.KWANI KILICHO MFANYA AONDOKE BILA KUJUA ALIYE KUA NAE NINANI??????ANAE NIELEWS LIKE ZANGU HAPA.

  • @Sawat12477
    @Sawat12477 Рік тому

    Sawa kabisa wameachana. Kajala mzee sana kwa Harmo atafute mzee mwenza...Wamama wajiheshimu waache kulala na vijana wadogo,,,eti my lover..wasichana watoelewa na kina nani

  • @esthernyamvula472
    @esthernyamvula472 Рік тому

    Yusta nakupenda mama nitafutie kazi huko

  • @wangechikoome4170
    @wangechikoome4170 Рік тому +1

    Alikuwa ameficha bangi Kwa choo ndo maana hakutaka kajala aingie ndani ya choo

  • @odrasixbdi
    @odrasixbdi Рік тому

    Hio njo tabia ya Wana mziki yaani hawamaliz kupenda hawamaliz kbx njo tatizo lakini sio wote jamn

  • @aisha8216
    @aisha8216 Рік тому +1

    Kajala alidhani labda ni mtoto wake yupo chooni mana kama mimi wala nisingegombana ningekaa macho hapo kitandani mpaka aliefichwa chooni atoke .

  • @JumaJuma-xm4jk
    @JumaJuma-xm4jk Рік тому

    Acha uongo dada

  • @ktznews9250
    @ktznews9250 Рік тому +2

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆 pole sana Yustar Mgaya ndo mana nakupendaga hunaga mbambamba wewe unasemaga ukweli unaouma.

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Рік тому

    Harmonize alikuwa na Paula chumbani akaogopa mama asijue hahahhahahahaahahahaha Ila harmonize 🙌🙌🙌🙌🙌

    • @4figure940
      @4figure940 Рік тому +1

      😂😂 acha awatumie wameamua wenyewe 😂😂😂😂😂😂

  • @jenyjeremia8152
    @jenyjeremia8152 Рік тому +2

    Wasanii mapenzi yao wanuachie tu nandy na billnass

  • @matildamati9222
    @matildamati9222 Рік тому +1

    Harmonize hawezi kumtafuta Yusta coz ni kitu alitaka kiwe hivyo coz anajua hata mlinzi anajua kuna mtu ndani na harmonize hakumtahadharisha mlinzi kt chochote incase km Kajala atatokea. Na kama kweli hakua na dhamira mbaya ni tamaa zake tu basi angemfuata Kajala alivyotoka,
    na pia Kajala kutaka space haipo coz hakuna any effort za harmo kujua anything about Kajala baada ya Hilo saga.,

  • @AngelQueen12533
    @AngelQueen12533 Рік тому +1

    Wewe mwenyewe akili yako kama y’a kajala

  • @modestafelician6751
    @modestafelician6751 Рік тому

    Kumbe Mapenzi hayakuwepo kwa sababu ya wao kuridhiana yalifosiwa tu ndo maana ila kumbuka na watu hawapendi mapenzi ya watu Nguvu za Mungu zitumike

  • @mirriamnekesanameta8325
    @mirriamnekesanameta8325 Рік тому +1

    Harmonize come for me young man😀😀.
    Mimi nitakuentertain😂

  • @fedhandunga5935
    @fedhandunga5935 Рік тому +2

    Dada asante kwa ukweli wako

  • @habbibtymonah6912
    @habbibtymonah6912 Рік тому +3

    Sai ni shereh kubwa wcb 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

  • @Niyiturinda
    @Niyiturinda Рік тому +1

    Kajala angali na asira.....ikiisha ..huenda atamsamee

    • @4figure940
      @4figure940 Рік тому +1

      Harmonize hamtaki tena alikua anahitaj tu kumtumia na kumuonyesha jeuli ya pesa

  • @mnavikalilevavenu7406
    @mnavikalilevavenu7406 Рік тому +1

    Kupendana kupo hivyo so hakuna haja ya kung'ang'aniana eti kwa kuwa mlipochumbiana mlitumia muda mwingi kutafutana na kubemberezana, kamba ikikatika imekatika tu kwanza nakushauri we Dada urudi kwa Kajala umshauri atulie huu muda ni wa Paula yeye ni mtu mzima asubirie vijukuu la sivyo ataliwa pamoja tena yeye, mwanae na vijukuu

  • @jenyzo1239
    @jenyzo1239 Рік тому

    Kwan huy harmo alilew c angemtoa na mlango mwingne au angempleka mbal na hyo rum y afanye ivo chumbn kwake wanakolal na kajal au nae alikuw amemchoka mwenzie man akufukuzae hakwambii toka

  • @amanimargaret.1576
    @amanimargaret.1576 Рік тому +4

    Ati mondi anaoa wawili not real n kiki ohhh zuchu😭😭😭😭😭😭😭

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 Рік тому +1

    Walipitiya ndomana walijuwa nimabovu 😂😂

  • @joleal7941
    @joleal7941 Рік тому +1

    Yustar nakupenda mno

  • @saraphinakabaka8343
    @saraphinakabaka8343 Рік тому +5

    Kama ni kosa ilo wange kaa kuyamaliza hata akiachana na harmo akienda kwa mwingine hakuna jipya angekaa akavumilia tu sis tuna pigwa matukio na tuko ndan ya ndoa na tuna watoto hata ukitafta mwingine bado yale yale dah

  • @barakakatana5398
    @barakakatana5398 Рік тому +1

    Yustar nimekupenda sana

  • @ktznews9250
    @ktznews9250 Рік тому +5

    kumbe hamrmo ni mshenzi ehhh!!!!

    • @sabinakilian3176
      @sabinakilian3176 Рік тому

      Mpuuzi kweli Yani dada wa watu kumpambania Kisi hicho halafu anakuja kuzingua kijinga kabisa Yani😔😔

  • @stellasimon8306
    @stellasimon8306 Рік тому +3

    Wangeendaje wakati ni ma ex wake?

  • @kikiswahili
    @kikiswahili Рік тому +5

    Mambo ni 🔥🔥🔥🔥

    • @nzeyimanamwavita1904
      @nzeyimanamwavita1904 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 Рік тому

      @@nzeyimanamwavita1904 wakuoteambal🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +6

    Yusta msema ukweli sana

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Рік тому +3

    Hivi ndiyo naamini kuwa kweli wameachana,basi Hamonize ana matatizo kila mwanamke ni mbaya kwakwe kweli amefata nyayo za daimond.

    • @animamichael3968
      @animamichael3968 Рік тому

      hana hata matatizo he is real men mwanaume kamili hatosheki na mke mmoja

  • @matildamati9222
    @matildamati9222 Рік тому +1

    Kama ni fumanizi basi hata huyo Harmonize ni mshamba utafichaje mtu chooni sehemu unajua mtu anaweza ingia hata mara tu akiingia ndani ya nyumba, basi itakua alidhamiria kufanya hivyo labda alikua anatafuta Sababu ya kumwacha kwa mda mrefu ss hiyo siku ndio ilikua imefika ila Kajala hakua amesoma alama za nyakati kitambo

  • @catherinensemwa3907
    @catherinensemwa3907 Рік тому +6

    Hakuna Hali ya maisha ukiona tu mtu hainepi ni hatari kama nirafiki yako achana nae hawafai ni masnich kuliko kawaida wanakonda na mengi😂😂

  • @madawamchuwa8253
    @madawamchuwa8253 Рік тому +2

    Km kajala kashaamua kutoka kwa harmonize basi atoke tu kwa salama na sio kumsilibia mwenzie kila kona

  • @mimahrobyn9777
    @mimahrobyn9777 Рік тому

    Kajala yuko after money na sio anarealy love kwa harmo kishicho riziki hakiliki 😂😂😂😂aje kwangu harmo mm ndio wasaiz ake aachane na mzee anabemendwa tuu kurubembe yule kashazoea kuchuna na sio kutulia

  • @simonsmithajax
    @simonsmithajax Рік тому

    Dada umependeza kwa kweli hasa ukicheka au ukitabasamu

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 Рік тому +3

    Mwmijaku alionekana mmbea Sasa jee?

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Рік тому +2

    Hamna mwanaume wa mwanamke mmoja hata hivyo, ndio mana Islam ishasema oeni wanne tu. Ila mahusiano ni very complicated. Unaweza usichepuke na bado mkagombana from nowhere

  • @ravozz3301
    @ravozz3301 Рік тому +3

    Kwaiyo nyumba ya harmo inachumba kimoja kwani alishindwa kumficha chumba kingine lbda kuna vitu alikua anavifanya na alikua hataki kajala avijue lkn sio mwanamke nakataa

    • @janeernest3436
      @janeernest3436 Рік тому

      Mapenzi Yana sirikubwa

    • @khadijayusuph2634
      @khadijayusuph2634 Рік тому

      Sasa nini alficha chooni Kama siyo mwanamke

    • @kalistamtanzania7220
      @kalistamtanzania7220 Рік тому

      Itakuwa yule dada wa kazi alipoona harmo akashindwa kumuhamisha chumba, yani kufumaniwa ni kufumaniwa tu, lazima akili iyumbe unasahau hata ufanye nini.

  • @happinessmillanga982
    @happinessmillanga982 Рік тому +1

    Hivi hawa ndio wa kwanza kuwa kwenye mahusiano eti wakigombana hiyo cku yanakuwa kwa dunia aache ujinga mtu mzima anajifanya umri wa paula

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 Рік тому +4

    Jaman faida ya zinaa ndio hiyo.

    • @AbelDelaGenese
      @AbelDelaGenese Рік тому

      Dhambi inauwa alafu wengi wanaona mzaha, Yesu anarudi

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 Рік тому +2

    Kweli utabiri wa mchungaji Mashimo umetimia, Kevin mtafute Mashimo