MSIKITI ALIOJENGA MZEE MAJUTO NA NYUMBA ANAZOMILIKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 157

  • @mangofish9079
    @mangofish9079 6 років тому +2

    Mzee Majuto inaelekea alikua mtu mwenye roho safi sana Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema peponi.

  • @komboomar8275
    @komboomar8275 6 років тому +4

    Allah atujaalie mwisho mwema na tusisahau kueka sadaka zenye kuendelea kama hizi za misikiti na madrasa apunzike kwa amani majuto Allah amrahisishie njia yke iwe nyepec. Mbele yke nyuma yetu

  • @mayagk1035
    @mayagk1035 6 років тому +17

    Mashallah mzee majuto alijenga msikiti na madrasa tulikuwa hatujui tumejuwa leo ashakufa hivyo ndivyo inavyotakikana.ingekuwa watu wengine kina mwafulani duniya nzima ingekuwa washajuwa.r.i p mzee wetu mungu akulaze pema na akuepushe na adhabu ya kaburi.

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 6 років тому

      MAYA GK... Umeongea ukweli.. Ndio tu nasikia leo ya msikiti NA madrasa.. Kisima sadakatul jaariya.. Allah mpokee mja wake

    • @OfficialJouma
      @OfficialJouma 6 років тому +1

      Allah na sisi atujaalie tuwe ni wenye kufanya mema bila ya kutangaza matendo yetu

    • @doreenmalesi6039
      @doreenmalesi6039 6 років тому

      Yani kafanya mambo yake bila kujitangaza Ndio najua leo ...pumzka baba

    • @allymorata9452
      @allymorata9452 6 років тому

      Wewe ndo unasikia leo mbona ishu ya msikiti inajulikan kuazia kitambo

    • @c.rashildamiri2681
      @c.rashildamiri2681 6 років тому

      @@allymorata9452 دبا ارن

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 6 років тому

    Nasisi mungu atupe uwezo tujenge vituo vya yatima na nyumba za ibada ili tutakapo ondok ktk mgongo wa dunia tuwe tumetanguliza amali zetu njema inshaallh

  • @khalidunited5978
    @khalidunited5978 6 років тому +68

    Yaallah twakuomba umpe kitabu chake kwa mkono wa kulia umpe kauli sabiti

  • @neemagambere9987
    @neemagambere9987 6 років тому +4

    mashallah..mzee..majuto..munguu.alilaze.rohoyake.peponi

  • @smaihsmaih2815
    @smaihsmaih2815 6 років тому +6

    hizi ndizo habari safi masha ALLAH NIMEIPENDA YAA RABBY MSAMAHA WAKO UMEENEA KILA KITU MSAMEHE MZEE WETU MUONDOLEE ADHABU YA QABUR

  • @reyham1722
    @reyham1722 6 років тому +4

    Mungu akupe kauli thabit king majuto ulijenga nyumba ya allah na madrassa mungu akukumbuke kwenye ufalme wale

  • @raheemnanyakata3894
    @raheemnanyakata3894 6 років тому +50

    Tujifunze waislaam na wale wa dini nyingine mwenzet katangulia nac tunafata kikubwa tuandae amali mzur mbele ya Allah..mwenzetu kajenga msikiti na madrasat ..Inshaallah Allah amrehem.kwa kutimiza yaloagizwa kulingana na uwezo wake..tusiangalie kumilik magar mengi tukasahau kujenga nyumba za Ibada inshaallah.

    • @sadakhamis1261
      @sadakhamis1261 6 років тому +2

      Nurat Malembe mashallah.... Amefanya jambo la kheri II... Allah ampe safari ya kheri

    • @nyombetv3370
      @nyombetv3370 6 років тому +1

      Nurat Malembe point sana mkubwa

    • @mimahsaid2326
      @mimahsaid2326 6 років тому

      Nurat Malembe kwel kabsa

    • @hawshukuru6449
      @hawshukuru6449 6 років тому

      mbele ake nyuma yetu

    • @zainabvancampszainabvancam3275
      @zainabvancampszainabvancam3275 6 років тому +1

      Nurat Malembe kabisa Allah atupe mwisho mwema atujalie nasi tuache kumbukumbu njema kama mzee wetu jina lake alitopotea kamwe Allah atupe nasi sadaka tujaalia

  • @johnsonmchina3510
    @johnsonmchina3510 6 років тому

    Mbele yako nyuma yetu msanii mwenzangu mkongwe mungu akurehemu tutazidi kukuombea na kukukumbuka babu by Rick music

  • @shekhekhandereizer559
    @shekhekhandereizer559 6 років тому +2

    daaaaaa asee nimelia sana kwakwli alicho kizungumza kijna apa daa King ulikuww umewka azina yako kubwa ata usipo tegemea sanaa unavitega uchumi vyako daa eemungu ss wajawako na kwako tunarejea mpokee MZEE amri ATHUMAN pia awe miongn mwawalio fuzu siku ya kiama ameen lale pema king daima tutakuenz daaaa😢😢😢

  • @amainarasheed3644
    @amainarasheed3644 6 років тому +21

    Mashaallah Mungu akupe qaur thabit mzee wetu

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 6 років тому +2

    Mashaallah inauma kweli kazi ya mungu haina makosa ulale pema peponi bba yetu kaburi lako liwe kati ya bustani za pepo umewe kitabu chako kwa mkono wakulia uwe na kauli thabiti ujibu maswali kaburini ipasavyo mbele yko nyuma yetu Allah tujalie nac mwisho mwema Allah humma maamini Allah takbal duwaa

  • @maeannmadrigal4122
    @maeannmadrigal4122 6 років тому +6

    mashallah mwenyezi mungu aike roho yako pema peponi

  • @jimmuabdul6730
    @jimmuabdul6730 6 років тому +12

    hkk umeacha amali njema mbele ya mwenyezimungu Allah atakulipa inshaallah kabri lako liwe na harufu ya micki tuwe peponi p1 na mtume wetu Muhammad tena firdauth inshaallah (rabbi taaqabbal duaaa)

  • @munnawwaryaqoob3414
    @munnawwaryaqoob3414 6 років тому +21

    Akiba haiozi baba vitakufaa ulipo inshallah Allahu akupe qaul thabit

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 6 років тому

    Wallah mzee majuto alikua na bidi sana mema ulio yafanya yatakufaa ulipo inshaallah Allah akujalie kauli thabit yaraab

  • @bintsalimalbimany9373
    @bintsalimalbimany9373 6 років тому

    Atakapokuf mwanaadam hukatika Amal zake illa minthalatha swadakatunjaria (Swadak yeny kuendelea)nayo hio mzee majut kaiona akhera yake kama hio yakujenga masjid Mashallah mashallah ya Allah tuwezeshe na cc waja wako tuwez kuyafanya mazir kama hayo na madrasa kila watu wakisoma anapat thawab na yeye muanzishi wa jeng Mashallah mashallah iwe funz kwa wwngine inshaaallallah

  • @mohamedjumbe9309
    @mohamedjumbe9309 2 роки тому +2

    Huyu mzee majuto kumbe alikuwa tajiri

  • @hanifaali9526
    @hanifaali9526 6 років тому

    mashallah Mzee majuto amefanya kazi ya Allah, na ametangulia mbele ya haki, sisi tuliobaki tumefanya nini cha kuongeza mizani zetu??

  • @deepskyimages5554
    @deepskyimages5554 6 років тому

    ndio njia yetu sote .. Allah atujaalie nasi tuwe na mwisho mwema in shaa Allah

  • @rehemamohammed401
    @rehemamohammed401 6 років тому +3

    Innalilah wainnailayh rajiuun,Hakika ulijitahd mzee wetu kujiwekea akiba Allah akupe kauli thabt ktk kabuli lako akuwekee na mwanga

  • @fayeezomar2902
    @fayeezomar2902 6 років тому

    Swadakt yenyekuendly Mashaallah lord blss u inshaallah 🙏🙏🙏

  • @jumabias4917
    @jumabias4917 6 років тому +2

    Ya Allah msamehe alipoteleza na apewe kitabu kwa mkono wa kulia Aamin yaa rabb

  • @mwanaamisa8193
    @mwanaamisa8193 6 років тому

    Allahu akbaru majuto awe ni mfano mzuri wa kuigwa na jamii.. Watu wengi wakifanikiwa hukimbilia mambo ya kidunia oneni mzee majuto kaacha vitu ambayo ktk uislamu... Mungu akujalie pepo ya firdaus mzee majuto

  • @raheemnanyakata3894
    @raheemnanyakata3894 6 років тому +12

    Ewe mola wetu mrehem mzee majuto pia wape nguv familia yake inshaallah

  • @abdallahkitwana8471
    @abdallahkitwana8471 6 років тому

    Mashaallah....Allah amfanyie kher kaburin na siku ya kiama.

  • @alhaimubarak1365
    @alhaimubarak1365 6 років тому

    Masha Allah mzee majuto may Allah grant him janaatul fridaus aamin

  • @shkonlinetv1756
    @shkonlinetv1756 6 років тому

    ufanye haya yote alafu ufe ukute Mungu huyo ndo yeye wa kweli. huo ndo mtihani tulionao sanadamu, fikiria unaibiwa mtihani na kuambiwa jaza majibu huu ndo mtihani wenyewe alafu unajaza kisha mwisho wa siku unajua ulikuwa mtihani feki.. Mungu atusaidie..

  • @mohakaila6620
    @mohakaila6620 6 років тому

    mungu amurehemu mzee majuto inhshaallah

  • @mohamedraahid1456
    @mohamedraahid1456 6 років тому +5

    allah ampe kauli thabit amiin

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 років тому +1

    Allah akbaru yani amejiwelea azina ya kesho ahera Allah anlipe kheri wallah sasa wacha ss tulio baki tuendekeze mateam mitandaoni na kupeteza muda kutukana watu malipo yetu tutayakuta kesho kwa Allah na badara kuweka bando kwajili ya mambo ya kheri yatakayo mpendeza Allah tunafanya mambo ili tupate kusifiwa na waja ambao awawezi kutunufaisha wala kutuzuru wallah Allah anipe mwisho mwema mm na family yangu Aamiiny

  • @abdallahmuhammad4729
    @abdallahmuhammad4729 6 років тому

    Mungu Mkubwa anachokikadiria katu hakibadiliki In sha lla Mola atujaalie nasi tulio nyuma mwisho mwema km wwe Mzee wetu.

  • @shazasimba9275
    @shazasimba9275 6 років тому

    kajitahidi sana mungu amuweke wepesi na nimfano kwetu waislam.

  • @fatumaally3906
    @fatumaally3906 6 років тому

    Poleni sana family ya MZEE majuto kwa msiba MKUBWA uliotukuta

  • @hebybiba6442
    @hebybiba6442 6 років тому

    allah ampe safar ya kicheko na in sha allah allah atavipokea kwa ulivovitanguliza

  • @jumbediwan3462
    @jumbediwan3462 3 роки тому

    Allah amuhifadhi inshaalah

  • @zulfatymkawa8093
    @zulfatymkawa8093 6 років тому +1

    Mwenyezimungu akupunguzie adhabu za kaburi mzee wetu

  • @abou2607
    @abou2607 6 років тому

    Msikiti pia ni mali ya marehemu duh... acheni kufuru nyinyi... mungu ampe makazi mema

  • @al-habiby
    @al-habiby 6 років тому

    Allah amlipe kila la Kheri na majalie qawli thabit Amiiin

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 6 років тому +14

    Allah ampe hifadh mzee wetu

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 років тому

    Maa Shaa Allah, Allah akulaze pema ln shaa Allah,

  • @lailahaillallah4020
    @lailahaillallah4020 6 років тому

    Mungu.
    Ampe..qauli..thabiti....inshaallah.....mbele yske..nyuma..yetu
    .

  • @yusuphuhakwea8896
    @yusuphuhakwea8896 6 років тому

    Mungu ilaze roho ya mzee wetu mahala panapo staili kulazwa amiin

  • @beatricekamengekamenge5543
    @beatricekamengekamenge5543 6 років тому +4

    Jamani alikua amejitaidi mzee majuto rip babu

  • @truthhimself1
    @truthhimself1 6 років тому

    naitwa Khadija Sepetu Fani yangu msoma Qaswida Unanipata UA-cam khadijasepetu nampenda Mzee majuto kupita maelezo ninachoomba Ndugu Wa waigizaji ilikumuenzi Mzee wetuu mukaubwereshe msikiti Na ile madrasa napia tarehe Yake alozikwa ndio kilamwaka kufanya maulid mawazo yangu mm tuh

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 6 років тому

    Manshaallah kwa kulumbuka nyumba ya allah mungu ampee ksuli njema

  • @ahmadabdul2467
    @ahmadabdul2467 6 років тому

    R.ip mze majuto
    Might Allah's peace and blessings be upon you

  • @ashabaybeashabaybe49
    @ashabaybeashabaybe49 6 років тому +2

    Masha Allah

  • @onanaa6689
    @onanaa6689 6 років тому

    Masha allah allah atamlipa amali yake in sha allah

  • @saeedsaleem8248
    @saeedsaleem8248 6 років тому

    Allah amueke mahali pema kwenye wema..Ameen

  • @husnamussa8704
    @husnamussa8704 6 років тому

    mung ailaze roho ya marehem amin pia awe mjaa wa kher ktk makaz yko

  • @husnahalifa6809
    @husnahalifa6809 6 років тому

    Allah akupe kauli thabiti mzee wetu

  • @badhrukhaleedih7361
    @badhrukhaleedih7361 6 років тому

    Mashalla Mungu akuwe mahali pema peponi

  • @azizaabdi1265
    @azizaabdi1265 6 років тому

    MashaAllah

  • @elisanjichanyange5485
    @elisanjichanyange5485 6 років тому

    Inallah wainalillah rajiun, tangulia babu nasi njia 1 kila nafsi itaonja umauti

  • @halimawaziri7677
    @halimawaziri7677 6 років тому

    MashaaAllah

  • @adamomary3272
    @adamomary3272 6 років тому

    Allah ailalaze roho ya marehem mahali pema

  • @konkyqambalaly1007
    @konkyqambalaly1007 6 років тому

    mungu amlaze mahal pema pepon

  • @amishamina7821
    @amishamina7821 6 років тому

    Masha Allah safiri salama baba.

  • @rashidseif6103
    @rashidseif6103 6 років тому

    Hiyo ni sadakatul jaaria,, Allah amlipe kheri, amn.

  • @chichiabdallah8911
    @chichiabdallah8911 6 років тому

    Wallah nimejifunza sn kwa mzee wetu

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 6 років тому

    Manshallah munqu akupe amali njema

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 6 років тому +2

    Daah tujifunze kwayale mema aliyoyafanya

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 6 років тому

    Alhamdulillah sadakatul jaria yake hiyo

  • @fauziasitara2509
    @fauziasitara2509 6 років тому +1

    Mwenyezi mungu akupe uwepesi kwa kaburi yako ameen

  • @hawambunda7230
    @hawambunda7230 6 років тому

    Allah amlipe kheri

  • @mosesmwason7586
    @mosesmwason7586 6 років тому

    Mashaallah

  • @sharifakhamis2461
    @sharifakhamis2461 6 років тому

    Innaillah wainnaillah rajiun masha Allah kwa kujenga masjidi Allah akupe kitabu chako kwa mkono wa kulia na tunamuomba Allah akubalie matendo yako ya rabbi

  • @latifahussein9536
    @latifahussein9536 6 років тому

    Yaalaby mjalie pepo iwe makazi yake Ameen in shaa Allah

  • @zahidaabdullah6914
    @zahidaabdullah6914 6 років тому

    Masha Allah m/ almlehemu

  • @ummuasmaa2255
    @ummuasmaa2255 6 років тому +1

    MashAllah

  • @salymomar9793
    @salymomar9793 6 років тому

    Ooooo fanyen haraka madrsa ipate mwalim tafadhal

  • @ruwaidatabdallah2769
    @ruwaidatabdallah2769 6 років тому

    Mashallah

  • @beautyibrahim8428
    @beautyibrahim8428 6 років тому

    Dah so sad mzee majuto alijitahid na alikuwa hajikwez

  • @mayagk1035
    @mayagk1035 6 років тому

    Ameen #sada khamis

  • @dojazmahouse2377
    @dojazmahouse2377 6 років тому +1

    R.I.P,king majuto

  • @dionicemaday8009
    @dionicemaday8009 6 років тому

    God bless

  • @aminarajab5809
    @aminarajab5809 6 років тому

    Allah amfanyie wepec uko aliko

  • @onlysiyetv1314
    @onlysiyetv1314 6 років тому

    mirrad ayo umeanza kupotea ushaanza kuwa mtu WA kiki tayar kuna haja gani ya kuongelea haya wakati ashakufa acheni hizooo bana mnapoteza radha ya habari hamufuatilii maisha ya MTU hadi Afeee

  • @salomejavobo74
    @salomejavobo74 6 років тому

    kwetu kiruku tunamuomba apumzike kwa amani

  • @kitwanamohammedi5625
    @kitwanamohammedi5625 6 років тому

    Umeacha arama babu yetu hakika tutakukumbuka

  • @mishisaidi8696
    @mishisaidi8696 6 років тому

    maashaallah

  • @barigicade4959
    @barigicade4959 3 роки тому

    RIP

  • @amanmaujanja3873
    @amanmaujanja3873 6 років тому +1

    mambo vip

  • @yasirmuhammad5028
    @yasirmuhammad5028 6 років тому

    Hahahaaa et yeye hawez kuolewa

  • @ashaidrisa5080
    @ashaidrisa5080 6 років тому +1

    R .I.p king

  • @birophares9920
    @birophares9920 6 років тому

    taifa imepoteza msani mahili poleni jamani ndugu na jama na marafiki

  • @spidermanplays7042
    @spidermanplays7042 6 років тому

    Inamana 😀😀😀

  • @omaryhusseinlibenanga6134
    @omaryhusseinlibenanga6134 6 років тому +1

    R.I.P

  • @jumachabai2874
    @jumachabai2874 6 років тому

    Mtangazaji subir kidogo hapo sio chumbageni
    Kata: Mabokweni
    Mtaa: Kiruku

  • @amiratomankazid4580
    @amiratomankazid4580 6 років тому

    Yani w kaka umenichek adi nasungula umetaja

  • @tatoosaleh5781
    @tatoosaleh5781 6 років тому

    MAMBO MEMA ARIJIANDARIA

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 6 років тому

    Wandishi nanyi wanafik.

  • @snawtasnota6708
    @snawtasnota6708 6 років тому

    Kwann hamjawahi kumfatilia mpk afariki??? Inakuwa sio poa

  • @officialtvnetwork1320
    @officialtvnetwork1320 6 років тому +1

    ua-cam.com/video/Rd0I7EIbDbA/v-deo.html
    Hutoamini mtaalam wa maajabu

  • @vumimanga9363
    @vumimanga9363 6 років тому

    Rip

  • @tababdulla2877
    @tababdulla2877 6 років тому

    mashallah

  • @janesidi6775
    @janesidi6775 6 років тому

    Hu ni ushirikina na udevil worship. Sasa ww na ushirikina wako mzee majuto kabla kufa katukanya na watu nyie.

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 6 років тому

    Wallah mzee majuto alikua na bidi sana mema ulio yafanya yatakufaa ulipo inshaallah Allah akujalie kauli thabit yaraab