Najiita Msegeju: Sehemu ya pili, Safari ya Chongoleani

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 жов 2024
  • Katika sehemu ya pili tunamwona Babu Ali akielekea Chongoleani kutaka kujua zaidi kuhusu hawa Wasegeju ni kina nani na lugha yao ikowapi? Huku Chongoleani alikutana na wazee kama yeye na badala ya kupata majibu alikumbana na maswali mengi na mitihani. Jee haya maswala ni yepi? Na Jee Babu atapata alitakalo Chongoleani?

КОМЕНТАРІ • 33

  • @hadiyahaboubakar4206
    @hadiyahaboubakar4206 2 роки тому +2

    big up broh😍💪💪

  • @katartizo77
    @katartizo77 2 роки тому +2

    1234

  • @mauricekitana6587
    @mauricekitana6587 Рік тому +2

    Wasegeju na Dhaiso wana uhusiano wa karibu sana na Wakamba Kutoka kenya.

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      Hakika, Maurice hili jambo ni la kweli na mada ambayo naiangaza kwenye kitabu changu kipya

    • @mauricekitana6587
      @mauricekitana6587 Рік тому

      @@gomakuu Mimi natoka kabila la wakamba wanaojulikana kama Athaiso kwa lugha yetu.

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      @@mauricekitana6587 Nashukuru mno. Jee mna historia kwamba watu wenu waliondoka kwenda mbali?

    • @mauricekitana6587
      @mauricekitana6587 Рік тому +1

      @@gomakuu Hakuna historia inayosimuliwa kuashiria asili ya watu wetu (Wakamba) isipokuwa hekaya(myth) lakini wanahistoria wengi kenya wanaamini kuwa makabilla ya kibantu ya pwani mwa kenya na yale yanoishi karibu na mlima kenya walitokea upande wa mlima kilimanjaro.

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      @@mauricekitana6587 Kweli? Unaweza kunipa marejeo ya hao wanahistoria?

  • @KhadijaSalim-u8h
    @KhadijaSalim-u8h 11 місяців тому +1

    Twaomba muendelezo wa bwiti jamn kiseguju kipo mwaderwataaa

  • @francismuiruri9064
    @francismuiruri9064 Рік тому +2

    Hapa Kenya 🇰🇪 wasegeju, Wakamba,Wakikuyu,Wameru na Waembu walikua kabila moja kitambo kama 1000 years ago.

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      Shukran sana.Jee unaweza kuelezea zaidi.

    • @francismuiruri9064
      @francismuiruri9064 Рік тому +1

      @@gomakuu Ni hadithi za kitambo lakini hao hutaja 'Thagicu'. Wakamba toka Kitui zamani walikua wanaitwa Wathaiso.

  • @jumahamisi9328
    @jumahamisi9328 Рік тому +1

    Kisegeju tunacho uku Kenya

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      Tuambie zaidi sheikh. Tupe mifano ya sentensi na misemo.

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 4 місяці тому +1

    Jamani kisegeju kipo bwiti njoo bwiti maramba

  • @habibakhalfan1065
    @habibakhalfan1065 2 роки тому +1

    Hiyo_beshamv_,iko_wapi_tukijua_tu_ni_wapi_tutakuwa_tumejua_Asili_na_je_ealikuwa_wakikimbia_nini_huko_kwao_Tusaidien_tujue_asili_yetu

  • @mariamsaid9947
    @mariamsaid9947 Рік тому +1

    hicho mukiongeacho si kisegeju ni kimtangata ambacho kinaongelewa tambarani na visiwa vingine cha fanana kabisa hata hiyo nyimbo ya tambarani tungeuya twaogopa jumbe na mwinyi akida

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      Shukran sana Mariam. Hebu tuelezee zaidi tafadhali. Tupe mifano ya misemo, vietndawili, ama sentensi.

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 роки тому +1

    Nlunga nifate hicho ni kidigo xaxa

  • @ahmadabdallah6641
    @ahmadabdallah6641 2 роки тому +1

    Kweli Wasegeju walikaa sehemu za mlima Kenya. Wanaume ndio waluovuka mto. Wanawake waliobaki wakaolewa na wadigo.

    • @gomakuu
      @gomakuu  2 роки тому +1

      Ahmad shukran sana tupe zaidi tafadhali

    • @gomakuu
      @gomakuu  2 роки тому

      Asante sana Ndugu Ahmad. Jee kwanini waliamua kuondoka? Na huko milimani walikuwa wakifanya nini?

  • @wemakashushura9161
    @wemakashushura9161 2 роки тому +1

    Real life kila kitu niukweli hakuna janja janja itanibidi asili yangu haswa muhaya anatokea wapi kihakika kabisa

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 4 місяці тому +1

    Bwiti kwetu huko wamamata

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 Рік тому +1

    Wasegeju kwao ni bwiti

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      Lakini hata wa Bwiti na Daluni wanasema na ndugu zao pwani na pia wanakoo zilizofanana kama vile Mwaita.

  • @gomakuu
    @gomakuu  Рік тому

    Kama mmeipenda hii tumewatayarishia kazi nyingine kuhusu hazina na siri za mji wa Kimbiji: ua-cam.com/video/I-nTbQinsk8/v-deo.html

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 Рік тому +1

    Wasegeju wanaongea kidaiso kwao bwiti Hao wengine ni waswahili

    • @gomakuu
      @gomakuu  Рік тому

      Mbona watu wa Bwiti wanasema Wasegeju wa pwani ndugu zao?