gomakuu
gomakuu
  • 43
  • 153 659
Fighting Words
The filmmaker travels to Swahili's village to find his identity intertwined with historical and contemporary poetic traditions. How do individual experiences map onto complex narratives of national histories? Can poetry create a nation? "Swahili Fighting Words" examines these questions through the story of one young man, his family, and the 1940's epic Swahili poetic battles that mark his, potentially, the nation’s understanding of Tanzanian history. Produced in 2020 by Mohamed Rafiq and Dr. Zareen Grewal.
Переглядів: 31

Відео

Keeping Faith in Middle America #islam #bloomingtonindiana #hate #indianauniversity #islamonline
Переглядів 93 місяці тому
In the heart of Bloomington, Indiana, the Islamic Center stands as a beacon of faith, resilience, and community spirit. For many years, it has been more than just a place of worship; it is a hub for the local Muslim community and a bridge for interfaith dialogue. Despite its vital role, the center has not been immune to the dark shadows of hate and prejudice. Despite facing hate and destruction...
Marhum Mzee wa Mjegeje akiongelea mazalia ya ukoloni Bagamoyo #bagamoyo #tanzania #swahili
Переглядів 526 місяців тому
Tulipata bahati kubwa sana kuwa na Marhum Mzee wa Mjegeje alipotutembelea ofisini kwetu Alliance for Women, Children and Youth Survival kuona kazi yetu ya kutia thamani na kumulikia atharia, mazalia na mwangwi wa ukoloni wa mwingereza na mjerumani. Angalia lakini pia endeleza duah kwa ajili ya mja huyu ambae katutoka machoni.
AWCYS Bagamoyo: Kutumia Utafiti, Elimu na Sanaa Kupambana na Ukatili, Kansa, na Mabaki ya Ukoloni
Переглядів 3411 місяців тому
Alliance for Women, Children and Youth Survival (AWCYS) ni shirika la kijamii lililopo Bagamoyo, Tanzania ambalo lipo kwenye mapambano ya kupunguza ukatili kwa watoto, wanawake na jinsia kupitia elimu, tafiti, na sanaa. Pia tunafanya kazi kuelewa baa la kansa ili kuongeza kuelewa wake kwa wananchi na wadau na kuongeza matumizi ya huduma za hospitali. Kazi ingine tulinayofanya ni kuelewa na kuth...
Siri na hazina za KIMBIJI, Kigamboni, Tanzania
Переглядів 78Рік тому
#pwani #daresalam #Swahili #zaramontage #kigamboni Tulisikia mengi kwa watu kuhusu Kimbiji lakini cha kuambiwa na kuona ni vitu tofauti sana. Safari hii ilitufumbua macho kwa historia, simulizi, tamaduni na jadi azimu na za kipekee za watu wa mwambao wa Afrika Mashariki. Jiunge, kaa tayari kushangazwa na kufunzwa na mambo mujarab kuhusu eneo hili la Kimbiji. Jee ulijua kuna kijito cha maji safi...
Upo Segeju? Are You there Segeju?
Переглядів 398Рік тому
#swahili #Segeju #tanzania #tanzaniayetu #kenya #mijikenda #Segeju #Tanga #pwani Hichi ni kipindi kifupi cha sinema kuhusu tamaduni na mapisi ya Wasegeju waishio kijiji cha Mnyanjani, Tanga. Historia hii inaelezewa na Mzee Mdigo, maarufu kwa ujuzi wa historia na kusimulia hadithi. This is a short documentary of the history and cultural heritage of the Segeju people's community in Mnyanjani, Tan...
UKUTA MMOJA. House With One Wall. Kufua Chuma, Kuendeleza Historia na Technolojia
Переглядів 208Рік тому
Hii ni sinema fupi ya familia ambayo bado inatunza jadi na ilmu ya kufua vyuma tokea kizazi kimoja hadi kingine. Familia hii ipo Bagamoyo na wanajulikana kama akina Kisukari. Sinema hii inaonyesha chuma inavyofuliwa pamoja na kusimuliwa historia hii familia ilianza hii kazi lini, zahama na changamoto za kazi hizi na kwanini bado wanaendelea kutunza mila na tecknolojia hii muhimu. Kutoka Udoe mp...
Magoma ya moto: drums of fire. Sehemu ya nne. Part Four. Drummers and Iron Smith of Bagamoyo.
Переглядів 342 роки тому
Basi tunaendelea. Baada ya kupata historia ya wadau, maelezo kuhusu ufuaji vyuma na ngoma, watafiti wakaingia uwanjani kuonyeshwa jinsi gani hio kazi inafanywa na hawa warithi wa tamaduni hizi azimu. Ingia nawe ujifue.
Magoma ya moto : Drum of Fire. Hii ni sehemu ya pili. We present part two.
Переглядів 232 роки тому
Manyu hawa wa kufua vyuma na ngoma za asili za Wadoe wanaendelea kutueleza utaalam wa ufuaji chuma, vifaa wanavyotengeneza na mahusiano kati ya ufuaji vyuma na mila, desturi na adabu za Wadoe.
Magoma ya Moto: Drums of Fire
Переглядів 1412 роки тому
Katika filamu hii tunaangaza maisha ya Mzee Mtengwa wa Bagamoyo, gwiji la ufuaji vyuma na upigaji ngoma. Tunajifunza walitokea wapi, maana za ngoma na uhusiano kati ya wafua vyuma na wapiga ngoma? Jee mtu anaweza kupiga chuma ama kufua ngoma? In this documentary, we highlight the life and works of Mzee Mtengwa, a doyen in forged iron and playing the drums of the Wadoe people. In this journey, w...
Hadithi ya Ndege Wawili Tena ya Mohamed Y. Rafiq
Переглядів 482 роки тому
#hadithizakiswahili2021 #fasihi #pwani #Tanzania #uwaridi #Tungo #tanga Hii ni hadithi niliyotunga na kuchapishwa na Lolwe. Nawaletea kama simulizi ya sauti kwa niaba ya Akenna Fredrick. This is my fiction story called Two Birds Again, which was published by Lolwe. I am delighted to present to you in audio from as it is narrated by the one and only Akenna Fredrick.
Najiita Msegeju: Sehemu ya pili, Safari ya Chongoleani
Переглядів 2,5 тис.2 роки тому
Katika sehemu ya pili tunamwona Babu Ali akielekea Chongoleani kutaka kujua zaidi kuhusu hawa Wasegeju ni kina nani na lugha yao ikowapi? Huku Chongoleani alikutana na wazee kama yeye na badala ya kupata majibu alikumbana na maswali mengi na mitihani. Jee haya maswala ni yepi? Na Jee Babu atapata alitakalo Chongoleani?
NIKO DOJO . At Dojo, in Bagamoyo, Tanzania
Переглядів 1572 роки тому
A brief glimpse to Karate training at BAFIMA dojo in Bagamoyo, Tanzania under the supervision of Sempai Ali Issa. Picha fupi ya mazoezi ya karate yanayofanywa kwenye dojo la Bafima mjini Bagamoyo, Tanzania chini ya usimamizi wa Sempai Ali Issa.
Najiita Msegeju: Sehemu ya Kwanza
Переглядів 1,4 тис.3 роки тому
Wasegeju ni kina nani? Jee kuna kabila kama Wasegeju ama ni pande la Wadigo? Katika kisa hichi Mzee Ali Suwaka anakumabana na maswali haya na kujaribu kupata undani. Tokea amezaliwa aliitwa Msegeju na alijitambua hivyo lakini katika uzee wake watu wakaaanza kumhoji utambulisho wake. Mfuate Mzee Ali katika uchunguzi huu tokea kijijini Mnyanjani mpaka kwenye vijijini vya mlimani kama Bwiti huko U...
Maonyesho ya filamu ya TIJA mjini Shanghai, China
Переглядів 713 роки тому
Mahojiano na director wa TIJA Mohamed Yunus kabla ya maonyesho ya filamu hio mwaka 2020 kwa wanafunzi wa Kitanzania mjini Shanghai, China
Safari Yangu Soko La Bandia Shanghai China. My Trip to Shanghai Fake Market
Переглядів 1653 роки тому
Safari Yangu Soko La Bandia Shanghai China. My Trip to Shanghai Fake Market
Kuro ama Goma kuu. Technolojia ya kiasili ya kupashana habari miongoni mwa jamii ya wasegeju.
Переглядів 2593 роки тому
Kuro ama Goma kuu. Technolojia ya kiasili ya kupashana habari miongoni mwa jamii ya wasegeju.
What Tanzania and Africa can learn from China. Tunachoweza kujifunza kutoka China.
Переглядів 624 роки тому
What Tanzania and Africa can learn from China. Tunachoweza kujifunza kutoka China.
Musical Responses: Interview on WPKN 89.5 with Oscar Gonzalez #Hodi Afrika #Bafima #CAH
Переглядів 894 роки тому
Musical Responses: Interview on WPKN 89.5 with Oscar Gonzalez #Hodi Afrika #Bafima #CAH
MDUMANGE, Ngoma ya Asili ya Kabila la Wasambaa kutoka Kicheba, Muheza. Mdumange Dance
Переглядів 56 тис.4 роки тому
MDUMANGE, Ngoma ya Asili ya Kabila la Wasambaa kutoka Kicheba, Muheza. Mdumange Dance
African Cultural Night at Indiana University with Maurice Soulfighter and Hector Ortiz
Переглядів 614 роки тому
African Cultural Night at Indiana University with Maurice Soulfighter and Hector Ortiz
Market 7
Переглядів 384 роки тому
Market 7
Market 6
Переглядів 204 роки тому
Market 6
Market 5
Переглядів 264 роки тому
Market 5
Market 4
Переглядів 184 роки тому
Market 4
Market 3
Переглядів 204 роки тому
Market 3
Market 2
Переглядів 304 роки тому
Market 2
Market Day in Bagamoyo, Tanzania Two
Переглядів 544 роки тому
Market Day in Bagamoyo, Tanzania Two
MarketDay in Bagamoyo, Tanzania
Переглядів 444 роки тому
MarketDay in Bagamoyo, Tanzania
Jini Masrani : Zawadi Hulemea
Переглядів 1314 роки тому
Jini Masrani : Zawadi Hulemea

КОМЕНТАРІ

  • @NuuhKatoto
    @NuuhKatoto 6 днів тому

    Nyumbani huko

  • @chinoamobi911
    @chinoamobi911 Місяць тому

    <3

  • @AmiriJuma-c1o
    @AmiriJuma-c1o 3 місяці тому

    Hatari sana

  • @APEffects
    @APEffects 3 місяці тому

    Finally hewani

  • @sanjifilm1722
    @sanjifilm1722 4 місяці тому

    Oh my god

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 4 місяці тому

    Jamani kisegeju kipo bwiti njoo bwiti maramba

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 4 місяці тому

    Bwiti kwetu huko wamamata

  • @gadielshedaffa3333
    @gadielshedaffa3333 4 місяці тому

    Naomba namba za hawa jamaa nataka marimba

  • @abuuissa1642
    @abuuissa1642 4 місяці тому

    Nza miss kuona mkooto

  • @burundinsight
    @burundinsight 6 місяців тому

    RIP MZEE WA MJEGEJE

  • @HappyMahimbo-fn4jo
    @HappyMahimbo-fn4jo 7 місяців тому

    Jamani zahoto wa manyoni yukosp

  • @EdinaFrenk
    @EdinaFrenk 7 місяців тому

    Nyumbani

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 7 місяців тому

    Home sweet home nema ❤❤❤❤

  • @KhadijaSalim-u8h
    @KhadijaSalim-u8h 11 місяців тому

    Twaomba muendelezo wa bwiti jamn kiseguju kipo mwaderwataaa

  • @juliethkipeja4791
    @juliethkipeja4791 Рік тому

    Had raha

  • @RaziaRafiq-y6l
    @RaziaRafiq-y6l Рік тому

    Aww I love this city ❤the place where my grandmother was born ❤

  • @xraybam
    @xraybam Рік тому

    Kazi safi kabisa I like it ❤️❤️❤️ @xrabam

  • @gomakuu
    @gomakuu Рік тому

    Kama mmeipenda hii tumewatayarishia kazi nyingine kuhusu hazina na siri za mji wa Kimbiji: ua-cam.com/video/I-nTbQinsk8/v-deo.html

  • @gomakuu
    @gomakuu Рік тому

    Naona mmeipenda hii. Tumetengeneza ingine kuhusu mji wa kihistoria uiitwayo Kimbiji: ua-cam.com/video/I-nTbQinsk8/v-deo.html

  • @saumumsuya
    @saumumsuya Рік тому

    only in Tanga Tanzania...... proud of our country

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 Рік тому

    Wasegeju wanaongea kidaiso kwao bwiti Hao wengine ni waswahili

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      Mbona watu wa Bwiti wanasema Wasegeju wa pwani ndugu zao?

  • @bakarisaid2023
    @bakarisaid2023 Рік тому

    Wasegeju kwao ni bwiti

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      Lakini hata wa Bwiti na Daluni wanasema na ndugu zao pwani na pia wanakoo zilizofanana kama vile Mwaita.

  • @jumahamisi9328
    @jumahamisi9328 Рік тому

    njoo Pongwe Kidimu Kenya utawapata

  • @jumahamisi9328
    @jumahamisi9328 Рік тому

    Kisegeju tunacho uku Kenya

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      Tuambie zaidi sheikh. Tupe mifano ya sentensi na misemo.

  • @abdallahathumani7465
    @abdallahathumani7465 Рік тому

    Na wadigo pia wanatumia Kuro kama kuitana kwa ajili ya matukio ya kijiji

  • @mauricekitana6587
    @mauricekitana6587 Рік тому

    Wasegeju na Dhaiso wana uhusiano wa karibu sana na Wakamba Kutoka kenya.

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      Hakika, Maurice hili jambo ni la kweli na mada ambayo naiangaza kwenye kitabu changu kipya

    • @mauricekitana6587
      @mauricekitana6587 Рік тому

      @@gomakuu Mimi natoka kabila la wakamba wanaojulikana kama Athaiso kwa lugha yetu.

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      @@mauricekitana6587 Nashukuru mno. Jee mna historia kwamba watu wenu waliondoka kwenda mbali?

    • @mauricekitana6587
      @mauricekitana6587 Рік тому

      @@gomakuu Hakuna historia inayosimuliwa kuashiria asili ya watu wetu (Wakamba) isipokuwa hekaya(myth) lakini wanahistoria wengi kenya wanaamini kuwa makabilla ya kibantu ya pwani mwa kenya na yale yanoishi karibu na mlima kenya walitokea upande wa mlima kilimanjaro.

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      @@mauricekitana6587 Kweli? Unaweza kunipa marejeo ya hao wanahistoria?

  • @gomakuu
    @gomakuu Рік тому

    Waonata. Fingo ipo kwenye sinema?

  • @abdullatief1812
    @abdullatief1812 Рік тому

    Safii kumbe ???

  • @AhmadJumanne-nk5wv
    @AhmadJumanne-nk5wv Рік тому

    Home Sweet Home Mnyanjani

  • @chicharito4201
    @chicharito4201 Рік тому

    Nzuri hii

  • @gomakuu
    @gomakuu Рік тому

    @ tunawashukuru kuendeleza hii kazi

  • @mariamuramadhan6838
    @mariamuramadhan6838 Рік тому

    Kicheba mpaka kanyarikaa moja

  • @saidkihiyosemwaimu
    @saidkihiyosemwaimu Рік тому

    Mzee vp

  • @ahadifilms3490
    @ahadifilms3490 Рік тому

    Top👍

  • @ahadifilms3490
    @ahadifilms3490 Рік тому

    Good 👍💪

  • @mignonsoldat6778
    @mignonsoldat6778 Рік тому

    👍👍👍👍👍

  • @romantictv9016
    @romantictv9016 Рік тому

    Good

  • @burundinews1926
    @burundinews1926 Рік тому

    Umuvuba Kazi nzuri sana

  • @adorexsoldier
    @adorexsoldier Рік тому

    Good work 👍

  • @millionfacts9714
    @millionfacts9714 Рік тому

    We need to tell All these stories to upcoming generation

  • @ikigabirotv105
    @ikigabirotv105 Рік тому

    Kazi nzuri sana

  • @ihunjafilm1141
    @ihunjafilm1141 Рік тому

    Good Work

  • @irungufilms2412
    @irungufilms2412 Рік тому

    Hatutakiwi kusahau asili zetu za ki Africa hii nimoja ya urithi wetu

  • @annanishi7082
    @annanishi7082 Рік тому

    Asili ya kutengeneza vyuma Ilikuwepo tangu zamani aswa kwebye nchi za afrika mashariki kama zote aswaa kwa Burundi tunaita "Umuvuba" ambayo kwa kiswahili ni Mivuo

  • @kagahungu1852
    @kagahungu1852 Рік тому

    Kazi nzuri sana

  • @burundinsight
    @burundinsight Рік тому

    Nimependa Lengo Lakujusabya vijana Nakuwafundisha kazi ili wasijikuta kwebye vikundi vibaya vya uhalifu

  • @APEffects
    @APEffects Рік тому

    Mikono salama Ya AP production

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      kazi safi sana Ami

  • @ramadhanjamali5761
    @ramadhanjamali5761 Рік тому

    Duuh kwahio sisi wasegeju hatuna lugha maaluum

  • @aloycebabene6239
    @aloycebabene6239 Рік тому

    Hongera sana kihiyo

  • @francismuiruri9064
    @francismuiruri9064 Рік тому

    Hapa Kenya 🇰🇪 wasegeju, Wakamba,Wakikuyu,Wameru na Waembu walikua kabila moja kitambo kama 1000 years ago.

    • @gomakuu
      @gomakuu Рік тому

      Shukran sana.Jee unaweza kuelezea zaidi.

    • @francismuiruri9064
      @francismuiruri9064 Рік тому

      @@gomakuu Ni hadithi za kitambo lakini hao hutaja 'Thagicu'. Wakamba toka Kitui zamani walikua wanaitwa Wathaiso.