KEKI ZA BIASHARA KWENYE JIKO LA MKAA SEHEMU YA KWANZA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Tumeonyesha Jinsi Mpishi Wa Keki Anavyoweza Kuoka Keki Za Biashara Kutumia Jiko La Mkaa Ni Rahisi Yahitaji Mazoezi Kiasi Tu Na Unakuwa Tayari Umefanikisha Kuoka Keki Zako Vizuri ‪@mziwandabakers8297‬

КОМЕНТАРІ • 90

  • @ElizabethJackobo
    @ElizabethJackobo 3 місяці тому

    Nashukuru Mungu akubaliki unaubaguzi unataka kilamtu ajuwe

  • @janethfredrick6174
    @janethfredrick6174 Рік тому

    Jmn nmefurah sana umeumbwa kwa ajili yangu ww

  • @zuwenambury3790
    @zuwenambury3790 Рік тому

    Nice

  • @bibiekumtupa1597
    @bibiekumtupa1597 10 місяців тому

    Ahsante dada hii situation nilikua naishindwa ya kupika kwa mkaa hadi nilikata tamaa ila ahsante umetupatia njia rahisi ambao bado hatujapata ovena

  • @lucysanka2570
    @lucysanka2570 2 роки тому

    Ahsante kuniongezea ujuzi natumiaga mkaa maranyingi ila nilikua sijui kuhusu kuweka mchanga juuu na ndani ya sufuria hilo nimejifunza sana

  • @filbertmyovela4690
    @filbertmyovela4690 2 місяці тому

    Habar dada mim ntapatA changamoto keki yangu haiumuki ala inaweka mlima na inapasuka msaada sijui shida nin

  • @stephaniachagaka7626
    @stephaniachagaka7626 2 роки тому

    Cjawahi pata ugumu wowote kuoka kwa mkaa ni rahisi sana na keki ni nzuri sana.ubarikiwe Dada kwa muda wako

  • @rehemafadhili7306
    @rehemafadhili7306 2 роки тому

    Asante sana kwa somo.... Mimi nikipika toka vizur ila inatevimba katikati sijui nakosea wap

  • @zaijames3133
    @zaijames3133 2 роки тому

    MashaAllah hujui nilivonufaika ubarikiwe

  • @neemaminja6539
    @neemaminja6539 2 роки тому

    Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako asante sana sana

  • @monicalazalo4616
    @monicalazalo4616 2 роки тому

    Unajitaid sana Allah akuzidishie

  • @lindamahondo9190
    @lindamahondo9190 2 роки тому

    Niliskia unga ukishakorogwa ukikaa sana nje bp inaisha nguvu dear

  • @febroniamichu9046
    @febroniamichu9046 2 роки тому +1

    Asante Sana dia,naomba darasa moja utufanyie keki za vipande zile ndogondogo za biashara

  • @jamilatwaha3959
    @jamilatwaha3959 2 роки тому

    Napenda sana kujifunza mapishi one day ntaweza maana nilishakata tamaa lakini kupitia ww nimepata darasa hasa kutokoroga sana mchanganyiko 🙏🙏

  • @HusnaSimba-ml5ov
    @HusnaSimba-ml5ov 10 місяців тому

    Napika na mkaa,siku ya kwanza nilipika ya robo ikatoka vizuri kila aliyekula alisifia.mara ya pili nikapika 2, ya gram 400 na 250 hazikupanda na ya gram 400 ilikuwa na matobo ndani lkn ziliwiva vizuri.

  • @immaculatajeremiah308
    @immaculatajeremiah308 2 роки тому

    Ubarikiwe sana dada.

  • @ericarugabandana4888
    @ericarugabandana4888 2 роки тому

    Asante nimelielewa darasa lako ila kwenye mkaa apo ndo unisaidie aisee...bado sijajua kubalance mkaa chini na juu

  • @Amina-tq9vh
    @Amina-tq9vh Рік тому

    Keki yamayai matatu naungalobo inakua kubwa nauzaa shingp

  • @tumwaminigeorge6032
    @tumwaminigeorge6032 2 роки тому

    Asante Sana na shukrani kwa darasa zuri Yani unaelekeza vizuri sijawahi pika lakini nimepika na kwa jiko la mkaa umetoka vizuri Mungu akubariki

  • @mtalesophia3830
    @mtalesophia3830 2 роки тому

    Mashaalaaa hongera sana

  • @abdulwahiddayal-fz7hh
    @abdulwahiddayal-fz7hh Рік тому

    Kwanini keki inapasuka au kuvimba kitumbo

  • @hasinarashid5059
    @hasinarashid5059 2 роки тому

    Shukran sanaa nimejuaa kupikaa keki kupitiaa wewe nataman niwe na baker kma wewe inshallah 🤲🙏🙏

  • @briamjojo7791
    @briamjojo7791 2 роки тому

    Congratulations 🎊🎈🍾 kabisa and thank you a lot ma

  • @kudralyimo7321
    @kudralyimo7321 2 роки тому

    Mwenyezi mungu akulipe kheri dia...utufanyie njia hii keki za vipande za bihashara

  • @suziejoe4187
    @suziejoe4187 Рік тому

    Wow! Thanks

  • @theresiadeusdedith4957
    @theresiadeusdedith4957 2 роки тому

    Yaan mkaa nimeuelewa kwa mwaka 1 sasa hongera Sana Mungu akubaliki Sana ila nimenunua oven inasumbua sanaa wacha nipikie mkaa tu kwanza 😂🙏

  • @roshinarjuni5255
    @roshinarjuni5255 Рік тому

    Mm nikipika kwa mkaa ganda la juu la keki linakuwa gumu sana ni kwann dr

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Рік тому

      Moto bado hujaweza kubalance hii hutokea ata kwenye oven moto ukiwa mbaya

  • @jamilatwaha3959
    @jamilatwaha3959 2 роки тому

    Shukurani kwa darasa zuri 😜

  • @masumbahashimu3501
    @masumbahashimu3501 2 роки тому

    mashallah,, mungu akubariki sana😘😘

  • @lightnesskamata931
    @lightnesskamata931 2 роки тому

    Asante kwa darasa

  • @sheillahkikoko5028
    @sheillahkikoko5028 2 роки тому

    Mashaallah kwa mwendo huu itakua bye bye oven tupambane na makaa hakika hakuna kinachoshindikana ukiwa na nia jazakillah kheir dada ake

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Amiin ni kutafuta njia mbadala tu

    • @hevenlightminja8343
      @hevenlightminja8343 2 роки тому

      Ninzuri kupika namkaa ila changamoto sufuria zinatoboka namifuniko hatari mchanga unatoboa sana sufuria Ila ninzuri kwakubaget changamoto nihiyo tuu

  • @munalove3935
    @munalove3935 2 роки тому

    Asante mpenzi

  • @happinessgodwinbana
    @happinessgodwinbana 2 роки тому

    Asante kipenzi🤗❤️

  • @salmaabdallah5660
    @salmaabdallah5660 Рік тому

    Nikipika cake haivimbi kwann kipenz

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Рік тому

      Jaribu kutizama video yetu ya sheria 8 za upishi wa keki yaweza kukujenga mahala

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 2 роки тому

    Shukran daa kwa ujuzi mi ata utumia makumbi ya nazi kuokea

  • @hadijaabeid6378
    @hadijaabeid6378 2 роки тому

    Mmh mie jaman kuset moto kumenishinda kidogo yaan ni tafran tu

  • @bettyedmund5018
    @bettyedmund5018 2 роки тому

    😘😘

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 2 роки тому +1

    Assalam alykum, ulijuaje my nataka kujua kupika hivi Kwa biashara..gas zimepanda bei mpaka unashindwa nunua...nitapika Kwa makaa Kwa njia hii

  • @gracemunhambo1790
    @gracemunhambo1790 Рік тому

    Mie ndio nakufuatilia Sana Sana. Kwenye mkaa leo nimepata kitu kwa Jiko la mkaa. Nilizoea kuweka chini kwa dakika 45 ndio naweka juu na zinatoka ila hii nimeiona nzuri

  • @salmaalnaamani2786
    @salmaalnaamani2786 2 роки тому

    Mansha'Allah shukran sana sijawihi kupika kwenye Maka ila ntajaribu Sasa mimi ndio ntakuwa thermometer nachungana na cake yangu

  • @graceshadrack8141
    @graceshadrack8141 2 роки тому

    Hongera sana nakuita my dada! Sababu umekuwa mwalimu wangu mzuri sana UA-cam! Toka cjui hata kichanganya unga lkn saiz n fund balaa 😆

  • @amirimussa7938
    @amirimussa7938 2 роки тому

    nimekuelewa mwl ubarikiwe mpendwa.

  • @leahbonifas5050
    @leahbonifas5050 2 роки тому

    Asante sn mwalimi,nilikata tamaa kabisa kuwa nitakuja tengeneza cake nzuri kweli? Maana sina oven,ila sasa umenipa tumaini jipya

  • @christinapeter7131
    @christinapeter7131 2 роки тому

    Hi, mwl. Napata shida kwwnye kupamba batter crem inanisumbua kwenye kupamba aidha natumia kisu cha mkate kupambia.. najifunza. Kupamba keki nikiwa nyumbani

  • @maureenmbinile1655
    @maureenmbinile1655 2 роки тому

    Asante kwa darasa zuri kwa hiyo keki inaweza ikasubiri kwa muda gani baada ya kukoroga?

  • @salmajuma1592
    @salmajuma1592 2 роки тому

    Samahani dada,Mimi nikipika keki inavimba Sana katikati inaweka km mlima,je nakosea wapi,naomba unisaidie

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Jitahidi kufuata vipimo na maelekezo ya video zetu mfululizo naimani utafaulu

  • @joycchiwila8416
    @joycchiwila8416 2 роки тому

    Umetisha sana,kwa upande wangu Niko vizur nikioka cake kwa jiko la mkaa,Sasa nimenunua Oven sielewi nakwama wp,hazichambuki Kama nilivyokuwa naoka kwa jiko la mkaa,iv shida jiko au mkologo wangu?pia Madam Naomba unijuze Oven gan naweza oka capcake 60 na kwa wakati mmoja na Kama unazo tuwasiliane my dear.

  • @shadianewrin601
    @shadianewrin601 2 роки тому

    Dada nimeipenda Ila jitaidi muwe mna tyupa vipimo

  • @maureenmbinile1655
    @maureenmbinile1655 2 роки тому

    Yaani nimepata swali, oven yangu ni von 45L naweza kubeki keki ngapi? Zenye urefu wa nchi ngapi?

  • @deodatamagani6079
    @deodatamagani6079 Рік тому

    Mim yangu inakuwa ngumu Haina ungaaa dada😢😢

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 2 роки тому

    Cake zangu haziwi flat ni mount Kilimanjaro

  • @olivajovita687
    @olivajovita687 2 роки тому

    Kwa nn sufuria inatoboka ukiokea keki kwenye mkaa

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Zetu hazijatoboka ,kwani ulipika hivi kama zetu ila yako ikatoboka?

  • @nicerkenny4239
    @nicerkenny4239 2 роки тому

    🥰🥰🥰

  • @zuhurashafii6305
    @zuhurashafii6305 Рік тому

    Unafanyaje keki zako ziwe na flat surface

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  Рік тому

      Unga usiwe mwingi
      Uji usijae sana kwenye chombo
      Moto uwe wa saizi yake sio mkali

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 Рік тому

    Nimeunguza juzi Ila ntajitaid kuwa makin

  • @adelmarcymallya772
    @adelmarcymallya772 2 роки тому

    Mbona cake zangu hazipandi nakosea wap

  • @shadianewrin601
    @shadianewrin601 2 роки тому

    Jinsi gani keki inatoka frat

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Recipe sahihi,sheria za ukorogaji sahihi na moto sahihi pia chombo cha kupikia kiwe size ya batter

  • @farajadetu9967
    @farajadetu9967 2 роки тому

    Dada ahsante sana maana unatumia mda wako kutuelekeza Mungu akubarik
    SKU moja uweke namba tukutumie hata 1000 ya mkaa

  • @rahmashekimweri4929
    @rahmashekimweri4929 2 роки тому

    Mimi nahitaji unifundish whsp nakupataje

  • @pillymantage9127
    @pillymantage9127 2 роки тому

    Me cake zangu nikijarb zinapasuka juu

  • @mitchellwambui5289
    @mitchellwambui5289 2 роки тому

    Why does my cakes breaks and harden? Pliz reply to me

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  2 роки тому

      Check out our 8 rules of cake baking (sheria za upishi wa cake) there are so many reasons may be oven temperature or your recipe is not balanced

  • @beatriceojwang8553
    @beatriceojwang8553 2 роки тому

    ni nini husababisha keki kupasuka juu mtu akioka?