*Surah falaq x3* *Surah Nnaas x3* *Surah Ikhlas x3* *Ayatul kursi x3* *Surah Baqarah last ten ayas. If you can manage to read it full it's the best and at least twice a week. Blow in water and drink the water. Live while reading these Surahs for the rest of your lives*
Binadamu sio watu wazuri dadangu nilikuja rongwa Kama miaka 3. Yani nilikua nikisinywa Kila siku na kuanza kutembea pekeangu . Kabla ya huo ugonjwa kuanza girlfriend wangu alikuja ota usiku mmoja niko na wazimu . Baada ya mwezi nilikuja zimia nakupelekwa hospital. Basi nilihangaika Sana nilikua siezi tembea kwa ufuo wa bahari mara roho yaenda mbio. Basi nilianza visomo uku na uku alhamdhulilah nilikuja pona . Kiini cha kurongwa ni bidii yangu coz hio time nilikua na business ndogo tu apo nyumbani. Uchawi upo na family zetu ndio zinazo tuonea vijicho.
kweli kabisa my dear.all the way frm 🇧🇲🇧🇲🇧🇲my dear mimi nilisukumiwa majini my dear urogi upo l m in london and its happening.and guess what who ever did that was my best friend.n after nilifanyiwa kisomo ilimrudia.she had to confess yani.kikulacho kiunguoni mwako.just experince is a good teacher.love u mami God bless you and your family.lnshallah 🤲🤲🤲
This lady is so funny, a very talented narrative teller. I absolutely don’t believe in witchcraft, but this is entertaining. One of the funniest Kenyan UA-camrs I’ve come across, very sexy Swahili accent.
😂 🤣😂 🤣..........Eti huyu ni kama jini mwenzetu.....😂 🤣😂 🤣😂 🤣. Sabrina, you are as crazy as you are REAL. Anyway, that was quite a horrific experience that you had. I am so glad you bounced back from it because, to be honest, life would have been boring and depressing without some Sabrina in it. I don't think you will ever know just how much some of us appreciate you. We may not be in a position money-wise to always come through for you but just know that we always anticipate your next video with bated breathe. I only speak for those who love and appreciate Sabrina, haters can take a hyke.
Wow alhamdulillah 😭 this is an amazing comment. I appreciate the love everyone is showing me, it took me a while but alhamdulillah.... You don't have to support me money wise but the fact that you have accepted my raw content is more than enough.😍😍😍😍😍
Sabrina pole for what happened but the story was soooooo interesting wallahi . And hiyo second story was hilarious 😂 I loved it . Keep them coming so your channel can grow . Inshallah it’s going to be something big .
Binaadam sio wote wema... mie Mama yangu mzazi anaugua huu mwaka wa 9 sasa amehangaika mahospitalini huko toka 2011 hadi leo hii hajaweza kupona huko kwa waganga pia watapeli dua pia wakisema waitwe wasome wanawahonga ili wasome za uongo... hadi sasa kaamua kumwachia tu Mungu yeye kama atampa nafuu au atamchukua ampumzishe... hatembei Kabisaaa yaani tu nafanya kumnyanyua kitandani ... walimwengu si wema Kabisaaa...
Eti mrogi wa wanaume 😂😂😂😂😂 mi nilirogwa na mandugu zangu haswa kwakua nilikua na mwanaume mwenye pesa hadi leo iam still struggling to get out of that shit
Pole dadaa minilitolewa swiss km mjinga nikaja home na wanangu visa na vituko ila Allah pekeyake nipata ustad akaniokoa mwisho ningechizi ila swalah pekee mungu atuepushie
SabOG mm nilirogwa uso wangu wote ikawa ni vidonda tu kwa uso aliniharibu uso msima ila muili wangi wote uko sawa . Nikamjua ila sikutaka kumregeahea nikamuacha Mungu atamlipa na inshallah .
Duh.... Nakumbuka ulikua wajipaka aloe vera duh... Uchawi upo bt mm siamini uchawi na siombi kurogwa, lakini kma ni malindi kila m2 aambiwa ana ukimwi sijui zamani kabla hakuna ukimwi Wa2 walikua hawana pele.!!!!mmh.... Pole shosti sio madogo
Yes naiona ni mpya mikitambo dawa nipotoka nchi nilipoa lakini kila ilikua nikija kenya tayari yaanza bada miaka mingi ikaondoka Alhamdulilah napenda maneno yako mazuru ya ukweli kabisa video zako
Jamani na mmi mnielekeze kwa walimu wa kihuhakika mana nikilala na kuamka napata kama nimekwaruzwa au kuchapwa hadi ngozi ipp vibaya sai ,,,cjui ni uchawi au vp au kama kuna anayejua dawa au mafuta mniambie mana sikua naamini ila naona naamini ssa
Kumtuza Kungwi Sabrina
Mpesa Till Number: 5564875
Mpesa Number: 0115279481 Farzana Mohammed
kungwi mm ni mgeni kwa channel yako lakini wow asante kwa mipasho
Karibu darling 😍
@@SABRINAWANGECI asante sanaa 😗
*Surah falaq x3*
*Surah Nnaas x3*
*Surah Ikhlas x3*
*Ayatul kursi x3*
*Surah Baqarah last ten ayas. If you can manage to read it full it's the best and at least twice a week. Blow in water and drink the water. Live while reading these Surahs for the rest of your lives*
👊🏽👊🏽👊🏽
@@SABRINAWANGECI katoa aya kwa faida yetu mbona unampiga ngumi au?
@@nooor1120 😃😃
Dini haipo hapo uislam jina tu
😂😂😂😂😂 nampa ndonga
Binadamu sio watu wazuri dadangu nilikuja rongwa Kama miaka 3. Yani nilikua nikisinywa Kila siku na kuanza kutembea pekeangu . Kabla ya huo ugonjwa kuanza girlfriend wangu alikuja ota usiku mmoja niko na wazimu . Baada ya mwezi nilikuja zimia nakupelekwa hospital. Basi nilihangaika Sana nilikua siezi tembea kwa ufuo wa bahari mara roho yaenda mbio. Basi nilianza visomo uku na uku alhamdhulilah nilikuja pona . Kiini cha kurongwa ni bidii yangu coz hio time nilikua na business ndogo tu apo nyumbani. Uchawi upo na family zetu ndio zinazo tuonea vijicho.
Pole nduguyangu Allah akufanyie wepesi
kweli kabisa my dear.all the way frm 🇧🇲🇧🇲🇧🇲my dear mimi nilisukumiwa majini my dear urogi upo l m in london and its happening.and guess what who ever did that was my best friend.n after nilifanyiwa kisomo ilimrudia.she had to confess yani.kikulacho kiunguoni mwako.just experince is a good teacher.love u mami God bless you and your family.lnshallah 🤲🤲🤲
Subhanallah urafiki mwingine unafiki Tu🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Mungu atulinde sote waja wake....
Asc habiba ulifanyiwa kisomo wapi maana mimi naishi holland nina jini mahaba linalisumbua sana
@sherry ali mpenzi angalia kwa carrymastori kuna mama karogewa mtoto wa miezi mitatu Jamani wakakaombee.
Woiiiii 🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️😭😭😭😭😭
@@SABRINAWANGECI Yaani ni uchungu nimelia sana. Wachawi hawana hata chembe ya utu jamani
Maskini my sister pole sana Nakupenda wewe na story zako lamu number one for future and story
Subhanaallah mwenyezi mungu atulinde
Amin In Shaa Allah
This lady is so funny, a very talented narrative teller. I absolutely don’t believe in witchcraft, but this is entertaining. One of the funniest Kenyan UA-camrs I’ve come across, very sexy Swahili accent.
Thank you darling 💓
I jst fell in love watching u for the first time sister💞 keep it up sister
Thanks 😍😍😍
Pole dia.. Nakupenda sanaaaa from Tanzania
Asante dear 😍
I really love you and your realness I enjoy your story's alot big love 😍
Thank you 😍😍😍
😂 🤣😂 🤣..........Eti huyu ni kama jini mwenzetu.....😂 🤣😂 🤣😂 🤣. Sabrina, you are as crazy as you are REAL.
Anyway, that was quite a horrific experience that you had. I am so glad you bounced back from it because, to be honest, life would have been boring and depressing without some Sabrina in it. I don't think you will ever know just how much some of us appreciate you. We may not be in a position money-wise to always come through for you but just know that we always anticipate your next video with bated breathe. I only speak for those who love and appreciate Sabrina, haters can take a hyke.
Wow alhamdulillah 😭 this is an amazing comment. I appreciate the love everyone is showing me, it took me a while but alhamdulillah.... You don't have to support me money wise but the fact that you have accepted my raw content is more than enough.😍😍😍😍😍
I love your transparent honesty!!!!👏👏👏👏 Keep it up
Dada sabrina asante kwa somo,lkn ukimaliza hayo mambo ,tufundishe na mapishii,nakupenda sanaa allah akutunzee
Inaniuma sana ulivyopitia dadangu swabrina. Namuombea dua sana ndugu yetu marhum Abdulmajid Allah amlaze katika jannatul firdaus( Amiin×3)🙏🙏🙏
We love you more and more 🥰🥰🥰✔
Amin yarrabil alamin
Sabrina pole for what happened but the story was soooooo interesting wallahi . And hiyo second story was hilarious 😂 I loved it . Keep them coming so your channel can grow . Inshallah it’s going to be something big .
Thanks for the love. In Shaa Allah will keep uploading
Walaikum salaam..it’s the boyfire for me🤣🤣🤣oshooooooooooooo💞💞💞💞nakupenda bure
Boyfireeeeee hoyeeeeee 😂😂😂👊🏽😍😍😍
I dont think Id need a TV if I'd be coming home to this drama daily! :)
You need a TV because I look better on a big screen
Marafiki waovu Sanah maskni mpaka ilkuwa wakuimbia😥, hawana khery kbsa
Nakupenda ❤️❤️❤️
Nakupenda pia 😍😍😍
Sabrina dadangu nakupenda bure and i love watching your videos .keep it up .Watching from Zurich Switzerland.
Thank you darling 😍😍😍
Nnakupeza jamani 😭😭 let me catch up 😣😣 Nyimbo ni 'kwaherini' 😂😂 nnaikumbuka ah wanadamu waovu kweli .
I hope sijachelewa Sana.
Uko very real I swear.keep up.soon tufikishe 10k subscribers
Thanks darling 😍😍😍
In shaa Allah watafika tu polepole
Mungu atawashinda wenye nia mbaya! Nia safi yashinda uchawi
Kabisaaaaa 👊🏽👊🏽👊🏽
Thanks for sharing,ur very inspiring i really love ur videos,love u dear
Welcome darling 😍
+966507615277
Same story too one day insha Allah I will tell my story
Mm nilirogwa n kurushiwa jini niliteseka for 6 yrs but Alhamdhulilah mungu n mkubwa nmepona n nikitolewa
Maskini pole mwenzangu kuna watu wana mazito 😔
Princess ata mie dadangu ako na shida sijui tamsaidiaje aki kama unajua mtu nisaidie
Napenda story zako Sabrina weh!!
Mashallah
Mungu amekusaidia na ww ujisome adkar ya jioni na asubuhi ni vizuri ujikinge
Nashkuru Mungu huwa nasoma jioni
Jameni Dada Sabrina waleta Raha, Eti Kasema wa enda kamroga na Mume Mwenyewe hana chochote 😂😂😂😂👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿❤️
Ati😂😂😂😂😂
Nimecheka yangu yote Yaani, Alhamdulilah
Wapenda kuipeleka nyuma alafu mbele weiiy
Kungwi ur the best yaani am here to stay. Nimekupenda buree
Aki dada your story like mine,pia mm i belive yangu itaisha soon yanyu siuchawi waugojwa but ni uchamwi,but 100 sure pia mm nitapeana story yangu
Mungu akuhifadhi na pengine mpate wetu
Amin in shaa Allah
Waalaikum Salam habibty mngu atawashinda mahasidi
Amin yarrabi
Yaaani weuweee umetoka mbaliiii 😂😂😂😂😂
Mbali sanaaaa mpaka tumechoka😂😂😂😂😂
My love is here 😍😍😍
😍😍😍
Mamaaa makubwa ya leo Subhanallah 🤭
🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️ usisemeee
Mungu akujaalie uzae kwa salaama ni mja mzito miezi mingapi
Amin In Shaa Allah
😍😍😍😍😍
😍😍😍
Hahahhh taniuwa at the end of day mama akamkula mblock😂😂😂
😂👊🏽
Kweli lakini rizki yatoka kwa Allah.
pole sana sabrina
Nishapona alhamdulillah
I just love this lady walai 🥰
😍😍😍
Pole sana uchawi upo kweli mimi yamenikuta mpaka Sasa wananitafu ndug ndio maduwi
Woiiiii pole dear
Mungu atazidi kukulinda
@@SABRINAWANGECI amina
Binaadam sio wote wema... mie Mama yangu mzazi anaugua huu mwaka wa 9 sasa amehangaika mahospitalini huko toka 2011 hadi leo hii hajaweza kupona huko kwa waganga pia watapeli dua pia wakisema waitwe wasome wanawahonga ili wasome za uongo... hadi sasa kaamua kumwachia tu Mungu yeye kama atampa nafuu au atamchukua ampumzishe... hatembei Kabisaaa yaani tu nafanya kumnyanyua kitandani ... walimwengu si wema Kabisaaa...
Subhanallah Mungu atampa shifaa in Shaa Allah usikate tamaa dadangu. Mungu ni mkubwa
Waaleykum msalaam dadangu
👊🏽👊🏽👊🏽
story zako interesting mama
👊🏽👊🏽👊🏽
hatujambo tupo powa dear ...tunakupenda sana.
Asante Sana dear 😍😍😍
One love swabri
👊🏽👊🏽👊🏽😍😍😍
Eti mrogi wa wanaume 😂😂😂😂😂 mi nilirogwa na mandugu zangu haswa kwakua nilikua na mwanaume mwenye pesa hadi leo iam still struggling to get out of that shit
Umeona? Binadamu wabaya
@@SABRINAWANGECI sana sasa hivi sina tena ndugu wala marafiki ni mimi na mungu wangu tu
Pole dadaa minilitolewa swiss km mjinga nikaja home na wanangu visa na vituko ila Allah pekeyake nipata ustad akaniokoa mwisho ningechizi ila swalah pekee mungu atuepushie
Subhanallah pole kwa hayo dear.... Mungu atuepushe na atustiri
Mama double ata mie nisaidie nataka ustad anisaidie help please
Hatujambo Sabrina.??? Unanikosha ukicheka 😂😂😂😘😘😘
😂😂😂 Cheka tu 😍😍😍
Mmh da Sabrina pole Tena pole haswa jmn wanadamu hawa
SabOG mm nilirogwa uso wangu wote ikawa ni vidonda tu kwa uso aliniharibu uso msima ila muili wangi wote uko sawa . Nikamjua ila sikutaka kumregeahea nikamuacha Mungu atamlipa na inshallah .
Mungu atamlipa
Da Swabrinaaa💖💖
😍😍😍
Hehe nyengine lini🤣
Share link tufike target audience niwape lingine
Allah akueke ❤️
Amin😍
Maskini ndugu yangu Sabrina. Watu wabaya lakini Mungu atakulipiya ikiwa mkono wa mtu. Mungu atuhifadhi. Amin.
Amin yarrabil alamin
I’m here early ❤️all the way from America 🥳
Welcome 😄😍😍😍
Hhhhhh watufurahisha.....Love from Mambrui
Furahi dada😂👊🏽
Napenda story zako
Ankwenda Kwa wanganga wa Burundi labda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ahahahahahahaha Congo forest
Mashaallah kitanda chako kizuri cha Enzi.
Asante dear 😍
Weeee story kaliii ajab... but weeh Sabrina you were notorious... wacha tu Alhamdulillah you're still alive and healthy.
Usiseme my dear nashkuru Tu Mungu
Demu mzuri huyu
+966507615277
For the borongest!!😂😂😂😂😂
Kweli shogaangu sabrina I am from tz...nishasukumiwa pia upele usiombe yakukute...ambaye hayajamkuta hawezi kuamini
🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️ hawaniamini kabisa
Pole sana mwenzangu
Pole dada Sabrina, Mungu atuhifadhi, where you located in MALINDI, love you
Amin In Shaa Allah
Mashaallah I love you mama
Swabrina u Mek my day wallahy
Karibu 😍😍😍
Wallahi natamani kama ningekua jirani yako na wewe bado mdogo nione uchizi ulionao
Halloooooooooooo 😍
Duh.... Nakumbuka ulikua wajipaka aloe vera duh... Uchawi upo bt mm siamini uchawi na siombi kurogwa, lakini kma ni malindi kila m2 aambiwa ana ukimwi sijui zamani kabla hakuna ukimwi Wa2 walikua hawana pele.!!!!mmh.... Pole shosti sio madogo
Nashangaaaaa 😂😂😂 nishapona bui nashkuru Mungu
wallahy mwili umenisisimka na hii story yako
Ndio maisha dear
Twafatilia
Ulitibiwa wapi recommend me. Nina matatizo
Jamani Sabrina hukusema nani aliyeingia na Honda maana hilo jicho ulompa si kidogo😂😂😂
😂😂😂😂😂 we nae pia mbea si kidogo
Hahahhaa.... Kali hio story mama aliblock....
😂😂😆😆
Yaan 😥ddaa na mm napitia icho kitu yaan atasijui nifanyaje nimemaliza hospital naambiwa kitu chakawaida itaisha lakin ndoina zidi😥😥
Woiiiii pole mwenzangu
Nimecheka kwa mwalimu kuna reception na lab na cashier🤣🤣🤣🤣mld hakuna viganga ni vitapeli
😂😂😂😂😂😂 wallahi tena
Nyimbo ya feruzi 😁😁😁😂
😂😂😂
This lady alwys has Adhaan in her phone MabshaAllah
👊🏽👊🏽👊🏽
Hasad zipo kweli aunty Sabrina
👊🏽👊🏽👊🏽😍😍😍
@@SABRINAWANGECI are you doing well
Phone number please
Uyo aliekuroga haswidi sana alikuonea wivu uzuri wako ndio maana alitaka usitamanike 😤 mwanahizaya yeye😤
Wallahi tena na Mungu azidi kumshinda
Miti yenye matunda mazuri upigwa mawe
Lazima dear👊🏽👊🏽👊🏽😍😍😍
EEEH ndio Mimi hapa wooiiii 😲
Can u tell me who curef u.i have a sick mother for the last three years. I have tried many places but all in vain
I am not sure if she is still there it has been a long time....
@sherry ali ata mie niko na ndugu yangu ako na shida kubwa jamani sijui nimpeleke hapo atasaika
@sherry ali nitampataje huyo Mohamed Sharif?
Hayo yakurogwa hivo hivo yalinipata ikifika makhrib wawashwa kama mwandazimu yalinipata mpz
🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️ na madonda? Kumbe ni uchawi uko? Thought ni mpya
Yes naiona ni mpya mikitambo dawa nipotoka nchi nilipoa lakini kila ilikua nikija kenya tayari yaanza bada miaka mingi ikaondoka Alhamdulilah napenda maneno yako mazuru ya ukweli kabisa video zako
Subhanallah dunia ina mambo
Yaa mm nilirogwa uso wangu madonda tu ila muili mzima uko sifa hali leo uso wangu uko na kovu
Jamani pole jaribu kutumia bio oil kwa makovu
Jamani na mmi mnielekeze kwa walimu wa kihuhakika mana nikilala na kuamka napata kama nimekwaruzwa au kuchapwa hadi ngozi ipp vibaya sai ,,,cjui ni uchawi au vp au kama kuna anayejua dawa au mafuta mniambie mana sikua naamini ila naona naamini ssa
A.alkm sister.. vp hali naulizaje hapo mji gani unapoishi?
Kenya, pwani, malindi
@@SABRINAWANGECI ooh ok. Mashallah nyumba nzuri. Which cottage do u recommend..cheap and best lol
Asante ni kwangu... Cottage siwezi kujua sio Mambo yangu nikija Naja nyumbani
@@SABRINAWANGECI ooh ok. No problem. Thanks for your time.
Huyu dada anaweza kuwa mdogo kiumri ila ame pitia mengi Mungu mkubwa
👊🏽👊🏽👊🏽
Ubeya.watakanafas
Kabisaaaaa 👊🏽👊🏽👊🏽
Sura zimeiva I think ni mtoto lwa kiume siku haziko mbali pumzika maa
Tupeleke tu utakavyo tushajileta
😂😂😂
Maskini my dia pole kwa hayo. Allah atakuhifadhi.
Amin yarrabi
Malimao in the building
Malimaooooo
This is so encouraging
👊🏽👊🏽👊🏽
🤣🤣🤣🤣
Wachawi sio watu wazuri duh
Kabisa 👊🏽
Love you too but Sabrina apo kwa upele ukusema uliisha vipi ?
Ukimaliza video utasikia
Love you Sizz
Love you too 😍
Ishakua ule marungi ya green alafu usioge .
Ulirogwa na nani weweee
😂😂😂😂😂 nyokoooo hebu niache ata ilikuwa sijaanza kusaga wallahi
@@SABRINAWANGECI tutaa amini vipi