Rev.Nikodem mwahangila FT Christopher Mwahangila.Nizunguke (skiza 5969692 send to 811 +255756273049

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • REV.NIKODEM MWAHANGILA NAKUKARIBISHA
    kutazama video ya wimbo huu mpya uliombwa na Pastor nikodem mwahangila akimshilikisha mdogo wake wa kufuatana Christopher mwahangila. utabalikiwa sana tena sana.................. +255756273049
    ...............................

КОМЕНТАРІ • 308

  • @topisternalianya466
    @topisternalianya466 Рік тому +2

    This my prayers my God 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 oh God sioni MTU mwingine nakuona Tu wewe mungu wangu . Hayupo kabisa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @masterkey536
    @masterkey536 Рік тому +1

    wimbo huu ni wangu mwaka 2022 hakika nami naomba nizungumze yesu

  • @topisternalianya466
    @topisternalianya466 Рік тому +2

    Zinguka mtoto yangu na jamii yangu mungu hii maombi yangu kwako

  • @luciasiwingwa3866
    @luciasiwingwa3866 Рік тому +2

    Hongereni Sana watoto wa mama benad , MUNGU amtunze pema Mama yenu ,malezi yake ndiyo siraha kuu ya utumishi wenu.

  • @aaronngwashi2984
    @aaronngwashi2984 Рік тому +2

    Hésédérébosh alelouhia alelouhia alelouhia alelouhia

  • @dorothynekesa8462
    @dorothynekesa8462 Рік тому +2

    Indeed bila wewe yesu mimi siwezi pekeangu
    Nizunguke Mungu wangu pande zote.happy new month everybody

  • @ndikumana2309
    @ndikumana2309 Рік тому +2

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nice sounds

  • @masterkey536
    @masterkey536 Рік тому +1

    huu wimbo ni zaidi ya moto

  • @DerickOmondim
    @DerickOmondim Рік тому +4

    Amen hallelujah bwana asifiwe

  • @lydiahmanyura6221
    @lydiahmanyura6221 Рік тому +2

    Nizunguke Mungu wangu na familia yetu yote.....zunguka dada angu Rose kwa huu wakati mgumu vile amepoteza mume wake na kumuachia watoto wachanga Mungu 😭😭🧎🧎🙏🙏

  • @isayasangija8587
    @isayasangija8587 Рік тому +2

    Mungu akubaliki sana Kwa ujumbe mzuli hakika aduwi zetu hawataki tuishi ira Mungu TU ndio anatosha

  • @musyimipurity9444
    @musyimipurity9444 Рік тому +5

    Any music with Chris in it never disappoints....keep going brother...nice collabo

  • @topisternalianya466
    @topisternalianya466 Рік тому +2

    Bila wewe Mimi siwezi kabisa nizunguka Baba 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @ruthuwase7345
    @ruthuwase7345 Рік тому +2

    nizunguke baba

  • @mallyakekue1168
    @mallyakekue1168 Рік тому +2

    Hooo Aleluya nizunguke mungu wangu bila ww siwezi kitu

  • @fredmoranga2439
    @fredmoranga2439 Рік тому +2

    hakika nishunguke bwana maana hatuwezi bila yeye....nice song my brothers

  • @danielmoki7788
    @danielmoki7788 Рік тому +1

    Mungu hazidi kuwa bariki na hawalinde Siku zote maana yeye peke Jehovah Adonai, Alpha na Omega,mwanzo na Mwisho Hallelujah Amen 🙏

  • @amontv8628
    @amontv8628 Рік тому +1

    Inatia moyo sana bila yesu siwezi

  • @lukeymabula6894
    @lukeymabula6894 Рік тому +2

    Kwakweli MUNGU huinua wanyonge

  • @alexmwakikambako4743
    @alexmwakikambako4743 Рік тому +2

    Mwahangila group amen watu wa mungu

  • @kibonajuhudi4214
    @kibonajuhudi4214 Рік тому +3

    MTU na kakaye, Blessed family

  • @robinahanyango3775
    @robinahanyango3775 Рік тому +1

    Ni shunguke Mungu panda sote🙏😭🙏🙏

  • @jolinoyohana3904
    @jolinoyohana3904 Рік тому +2

    Kama namuona vile mama enu anajivuna Kwa kuwazaa,, mbarikiwe sanaaa 👏 much love kwako pastor mwahangila tumebarikiwa na uwepo mafinga HOFAN

  • @sylviaangle8227
    @sylviaangle8227 Рік тому +1

    😭😭😭 mungu nizunguke mahali hapa Niko katika nchi yenye watu hawajui mungu #saudia

  • @zippymuli6008
    @zippymuli6008 Рік тому +6

    Such an uplifting song..nizunguke mungu wangu pande zote mungu wangu...Wimbo nzuri..from 🇰🇪

    • @nikodemmwahangila3334
      @nikodemmwahangila3334  Рік тому +2

      Ubalikiwe

    • @zippymuli6008
      @zippymuli6008 Рік тому +1

      Amina

    • @Ikumbi3
      @Ikumbi3 Рік тому

      Am really. Blessed by this song,yes Lord surround me. Amen Amen.This is my song this month of November.listening from Nrb

    • @alphamsigwa5836
      @alphamsigwa5836 Рік тому

      ​@@nikodemmwahangila3334the kitchen but she ❤❤..

  • @masterkey536
    @masterkey536 Рік тому +2

    Safii

  • @shedrackmwaipopo219
    @shedrackmwaipopo219 Рік тому +2

    Hongera mwanamaye 👏👏👏

  • @josephwanjala7794
    @josephwanjala7794 Рік тому +2

    Haaleluya barikiwe ni watumishi

  • @huldavalence7823
    @huldavalence7823 Рік тому +3

    Barikiwa baba kazi nzuriii sanaaaaa

  • @ruthmwende3897
    @ruthmwende3897 Рік тому +2

    Amazing

  • @jeremiahbulenge1856
    @jeremiahbulenge1856 Рік тому +2

    Pastor wimbo mzuri sana shutting ya viwango vya juu sanaaaaaaa hongera

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 Рік тому +2

    Yesu akubariki sana mtumishi wa Mungu kazi zuli sana hongera sana nizunguke Mungu wangu ♥️♥️❤️❤️♥️♥️♥️

  • @DaughteroftheMostHigh-ph3sh
    @DaughteroftheMostHigh-ph3sh Рік тому +1

    Amen nusunguke mimi na watoto na family yangu kwa ujumula,zunguka kasi ya mukono yangu na huduma yangu Yesu Christo hii ni ompi langu

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Рік тому +2

    Barikiwa mtumishi wa Mungu.

  • @neemajackson4076
    @neemajackson4076 Рік тому +2

    Mungu wangu naomba Nizunguke....Mungu awabariki kwa ujumbe Mzuriii

  • @neemamoris1372
    @neemamoris1372 Рік тому +2

    Nabarikiwa na kazi hii nzuri mno, endelea kutuhudumia mtumishi wa mungu

  • @Terryann25
    @Terryann25 Рік тому +1

    E mungu wangu nizunguke pande zote Ili maadui wasinifikie bila ww mm siwezi🙏🙏🙏🙏. Nice song watumishi keep it up.

  • @jenishungu9079
    @jenishungu9079 Рік тому +2

    Ubalikiwesana sana mtumishi wa mungu nyimbo inabaliki sana

  • @delicamwashilindi8591
    @delicamwashilindi8591 Рік тому +1

    Mungu azunguke kwenye maisha yangu ujumbe mzuri mbarikiwe sana

  • @pastorm.e.mwakalonge7020
    @pastorm.e.mwakalonge7020 Рік тому +2

    Good song ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu nawapenda

  • @lightfinekagoni3047
    @lightfinekagoni3047 Рік тому +2

    Nizunguke Mungu wangu zunguka na ndoa yangu

  • @mercyshikuku8252
    @mercyshikuku8252 Рік тому +2

    Amen 🙏🙏 nizunguke mungu

  • @hidayanzowa9315
    @hidayanzowa9315 Рік тому

    Asante kwaujumbe hu munguyup atatuzungka Amina mungu awenanyi kilasiku 🙏🙏♥️♥️♥️♥️💐

  • @gracew7460
    @gracew7460 Рік тому +2

    Nizunguke na watoto wangu pande zone Mungu

  • @lucypaulo6912
    @lucypaulo6912 Рік тому +1

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @alfayosauli-ls8uv
    @alfayosauli-ls8uv Рік тому

    Ni kweli kwamba hatuwezi kufanya kitu chochote bila MUNGU ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @lakisipesa6918
    @lakisipesa6918 Рік тому +2

    kazi zuri ubarikiwe sana

  • @emmahazengaemmahazenga6531
    @emmahazengaemmahazenga6531 Рік тому +2

    Aaah this song God bless me you are my only friend mob love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 ❤

  • @esthernjoroge345
    @esthernjoroge345 Рік тому +2

    God bless yu many

  • @hopekaluma6579
    @hopekaluma6579 Рік тому

    Nizuguke Mungu wangu thank you Jesus 🙏🙏🙌 mbarikiwe sana watumishi

  • @Pascalmusa4545
    @Pascalmusa4545 Рік тому +1

    Amen amen nimebarikiwa, pamwisho,

  • @ZAMB334
    @ZAMB334 Рік тому +1

    nyimbo nzuri ila kunyoa kwa REV hapana

  • @DaughteroftheMostHigh-ph3sh
    @DaughteroftheMostHigh-ph3sh Рік тому +1

    I love this song,mimi ni Sharon Jelagat kutoka Kenya lakini sai Niko Saudi Arabia

  • @maureenmuhenje916
    @maureenmuhenje916 Рік тому +2

    hallelujah na mungu ashugulike kwa kila jambo nmebarikiwa ni hii wimbo nanyi mubarikiwe zaidi mungu atuzunguke pande zote hakika ameeen

  • @mariajosiah1478
    @mariajosiah1478 Рік тому

    Nizunguke eehhh Yesu, kwenye kazi zangu, familia yangu, na popote tunapoweka miguu iwe baraka.

  • @davleenobwora2056
    @davleenobwora2056 Рік тому +1

    Nyimbo ya kutia nguvu na tumaini.Mungu awabariki sana.Tuzunguke Mungu wetu sababu hatuwezi

  • @masterkey536
    @masterkey536 Рік тому

    yesu nizunguke nielekeapo mwaka 2023

  • @moreenkavendi3459
    @moreenkavendi3459 Рік тому +2

    Ameeen 🙏🙏🙏 nizunguke mungu wangu

  • @ruthmayson2423
    @ruthmayson2423 Рік тому

    Hi how you and your wife I'm your biggest fan. Of your music blesses my heart. God bless you and your family.❤

  • @samogutu4709
    @samogutu4709 Рік тому +3

    More grace my fellow ministers. Ever proud of you
    SHALOM.

  • @nuruanafisoo4220
    @nuruanafisoo4220 Рік тому +1

    Nizunguke Mungu wangu pande zote pamoja na familia yangu kwa kila kitu changu

  • @victorswilla8691
    @victorswilla8691 Рік тому +1

    Bila wewe Yesu siwez, nizunguke pande zote, hayupo wa kunisaidia, MUNGU awatunze watumishi wa MUNGU, powerful and anointed song barikiweni sana

  • @reginawanyama6078
    @reginawanyama6078 Рік тому +2

    Amen

  • @mosesmahinya9654
    @mosesmahinya9654 Рік тому +2

    Mungu ashukuliwe wimbo mzur sana

  • @esthernjoroge345
    @esthernjoroge345 Рік тому +2

    Oooh yes

  • @sr.theresiargs5822
    @sr.theresiargs5822 Рік тому +7

    What a powerful prayer!
    Let me pray it again.
    Congratulations.mmekua wa baraka kwangu my brothers.
    May God continue lifting you higher

  • @danielkoj8724
    @danielkoj8724 Рік тому +1

    Ni tamu sana kufata nyimbo hii

  • @emmahazengaemmahazenga6531
    @emmahazengaemmahazenga6531 Рік тому +3

    Man Christopher mwahangila God bless you sir you never fail you always deliver to bless our soul.💃💃💃💃this song is powerful...

  • @oscarzeze6452
    @oscarzeze6452 10 місяців тому

    Hii Nyimbo Inanibariki sanasana unanitia nguvu Mbarikiwe watumishi wa Mungu

  • @joyceanzemo8222
    @joyceanzemo8222 Рік тому +7

    Amen this song is really a blessing to me during this time I'm passing thru alot I know my God will make overcome

  • @faithtimamu9832
    @faithtimamu9832 Рік тому +2

    Amen

  • @ماربيلا-ب4ن
    @ماربيلا-ب4ن Рік тому +2

    Amen

  • @olaiskidaa5708
    @olaiskidaa5708 Рік тому +2

    Nimebarikiwa saaaaana na huu wimbo my brothers

  • @mariamkemunto5919
    @mariamkemunto5919 Рік тому +2

    Nice song yesu tuzunguke zote.amen🙏🙏

  • @emmanuelde555
    @emmanuelde555 Рік тому +2

    Song Nzur Mnoo Barikiweni sanah

  • @MrJayRugaspel
    @MrJayRugaspel Рік тому +1

    Nizunguke Mungu wangu pande zote Mungu awabariki sana kz nzr sana

  • @kevinonsongo8074
    @kevinonsongo8074 10 місяців тому

    One of my best artist always unani bless na miziki yako nikiwa kenya mwanzo ile ya ndoto yangu Mungu azidi kukuinuwa❤❤

  • @jacklinemuli8651
    @jacklinemuli8651 Рік тому +2

    Nizunguke Mungu wangu

  • @classfordmaster4254
    @classfordmaster4254 Рік тому

    Barikiwa Kaka 🔥💚🧡💛 Mungu abariki huduma yako

  • @rebeccakemunto5377
    @rebeccakemunto5377 Рік тому +1

    🔥🔥🔥Amen Amen 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ni wimbo unatukumbusha bila mungu atuwezi ata Mimi naomba mungu anisunguke peke yangu siwezi barikiwa nyote sana 💞💞💞🙏🙏🙏

  • @gospelextravibes
    @gospelextravibes Рік тому +1

    Brothers ❤️

  • @margaretkole5516
    @margaretkole5516 Рік тому +1

    Mubarikiwe sana Kwa wimbo huu mtamu na wakubarik,wimbo wangu wa Kila wakati nizungukwe tuu mm, nawapenda sana 🙏🙏🙏🙏

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 Рік тому +1

    Amen 🙏 bila wewe siezi

  • @amosizebedayo9190
    @amosizebedayo9190 Рік тому +1

    Hakika Mungu nizunguke pande zote Mungu awatunze

  • @jameskaka4522
    @jameskaka4522 Рік тому

    Kakayangu nikodem .nikweli.bila,babayetu wambinguni .hatuwezi fika popote .nyimbo hio imenigusa ssna

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali Рік тому +2

    Nimebarikiwa sana babaangu kweli nizunguke pandezote Bwana wangu

  • @emmylitavicent5432
    @emmylitavicent5432 Рік тому

    Mungu awalinde na kuwatunza,kupitia ww nimejifunza mengi sana baba, karibu tn usokami

  • @eliudsylvesterking1981
    @eliudsylvesterking1981 Рік тому +1

    Hongera

  • @doskalunguofficial3057
    @doskalunguofficial3057 Рік тому +1

    Nikiangalia mbele na nyuma sioni mtu mwingine, nakuona wewe Mungu wangu. Nizunguke baba 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gasperdinna1206
    @gasperdinna1206 Рік тому +1

    MUNGU ATUKUZWE KWA KIPAJI CHENU!

  • @GershomWekesa
    @GershomWekesa 3 місяці тому

    Rev.nikodem your sound in that song actually was so wow🎉then finally Christopher at the end you made it real without those ladies behind there at balancing the vocals without those who were at the machines actually the song is very touching 🔥🔥🔥

  • @eunicemariana825
    @eunicemariana825 Рік тому +2

    Nice song🙏🙏🙏 barikiwa

  • @GershomWekesa
    @GershomWekesa 3 місяці тому

    Mungu atukuzwe kazi safi ndugu zangu God bless you abundantly 🙏

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali Рік тому +2

    Ameeen ameeen

  • @beathamukandinda6304
    @beathamukandinda6304 8 місяців тому

    Christopher mutoto wa Mungu tunagupenda sana, yiko hapa mu Rwanda, Mungu akubariki sana

  • @richardmutekeofficiel4372
    @richardmutekeofficiel4372 Рік тому +1

    Kali saana

  • @lameckmnanka9330
    @lameckmnanka9330 Рік тому +1

    Mm bwana nizuguke nafamilia yagu

  • @ipyanapaulo4774
    @ipyanapaulo4774 Рік тому

    Halleluja yesu ni Mungu mbarikiwe sana watumishi

  • @rayozil8705
    @rayozil8705 Рік тому +2

    Nizunguke Mungu is a hit song 🔥🔥🔥

  • @joymasoni7662
    @joymasoni7662 Рік тому +2

    Amen wimbo mzuri sana