Nyie mnajipendekeza kwa zari Sababu Ana pesa ,mapenzi nikupendana bwana sio mtu ujipendekeze wee ,big up tanasha hata Kama huna hela jithamini ,acha Bibi ajipendekeze kaisha mwache namikorogo yake ,songa mbele na mwanao
Diamond ata umpikie mbuzi he will cheat on you√√ata ukae style ya ndania, kitunguu, ,ama lizard kwa kitanda he will still cheat on you√√√√and i wonder why some ladies keep chasing this man🙄🙄😏
Uyu anapenda ela za kakaake atafanya chini juu aolewe mara kumi awe anatunzwa tu na kakaake the main mission was to get alot of money though michango ya harusi kutoka kwa mondi apo utaskia anaolewa tena
Dada aca hiyo tabiya kumbuka wewe una watoto wakike na wewe pia jifikiriye hiyi ni duniya Esma .chunga kesho usije kujuta . Hiyo no comment inaongeya kitu
Ubaya sasa Daimond mdogo Zari mzeee kwaivo ata akitembeya nae ni kama shangazi tu , haki aibu kubwa sanaa hadi watu wanawacheka huku wanawadanganya . Tena ni mke wa marehemu Ivan na huko pia wamepiga ma picha na watoto wao huku yeye na Daimond na watoto, aibu tuu . Daimond ni star hafai kuwa na mjane tena mzee .
Watutangazia kuwa uko vizuri, Ili tukutafutie bwana au, Acha kuropoka weweee!!!!! Kama umevuta Bangi bhana, Muongo mkubwa wewe, Hiyo tabia mbaya umeirithi toka kwa mama yako,,, Ukoo wenu haufai naona Ni mlango wa nane, Kaka yako anadhalilisha watt wa like,wewe na mamako mwawatesa mahawara wa Naseeb, Na pia kakako Hana adabu hata za kwendea chooni
Huyu nae Yuda Esma tumemchoka .Ndoa yake imemshinda, kwa tabia zake mbaya ndo maana Mswiza amemtimua . Mtu mzima Mpuuzi mkubwa. Tumekuchoka, hii familia nayo Mtihani. Esma jenga familia yako ya Dimond haikuhusu.
Kwa matatizo ya michirizi, Makovu,nyama uzembe, kuongeza shape, hips,nguvu za kiume, kuwa softi, dawa ya mvuto,n.k Karibu ofisini, SMS/whatsap 0693_330284
Jameni Hamisa Mungu atamjalia wa Dangote's wanamuongelea vibaya hata hawampendi Dylan but Mungu yupo na anayaona yote atampanguza machozi na wanao madharau siku moja wamsalamia kwa heshima
Esma Jinga kabisaa dio maanake Zari kakuita YUDA.Juzi tu ulikuwa ukimsifu Tanasha vile yeye ni mtoto wa kizungu mambo yake taratibu na privite sio kama Zari eti lazma mjue kile kitu😳now uko apa kosokoso🙄😝.Olewa na kaka ako basi nkt
iyo nikweli Yuda kakumbali,mulitamani Tanasha amupe iyo furaha Diamond ila akawakomowa na kuwaonesha yeye alikuja kushuna pesa na kweda.apo Mungu anamipango yake kwa mwanadamu
Ndio maana kwake kamshinda bwana kamtoroka ..yuko South Africa yuaenjoy life , wewe fititina na uyuda ndani ya wifi zako 🚮🙄, esma achana na life ya kakako!
@Bella Bella 🤣🤣 na ataumia sana maana yake ni ya behind the scene,,yanamchokonoa pekee yake😄😄,ya watu anachanganua kana kwamba kalipwa,heheee apunguze ushambenga na ubonzo asije kufa siku si zake😏😏
Huyo Esma yamemshinda ya kwake awe mwalimu kwa wengine...??? Jiulize kwa nini wanaume wanakukimbia mama ....aache attitude mwanamke sio mapishi tu heshima kwa mumeo jmn muhimu
Ivi Esma unafikiri kaka yako asingekuwa na pesa huyo Zari angerudi kwa huyo kaka yako ,hata kama zari anapesa ,wanasema pesa inaelekeya kule nyingine ipo..ukweli hamuoni mbali kweli chungeni msije kuliya
Amesahau hata hao wapilkaji wameachwa Tena kwa njia ya kudhalilishana xana .mi Nina mwaka wa 12 kwenye ndoa na kazi ya kupika siipend kabisa napika Mara moja ndani ya miezi na tunaish vzr hakuna hata dalili ya ugomvi
Mfikirie esma sasa hivi anaumia kwa upweke anataka kulala na mume, mume yupo south anakata kiuno kwa mke mwingine yeye ataishia hasira tuu, ndio maana nasema unyanyasaji kimwili ni mwingi kwenye uislam. Women say no to uke wenza, sio mzuri utaumia kisaikologia na pia ni uchafu kwani mara nyingine mwanamme hanawi anapo kuja kwako kukulala
Uyo alokua hanw hajuw maan ya ndoa saw, halafu uwislam sio ivo unavouzania uko kuzin au kua n wake wa ndoa vpbora coz hakun mwamme anerizik n mwanmke mmoj sas bora uwow kuliko kuzin kuepush zina na maraz
Tanasha alikua kiboko ya wa Tanzania mtoto mpole mwenyenye huruma mkampotezea haya jisikizeni kupika sio mampenzi mapenzi nikupendana hata mkalala njaa kama mapenzi yako hakuna ajuaye na kama alikua hajui kupika na kweli mumempenda mbone musimufundishe huo niuongo mtupu hakukua na chochote hapo bt saa God halali jibu liko
je unajua simu yako ni ajira yako itakuwezesha kuingiza kipato ukiwachumbani wewe ukitoka nje nikutumia ua-cam.com/video/Hz0pwQ-jHXo/v-deo.html jiunge sasa
Wanawake kuweni makini na waume wa kuwaoa, Hebu mskizeni huyu mdada ansvyoongea,,utafikiri yy hahusiki, Je,wewe nyumbani kwako wafanyaje!? Wewe imekuwa wachunguza wake za Kaka zako, Hata Kama wewe uko vizuri kwako, Ya kakio hayakuhusu, Familia yenu nyie, Mbona mko Kama Mbuzi wa Albadiriii!!!!!
Niricho gunduwa zari wanamuogopa sababu ana pesa zake na weye kama umeona hivyo gonga like tujuane
Hakika👌
Kabisa my
Nilicho siyo niricho
😹😹😹
@@selector728 as long as understood what i said
Nyie mnajipendekeza kwa zari Sababu Ana pesa ,mapenzi nikupendana bwana sio mtu ujipendekeze wee ,big up tanasha hata Kama huna hela jithamini ,acha Bibi ajipendekeze kaisha mwache namikorogo yake ,songa mbele na mwanao
Hebu twambea ukweli Tanasha hakua anapika na nilisikia uncle akimusifie sana anakula hadi ana beba chakula kingine #254🇰🇪🇰🇪
emily kumbe unakumbuka hiyo interview wasafi.. achana na Yuda they thought tanasha atakubali wamcontrol . no way muitaliano mujaluo hawezi
Yeah she cooks but awa wanaka kucontrol mtu ka mtoto 🇰🇪
Yaani nimegumduwa esma anamaneno ya hekma insha Allah akujujalie
Diamond ata umpikie mbuzi he will cheat on you√√ata ukae style ya ndania, kitunguu, ,ama lizard kwa kitanda he will still cheat on you√√√√and i wonder why some ladies keep chasing this man🙄🙄😏
Dey Stil Chase After Him Mayb Hes Gud On Bed U Neva Knw N De Appearance & Money Matters,
Its all about money matters
True my dear
hongera dadangu
Uhakika dada umeongea pwent sahihi nakupenda saana😚😚
Esma kweli kabisa..
Zari kiboko ❤️❤️
Wewe Esma....msizwa kaesma tu juzi kazi yko umbea wala hujui kumhudumia mwanaume...huna adabu
Esma ni mama kijacho,pole sana na mimba 🤰🤰🤰🤰🤰🤰🤰🤰
Itakua kweli
@@lizyjacob9633 my t😎😊
Angelbwija 2dagsago🤰👩🔬🤰👩🔬🤰👩🔬🤰💘🌼
@@lizyjacob9633 ni kweli iko mimba
Wasafi yangu 🔥🔥🔥❤️
Zari na diamond
What goes goes around comes back around....imekula kwako iyo Yuda
Yuda Kam yuda ❤️❤️❤️ kabisa
🤣🤣🤣😅😅
Yake yamemshinda ywachagulia mke kakake mnafki mkubwa huyu mungu akulaani naroho yako mbaya
ESMA JENGA NDOA YAKO AISEE ACHANA NA KAKAYAKO NDOA YAKO INAVUNJIKA HUKO UPO BUSY NA KAKAYAKO😀😀😀
Very right sister,this Esma must change or else she'll stay single the rest of her life😛
Uyu anapenda ela za kakaake atafanya chini juu aolewe mara kumi awe anatunzwa tu na kakaake the main mission was to get alot of money though michango ya harusi kutoka kwa mondi apo utaskia anaolewa tena
Yaani yuakere uyo mdada wacha tu!🙃
🤣🤣🤣🤣Haki ya Mungu niokotoee wapi
@@msolopaganz4446 p
Esma waumwa eeeh....!!!!!!! 🤰💃💃💃💃
Wooow Esma
Kweli Esma wema ni kiboko yabo una sema muzuri
Kanifurahisha kwa kweli kumkubali Wema Mambo mazuri hayo...
Esmaake❤❤
Zari mama laooooo
Wasafi classic baby
Kwahiyo,umepewa kazi ya kuwachunguza wake wa kakako,
Wewe Ni binge la Shambenga,
Lakini huyu esma anajua kutunza mume ama nikuingilia maisha ya watu wengine.
Kaachika tayari
Hajuwi angelijua tunza mme angetulia kwa ndoa yake
Nyie mno comment ujinga mnajua uko kutunza mume......hhhhhh wabongo bana......!
Esma mnafki jamani, anyway mawifi ni wabaya sana tena wanafki sana niwachache sana wasio wanafki ktk maisha
Tishaaaaaaaaa
Dada aca hiyo tabiya kumbuka wewe una watoto wakike na wewe pia jifikiriye hiyi ni duniya Esma .chunga kesho usije kujuta . Hiyo no comment inaongeya kitu
Ubaya sasa Daimond mdogo Zari mzeee kwaivo ata akitembeya nae ni kama shangazi tu , haki aibu kubwa sanaa hadi watu wanawacheka huku wanawadanganya . Tena ni mke wa marehemu Ivan na huko pia wamepiga ma picha na watoto wao huku yeye na Daimond na watoto, aibu tuu . Daimond ni star hafai kuwa na mjane tena mzee .
Watutangazia kuwa uko vizuri,
Ili tukutafutie bwana au,
Acha kuropoka weweee!!!!!
Kama umevuta Bangi bhana,
Muongo mkubwa wewe,
Hiyo tabia mbaya umeirithi toka kwa mama yako,,,
Ukoo wenu haufai naona Ni mlango wa nane,
Kaka yako anadhalilisha watt wa like,wewe na mamako mwawatesa mahawara wa Naseeb,
Na pia kakako Hana adabu hata za kwendea chooni
Huyu nae Yuda Esma tumemchoka .Ndoa yake imemshinda, kwa tabia zake mbaya ndo maana Mswiza amemtimua . Mtu mzima Mpuuzi mkubwa. Tumekuchoka, hii familia nayo Mtihani. Esma jenga familia yako ya Dimond haikuhusu.
Afadhali amekuja zari nyumba nzima ya diamond tumeiona
😂😂😂😂🤣 tungeiona wap
🤣🤣🤣🤣🤣🤣duh
@@hammycrayz9769 😂😂😂😂
@@bintialfan2143 😂😂😂
Lkn si kwà ubaya,mwanamke anafaa kuwa na boma ngapi??mfano zari kaolewa Uganda tena ataolewa Tanzania wah!!!!🤔🤔🤔🤔
Yaaaaaa nyotaaaaa
WEWE HIMJALI MUMEO NDIO MAANA UNACHEZEA TALAKA
Kwa matatizo ya michirizi, Makovu,nyama uzembe, kuongeza shape, hips,nguvu za kiume, kuwa softi, dawa ya mvuto,n.k
Karibu ofisini, SMS/whatsap 0693_330284
Ndo mana zari aliwachamba heshima imewakaa mmemuonea hamisa kisa mpole nyooo domo chafu kaa sio mwanamke
Jameni Hamisa Mungu atamjalia wa Dangote's wanamuongelea vibaya hata hawampendi Dylan but Mungu yupo na anayaona yote atampanguza machozi na wanao madharau siku moja wamsalamia kwa heshima
Pole mama kijacho utapona mimba zinasumbua jaman nahisi tu Wanazengo😂😂🙉
😂😂😂😂🤰🤰🤰
Esma Jinga kabisaa dio maanake Zari kakuita YUDA.Juzi tu ulikuwa ukimsifu Tanasha vile yeye ni mtoto wa kizungu mambo yake taratibu na privite sio kama Zari eti lazma mjue kile kitu😳now uko apa kosokoso🙄😝.Olewa na kaka ako basi nkt
Ukiolewa na diamond unaolewa na familia nzima,ona uyu kapewa talaka juzi venye anaingilia mambo ya kakake??
iyo nikweli Yuda kakumbali,mulitamani Tanasha amupe iyo furaha Diamond ila akawakomowa na kuwaonesha yeye alikuja kushuna pesa na kweda.apo Mungu anamipango yake kwa mwanadamu
Ndio maana kwake kamshinda bwana kamtoroka ..yuko South Africa yuaenjoy life , wewe fititina na uyuda ndani ya wifi zako 🚮🙄, esma achana na life ya kakako!
👏🏻👏🏻🙌🙌
ua-cam.com/video/1kq_o3q95Yw/v-deo.html
Exactly
@Bella Bella 🤣🤣 na ataumia sana maana yake ni ya behind the scene,,yanamchokonoa pekee yake😄😄,ya watu anachanganua kana kwamba kalipwa,heheee apunguze ushambenga na ubonzo asije kufa siku si zake😏😏
Point sister 😍😍😍🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤗
Katoto kanacheza chez a tu boni mwa esma khaaaaaa 🤣🤣🤣😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kwanza kwann diamond kilamwanamke ni mbaya kwake uyu ana problem
Huyo Esma yamemshinda ya kwake awe mwalimu kwa wengine...???
Jiulize kwa nini wanaume wanakukimbia mama ....aache attitude mwanamke sio mapishi tu heshima kwa mumeo jmn muhimu
Umenena
Yako esma yamekushinda huuuko 😂🤣🤣🤣😂 tuliya jenga yakoooooo
True true
Woww Thank you very much Issuma
Huyo esmas ama esma yakwake yamemshinda😒sasa nguvu ya kuongea katoa wapi😌
Esma haki we htr duh 😂😂😂😂😂
Mbona nyinyi kama familia msimwambie dai alete watoto wote pamoja
Esma umesikiya mume wako kasema yeye hakuolewaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Walizoea lakini kapatikana kweli
Jamani zar abaki
Mmh huku kwenye mitandao kuna madaktar 🤣🤣kila watu washapima esma ana mimba 😂😂😂
😂😂😂
@@aidaabdul4633 🤣🤣🤣
Ivi Esma unafikiri kaka yako asingekuwa na pesa huyo Zari angerudi kwa huyo kaka yako ,hata kama zari anapesa ,wanasema pesa inaelekeya kule nyingine ipo..ukweli hamuoni mbali kweli chungeni msije kuliya
The way to a man's heart is through his stomach. (maneno ya wazungu sio yangu)
Hata mwanaume wakumjali unamuona sasa unataka kakayako ajaliwe wakati yy mwenyewe bwege tu
Mgonjwa kaanza kinyonge ila kwa kumalizia daaah!!! Msariti mkubwa
😹😹😹😹yuda
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
NITAFURAHI ZARI AKIWATIMUA ESMA NA MAMA DANGOTE
😀😀😀😀
Mmmmmh yuda
Esma wewe umeshindwa kutunza mumeo anatunzwa insta huna la kuongea hapa
Tanzanian interviews are on another level 😂
👏🏻👏🏻😂😂
They are raw!!! 🤣🤣
jamani nampenda Esma bureeeee
✅
Simba family
Wakucheat atacheat tu...
Mswiza kasema hajaolewa papana
Bendera hufwata upepo ni esma sasa
Yeye anaendelea kuolewa tu.
Esma tunajua urafiki na camera huna mpaka miezi 9
Nihatari kwakweli
Uzuri mnahojiwa kwa tv yenu na watu wanavyopenda umbea bas mnaingiza pesa 😀😀😀
Xxx
Xxx
Kwaiyo mwanamme ni TUMBO TU?
Watu wanaishi local sana
Amesahau hata hao wapilkaji wameachwa Tena kwa njia ya kudhalilishana xana .mi Nina mwaka wa 12 kwenye ndoa na kazi ya kupika siipend kabisa napika Mara moja ndani ya miezi na tunaish vzr hakuna hata dalili ya ugomvi
@@marypaul3292 umeonaaaeee
Mapenzi ni UPENDO.
Laana imekupata ndio maana ukiolewa unaachwa
Mfikirie esma sasa hivi anaumia kwa upweke anataka kulala na mume, mume yupo south anakata kiuno kwa mke mwingine yeye ataishia hasira tuu, ndio maana nasema unyanyasaji kimwili ni mwingi kwenye uislam.
Women say no to uke wenza, sio mzuri utaumia kisaikologia na pia ni uchafu kwani mara nyingine mwanamme hanawi anapo kuja kwako kukulala
Uyo alokua hanw hajuw maan ya ndoa saw, halafu uwislam sio ivo unavouzania uko kuzin au kua n wake wa ndoa vpbora coz hakun mwamme anerizik n mwanmke mmoj sas bora uwow kuliko kuzin kuepush zina na maraz
We vipi uislam umekufany nini sasa bora mtu aziin au aowe
@@nadiailiyasa1234
Sasa kuolewa gani huko kwa kushare mume?
@@ambrosiamlinga8402 sas ulitaka kushea wanyama
Hana akili wabongo washazoea kuzini hata huyo diamond watoto wote wa nje sjui yupi atakuwa mrithi halali
Umeshindwa na wawili, ukaenda kuwa wa tatu, sasa unaongea nini?
Huko nako kumemshinda tayari
@@jamilanasir6833, anataka kumtawala msizwa
Huyuuuu anaumwa ama anaogopa kukutana na zari...unafiki ni kitu kibaya jamani
😂🤣🤣🤣 umenena
Tanasha alikua kiboko ya wa Tanzania mtoto mpole mwenyenye huruma mkampotezea haya jisikizeni kupika sio mampenzi mapenzi nikupendana hata mkalala njaa kama mapenzi yako hakuna ajuaye na kama alikua hajui kupika na kweli mumempenda mbone musimufundishe huo niuongo mtupu hakukua na chochote hapo bt saa God halali jibu liko
@@eunicebarisa523 kweli
je unajua simu yako ni ajira yako itakuwezesha kuingiza kipato ukiwachumbani wewe ukitoka nje nikutumia ua-cam.com/video/Hz0pwQ-jHXo/v-deo.html
jiunge sasa
Kuweka mafuta chapati ndio kupika mwambie
haaaaaaaaaaa tusasikiya mehi
W
Hatari🤣🤣🤣🤣🤣🤣
umeolewa jama bibi wa ushirini what nonsense are you telling people?
Mujuwe ata Uganda yuko na boma lake , sasa mke mmoja atakuwa miji ngapi ?
Wanawake kuweni makini na waume wa kuwaoa,
Hebu mskizeni huyu mdada ansvyoongea,,utafikiri yy hahusiki,
Je,wewe nyumbani kwako wafanyaje!?
Wewe imekuwa wachunguza wake za Kaka zako,
Hata Kama wewe uko vizuri kwako,
Ya kakio hayakuhusu,
Familia yenu nyie,
Mbona mko Kama Mbuzi wa Albadiriii!!!!!
😍😍😍🤣🤣🤣👌🏾👌🏾👌🏾👍🏾👍🏾👍🏾
Mumeo amekushinda sasa wawasema Wifi zako
Tanasha yeye alikuwa ajali😂😂😂
Studio from morning to night
@@pheobemaina8343 she was a girlfriend not a wife
@@blessedemily3652 Good answer
Kwani diamond alikua anamjali tanasha
Wema akeeee
Esma umeogea vema
Sasa mbona hamumulizi anaumwa na nini jamani?
Mimba mimba mimba
Hakuna mwanaume asie cheat kwakweli
Pole mwaya yako yamekushinda tuliza domo mwehu ww
🤣🤣🤣🤣
Nilikua nasubiria kusikia kutoka kwa huyu dada Yuda
But si wewe si ulisema tanacha
Kweli buana hii ipo kwa kila mtu atamimi ishanitokea lakini badae yakaisha
Esma poa
Hypocrites
I tell you
Dongo la tanasha hilo
Mimba sio ugonjwa
Mmh asma yuda kweli wewe hivi ht aibu huoni au? Umeulizwa ujio wa watoto wengine unataka waje wote eeeh?
😂😂😂😂
Mwanaume wako au mume wako?
Judas ni judas tuu