NANDY NA BILLNASS - DO ME (Dance Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • Nandy & Billnass Performing “Do Me” Dance. Dance Choreography

КОМЕНТАРІ • 563

  • @user-Badqueen7r
    @user-Badqueen7r 5 місяців тому +2

    Dah Bill nass alivo kuja 😂hadi raha much love guys 👌✌️ kama bado wautazama wimbo huu ²⁰²⁴ gong like hapa much❤✌️✌️✌️

  • @Directorjax55
    @Directorjax55 4 роки тому +13

    Uwiiiiiiiiiiiii wap like za Nandy na Billnas jaman dumi dumi nymbo Kali kabsa nmeikubali tuachen kufchana Kaz Kali nme respect narudia kuiskiliza

  • @theodoraingi5131
    @theodoraingi5131 4 роки тому +9

    U guys mnajua sanaaa my favorite couple😘

  • @swabrinamohammed1425
    @swabrinamohammed1425 4 роки тому +3

    Weweeeee umechoma nandy nakupenda kwa buree ila c kwamauno hayo daaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤❤❤❤

  • @eliarichard9218
    @eliarichard9218 4 роки тому +23

    Njoo kwa Yesu Nandy unaimba vzr Yesu atakupa uwezo zaidi ya huooo.

  • @thekingcr7365
    @thekingcr7365 4 роки тому +2

    Kazi koja safi sana. Nimetokea kukubali sana Nandy. Endelea kupiga kazi, nipo nasubiri kazi yako na Mpoao

  • @omaryadam1442
    @omaryadam1442 4 роки тому +1

    Ukweli da nandy naku kubali xnaaaaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️💯🤚

  • @dayjamakangira2951
    @dayjamakangira2951 4 роки тому +4

    "Si wanatoa Siri za nyuma tawapa siti za mbele" you kill it billna

  • @roi2554
    @roi2554 4 роки тому +1

    Bilnass unategea kucheza nshakuona kakaa😆😆😆🙌🙌

  • @sylviah9666
    @sylviah9666 4 роки тому +3

    Nandy kanenepa...kapendeza zaidi jamani

  • @mariyammariyam8722
    @mariyammariyam8722 4 роки тому +2

    Staili zao tu za kucheza nimezipenda😍😍😍😍

  • @BibiejuliusBibiejuliuaalbado
    @BibiejuliusBibiejuliuaalbado 10 місяців тому +1

    Nandy wewe ni fundi simuoni was kufananae hongera billnas kwa kumpata mke imara kwa wore

  • @xhekykudos5108
    @xhekykudos5108 4 роки тому +6

    I just love dem nandy keep on doing gud music ukianza kusikiliza hbaba na mwijaku wanaongea nn watakupoteza gud music express itself

  • @pankbreezy7579
    @pankbreezy7579 4 роки тому

    Daah mtoto mzr nandy safi ukiwa na billnass najihis Raha Sana Kua na huyo mwamba

  • @hajrahussein3793
    @hajrahussein3793 4 роки тому +18

    Nandela anajuwa lkn pia zuhura anaweza Ila Nandela kamzid zuhura kwa uzuri👌 wanaokubaliana na mm tuwe pamoja maeneo aya🥰

  • @sejw9373
    @sejw9373 4 роки тому +1

    Mashallah imeweza uko juu my

  • @najmaaa6548
    @najmaaa6548 3 роки тому

    Nakubali Nandi upo juu...wengine mazinga ombwe tuh. hwakuwezi bahnae..🤝🤝💋

  • @noelkasian2247
    @noelkasian2247 4 роки тому +1

    Hahahaa nmecheka kwa sautii but nakubalii sanaaa Nengaaa en Nandy

  • @edinakiula6149
    @edinakiula6149 4 роки тому +3

    Ila nandy we noma mpaka raha yaani🥰

  • @juliusmitchy7794
    @juliusmitchy7794 4 роки тому +21

    Weuweeeeeeeeee 💥💥💥💥💥💥💥💥💥 kali moto sana...

  • @vivosereni
    @vivosereni 4 роки тому +7

    Nandi you soooooo sweet with sweet songs my sweetheart !!! All love from Kenya . Tanzanians we love you our neighbors let's live us brothers & sisters.

  • @shoxmocormasasi4391
    @shoxmocormasasi4391 4 роки тому +1

    zuchu ana flavour yake & nandy ana flavour kila mmoja pigo lake amaizing

  • @jonicemollel669
    @jonicemollel669 4 роки тому +5

    Nawapend snaaa n nyimbo gud snaa💖💖💗

  • @asiabeauty9851
    @asiabeauty9851 4 роки тому +1

    Eti nandy mbona nakupenda hadi nahisi kero! !!!!!❤

  • @tuppahpremium
    @tuppahpremium 4 роки тому

    Nyimbo kariiiiiiiiiiiii
    Video mbayaaaaaaaa
    Daah!! Munaznguwa

  • @marybabo4922
    @marybabo4922 4 роки тому

    African princess wewe ndio kusema..got Soo much love for you girl

  • @hdeegithinji2191
    @hdeegithinji2191 4 роки тому +5

    Wooow eeeii❤️❤️Nandy is a whole different vibe

  • @beatricehenry7841
    @beatricehenry7841 4 роки тому +1

    Nandy anajuaa kuchezaa.sanaa.....hata Billnas kajitahd piaa sanaa😂😍😍😍

  • @Goldsule
    @Goldsule 4 роки тому +9

    Congratulations the queen Nandy

  • @angelgarza7069
    @angelgarza7069 4 роки тому +1

    beby walai...do me💓💓💓

  • @sharonoyondi2400
    @sharonoyondi2400 2 роки тому

    How do I get to you nandy and just see you...your song so much inspiring me..I think you always sing about my life.. nandy nakupenda sanaa you're my mentor and am sure Al one day be like you

  • @jackjoshua3666
    @jackjoshua3666 4 роки тому

    Hongera nandy unajitahidi kucheza usiruhusu kunenepa Zaid Bora upungue 👏👏☺️

  • @chocolatedrop3968
    @chocolatedrop3968 4 роки тому +1

    Nandy 🔥🔥 halafu mnasema zuchu aka zuhura kaja ku mbuluza Nandy.. mnaota.. big up

    • @faudhiaomary9191
      @faudhiaomary9191 4 роки тому

      Zuchu bado hajampata nandy ,zuchu bado anaimbakm taarab

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 Рік тому

    Nice song.keep on rolling Queen Nandy/ Bin nas

  • @hassannyaluke2702
    @hassannyaluke2702 4 роки тому +1

    Waaacha wee big up nandy

  • @mwanaishaalfan3145
    @mwanaishaalfan3145 4 роки тому

    Mashallah Nandy nakupenda bureeeee❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏

  • @ranoxranduh9743
    @ranoxranduh9743 4 роки тому

    Kutoka 254 nandy umeweza halafu usikie mbweha fulani akikufanansha na zuchu

  • @onesmobida9420
    @onesmobida9420 3 роки тому

    Nakukubal cana nandy..joyc wa shy

  • @kelvinmallya5175
    @kelvinmallya5175 4 роки тому +1

    Niceeeee sanaaaa

  • @elizabethnguma3379
    @elizabethnguma3379 2 роки тому

    Napenda hii song saaana hua na watch mara mia ndo nilalee

  • @francismwangi9600
    @francismwangi9600 4 роки тому +1

    Noma Sana moto kama pasi..,..... 254 love your songs.

  • @lisabrian9594
    @lisabrian9594 4 роки тому +1

    Fantastic one😗

  • @judywambui5074
    @judywambui5074 4 роки тому +1

    This song is 🔥 kama pasi ya stima. Nandy my favourite artist. Go gal!

  • @miriamchao8177
    @miriamchao8177 4 роки тому

    Chizi kurogwa😂😂😂.
    Kazi safi

  • @thegreatfilmsindustry7908
    @thegreatfilmsindustry7908 4 роки тому +1

    Asipoendana na speed ako atakuharibia kazi, but anajitahd, kaz si mbaya sana, i wish one day utoe colabo na chriss brown,love your talent

  • @kimpalambapj
    @kimpalambapj 4 роки тому

    Wamejitahidi. Ubunifu mzuri kwa video hii. Wametumka MB zangu kihalali. 😃😃😃

  • @fenrearubeiy4170
    @fenrearubeiy4170 4 роки тому

    Uwiiiiiiiiiiiiii Nandy utaniuaaa

  • @rojatv167
    @rojatv167 4 роки тому +1

    Billinass ajui kuchezaaawa

  • @halimahabibu9938
    @halimahabibu9938 4 роки тому +1

    Nandy weweeeeeeeee. 😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 4 роки тому

    Kavukavu hata kama wanasa una virus...huu mstar nimeshauelewa ni kuhusu ileeeeeeee...

  • @larissam298
    @larissam298 4 роки тому +7

    Luv from🇧🇮♥️😘😘💥🔥😍

  • @yustinrockboy4091
    @yustinrockboy4091 4 роки тому +1

    Nakubali mziki mzuri unaimba hadi chooni nibakishie

  • @carolshiru4374
    @carolshiru4374 4 роки тому +6

    hao jamaa wenye motorcycle 🏍 nimethani watafanya mambo 🤣🤣🤣🤣🤣anyway I love you nandy n billnass❤❤❤❤

  • @shikellymercy9981
    @shikellymercy9981 4 роки тому +1

    U Neva disappoint nandy

  • @khalekichambo1131
    @khalekichambo1131 4 роки тому +4

    Power couple,na songi 🔥🔥🔥

  • @winndelule2302
    @winndelule2302 4 роки тому

    Billnass 😅😅😅😅😅😅😅😅😅dah unavyocheza t tu mim hoi 😁😁😁!Yan nmecheka aki ya Mungu 😆

  • @giftmwikali5236
    @giftmwikali5236 4 роки тому +2

    I just love this❤❤ naomba mungu mshikamane zaidi👩‍❤️‍💋‍👩 msije kuniumiza roho kama jux na vee

    • @donatimr656
      @donatimr656 4 роки тому

      Aseee kumbe kuna watu mnaumia na mahusiano ya watu aseee dunia ipoo kasiii

    • @JKQGAME
      @JKQGAME 4 роки тому

      @@donatimr656 hahahahahahaahah

    • @giftmwikali5236
      @giftmwikali5236 4 роки тому

      Kabisa

  • @florenciamanji8236
    @florenciamanji8236 4 роки тому +1

    Daaah! Nandy viuno ni🔥

  • @benmagaya6610
    @benmagaya6610 4 роки тому

    🙌 🙌 🙌 🙌 Hongera Sana Dance Nzuri 1️⃣0️⃣0️⃣

  • @evalyanga9899
    @evalyanga9899 4 роки тому

    Wasanii wwngi mapenzi yao hayadum ila nyie nawaombeeni maisha malefu sana mpendane daimaaa

  • @goodluckmsauzi4669
    @goodluckmsauzi4669 4 роки тому

    Nakupenda nand hadi mke Wang kipenz anajua mm ninavokukubal unajua kuzteka hisia

  • @halimahnabirye3220
    @halimahnabirye3220 4 роки тому +11

    In 20 second oh my God am in love with this song 💗💕 love ure couple guys

  • @geofreybaruti7740
    @geofreybaruti7740 4 роки тому

    Nandy wewe wazidi kunikosha 😘

  • @aminiaadhee4986
    @aminiaadhee4986 4 роки тому +67

    Watching from Mombasa wapi likes zangu

  • @antondamian9677
    @antondamian9677 4 роки тому

    Napenda nandi akicheza. Sana

  • @evermwamedi5071
    @evermwamedi5071 4 роки тому

    Saaaan niceee muendeleee kuwepo tu🥰🥰🥰🥰🥰

  • @MwajumaFilemon
    @MwajumaFilemon Рік тому

    munapendeza❤❤❤❤

  • @lastqueendouglos9798
    @lastqueendouglos9798 4 роки тому +1

    Nice sanaaa

  • @veronicaerasto8587
    @veronicaerasto8587 4 роки тому

    mnafanya vizuri Sana nyie watu

  • @lizahnakimo819
    @lizahnakimo819 4 роки тому

    Wow hiyo densi iko juu

  • @lillianbarongo2807
    @lillianbarongo2807 4 роки тому +4

    Big up... keep up good work.🥰🥰

  • @masegakennedy3881
    @masegakennedy3881 4 роки тому +3

    Inaweza

  • @mabetablacklion6430
    @mabetablacklion6430 4 роки тому +74

    Wa kwanza leo, nipee zangu likes

    • @shehdon847
      @shehdon847 4 роки тому

      🙏🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
      ua-cam.com/video/1hE1LyqyX10/v-deo.html

  • @timothypaul1714
    @timothypaul1714 4 роки тому

    Sawa nandy waue we nooooma sana

  • @kennedybariwot6108
    @kennedybariwot6108 4 роки тому +56

    Watching from kenyaa iko wapi like za bazuu

  • @NassorDuga-zj9zf
    @NassorDuga-zj9zf Рік тому

    Nakupenda sana nandela

  • @sashahamiss7734
    @sashahamiss7734 4 роки тому

    Nakupenda Sana nandy na napenda jis mlivyopwndezana

  • @azizichakunyata8111
    @azizichakunyata8111 4 роки тому +2

    Show kalii🔥🔥

  • @accramasuu_tv
    @accramasuu_tv 4 роки тому

    Aaaah bwana Nandy we huwa wanimaliza....haki sis Biggup sana

  • @adamakimana6685
    @adamakimana6685 4 роки тому +43

    Nic unajuw akun mupinzan Tanzania ww njo namb One ku wanawak wote Respect

  • @joycewakio7248
    @joycewakio7248 4 роки тому

    imeweza sana nandy nakupenda sana #joy from kenya

  • @ruthcherotich8132
    @ruthcherotich8132 4 роки тому +2

    Eeeeish! am watching for the 10th time,much love from +254

  • @thebest_onlinetv629
    @thebest_onlinetv629 4 роки тому +72

    alafu by the time kuna mtu around the corner anataka amfananishe nandy na zunchu cjui zanchi dabliusibii weee she's the african princess 😘

  • @Pedi_Wa_Meme
    @Pedi_Wa_Meme 4 роки тому +5

    Amazing Sana 🔥🔥🔥...mad combination

  • @djtiddy.com.tiddymnyama.1823
    @djtiddy.com.tiddymnyama.1823 3 роки тому +1

    kiukweli nandy unajua kinoma love you

  • @clintonbellinakhta3781
    @clintonbellinakhta3781 3 роки тому

    Je t'aime nandy princesses africa tu es trop cool🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jamesomondi4757
    @jamesomondi4757 4 роки тому

    Umeakisha moto🔥🔥🔥🔥

  • @najmasoudnaj8211
    @najmasoudnaj8211 4 роки тому +6

    Wow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯💯❤️

  • @dorcaskayumba8809
    @dorcaskayumba8809 3 роки тому +2

    Congratulations Queen Nandy

  • @AlainShogonya
    @AlainShogonya 4 роки тому +4

    Chiiiiiii the princess 👸 herself 🔥

  • @happinessmarato9845
    @happinessmarato9845 4 роки тому +1

    Nmeipendraaaaa😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @jackilinekasendamila6270
    @jackilinekasendamila6270 4 роки тому +22

    😂😂😂😂 bilinas jamanii kucheza hajui hahahaha ila I love this couple wallah

  • @naominyanda762
    @naominyanda762 4 роки тому +2

    👏👏👏to african princes

  • @berthamtenga2091
    @berthamtenga2091 4 роки тому +2

    Nomaaaa saaana

  • @ibambasineema4523
    @ibambasineema4523 4 роки тому +1

    Go girl you are loved

  • @lucyheigre1974
    @lucyheigre1974 4 роки тому

    UNIK ngoma kali couple imeendana❤️❤️❤️❤️❤️

  • @hamisihajjy6958
    @hamisihajjy6958 4 роки тому

    Nandy umeuwa aki mwambie zuchu atafukuza sana

  • @upendogabriel2239
    @upendogabriel2239 4 роки тому +1

    🥰🥰🥰hatariiiii

  • @emilywambui9192
    @emilywambui9192 2 роки тому

    Uuiiiiih can't get enough best couple

  • @tatianatati7344
    @tatianatati7344 4 роки тому +5

    You allows kill it, keep up👍✌ Mbosso ❤😍even tho I can hear a lit bite 👌👌👌👌 This song touch me tho❤❤