Maggie Muliri - Chakula Chako (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 січ 2025
  • Mungu wetu chakula chake ni sifa na kumuabudu yeye ungana na mimi muda huu kumwambia Mungu anastahili sifa na ukutufu kwa yale yote ailiyotenda kwenye maisha yako.#MaggieMuliri#ChakulaChako#MusicVideo.Channel Administered by Huru Digital
    Instagram: / hurudigital

КОМЕНТАРІ • 337

  • @daniellaelsie744
    @daniellaelsie744 2 роки тому +1

    Rip Angela Chibalonza, we miss u

  • @agathamarura2427
    @agathamarura2427 5 місяців тому

    Mungu haitaji kitu chochote kutoka kwa mwanadamu ndio awe Mungu,
    Kumsifu na kumwabudu ni amri yake..kwetu wanadamu.
    Wala sifa sio chakula cha Mungu.

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 8 місяців тому

    Mama mchungaji mtumishi wa mungu elisha MULIRI huyo baba ameona mengi simama nae kbs na kumbe ww ndie uliimba song ya nitafika na bukuku mungu yupo

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala 3 роки тому +1

    nabarikiwa snaa, Mungu azidi kukutumia zaidi na zaidi

  • @clarissenzita1477
    @clarissenzita1477 2 роки тому

    Nzambe merci Pô bisika olokota ngai mutu akoki koyeba tei

  • @iradukundaarnaud8907
    @iradukundaarnaud8907 3 роки тому +1

    Nakuku Bali sana mma mungu
    Akubariki

  • @maggymshay7666
    @maggymshay7666 4 роки тому +7

    Kenyans pita na like huku ♥️♥️🙌be blessed

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 3 роки тому +1

    Mungu.ni.mwema.siku.zote.ahadi.zake.ni.kweli

  • @everlynevinaywa4580
    @everlynevinaywa4580 2 роки тому +1

    Good sauti fresh sana mum God bless your family

  • @evamusuruve3196
    @evamusuruve3196 2 роки тому

    Wow ,chakula change huku ,am blessed mum ,🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭

  • @damarismbitha253
    @damarismbitha253 4 роки тому +1

    Napenda nyimbo zako mummy Mungu wetu akubariki

  • @magdalenaobet8502
    @magdalenaobet8502 3 роки тому

    Mwanamke jasiri ktk kumtumikia MUNGU napendaga sana

  • @wemamasenya9561
    @wemamasenya9561 2 роки тому

    Barikiwa mno dada yangu🙏🙏🥰🥰🥰🥰

  • @nellygrace8451
    @nellygrace8451 3 роки тому +1

    Avance mamy

  • @magdalenaobet8502
    @magdalenaobet8502 3 роки тому +1

    I love you so much 😍😍😍😍

  • @anathsalum68
    @anathsalum68 4 роки тому

    Jaman maisha ya Sasa unaimba mambo ya mungu umebana matako hatar sana

  • @StellaSiruri
    @StellaSiruri 7 місяців тому

    Nyimbo yangu pendwa Hadi nalia😢🙏

  • @matesomlewa8664
    @matesomlewa8664 4 роки тому +1

    hapo sawa kabisa nyimbo iko poa sana

  • @naomimurugi2678
    @naomimurugi2678 4 роки тому +1

    Hallelujah chakula cha mungu musifu

  • @marayiokedi2720
    @marayiokedi2720 3 роки тому +1

    Ninabarikiwa zaidi ka huu wimbo

  • @niyonzimasebirayi3923
    @niyonzimasebirayi3923 4 роки тому +1

    Ubarikiwe na Mungu mama kwa wimbo huu.

  • @rehemaedward7997
    @rehemaedward7997 3 роки тому +3

    Amen Bwana sikiliza Maombi yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nabintudeborah8414
    @nabintudeborah8414 3 роки тому

    Ni uliponitosha siri ya moyo wangu

  • @andrewe7052
    @andrewe7052 2 роки тому +1

    Glory to Jesus

  • @merryn.mwambene2945
    @merryn.mwambene2945 4 роки тому

    Bwana Yesu kiristo asifiwe dada hongera Sana Sana nyimbo nzuri sana

  • @RithaEdison
    @RithaEdison Рік тому

    Dah mama mungu azidi kukubariki sauti

  • @joyceedwinbategeleza5918
    @joyceedwinbategeleza5918 2 роки тому +2

    Wimbo mzuri sana!! I can’t stop listening to the song!! God bless you mama.

  • @godwinmercy5918
    @godwinmercy5918 3 роки тому +2

    Nice song Dada barikiwa🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @priscaadongo1922
    @priscaadongo1922 5 місяців тому

    Make wa apostle why do you look like the world uchi kifuani kama Dunia apendae Dunia kupenda Mungu hakumo ndani yake

  • @ambelemwaitebele6131
    @ambelemwaitebele6131 Рік тому

    Hongera sana mwana wa MUNGU barikiwa

  • @magrethndola6988
    @magrethndola6988 3 роки тому

    Nyimbo zako zote zinanibariki sana

  • @vailethmwaisumo
    @vailethmwaisumo 4 роки тому

    Barikiwa

  • @maryndichu879
    @maryndichu879 4 роки тому +7

    Here watching 2020
    +254
    Vocals 👌
    Dress code ❤️
    Dancing 💞
    💃💃💃💃💃💃

  • @sarahmbembela646
    @sarahmbembela646 4 роки тому +2

    Hauchoshi kusikiliza chakula Cha Mungu maabudu,,,sifa so amaizing song barikiwa mtumishi wa Mungu👉🇹🇿♥️

  • @daniellaelsie744
    @daniellaelsie744 2 роки тому +1

    i have seen someone like Wonder Muliri here, nyc song am blessed

    • @purity_7_m
      @purity_7_m 2 роки тому +1

      I guess this is her other lovely mum who has been talking care of her.
      Thank you Maggie for being a good mother to wonder....
      We love her unconditionally....her mum was so dear to us🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @isabelleuwamahoro2324
    @isabelleuwamahoro2324 3 роки тому +1

    Yesu kweli umenitowa jararani

  • @fatumalimonga812
    @fatumalimonga812 4 роки тому +1

    Chakula kitamu Cha Mungu kimepikwa kweli kweli sifa nashukrani ni kwa Mungu kwa ajili ya mtumishi wake 😘😘😘😘😘

  • @kachalambewe4818
    @kachalambewe4818 Рік тому

    Very nice ❤❤music

  • @homysiderz1571
    @homysiderz1571 3 роки тому +2

    Nyimbo nziri sana ubarikiwe

  • @agneskigeme1197
    @agneskigeme1197 4 роки тому +1

    Ubarikiwe da Maggie🙏

  • @sabrinahm5651
    @sabrinahm5651 3 роки тому +1

    God bless you

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 4 роки тому +1

    Woooooooooow this song makes me cry yaani umeimba kuusu maisha yangu kabisa haleluya Amen Amen Amen Amen nikitafakari kwenye Mungu alinilogota miye from zero to same way uyu Mungu nimwema ❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶💉🎶🎶🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇦🇨🇩🇨🇩🇨🇩best song asante yesu

  • @marrymethew1245
    @marrymethew1245 4 роки тому +4

    Woow mumy ilove more... Jaman ulivo mrembo sasa ...

  • @lightnessmamuya3133
    @lightnessmamuya3133 4 роки тому +1

    Naujiunganisha na hii neema kubwa...love you mom 💞💞💞

    • @lightnessmamuya3133
      @lightnessmamuya3133 4 роки тому

      @@maggiemuliri225 thanks mumy I got the message I worship at buswelu under the supervision of daddy peter

  • @mwamvitamaulid5755
    @mwamvitamaulid5755 3 роки тому +1

    Ilove u xo much

  • @rizikikahindo8637
    @rizikikahindo8637 4 роки тому +5

    Ubarikiwe sana mjakazi wa Mungu da Maggie Muliri kwa wimbo nzuri 💪💪💋

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 4 роки тому +1

    Wimbo mzuri sana,ila jaman ifke hatua wanawake tumheshimu Mungu na kumuogopa unasema Mungu amekutoa mbali n kweli ila sasa huo mwonekano wa kikahaba wanini kwanini hujikubali ulivoumbwa na Bwana,hayo mapambo ya kuzimu yakazi gani,soma 1petro3:3,mwanamke atakiwa kuwaje jaman,uwe chanzo cha watu kuokoka na kumfuata Yesu uswe chanzo cha kipeleka watu jehanam,hayo mapepo ya mapambo na nguo za kubana na uwazi Yesu hapendezwi ata ungemsifiaje tukatae kazi za ibilis yanini kupenda uumbaji wakishetani n mapepo tu hayo shetani anawadanganya na muonekano wake wa bandia huoo shauri yenu

    • @stalonstanley8808
      @stalonstanley8808 4 роки тому

      Wewe unakipimo gani hicho cha kujua yote ayo ?

    • @didoskingofgospelrhumba2487
      @didoskingofgospelrhumba2487 4 роки тому

      MUNGU akubariki Sana maman

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 4 роки тому

      @@didoskingofgospelrhumba2487 Amen akubariki nawewe piaaa

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 4 роки тому

      @@stalonstanley8808 Roho mtakatifu ndicho kipimo nilichonacho kwa kuniwezesha kusoma neno lake MUNGU BABA LINASEMAJE,,HCHO NDO KIPIMO CHANGU CHA KUJUA YOTE HAYA.

    • @millicentayangokunting3728
      @millicentayangokunting3728 4 роки тому

      @@ivonaevarista4654 mwenyewe anakaa wa marine kingdom....wajinga ndio wanasema wimbo inaupako...hii wimbo kama wewe ni mtu wa kiroho haina upako mwenyewe amekaa jezebel.

  • @bncbotanicatanzania
    @bncbotanicatanzania 4 роки тому +2

    Very good mama

  • @veronicakinyunyu4296
    @veronicakinyunyu4296 3 роки тому

    Wimbo mtam Sana ujumbe mzuli muonekano wako mzuri mungu amekutengezeza 👍

  • @eugidekitumainiluburha4006
    @eugidekitumainiluburha4006 3 роки тому +1

    Aleluya

  • @mithletlwoyelo6044
    @mithletlwoyelo6044 4 роки тому +2

    Hawezii fikia Angela !May she rest in peace.

    • @maggiemuliri3739
      @maggiemuliri3739 4 роки тому

      Mbona mimi na yy hatushindani dear uweunajuwa chaku comment nakama huna heri ukae kimya. Imba ukamzidi ww ila mimi siimbe ili nimzidi naimba maaana jukumu langu nikumsifu Mungu. Pole saana

    • @maggiemuliri3739
      @maggiemuliri3739 4 роки тому

      Muwage serious basi

  • @جميلهال-ز3ن
    @جميلهال-ز3ن 3 роки тому +1

    Ameeen..barikiwa..Mama.🇧🇮🇸🇦

  • @esthershamsy3877
    @esthershamsy3877 4 роки тому +3

    Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 4 роки тому +1

    Aleluyaaa nyimbo nzuri sana mpk nasisimkwa mwili,barikiwa dada

  • @rosesemkiwa3338
    @rosesemkiwa3338 4 роки тому +1

    Hongeea sana mama wimbo umejaa utukufu Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu sana

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 роки тому

    maman ajela chibalonza i miss you maman please come back

  • @mercylinebosibori3268
    @mercylinebosibori3268 3 роки тому +2

    God doesn't compete with the enemy instead He comes in His own appointed time.
    Thank you Jesusfor the song

  • @isabelleuwamahoro2324
    @isabelleuwamahoro2324 3 роки тому

    Yesu unastahiri kabisa

  • @neemamlali9337
    @neemamlali9337 4 роки тому +1

    Wow wimbo ni mafuta matata barikiwa maman Maggie!

  • @blessings3197
    @blessings3197 2 роки тому +1

    FIRST TIME LISTENING TO THIS SONG....MUCH BLESSINGS MOM...THE SONG IS SO TOUCHING AND A BLESSING....CHAKULA CHAKO MAABUDU,,,CHAKULA CHAKO SIFA YESU

  • @marifaadolphine3571
    @marifaadolphine3571 3 роки тому +1

    Ameeen

  • @anethcharlz6114
    @anethcharlz6114 3 роки тому +2

    💥💥💥💥💥💥❤️❤️❤️❤️

  • @souzannahchombeofficiel2809
    @souzannahchombeofficiel2809 4 роки тому

    Amen amen maman songa mbele

  • @nestakalabwe4712
    @nestakalabwe4712 3 роки тому +2

    ❤️❤️❤️

  • @evangelisteclaudine6062
    @evangelisteclaudine6062 3 роки тому

    Mungu akubariki sana

  • @happybirungi919
    @happybirungi919 4 роки тому +2

    Ubarikiwe sana mjakazi wa mungu

  • @sophiamwakila3300
    @sophiamwakila3300 4 роки тому +1

    Wow. Chakula chako Mungu ni sifa. Halelujaaaaaaaaaa

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 роки тому +2

    Barikiwa sana kwa nyimbo zako nzuri mpnz

  • @salomemushi8569
    @salomemushi8569 4 роки тому

    Nzr san

  • @ayanadan7914
    @ayanadan7914 4 роки тому +1

    Hallelujah

  • @saracharles3321
    @saracharles3321 4 роки тому

    Nashindwa kujizuia kuisikiliza hii nyimbo mda woteee maan nikiisikia najisikia kuendlea kuisikiliza hata siku nzima jaman barikiwa sana mama🙏🙏🙏🙏🙏

  • @charlottemulir8751
    @charlottemulir8751 4 роки тому +4

    Wow God bless you my pastor

  • @msaniiharry6760
    @msaniiharry6760 2 роки тому

    I had given up in life completely, but because of this song, am giving my life to God again

  • @amidasinzoyiheba473
    @amidasinzoyiheba473 4 роки тому +1

    Amen 🙏Mungu asifiwe siku zote anastahili

  • @evarlynkavaya6583
    @evarlynkavaya6583 2 роки тому

    Hallelujah 🙌

  • @tinamuta8019
    @tinamuta8019 4 роки тому

    Mungu azidi kukuinua mamy

  • @reystery8003
    @reystery8003 4 роки тому +4

    Wow❤️🔥 I love youu mamaaa😘

  • @judithadede3394
    @judithadede3394 4 роки тому +2

    Chakula cha mungu ni sifa...Wow!! Wow!! Wow!!...❤️💚💛🖤💟💜... Maggie Muliri this is Outstanding.

  • @furahasanga2534
    @furahasanga2534 4 роки тому +1

    Yaani nimekupenda
    Sana wewe chombo
    Mungu akutunze.

  • @saracharles3321
    @saracharles3321 4 роки тому

    Asante mama kwa nyimbo nzuriiii nimeifanya nyimbo yangu ya kila kukicha lazma niiskilize barikiwa sana mama

  • @zawadiamnazo3583
    @zawadiamnazo3583 4 роки тому +1

    Amen! Chakula cha Yesu ni Sifa na maabudu but yet we still fail to give it to him😭 Mungu atu hurumie

  • @jamalyphyuzery862
    @jamalyphyuzery862 4 роки тому +1

    Thanks mamo jamni,naskiliz nyimbo zako kila siku

  • @magrethndola6988
    @magrethndola6988 3 роки тому

    Naomba naomba kuongea nawe

  • @entujaelmsangi9183
    @entujaelmsangi9183 4 роки тому

    huu wimbo unagusa vilindi vya moyo wa Mungu

  • @rachealwaithiramwaura8299
    @rachealwaithiramwaura8299 4 роки тому +3

    Nimebarikika amazing song

  • @festuschongoma4655
    @festuschongoma4655 4 роки тому

    MUNGU AKUBARIKI SANA HAKIKA KAZI NZUUURI

  • @rejeibylimited9107
    @rejeibylimited9107 4 роки тому +4

    Great song with superb video, just love everything , bless you

  • @judykeyah4651
    @judykeyah4651 4 роки тому +1

    Siri ya moyo wangu 🙏🙏

  • @veronicamhanga2548
    @veronicamhanga2548 4 роки тому

    Wewe dada mbona sikukufahamu jamani, mbona unanibariki hivi

    • @maggiemuliri225
      @maggiemuliri225 4 роки тому

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in Godsfavorhand orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348148265325 and send your donation to them ask for there acc details and soul a seed to the glory house of this orphanage home babies
      God bless you...

  • @elizabethshedrack7399
    @elizabethshedrack7399 4 роки тому

    Mungu akubariki ndani yako umelijaza neno la Mungu ubarikiwe Sana Kwa kazi nzuri usitishwe na wanaokusema eti umejipamba walitaka ufanyeje jipe moyo utashinda

    • @maggiemuliri3739
      @maggiemuliri3739 4 роки тому

      Amen amen

    • @hawakapinga5495
      @hawakapinga5495 4 роки тому

      Mtu akivaa vizuri wanasema akivaa vibaya asipopendeza wanasema cjui binadamu tuna nini mungu mweny kasema tupendeze......Maggie momy may god always protect u and guide u in everything u do🙏🙏

    • @maggiemuliri3739
      @maggiemuliri3739 4 роки тому

      @@hawakapinga5495 amen dear thanks

  • @ClaudeChala
    @ClaudeChala 4 роки тому

    Ubarikiwe mutushi wa Mungu hii nyimbo ina ni unuwa tena ina ni tiya nguvu. Kweli tumuabutu Mungu na tumusifu

  • @mpendaradio2164
    @mpendaradio2164 4 роки тому

    Nimeipenda sana sana Mungu akubariki dada mwimbaji wimbo unabariki kweli

  • @monucesthela6151
    @monucesthela6151 4 роки тому

    Amen gisi ninavyo kupenda mama ni siri ya Mungu tu

  • @dramatz52
    @dramatz52 4 роки тому

    Aiseeee Hongera Sana Madam Maggie Murili Mana daaaaa hili Ni Bonge Moja la Wimbo na Bonge Moja la Video,, Video Kali Sana Ni ya viwango,, Mungu azidi kukuinua Mana Unafanya Kazi Nzuriiiiii saanaaa!! TUMAINI JIPYA tunakupenda Sana na kukufatilia na kujifunza vingi kutoka kwako,, ""CHAKULA CHAKE NI SIFA""@

  • @francoismasudimusaba4595
    @francoismasudimusaba4595 4 роки тому +1

    Aksanti dada ,Mungu akubariki kwa kazi zake,mimi ni mkongomani/Kinshasa,nipo Dubai,shauri: punguza kujipamga hakuna tafauti wewe na jezabel.

  • @EstherEmmanuelZakayo
    @EstherEmmanuelZakayo Місяць тому

    ❤❤❤❤❤ 🙏 🙏 🙏

  • @tinaodongo4715
    @tinaodongo4715 4 роки тому +3

    One of my favorite gospel artists,, I love your songs mummy

  • @edinalihedule3421
    @edinalihedule3421 4 роки тому +2

    ❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @lydiakassandakalambay4947
    @lydiakassandakalambay4947 4 роки тому

    Amen chakula chako sifa ubarikiwe mama murili

  • @gladyssisey3136
    @gladyssisey3136 4 роки тому +1

    God bless you Mama for such a beautiful massage,,,, chakula Cha Mungu sio CHOMA,,,CHIPS KUKU WALA PIZZA,,,,BALI NI SIFA,,, HALLELUJAH