A! *SANDRA* ♡ Msanii wangu namba moja 🤝🏆🤝 Chapa kazi dadake mimi. Kuna lile IGIZO *Sandra* alicheza na *Mbwela* akiwa kipofu 🙆♂️ aliua sana. Halafu kuna *Who Am I* 🙆♂️. Halafu scene zake zote huwa zinahamasisha & zina ushawishi. ❤ Ebana Ee! Sina mengi kwa leo naendelea kugawa maua kwa SANDRA msanii wa kike namba moja Tz ⚘⚘⚘⚘⚘⚘
@samwelimoshi5614 😁😁😁 mimi naweza kusema wanalingana na wanaendana. Sijaona uwezo alionao Vai ukakosokana kwa Sandra. Bado sijampa maua yake mpaka atakapotoa kazi yake akawa muhusika mkuu nikaona uwezo wake kwa mapana
@@samwelimoshi5614 chagua unapoona wewe Panakufaa usitushawishi sisi tuache na sandra....huyo Vai mim bado sijaona kabisa kidogo ungesema mke wa mod mzungu (sindii)%💯
Kipara you what you are doing is touching our❤❤❤, this is one of the best bongo movie that keep our eyes open, no blinks at all🎉🎉🎉🎉. It is more fire .#kaboii🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Movie nzur san mmetisha sn professor na timu yako nzima ❤❤❤
Kipara ume fanya vizuri sana kwenye iyi movie gonga like kama una mukubali kipara kama professor
ikazi yako kipara nimeipenda❤❤❤❤ kam kunamtu aliyo ipenda kam mm bc gonga like ap
Kazi mzuri sana. Kaka nimeipenda mnoo from OMAN 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
KIPARA tokakua mmbeya mpaka kua Professor umeupiga mwingi mwanetu much ❤❤❤ from D.R.CONGO
Tulio ipenda kazi ya kipara tujuane ❤
Picha zuri sana tena sana aki ya Munguutafika mbali
Professor umetusua sikupngi,,, mwanzo nilifkiria professor awe mwakatobe lakn kwasasa naamin kipara unajua 👌💚❤️
Kipara Wana man wewe upo juu Professor ni movie Nzuri sana Mungu abariki wote wanaosapoti
Mrala cha mghenji na chakwe kiliwa wekimanya kuuha umanye nakungola dah😂😂😂😂
Mchawi mkuu anapga hadi kipare😂😂
Mashallah shukran kwahii muvi Allah akulipeni kila la kheri kwa kuonesha nguvu ya mwislam
Ushilikina akuna nguvu wla nn
😂😂😂@@samwelimoshi5614
Kipara umekomaa kweli kweli 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤upo vzr sana pongezi 🎉🎉🎉🎉🎉🥳🎂
Makin san Kiparaaaa hiii umetixhaa san yan ina idea ya snake boy session 1😂Alie gundua hilo agonge like hapa
Hii series imepangwa ikapangika, kazi safi sana Kipara
Jamani mimi hapa wa kwanza naombeni like zangu Toka DRC
Tuko pamoja 🎉
Safi mhina kijana wangu
Kipara jaiva hii ndio movie kali imetrend kaka hongera sanaaa mungu akujalie vipaji vingi🎉🎉❤❤
Mr professor wewe ni noma iyi kalii😮
Daaah mhina Ni kabisa shahada ni moja tu Ash-hadu al-llaa ilaaha il-laa llaah wa-ash-hadu an-naa Muhammadu Rasuulu-llaah☝️
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kipara one man❤❤❤❤❤❤
Kakaa Kwa movie hiii unaweza ukawa msaniii boraa wa Mwakaa
Ki😮😮😮😮paramagnetic magarii awee awee😮😮😅😅😅 napendaa
Hii movie ni kali sana itafika mbali sana. Big up kipara
Ikazi yako nimeipenda sana kipara brand ongera kaka muhna umeniacha nimetokwa namachozi ongera sana chukua maua yako bro🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Umeupiga mwing kipara jaivah❤❤
Sikuu izii Kila Mt anatowaa muvii bongoo tumeendeyaaa jamanii Kaz zurii kiparaaa ❤❤❤❤❤😂
Kipara professor na sandra nakubali kzi yenu tuko pamja kutoka kenya 🇰🇪
KAZI nzuri mno Kipara endelea kupambana
Mla Cha mghenzi na chako chiliwe ❤❤❤❤
Gusa achia twende kwao professor 😅. Kazi safi sana.
Safi sana round hii msicheleweshe
Kipara mwanamani
Kipara jaiva my role model
Yani muhina anajua mpaka anakeraaaaaaaaaa❤
Nyie hili ni PUMBU LA NGAMIA😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉 KIPARA WE HUFAI😂😂😂😂😂
Mm Bora nione kipara wanashiriki pamoja na Sandra nimeridhika
Kipara hongera sana bonge la movieeee
❤wa kwanza kabisa kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nimeku kubali sana kipara ❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤
Movie nzuri sana kipara umetisha sana
Hongera xana Professor kaz nzur 🎉🎉🎉
Kazi mzur San kak kipara
Kazi nzuri sana na nawafatilia nikiwa Kenya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sana watching from Qatar
Nani ame enjoy kuwatch hii kipindi kamimi🎉🎉❤
Kazi nzuri sanaa brother kipara ❤🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😜
Top1 from tz 🇹🇿 Mr kipara vevo
Kipara anakuja na ujio WA nguvu safari hii. Maasha'llaah KAZI iwe NJEMA
Kipara wana man,aweeeee
Kipara umetisha katika muv zote ila ii kiboko nimekubara kazi nzur sana
Katika watu waliokua wakimchukulia poa kipara mimi ni mmoja wapo Kumbe mwamba anaweza bhana jamanie makofi kwa kipara brand ❤❤❤❤
👏👏
🫡
Kazi nzr kipara ❤❤umbea uliacha 😂😂😂😂😂😂
Katka move zako zote hi kiboko 🎉
Kazi safi Wana man
Hongera Kipara umekuwa kisanaa.
Kipara kazi nziri sana kutoka congo RDC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍
Wa kwanza like 100 tu
Tangu lini mchawi kushahadia bila ya kutubu😂😂😂
😂😂😂
Umeonaee
Kazi ninjuri kipala courage
Hii movie nzuri sana. Mmejitahidi sana
Mpaka mhina yuko humo ayayaaaa naona hii filamu inaenda mbali sana❤❤❤
Bwana kipara atujasaulika the last born❤
A! *SANDRA* ♡ Msanii wangu namba moja 🤝🏆🤝 Chapa kazi dadake mimi.
Kuna lile IGIZO *Sandra* alicheza na *Mbwela* akiwa kipofu 🙆♂️ aliua sana. Halafu kuna *Who Am I* 🙆♂️. Halafu scene zake zote huwa zinahamasisha & zina ushawishi. ❤
Ebana Ee! Sina mengi kwa leo naendelea kugawa maua kwa SANDRA msanii wa kike namba moja Tz ⚘⚘⚘⚘⚘⚘
Ajafika kwa vailet
@samwelimoshi5614 😁😁😁 mimi naweza kusema wanalingana na wanaendana. Sijaona uwezo alionao Vai ukakosokana kwa Sandra. Bado sijampa maua yake mpaka atakapotoa kazi yake akawa muhusika mkuu nikaona uwezo wake kwa mapana
@@samwelimoshi5614 chagua unapoona wewe Panakufaa usitushawishi sisi tuache na sandra....huyo Vai mim bado sijaona kabisa kidogo ungesema mke wa mod mzungu (sindii)%💯
We na SANDRA wako jamani wakuachie tu😂
@@IrakozeHami-t9m 😅😅😅😅kabisa
Très cool 👌🇨🇩 depuis là RDC 🇨🇩 congo 🎉🎉
kipara na kukubali sana maisha marehefu
Butua mzee wa omayi😂😂😂😂😂😂
KIPARA WANA MAN🎉🎉🎉
Kipara hapo umepiga kichwa sana mzee wangu umeuwa sana yaani umeinyoosha filamu
PROFESA ZOUZOUA PACOME KIPARA😂a.k. KIPARA sio mchongo yangu Mbea😂😂😂😂 BIG UP san🎉🎉🎉🎉
Nataka kuigiza pia mm
Wa kwanza leo🎉🎉🎉
Bom trabalho Kipara brande❤❤❤😅😂
❤❤❤❤❤kz nzuri professor 😂😂❤
Félicitations ❤❤❤🇨🇩
Jamani kupendwa rahaaaaaa❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Hongera sana kipara kazi nzuri,ila butua unachekesha eti uliona wapi kijana kavaa abaya😂😂😂
Kazinzuri sana Mr kipara👌👌👌
Ila kipara me unanichekesha unavokashusha ako ka miwan 😂😂😂
Wow Sandra Wangu good play 😊😊
Jmn mhina kila movies n wakulialiaaa 😂😂😂😂
Kubabake murewedi 😂😂mm ni mpare
Wamemuua marehem, sasa marehem anakufa😂❤❤❤
Safi sana kipala na tem mzima
Safi sana kipara❤❤❤❤
Hongera Sanaa kakaa
Yes brother kipara good nice one job brother I'm proud of you brother 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Kipara amefanya kitu cha mahana sana 🥰
Wow kipara ww n mwamba hii umeua congratulations kwa watu wote mulio shiriki😊
Kazi nzuri xana MUNGU Awabarikii xanaaa wotee kiukweli mnatufanya tufulahi xanaaa.....
Kazi nzuri ❤❤
Kali sana hadi nimesabscribe sai
Mchawi anaongea kingereza ❤😂😂
Uyu jamaa akiliy huwa analiya kweli toka snack B na Leo kwa Professor
Msichelewe sana bhna
Hii movie mzuri jaman tuendelee kuisapport pamoja
Iko sawa kweli
Kipara unajua unajua tena hongera sana
Sasa irene
Kipara wana mani nimekupenda sana
Professeur upo juu nakubali from lubumbashi congo
Kipara you what you are doing is touching our❤❤❤, this is one of the best bongo movie that keep our eyes open, no blinks at all🎉🎉🎉🎉. It is more fire .#kaboii🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nakubalii hehe heyaaa