Ndugu Director hapo kwenye rangi za mavazi ya majini kule ujinini... Kiongozi mkuu wa majini ndio alitakiwa avae rangi nyeusi, sio nyeupe. Kwenye Sayansi ya Rangi, NYEUSI inawakilisha power na utawala, wakati NYEUPE inawakilisha Usafi na kutokuwa na hatia.
Mafumbo yamekuwa mengi mupunguze 😂😂😂na dakika mzidi kuongeza❤ na kuwahisha kupita siku moja inatosha😢😢maana tunapenda sana kuweka bando kwa ajil ya siris zenu ,ila kazi ipo sirias sana hongeren sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mm namwonea huruma sengo maana kayatimba nahuku ana lolote lile ajiandae kwa mishenyento asisahau kuwa mzidole ameanza vita na majini cyo wachawi tena😂
Ukiangalia igizo moja la Kim Vevo alilocheza la majini, ukaangalia SANDRA, ukaangalia NYUMBA YA KUPANGA, ukaangalia hii SANDA JUU YA KABURI utagundua mzunguko unarandana. Kurandaba kwao kunaua ubunifu ktk kazi zao hususan hii ya SANDA JUU YA KABURI kwakuwa imekuja mwishoni. 🙏 Jamani umizeni vichwa ktk kuandaa kazi...
Usiache ku subscribe na ku like na kushere tunapokea maoni ya kujenga na kushauri asanteee ❤❤
Kazi zipo kwenye vipomo ongereni sn🤝
Ongezen speed
Mizidol nihatar anaweza
Dk 16 jmn😢
Tuongezee 🙏
Sawa ila kuwa mbunifu zaidi hususan upande wa hao majini wako
Majini hawarogeki hivyo kuwa makini
Nakubali san mzidol namikwara yake 😂😂😂
Nimewah kuumunga mkono mzidole msaamba kamili
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉
Sasa watu wangu mzidole na bwela wapo kweli iyi ni kazi juu ya kazi🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri wenzangu,, naona mbwela usipokuwa macho kitakuraba,,mzidole pokea salamu kutoka kenya
Mbwela safari hiiii unafudisha namzidole yaaaaan movie Bora sana wakati Bora najivunia kuwa Mtanzania
Wa pili leo from DRC 🇨🇩 congo tunawa kubali sana 🎉🎉
Hajawahi kutuangusha mpokeye Mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nimefurahi maneno ya mzidole kutaka majini wamuache mwasi❤❤❤❤
Hongera Kwa kazi nzuri
Mr senko Mzee wa masenyetto 😂😂😂 kumekucha 😂😂🤣😂
Mzidole weeeh🎉🎉
Mzidole mzee wa maunogando kazi nzuri brathe
Uko vizuri sana kwa kwli ❤❤
Mzidole kama mzidole ❤❤
Ndugu Director hapo kwenye rangi za mavazi ya majini kule ujinini... Kiongozi mkuu wa majini ndio alitakiwa avae rangi nyeusi, sio nyeupe. Kwenye Sayansi ya Rangi, NYEUSI inawakilisha power na utawala, wakati NYEUPE inawakilisha Usafi na kutokuwa na hatia.
Jini ana mwambie jini mwenzake hakuna mtu wa kumtetea😅😅
Dada mwasi unajua sana ❤
Hamjawahi komukosea njie
Mafumbo yamekuwa mengi mupunguze 😂😂😂na dakika mzidi kuongeza❤ na kuwahisha kupita siku moja inatosha😢😢maana tunapenda sana kuweka bando kwa ajil ya siris zenu ,ila kazi ipo sirias sana hongeren sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Scene ya mzidole huwa naisbr sana 😅😅 watu kechaaa
Mwasi hongeraaa,una bonge la sautiiii.
Much love from Kenya kwa mzidole❤
Kazi nzuri sans
Nangoja hiyo no 9 naona itakua moto zaidi ya hii weeeeee mambo ni moto🎉🎉🎉🎉
Nzuri
Wa kwanza toka drc kalemie nakukubali sanaa ❤❤❤❤
Ni nzuri Masha Allah japo ni fupi sana,tafadhali ongezeni iwe lisaa limoja kamili itakuwa bora zaidi kwetu In Shaa Allah ❤🎉
Mzidole piga kazi broo
Sema huyo Maina ni mtu haswaaaa 😍
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kwenu nyote, from drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kazi nzuri saana ila mpangaji mbona imechelewa
Saidi komba mwenyewe nipo apa
Uzuri wa Kakoso hupitia comment zote na anakubali kurekebishwa 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤mungu akuzidishie baraka zako🙏🙏🙏🙏huu mwaka mpaka madui zako washangae❤❤❤❤❤
Mzidole mzidole mzidole 🎉🎉🎉 watu kecha nawasha gari nateleza😂😂😂
Mm namwonea huruma sengo maana kayatimba nahuku ana lolote lile ajiandae kwa mishenyento asisahau kuwa mzidole ameanza vita na majini cyo wachawi tena😂
Mzindole wangu nakupenda mwezio😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Nimefika number 1
Ongezeni dakk inawahi sana kuisha aise❤
Kaka mbwela mm nakukubali sana kakangu ❤❤❤❤
Força 💪💪💪🇨🇩
Kazi zuri
Yesai miuno migando
Kazi nzuri sana ila mda jamani
Wa kwanza kutoka kenya 🇰🇪
Kazi nzuri sana from 🇲🇿🇲🇿
Safi sana 🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mwasi ongeza munda kias
Asante sana ❤❤❤ mwasi wakwanza mm nipo babat manyara
Tunaomba muongeze dakika mkitoa episode, maana mnakaa sana mda mrefu.
kazi nzuri saana
Watatu jamani like zenu wapendwa
Waiting for EP 9come soon
Mnachelewesha sana bhn
Dada MDA uko kidogo ogeza,wewe na mzidole noma.
Kazi nzur mno ila tunataka tuone kaz ya mzidole kweli isiwe kama kwenye mpangaj mpka sasa hatujaona makeke yake
Mr kawaida NARABUK😂
Aminia 💪
Nakubali
Maina anamzigo 😂
Ukiangalia igizo moja la Kim Vevo alilocheza la majini, ukaangalia SANDRA, ukaangalia NYUMBA YA KUPANGA, ukaangalia hii SANDA JUU YA KABURI utagundua mzunguko unarandana. Kurandaba kwao kunaua ubunifu ktk kazi zao hususan hii ya SANDA JUU YA KABURI kwakuwa imekuja mwishoni. 🙏 Jamani umizeni vichwa ktk kuandaa kazi...
Halafu wapunguze tena filamu za kichawi zimekua too much 😢
Tusha kuzowea, huu sio ushauri tena bali ni dharau... Ikiwa wote hawajui basi muambie anae kutuma kuidharau kazi ya watu kuwa inatosha
Filamu zinaenda na soko ya watizamaji. Boliwood na Nollywood tuna waachia story za kqwaida@@alhimnamussasaid3619
Mzidole Mzidole eeehhh😂😂😂
Jameni nahitaji kikao Cha dharura na mzidole😂😂😂😂
Nawa ku bali sana
JAMANI NIMEWAHI LIKE P🙏❤
Mwasi i wish nikuon sku moja frome Zanzibar ❤
Nimekaa pale eaport nasubiri mama anipitie turudi wote tz but now in oman
Mmmmmm watu kecha kawasha gari kateleza😂😂😂😂😂😂
Kakoso naye ety Jini😅😅😅
Mwasi naomba muongezi Aishakhan ABINIMBI mwenye cinema zenu
Amuongeze wanda ndani bila kumsahau sauda pia
et kigagula 😂😂😂😂
😂😂😂😂 jini kabakwa
😂😂😂😂
Tuongezee dakika kipenz
Ila maina
Mzee wa muino mgando watu kecha unawasha gari nakuteleza wambie tena pia binadamu pia ua na nguvu 😂😂
😂😂😂😂😂😂
Maskn mwasi😢😢
Jarbu kuongeza dakika mwasi bs ata km ni 30minutes
❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Kazi zuli
Mzidole hua wasemaje vile "watukecha,alafu nini..."
😂😂😂mzee wamiuno mgando 😂watu kecha 😂halaf nin vile
@Gloriazawad nataka huo mwendelezo🤣
respect sister
Nahashitse
❤❤❤🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
dU! sengo umet●Mɓa jiNi😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂w muache ndokashayakanyaga ivo
Hawa majini ni yanga nini mbona jezi zao za njano?
Mzee wa miuno migando ❤❤❤🎉🎉
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
Força 💪💪💪🇨🇩
❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤