Ok Asante sana kwamafundisho yako nimazuri sana,lakini mimi naomba msahada wako naitaji unifindishe kabisa kwakuwa mimi sijawaig kufanya kazi iyo lakini napenda sasa nifanye iyo kazi,sijui unasemaje
@@Richstartz nina sound card -ALESSIS_iO4 na mic _ C-1 Mzee tatizo vocal inakua na saut ya chini mpaka kuipandisha na plugns kama wave so kwann iwe chini?
vipi kaka hakuna njia rahisi ya kutusaidia urahisi wa upatikanaji wa program unazotumia hasa kwa sisi tnaojifunza kaka hasa kwa upande wa graphic design na music production
Umetishaaa bro
Ok Asante sana kwamafundisho yako nimazuri sana,lakini mimi naomba msahada wako naitaji unifindishe kabisa kwakuwa mimi sijawaig kufanya kazi iyo lakini napenda sasa nifanye iyo kazi,sijui unasemaje
Safi Teacher
nakuekewa bro
Nakubali sana mkali wangu ume ni inspire sana sema nn kaka Nina mengi sana na ww kama huta jali nahitaji sana mawasiliano yako
Asante sana mwalim
Ni jinsi gani ya ku add wave kwenye cubase 5
Asante
Safi
Nimekubali brother richstartz hili somo nlikuwa nalisubir sana big up
Pw bro sasa unaweza ukanipa fl kwakunisaidia
Pw bro sasa unaweza ukanipa fl kwakunisaidia
We mwamba mi beat zko t xxemi, Ni WAp maeneo na zip taratbu zko mz,
hahahahah nanana oooo nananna ×2 huo mziki chard bana,
sawa mwalimu wangu
Pamoja sana kaka
asante, tuko pamoja
Brother hapa pia umetisha ujue nakukubali sana daah lazima siku nikutafute broo nikuone yaani
Bro mm nna hp Windows 7 ram 4 local disk C space yake ni 148 je itakubali kufanya na kuingia hiyo cubase
Sana teacher nashow love kwa account zangu zote 👇 👇
Asanteee
Bro unaweza kurikodi kwakutumia mic yoyote ile ata kama ni za kawaida ukaunganisha kwenye laptop Bila ya kuwa na sound card
Apo saf sn kbs
Kaka. Mm youtuber mdgoo nilikiwaa naombaa. Unisaidie ni2mie app gn kwaajili y kurecodiaa
Uko vzr sana boss, nambar zako sasa
Nakukubali sana bro kupitia ww natisha sana kwenye fl ssiv
asante
@@Richstartz nina sound card -ALESSIS_iO4 na mic _ C-1 Mzee tatizo vocal inakua na saut ya chini mpaka kuipandisha na plugns kama wave so kwann iwe chini?
Tupo pamoja kka
Is there a what's up group, I'm interested in installation of cubase
I need this Cubase how can I download this program bro? Can u help m?
nitafute nitakupa
Brother tunashukuru sana. Tatizo ni plug-ins ndo shida
Brp o iyo cubase nitaezaje kuipata
Pia nilikuwa nataka kujua monitor speakers gan ndio ziko vizuri sana kwa matumizi ya mixing
Hohohohohoho Nana nananana unajua kuimba kaka Rich
bro mimi nomba elezea jinsi ya kutumia plugn color katika premia pro na jinsi ya kuinstoll plugn color nitatizo kwa baazi ya watu
baby baby baby
Nimefata yote hayo Lakini nilipobonyeza record tu hakuna sauti inayoingia japo kuchora inachora
Bro sorry naomba namba ako nna shida muhimu
Rich kaakaa nataka hio app ya cubise nita ipata vp
Alow Nina shida ya gitaa kuchelewa kuingia
Msaada
vipi kaka hakuna njia rahisi ya kutusaidia urahisi wa upatikanaji wa program unazotumia hasa kwa sisi tnaojifunza kaka hasa kwa upande wa graphic design na music production
@samwel sinkamba uko wapi sikuizi
Richstar bro malipo ni shiling ngap, mi npo mkoan kwa sasa ila utanitumia kweny email
mambo vp bro naomba unisaidie kama unaweza kuwa na fl studio 20 na vocal logic naomba unisaidie
Woooow bro naomba unisaodie nayo kama hutojal
Vp mbona whatsapp hupatikan au umebadili namba
Bro rich hiyo niutangulizi tunaomba mwendelezo tuna kiu kaka
Ukikomaa huku nirais video Editting ndo mziki