Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Effects muhimu za kuweka katika Vocal za CUBASE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 гру 2019
  • Katika Video hii nime elezea EFFECTS muhimu za kuweka unapofanya Mixing. Effects hizo ni
    REVERB
    DELAY
    AUTOTUNE,
    Japo zipo nyingine, Lakini hutegemeana na ASILI ya vocal zako ulizi record vipi

КОМЕНТАРІ • 19

  • @IVAVOX
    @IVAVOX 2 роки тому

    nimependa unaelekeza vizuri sana good

  • @bfelixtv8910
    @bfelixtv8910 4 роки тому +2

    nashukuru sana mwalimu kwa kuendelea kujaza elimu kichwani mwangu, big up

  • @hfv1907
    @hfv1907 4 роки тому +2

    Asante sana kabisa umejibu swali langu!! Be blessed.

  • @rannkingfight4902
    @rannkingfight4902 3 роки тому

    VIP broo

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp 2 роки тому

    awesome

  • @onesmochengula7425
    @onesmochengula7425 4 роки тому +1

    mzee tunashukuru kwa kutufunza

  • @hamadyhashimu9784
    @hamadyhashimu9784 2 роки тому

    one lov kaka Hg hapa niko pande za kahama nimekuelewa poa sana umenipa vitu vya msingi mnoo

  • @fasanitzfasanitz9631
    @fasanitzfasanitz9631 4 роки тому +2

    Kaka mungu atakulipa kitu kikubwa sana chuo ndoto zetu online🙏

  • @davidnyanda16
    @davidnyanda16 2 роки тому

    Safi Sana mawasiriano yako yanapatikanaje?

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 4 роки тому +2

    baba lao

  • @Jesse_9014
    @Jesse_9014 3 роки тому

    Thanks

  • @Mellanke
    @Mellanke 4 роки тому +1

    No. Yako mwalimu

  • @TsammyBreezy_Beats
    @TsammyBreezy_Beats 4 роки тому +2

    Yani umeileta kwa wakati mwafaka

  • @thomsammy5741
    @thomsammy5741 4 роки тому

    I do appreate so much bro....that's so cool

  • @smokercomedy1492
    @smokercomedy1492 4 роки тому +2

    Broo vp

  • @bongolive651
    @bongolive651 4 роки тому +6

    Stereo reverb inaweza kuwa Nzur zaid pia kwenye delay inategemea na vocal kama ina magap unaweza tumia but kama haina magap haina haja Af kwa auto tune pale kwenye output unaweza weka instrument inaweza ikawa Nzur pia

  • @magicwings.film.
    @magicwings.film. 3 роки тому

    Mbona kama mixing imekamilika hivi

  • @CHAIRMEDIA1996
    @CHAIRMEDIA1996 4 роки тому +1

    mambo vp broo mie dantony mr chair onlinetv mambo yanaendaje kuhusu ile inshu nilio kwambia ya channel yangu