VIZUIZI VYA MTU KUINULIWA ......ROHO YA UTASA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Utasa ni Hali ya kukosa uwezo wa kuzaa au kuzalisha. Kila mtu anauwezo wa kuzalisha,katika utasa kila unachofanya kinakuwa hakina Nguvu ya maongezeko na Ndio unakuta mtu anafanya kazi haoni matokeo au anafanya biashara haoni faida......
    KAMA HUWEZI KUZALISHA HUWEZI KUINULIWA MAANA KILE UNACHOZALISHA NDIO KINACHOKUTOFAUTISHA NA WENGINE KATIKA KUINUKA KWAKO
    MWANZO 1:27-28...Mungu alitubariki na kusema tuzae na kuongezeka na kukitawala kile unachokizalisha.
    KUTOKA 23:26 ....hakuna aliye tasa Wala mwenye kuharibu mimba... Mimba inaweza ikawa maono yako ambayo hayajatimia
    AINA ZA UTASA
    1. UTASA WA KIROHO- mtu hana maongezeko ya kiRoho, yupo pale pale kila siku sio katika kuomba, kufunga Wala kumtolea MUNGU sadaka. Hajui kushukuru Mungu katika magumu anayoyapitia, hasa kwenye majaribu Au mabaya .... 1 Wathesalonike 5:18...mtu wa Hali hii huwa analaumu na kulalamika muda wote
    2. UTASA WA KIMWILI - ni Hali ya mwili wa binadamu kushindwa kuzalisha. Kila kiungo cha mwili kinatakiwa kuzalisha Kama ni mikono ifanye kazi izalishe Kama ni kichwa kifikirie kizalishe na Vivyo hivyo viungo vyote vya mwili kwa kazi zake
    SABABU ZINAZOSABABISHA UTASA KWA WATU
    1.ROHO YA MAZOEA
    mtu akizoea kitu anachokifanya. Mazoea ni Hali ya kuona kila kitu kawaida kilicho cha kawaida marazote huwa hakina faida Au Huwezi kuona faida......Hesabu 12:1-10
    ROHO ZA KURITHI
    Mtu anaishi maisha ya utasa maana ni roho ambayo iko ndani ya familia Mfano utasa wa kujenga, ndoa kuzaa watoto. N.k
    ‪@elishamuliri2425‬ ‪@maggiemuliri‬ ‪@pastorfredrickkalinga4243‬

КОМЕНТАРІ •