Paulo Siria vs Rose Muhando - CHOMBO CHAKO
Вставка
- Опубліковано 15 лип 2020
- Chombo Chako - ni wimbo unaowaleta pamoja Paulo Siria na Mwimbaji mkongwe Rose Muhando katika kumsifu Mungu kwa Uungu wake na ukuu wake na utayari wa wao kufanyika vyombo vya sifa.
Tuliyo rudiya 2021 kuangaliya naomba tuu 🧘🇹🇿🇹🇿 like 10 tujuwane
N nn huyu
Be bless dada rose Napenda nyimbo zako wapi like yake🙏🙏
Nipeni likes 100 za paulo siria ....tizameni nyimbo zake nyingine kiukweli nyimbo zake znabaria From Naberera simanjiro
Nice song penda Sana kwaya
Wonderful
Napenda nyimbo zake Sana ni pstr James 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Acha niketi vizuri niskize huu wimbo...let's bless rose for uplifting new artist in Jesus name
Kenya we love your music ❤️🔥
Rose muhando we love you ❤️
Lete Masai uyu kenya
Wapi like kwa rose muhando penda sana nyimbo zako
Nawapenda Sana,na Mungu awazidishie, naomba Mungu siku moja nikutane na mam Rose jamaniiiiii, natumaini umsalimia sanaaa Rose my lovel Mam
Nafurahi kumuona Dada Rose akiimba.God bless you Dada Rose we love you so much
Mungu akuongezee miaka dada rose kama alivyomwongezea Hezekiah amen
Ongera ndugu Paulo. Kazi nzuri sana. Mungu akubariki.
Mungu azidi kuku bariki Paulo siria
Barikiwa sanaa
Yaan wimbo una mistari mwanzo mwisho
Nimefurah kumuona dada Rose
😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Sio mbaya paulo siria pambambana kwan kazii yako ni nzuuuuriii mnooooo na barikiwa saaaaaaanaaaaaa be blessed a lot paulo
Hongeleni wapedwaa
My friend barikiwa sana na hiyo kibali ya uimbaji
Kenyans gonga like kama unakubali hii colabo❤️❤️nikiwa Dubai
ဌ
င
ဝ
ဆင
Q.
ua-cam.com/channels/WQh0q_2G2FlwpUScw4dPqg.html
Indeed Dubai rocked on too
Vp
Rose we love you mother of Africa.Humble mother of Africa
Akwi uko vizuri songa mbele Mungu akusaidie.
Hakika nimeupenda wimbo huu mtumishi Rose ubarikiwe sana from burundi
Nimetizama sababu rose muhando yupo. Dada yetu ...hapa ni Kenya
Mbarikiwe watu wa Mungu, haki nimependa hiyo kolabo Paulo and siz rose
la'm a muslim but this song is make me happy all the time when I listen
Yani sisi wagogo huwa hatofautiani nahawa majilani zet wamasai
Asante Yesu kwa baraka zako ktk wimbo huu.❤❤❤
Nainuliwa viwango vya juu ninaposkiza nyimbo za paul,Mungu akutendee mema
Rose muhando akishirikishwa kwenye nyimbo ni hatari
Mimi nimeupenda wimbo wako muzuri sana na mungu akibariki Mimi blessed success haleuya thank
Neema ya mungu iwe juu yenu wimbo mtamu Sana nimebarikiwa sana
Dah safi sana uliyepost hii maana imenifiikisha jumapili ya leo
Aminaaa mbarikiw kwa huduma
Haki Rose muhando,mimi nakupenda tu bure,wewe ni chombo cha Mungu,hauna wivu,na ndio Mungu mwenyewe ni mtetezi wako, barikiwa sana
ua-cam.com/video/CL7c1WQh7iE/v-deo.html
Nifanye niwechombochako
God bless you
So powerful my brother even if am kamba I love masaii❤️❤️❤️❤️
Somo wangu Paulo he's superb.
Amen. Mtumishi. Ubarikiwe
Am happy to see u Rose muhando,,,Mungu wetu na akuinue zaidi zaidi maasidi wataendelea kukuona usiku na mchana ukitamba juu ya Neema ya Bwana,more love kutoka 254
Rose Muhando be blessed always for helping upcoming musicians kama si wewe singejua some artists
I love your song Rose God bless you
Hongera sana mtu wa mungu wimbo una ujumbe mzito barikiwa sana
Wow Rose muhando looking great 😍😍😍
Rose never dissapoints,any collabo will do better , Energetic as usual .wenye walidhani amekufa wako wapi waone uwepo wa mungu hapa? Glory to God 🙏🙏🙏
Lh
I dont mean to be so offtopic but does anybody know a method to get back into an instagram account??
I was stupid lost the account password. I appreciate any tricks you can give me.
Jamborose
@@lalceinvestment7344 👌🤌🙏🙏
Thanks you so much for this remarkable African Music from Nairobi, Kenya with these great dancers in the video two years ago 2023❤️❤️❤️
Nimependa sana. Mungu abariki huduma yenu.
😭❤️🙏💃💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥🔥Ameen Eeee Mungu nifanye chombo chako Hallelujah
Mama Rose muhando May God bless u more and more
MUNGU akutie nguvu unapoendea kuangalia wimbo huu
Nazipenda sana nyimbo zako natamani ningekuwa one of your dancers kila ninaposkiza hizo nyimbo nacheza Tu ninaimani kwamba mungu atatenda
Rose muhando Mungu akubariki kushikanina mukono kwenye injili kwenye nyimbo
Dada rose wapendeza sana.asante mungu kwa kumuokoa dada huyu azidi kukutumikia
Best god bless you very nice from Zambia
Amen mungu azidi kushusha nemayake kwakilamumoja ,barikiweni Sana Siria and Rose
Nampenda sana nyimbo za rose muhando
Eeeh Mungu nifanye chombo chako 😌🙏🙏
Mungu azidi kukutunza mama yangu ROSE
wawoooooooooo very nicesog nime barikiwa sana sana sana roze mhando nakupenda sana na nakubali nyimbo zako. ujumbe wa huu wimbo umenigusa sanaaaa Ee Mungu nifanye chombo chako palipo na giza nilete nuru🙏🙏🙏
It's songs like this I watch in full HD, volume full blast, screen brightness full 👏 👏
Napenda sana nyimbo za Paulo. They are so uplifting and have strong message. Love from Kenya.
Tuko pamoja from Kenya
Nice
hey Paulo siria tamu
Napendasananyimbozako
Paul siria my favourite singer and his song have good message may God bless brother more love from samburu
japo cjaeelewa mana yake ila nimebarikiwa sana mungu asimamie kazi ya mikono yenu wote tuseme amina kwa kazi nzuri ya watumishi wa mungu
Barikiwa ndugu kwa ujumbe mzuri
Dada roze nakupenda sana mungu akuongezee miaka mingi wasie kupenda hd watachoka kukuona hongereen sana
Ni Mungu/MUNGU sio mungu unakosea kuandika kwa herufi ndogo mtumishi.
R
Rose keep up mungu alikuchangua fanyakazi yake kwa nguvu zako zote
2023 but the song sounds new, wapi likes za hii collabo jameni
Rose muhando nizaidi ya fire
Awwwww!!! This an awesome song ...Paulo & Rose!! A good combination
Mungu mubariki mtumishi wako ❤❤
Wangapi wanamzifia rosi muhando twendeni sawa like senu
Kyirm
😁😁Woow this colabo God bless you all nice song
Very nice let all nations Praise the lord ,wacha vilivyo na uhai vimtukuze mungu
Jamani sichoki kusikiliza huu wimbo
Wonderful and l'm so happy to see again Rose Muhando alive.
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bro Paul and sister rose God bless you bro nice song
Mubarikiwe sana Mungu atufanye chombo chake
Tanzania hakika nibmchi uliobarikiwa na wazanii mungu abariki Taifa hili pakubwa
Waoooo I like this song, mungu wabariki Poul and rose
Rose Muhando fits, be blessed men and women of God
Waaaow! Acha MUNGU ajitwalie utukufu kupitia watu wake
Surely i love this woman with all of my heart rose muhando God bless you mama more grace
Waooh yan kabla hata sijauangalia najua tu ni mzuri mashujaa wa Yesu wamekutana hapa
Thanks Kwa mungu wetu waliongea sasa waone kazi ya mungu yesu yupo🙏
Am from Kenya and i like Rose so much,May my creator keep on blessing her..wasiompenda watazidi kuwashwa
Na watapata taabu saana
much,Maymy
Hongera kijana ubarikiwe milele
Nimefurahi Sana nawapata nikiwa jijini la Nairobi natamani kuja Tanzania
Waooo karibu sanaaa
Welcome
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu @Paulo Siria. Mungu akuinue viwango na viwango kwa kazi unayofanya. Nabarikiwa sana na kazi zako. Mmefanya vizuri sana na dada Rose Muhando. Well done
ua-cam.com/video/CL7c1WQh7iE/v-deo.html
Amen ndugu nabarikiwa sana, Mungu akuzidishie upako milele tuendelee kubarikiwa Pamoja na mama 🇵🇦
Wow nyc message keep it up utaenda mbali manxe....be blessed
I'm xo happy to see rose mhando again
Napenda nyimbo zako naomba niimbe nawe tafadhali mi ni mwimbaji wa nyimbo za injili
Muko Sawa sana from kenya barikiweni sana
habar za huko
hongera
Kuko kuzuri sana ila Tu hii njanga la Corona.
Eeeh Mungu nifanye combo cako. Mungu akubariki Rose muhando tuna kupenda sana❤❤
Waaaaaauuuu yesu nifanye kuwa chombo chako
Nifanye chombo chako Mungu
Napenda Nyimbo za Paulo Barikiwa Kaka
Paul na Rose huu wimbo unaniguza roho Mungu abariki kazi yenu.
Mama Rose mhando ubarikiwe kwa kufanya kazi ya mungu na mwanao Paulo,
Adi rah kwa kweli nimefurahia sana kuon paulo siria vs rosimuhand
Amina
Unaimba vizuri kijana
Wow! Nimemsikia Rose Mhando akiimba kimasai , itz so amazing wimb mzuri hongerni
Unakibawa sana mungu akulinde mama
Hongera sana Wimbo mzuri
Watching from kenya Cecilia mungu awabariki kwa huu wimbo naskia kuarikiwa
Poul napenda Sana nyimbo zako Rose muhando endelea tu hivyo mungu atawai kuacha Ata wanadamu ainuke vipi nbarikiwe sana
yahaa nyimbo nzuri kiukweli imejaa neno toka bible,
Mungu azd kuwainua zaid na zaid nawapenda san dada roze Mungu akupe maisha mareeeeeeeef
AMINA AMINA Kubwa, Ahsanteni nawapenda Sana Mama rose na Kaka yetu Mmeweza kwakweli
Amani ya Yesu Yatosha!
Waoooo rose umenenepa MUNGU akufanye chombo chako zaid mbarikiwe
Paulo i do like your songs from embakasi Nairobi Kenya
God bless you madama ROSE MUHANDO. superstar humbleness