YATOSHA-By QUADRI-V (Official Video-HD)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 лис 2020
  • Huu ni wimbo mpya uliopo katika Album mpya ya 3 ya QUADRI-V
    Album hii nzuri inapatikana, wasiliana nasi kwa 0767 670 784
    Song: YATOSHA
    Composer: B.Mukasa
    ORGANIST: C.Y.Luseba (Ndege)
    Audio: tanganyika productions
    Producer: Fortune Shimanyi
    Video: tanganyika productions
    Directed by: Laurent Ludovick
    Phone: +255 762380376
    P.O.BOX. 1947 DODOMA-TZ

КОМЕНТАРІ • 263

  • @japhetpetro9598
    @japhetpetro9598 3 роки тому +92

    Hakuna Music Mzuri Duniani Kama RC, Mukasa Ndio Mwalimu Namba Moja Tanzania Na Africa Nzima, Kama unakubali Gusa #Like.

  • @anatorikigahe
    @anatorikigahe 3 роки тому +21

    Mtaalamu weka nyingi uwezavyo, mziki wako kwangu utabaki bora daima, nikiingia youtube lazima nisikilize kama sio wewe mwenyewe basi ni tungo na kazi ya mikono yako .
    Mungu akubariki n akuzidishie afya ya mwili na roho

    • @catherinphilipo3503
      @catherinphilipo3503 2 роки тому

      Familia hoi ina hofu ya mungu kwa kweli

    • @RosemaryMushi-xs2ri
      @RosemaryMushi-xs2ri 10 місяців тому

      Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu napenda sana kusikiliza nyimbo zako wakati nikiwa na uzuni nyimbo zako zinanifariji sana adi machozi yananitoka mpaka nafikiria vitu vingine ambavyo avipo mungu akuweke apa duniani sana tu mtumishi 🙏🙏😭😭

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 3 роки тому +14

    Catholic daima kwangu Mimi jaman,asante kwa ujumbe mzuri Mr &Mrs Mukasa

  • @Generosembaule-zb5en
    @Generosembaule-zb5en Місяць тому

    Mama Matilda umekuwa nguzo kubwa sana kwa mmeo hongera sana Mungu akubari

  • @octavinamgulunde5183
    @octavinamgulunde5183 3 роки тому +8

    Wimbo huu unaniliza jamani umenikumbusha maisha yangu nayopitia .
    EeMungu nivushe salama

  • @machasammugo2154
    @machasammugo2154 4 місяці тому

    Highest degree of excellence in music... this Man sings from his heart, may God bless bernard mukasa and family

  • @DivineNyaanga-kv9rb
    @DivineNyaanga-kv9rb 3 місяці тому

    Thr tis song am ready to repent my sin am speechless

  • @user-lv8zz2ou7o
    @user-lv8zz2ou7o Рік тому

    T.O wa muziki tz ni benard mkasa ni mtunzi pekeee tz na Africa ubarikiwe

  • @anthonyishika2443
    @anthonyishika2443 3 роки тому +2

    neema ya Mungu iwe nawe daima uweze kuushi utakatifu huu kwa njia ya uingilishaji kwa njia ya nyimbo.

  • @alinensimire5262
    @alinensimire5262 2 роки тому

    Mungu wetu akuongeze vipaji kwamaana una kuwaka nani bariki sana

  • @wivinamsebeni8293
    @wivinamsebeni8293 3 роки тому +7

    Tunamshukuru sana Mungu kwa baraka aliyotupa kukuleta duniani na kwa hii talanta aliyokupa mwl Mukasa

    • @catherinphilipo3503
      @catherinphilipo3503 2 роки тому

      Mbarikiwe mungu awape ulinzi mkumbwa awakinge na maadui wengi

  • @magrethmagova6547
    @magrethmagova6547 3 роки тому +2

    Hakika huu ni wimbo wa Faraja Katika Maisha Yetu

  • @BrianWere-wp1fv
    @BrianWere-wp1fv 5 місяців тому

    Asante sana kwa nyimbo zako tamu kila kuchao. Endelea kutubariki

  • @stephanomwile9920
    @stephanomwile9920 Рік тому

    Hakika unaimba nyimbo zenye tafakari mungu azidi kukubariki

  • @materdeimusema9939
    @materdeimusema9939 3 роки тому +2

    asante sana kwa wimbo hi yenye kuwonesha wanadamu kwamba mtu yeyote anapasa kupita kwenye mateso haya

  • @wabulegrace6335
    @wabulegrace6335 Рік тому

    Wabule Grace. Listening from Uganda mbale. Be blessed.

  • @EmmanuelJoram-tn1bw
    @EmmanuelJoram-tn1bw Рік тому

    Kwakweli nimebalikiwa sana na wimbo huu mwenyezi mungu awabaliki sana

  • @gloryndakidemi3243
    @gloryndakidemi3243 3 роки тому +1

    Kuimba kuna raha yake asikuambie mtu jamani najivunia kuwa mkristo mkatoliki daima

  • @eliasmalima3410
    @eliasmalima3410 2 роки тому

    Bernard Mungu akupe Maisha marefu yenye Baraka na Mafanikio tele

  • @anthonyishika2443
    @anthonyishika2443 3 роки тому +2

    Aksante sana Mkasa kwa kuttutafakarisha kwa nyimbo zinozogusa hisia zetu. mungu aendelee kukumiminia Baraka zake. nyimbo zako mara nyingi zinanikumbusha wajibu wangu kama mkristu.

    • @catherinphilipo3503
      @catherinphilipo3503 2 роки тому

      Kweli kama ni mke ana sauti baba ana sauti nzuri kweli mungu kawa unganisha

  • @angeljonas9971
    @angeljonas9971 2 роки тому

    God bless you akutangulie uzidi kumtumikia Kwa njia ya nyimbo

  • @ireneirene9834
    @ireneirene9834 3 роки тому +2

    The one acting in chains!😂😂😂😂anaskia kucheka..nice nice song

  • @JamesWamuthama-xt1hk
    @JamesWamuthama-xt1hk Рік тому

    Bwana Mukasa nyimbo zako za tujenga.asante.

  • @sebastiansumawe9253
    @sebastiansumawe9253 Рік тому

    Hongera kaka utume huu mungu akubariki akupe na afya uendelee kuinjilisha Taifa lake.

  • @mogendithaddeus7042
    @mogendithaddeus7042 2 роки тому

    Kweli nyimbo za mukasa family ni za baraka keep it up and be blessed

  • @joycemwendapole4541
    @joycemwendapole4541 8 місяців тому

    Navutiwa Sana na nyimbo za Bernard mkasa

  • @cloudclaud6484
    @cloudclaud6484 3 роки тому +8

    Listening from Dubai, nice song Proud To Be a Catholic ❣❣❣👌🙏🙏🙏

  • @annahmusele6733
    @annahmusele6733 3 роки тому +1

    Ben mungu Akubariki pamoja na family unanijenga roho yangu Sana Kwa nyimbo zote zenu

  • @jacquelinemushi6057
    @jacquelinemushi6057 10 місяців тому

    Bro Bernad am speech less be blessed

  • @julychangara7583
    @julychangara7583 3 роки тому +1

    Jaman sjui nmechelewa wapi ..... Cotholic forever 🔥🔥🔥

  • @happymoshiro3780
    @happymoshiro3780 3 роки тому +1

    Hakika yatosha mno nimefarijika Sana kwa wimbo huu. Mungu awabarki sana sanaaaa

  • @cliffordkiptoo120
    @cliffordkiptoo120 3 роки тому +2

    Came straight from BhB ..what a song

  • @mkalawafabian1538
    @mkalawafabian1538 3 роки тому +1

    Wimbo mzuri sana jamani.. Hakika unakumbusha mengi hasa unyenyekevu na shukrani kwa Mungu kwa anayotujalia

  • @ricirindancekei-vd7ld
    @ricirindancekei-vd7ld Рік тому +1

    A complete prayer

  • @joycechaula2071
    @joycechaula2071 2 роки тому

    Amina sana Watumishi, kazi nzuri sana" "hakika nimefarijika mno

  • @elineelibariki6753
    @elineelibariki6753 3 роки тому

    Hadi huruma eee mungu uwakumbuke wanaoteseka

  • @marryfrederick7472
    @marryfrederick7472 Рік тому

    Mungu akuongezee maisha marefu mtunz

  • @oliviahnevy8398
    @oliviahnevy8398 3 роки тому +1

    Fire

  • @malimamgolozi1013
    @malimamgolozi1013 3 роки тому +1

    Wimbo unagusa Sana na unafundisha maisha tunayoish kwa kupitia magum na changamoto zetyuu🙏🙏

  • @augustinemosha2589
    @augustinemosha2589 Рік тому

    Yaani huwezichoka kusikiliza nyimbo za waimbaji hawa. Mungu wabariki sana na usiwapungukie uwepo wako ktka kszi zao

  • @emmanuelmao5184
    @emmanuelmao5184 3 місяці тому

    Mungu a hibariki ndoa yenu

  • @judithfrancis8286
    @judithfrancis8286 3 роки тому +1

    Haujawahi kukosea kila wimbo hakika unagusa safari yetu ya maisha. Mungu ibariki familia hii

  • @susanwandukusi5903
    @susanwandukusi5903 3 роки тому +2

    Yatosha sasa mahangaiko 😔hayaa...Nyimbo nzurii Ssanaa.. Inatuliza moyo wangu sanaa

  • @jazzmich9693
    @jazzmich9693 3 роки тому +1

    Abba father ,#yatosha so encouraging. Huruma huruma yako eeh mungu nitakufa nikiitumainia

  • @arcadogerrard4240
    @arcadogerrard4240 3 роки тому +1

    So good benard mkasa barikiwa sana

  • @Generosembaule-zb5en
    @Generosembaule-zb5en Рік тому

    Hakika ni familia iliyobarikiwa

  • @mitaocamilliusthegreatest9068
    @mitaocamilliusthegreatest9068 3 роки тому +1

    Barikiweni zaid kwa kazi nzuri watumishi wa Mungu

  • @beatricemanono1602
    @beatricemanono1602 Рік тому

    Good song keep it up

  • @hilalionhilaliont2324
    @hilalionhilaliont2324 3 роки тому +1

    Maneno kuntu. AMINA

  • @toma634
    @toma634 3 роки тому

    jaman nilimiss nyimbo mpya daah nimefurah sana na nimebarikiwa mno nawapenda sana Mungu awabariki

  • @Ace_Kariuki.
    @Ace_Kariuki. 2 роки тому +2

    Came to know of this song on Good Friady and I love it God bless you Benard proud to be a catholic

  • @erickkimaro80
    @erickkimaro80 3 роки тому

    Naomba mnipenjia yakuzipata Na download z hazkubali

  • @erickkimaro80
    @erickkimaro80 3 роки тому +1

    Napenda nyimbo zake Bernard nazpataje

  • @patrickmundia1675
    @patrickmundia1675 3 роки тому +1

    Wimbo mzuri sana baba, Mungu akubariki uzidi kumsifu kwa nyimbo tamu tamu.

  • @marierobert42
    @marierobert42 3 роки тому +12

    Daah! Wimbo upo katika hali ya utulivu wa hali ya juu,,,,ni sala tosha kabsa..Mukasa mwalimu mahiri African Mungu akutie nguvu daima katika utume

    • @bonifacesilvan307
      @bonifacesilvan307 3 роки тому +1

      Hizi ndio nyimbo sasa not vurugu vurugu huu wimbo unagusa mpaka mishipa ya damu

    • @nakitwijukascola5146
      @nakitwijukascola5146 3 роки тому

      God bless you abundantly

    • @magratendanu5351
      @magratendanu5351 Рік тому

      @@bonifacesilvan307 bariki wenisana Kwa maubiri ya nyibo senu amina

  • @deogratiusmtilu1384
    @deogratiusmtilu1384 3 роки тому +1

    Familia hii
    Mungu awabariki Sana Sana sana

  • @safy2225
    @safy2225 3 роки тому

    Asante sana kwa wimbo mzr yaani huu wimbo kila sk lazima nisikilize maana unaujumbe mzito sana NA unanitoa machozi sana huu wimbo maana niliopitia mim inatosha kwa kweli

  • @priscajoseph6038
    @priscajoseph6038 3 роки тому +2

    Kazi nzuri kaka

  • @claudemushimanja469
    @claudemushimanja469 3 роки тому +1

    Bernard, wimbo huu umenibariki mno ! Ahsante kwa Mungu, ahsante Pia kwako. Toka Bukavu-DRC, Claude

  • @catherinemuthui4358
    @catherinemuthui4358 3 роки тому +2

    Nyimbo zenu zinapendeza sana ,na unibariki zaidi mungu awabariki

  • @olivernyakiage954
    @olivernyakiage954 3 роки тому

    Lord come to our rescue, enough is enough, corona, joblessness, adultery, different diseases, poverty Mungu tuokoe

  • @monicaosino6192
    @monicaosino6192 3 роки тому +2

    Yatosha Sasa... Asante sana kwa kutuhubiria kwa njia ya nyimbo B.Mukasa Sala zetu ziko na nyinyi....

  • @jumamarwa754
    @jumamarwa754 10 місяців тому

    Mkasa hongera upo juu

  • @euzebiawilliam7955
    @euzebiawilliam7955 2 роки тому

    Barikiwa sana kwa utume wako

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому

    Asante sana watumishi wa Bwana kwa maneno ayo yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwa Linda katika maisha yenu yote na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @mkoreamovieclips6383
    @mkoreamovieclips6383 3 роки тому

    YATOSHA sasa BWANA🙏🙏🙏

  • @elizabethogutu3147
    @elizabethogutu3147 3 роки тому +1

    I love this family aky

  • @bonifacesilvan307
    @bonifacesilvan307 3 роки тому +3

    Bernard you were born for this....am proud of you

  • @aureliaraphael3725
    @aureliaraphael3725 3 роки тому

    Tripple V huwa mnanibariki sana, Mungu awape maisha marefu ili tuweze kuufaidi utume wenu wa kuinjilisha kwa njia ya nyimbo

  • @catherinekimaru222
    @catherinekimaru222 2 роки тому

    Wimbo nzuri sana, napenda sauti zenu, listening from Nairobi huu wakati wa lent

  • @erickliwa2622
    @erickliwa2622 2 роки тому

    Haaaaa...jamaa balaaa dunia nzima

  • @mariemassawe6704
    @mariemassawe6704 3 роки тому +2

    ongereni sana Mr en Mrs Mukasa may God bless u in u'r whole life 🙏🙏!

  • @respismwananjela4707
    @respismwananjela4707 3 роки тому

    Nyimbo zako zinanibarik sana

  • @janewamuyu4169
    @janewamuyu4169 2 роки тому +3

    A deep prayer in form of a song. Congratulations Mukasa's family.

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 роки тому

    Ongera sana mwalimu wetu mukasa Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote zamaisha yenu amina

  • @vailethkivelege4048
    @vailethkivelege4048 3 роки тому

    Huruma ya mungu ni ya kipekee, huruma ya mungu nitakufa nikiitumainia. Mungu awabariki sana Q V

  • @theresiajoseph1943
    @theresiajoseph1943 3 роки тому

    Wimbo unanibariki sana huu

  • @rolencemhala2554
    @rolencemhala2554 3 роки тому +1

    Nimeupenda sana huu wimbo..haki mwastahili sifa kwa utunzi na sauti za kuamsha utume wa Mungu ....Keep it in touch....hongereni sana.

  • @user-fu7vp1qe2i
    @user-fu7vp1qe2i 5 місяців тому

    Imenibari bariweni

  • @michaelkamau5389
    @michaelkamau5389 3 роки тому

    Wimbo mtamu kweli

  • @mauriceokebe1894
    @mauriceokebe1894 3 роки тому

    Kweli mahangaiko haya yatosha...Bwana tuangazie USO wako

  • @erickkimaro80
    @erickkimaro80 3 роки тому

    Yah god bless all view

  • @amoskalumbilo4302
    @amoskalumbilo4302 3 роки тому +1

    Barikiwaaa saana🙏🙏🙏

  • @jacksonkanzira9789
    @jacksonkanzira9789 3 роки тому

    Hongera sana Mwalimu Bernard Mukasa

  • @kaliuaonlinetv5166
    @kaliuaonlinetv5166 3 роки тому +2

    Nice song

  • @josephlagu8607
    @josephlagu8607 Рік тому

    I wish to be in that family

  • @francismuhuga8158
    @francismuhuga8158 3 роки тому

    Hongereni sana, familia ya mwl Bernard Mukasa nimebarikiwa sana na uinjilishaji wenu kwa njia yanuimbaji

  • @dionismutayoba3542
    @dionismutayoba3542 3 роки тому

    Wimbo mzr sn
    Una ujumbe mzito

  • @theomaligite4401
    @theomaligite4401 3 роки тому +2

    Amina Mtumishi wa Mungu asante kwa wimbo mzuri.

  • @paschaziajohnny7410
    @paschaziajohnny7410 3 роки тому

    Aksante kwa ujumbe mnzur mwenyez Mungu akujalie umri mrefu uzidi kutangaza neno lake. Amina. nawapenda sana

  • @janemwirikia6817
    @janemwirikia6817 3 роки тому +11

    Another strong prayer song from the mukasa's,may God bless you for encouraging us.

    • @israeltommy3604
      @israeltommy3604 2 роки тому

      You all prolly dont care but does someone know a tool to get back into an instagram account??
      I was dumb forgot the password. I appreciate any assistance you can offer me.

    • @turnerkane573
      @turnerkane573 2 роки тому

      @Israel Tommy Instablaster ;)

    • @israeltommy3604
      @israeltommy3604 2 роки тому

      @Turner Kane I really appreciate your reply. I got to the site thru google and I'm trying it out atm.
      I see it takes quite some time so I will get back to you later with my results.

    • @israeltommy3604
      @israeltommy3604 2 роки тому

      @Turner Kane It worked and I finally got access to my account again. I'm so happy!
      Thank you so much you really help me out :D

    • @turnerkane573
      @turnerkane573 2 роки тому

      @Israel Tommy Glad I could help :D

  • @richardkisanga8123
    @richardkisanga8123 3 роки тому

    Yatosh Kwel jmn

  • @yohanaalfred2686
    @yohanaalfred2686 3 роки тому +2

    Ila Mukasa Nyie daah🙌🙌

  • @stevenmhina7915
    @stevenmhina7915 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu awe pamoja na Watunzi wetu. Asante sana. Mwal. Bernard Mukasa

  • @michaelnyingi1898
    @michaelnyingi1898 3 роки тому +2

    You guys you keep it lit, Catholic songs with a lot of teachings, the whole family is involved....you rock. Heko kwako na mpenzi wako, pia watoto........so encouraging.....I always listen your songs from Kenya. God bless you

  • @allygwede5790
    @allygwede5790 3 роки тому

    Kweli sala hiyo ulioitunga kwa kuimba ni nzr sana nimefarjika sana. Mungu akubariki sana

  • @izdorybarnabas4357
    @izdorybarnabas4357 3 роки тому

    Hongera Sana Mkasa

  • @indiremoses8979
    @indiremoses8979 3 роки тому

    Kwa kweli huu wimbo umenigusa

  • @victoriamwiyanda9149
    @victoriamwiyanda9149 3 роки тому

    kwakweli hua nazipenda sana nyimbo zako kwa maana zinamtoa nyoka pangoni

  • @sharoombay8997
    @sharoombay8997 3 роки тому +1

    Mwenyenzi Mungu awabariki sana.