Ninakuabudu Mungu Wangu - St. Thomas Aquinas

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Karibu kusikiliza wimbo wa Mt. Thomas wa Aquino, wimbo bora sana wa kuabudu.

КОМЕНТАРІ • 54

  • @gabrielnghonolidonald1178
    @gabrielnghonolidonald1178 9 місяців тому +4

    Harmony imekaa moyoni kabisa Hongereni waimbaji na Wakufunzi

  • @victorchaungwe8066
    @victorchaungwe8066 9 місяців тому +5

    Hongera sana , naomba wimbo na nyota zake . Asante.

  • @hilarybwagidi-fm2yg
    @hilarybwagidi-fm2yg 9 місяців тому +8

    Yaani, utadhani mnachofanya kila mara huteta nanyi! Nakuombeeni kwa Mungu, Roho Mtakatifu aliyewafunulia ubunifu huu ni wa pekee. Shikamaneni, mko kwenye mpango ambao ni mzuri sana katika kutukumbusha wooote tunaojinadi kuuenzi Muziki Mtakatifu Katoliki Tanzania kwamba hakika ninyi mmepiga hatua sana. Amina sana.

  • @danorina6690
    @danorina6690 9 місяців тому +8

    Pongezi sana Mt Ksaveri kwa kazi hii maridhawa sana. Nimezitazama nyimbo zenu zote hapa mtandaoni, nimewapenda sana. Ninawaombea dua njema kwa shughuli zenu zote. Lazima Mwenyezi Mungu anaippenda kazi sanaa yenu. Hongereni.

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl 9 місяців тому +6

    Nawapenda sana waimbaji..haswa wimbo Tuna hazina huwa 🔥🔥🔥🔥 hongereni sana kwa utume mwema.....ishini sana

    • @teddymbuya6696
      @teddymbuya6696 2 місяці тому

      Nawe tunakupenda pia, barikiwa sana kutazama, nawe ishi zaidi

  • @raphaelmagai7536
    @raphaelmagai7536 9 місяців тому +5

    Mungu awatunze mnaimba vizuri sana St Francisco Xavery

  • @maxwellmax3939
    @maxwellmax3939 9 місяців тому +6

    Mziki❤

  • @LucyWere-s4l
    @LucyWere-s4l 28 днів тому

    I just love the devotion the choir members have and the love. It's amazing!

  • @JUMAMSONGANZILA-zt2lk
    @JUMAMSONGANZILA-zt2lk 9 місяців тому +6

    Hongereni sana kwa kazi nzuri, Mungu azidi kuwabariki

  • @rolinengugi556
    @rolinengugi556 5 місяців тому +2

    This song draws me closer to God when ever I listen to it,,,oh God I love you,and am sorry that I keep forgetting what you did on cross for me..mbele ya malaika nitakuimbia zaburi

  • @clementlugoda7870
    @clementlugoda7870 9 місяців тому +5

    MUNGU ATUKUZWE, MWANADAMU ATAKATIFUZWE

  • @mapendoglory16
    @mapendoglory16 9 місяців тому +4

    Heeeeee. Utadhani sijawahi kuusia Huu wimbo. Mpya mpya mpya. Mmbarikiwe wapendwa. Asanteni Kwa kunifariji nafsi yangu.

  • @marychristiansen2990
    @marychristiansen2990 9 місяців тому +4

    Sawa swafi kabsaaa, Mungu atukuzwe duniani kote

  • @victorchaungwe8066
    @victorchaungwe8066 9 місяців тому +4

    Hongera sana, naomba wimbo na nyota zake.

    • @St.FrancisXavierDSM
      @St.FrancisXavierDSM  9 місяців тому

      Utapata. Mwone Mwl Gilishi

    • @zenobiakapere1379
      @zenobiakapere1379 7 місяців тому +1

      1) Ninakuabudu YesuMungu wangu.Uliyejificha altareni,ninakutole moyo wangu,usiofahamu siri yako.2)Mafahamu yangu yadanganya,Yanapokuona na kugusa,nasadiki Yesu hadanganyi yeye Mungu Mwana na ukweli.3)Waficha umungu msalabani,na ubinadamu altareni,nami naungama yote mbili,kama mwivi yule mwenye toba.4)Tomato aligusa majeraha,nami nasadiki bila shaka,ewe Yesu nipe pendo lako,tumaini kwako na imani.5)Umeteswa nini bwana mwema,kwa kunipa mate wa uzima,Yesu unifiche ndani yako,Ili nilionje pendo lako.6)Yesu pelicane utazamwe,na kwa damu yako nitakase,Tone moja ndio linatosha,na dunia yote yaokoka.7)Nani ya mafumbo Yesu yumo,utafunguliwa kwangu lini? Nikuone Yesu uso wako,Nishiriki nawe heri yako..

    • @teddymbuya6696
      @teddymbuya6696 2 місяці тому

      Asante saana mpendwa wetu

    • @teddymbuya6696
      @teddymbuya6696 2 місяці тому

      @@zenobiakapere1379 Amina Amina Amina

  • @altogosbertluhikula9083
    @altogosbertluhikula9083 9 місяців тому +6

    Asanteni sana kwa Tafakari nzuri sana.

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl 9 місяців тому +4

    Hongereni sana

  • @victorchaungwe8066
    @victorchaungwe8066 8 місяців тому +3

    Naomba nyota zake watumishi was Mungu. I real praise God for you people of God, and for yourselves. May He continually bless you more in this area of praise. Lakini Bado naomba nyota zake bado sijazipata. Nitumieni, Asante.

    • @St.FrancisXavierDSM
      @St.FrancisXavierDSM  8 місяців тому

      Hi Victor,
      We thank you for the compliments. Can you share with us your email?

    • @teddymbuya6696
      @teddymbuya6696 2 місяці тому

      Amen Amen Amen

  • @furahambughi4977
    @furahambughi4977 9 місяців тому +4

    Well harmonized, well sung.
    Hongereni sana kwa kazi nzuri mno.

  • @deodatusmkongwa2393
    @deodatusmkongwa2393 7 місяців тому +2

    Hongereni sana kwa wimbo huu mzuri... mmeukosha moyo wangu

  • @user-jp7bm4kw7u
    @user-jp7bm4kw7u 8 місяців тому +4

    Safi sana watumishi kz nzuri

  • @valencemwarabu7611
    @valencemwarabu7611 9 місяців тому +5

    Safi sana

  • @dominokiba1112
    @dominokiba1112 8 місяців тому +3

    Baraka tunazopokea kupitia uchaji na ibada hii kubwa iliyojaa unyeyekevu. Mbarikiwe sana.

    • @teddymbuya6696
      @teddymbuya6696 2 місяці тому

      Amina Amina Amina, tubarikiwe soooote

  • @Ricagrovet
    @Ricagrovet 9 місяців тому +3

    Hongereni Sana Kwa Kazi nzuriii 🥰

  • @user-uz1uj2gu3w
    @user-uz1uj2gu3w 7 днів тому

    Mungu azidi kuwazidishia kwa uimbaji wenu

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende 9 місяців тому +4

    Hongeren sana

  • @sarahmarrion7633
    @sarahmarrion7633 3 місяці тому +2

    One of my best adoration song. To God be all the glory. Hallelujah

  • @imanhaonga6687
    @imanhaonga6687 9 місяців тому +3

    kazi nzuri snaa hii hongereni wapendwa.
    Naombeni namba ya Lazarus Patiu