DEBATE JE UTATU NI UPINGA KRISTO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 17

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 14 днів тому +2

    WAsabato shida

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora 14 днів тому +2

    Hapana utatu mtakatifu sio mpinga kristo,
    Ndacha umemuhuzunisha Roho mtakatifu.
    Kanisa limejengwa kwenye Mwamba wewe ni wimbi tu. Huwezi kubomoa. Soma Mt 16:17-19

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 14 днів тому +2

    Daniel wewe ni kiboko piga mbwa hao

  • @AmaniMazee
    @AmaniMazee 14 днів тому +2

    Ndacha ni uzuni mkubwa sana kwako na wale wote unaendelea kupoteza. Mwanzo 1:1-3 unaweza kunisaidia Mungu , Roho ya Mungu na neno la Mungu. Kweli ni moja Neno la Kristo na Kristo mwenyewe. Ndacha hakuna mtu anaweza kukutukana na mashahidi wa Jehovo na wa Branhamiste wanakana utatu Mtakatifu katika nafsi moja ya Mungu. 1Yohana 5:7 . Uendeleye kupotea katika upotovu wako wa kifarisayo.

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 14 днів тому

    Jaman , mathayo 28:19

  • @alyaqdhan5206
    @alyaqdhan5206 14 днів тому +1

    Mtabishana nyinyi Wakristo kuhusu imani zenu mpaka siku ya Kiama na hamta patana, imani zenu kuhusu Mwenyezi Mungu ni nani , kuna wanao sema ni mmoja katika wa tatu wa utatu wengine wanapinga wanasema kama huu ni ukafiri kama SDA na Jehova’s Witnesses, na kuna ubishi baina madhehebu ya Kikristo about the neture of Jesus je amezaliwa au kaumbwa na je yeye ni Mungu au ana ungu tu …etc, njooni kwenye imani ya kiislamu which is very simple, someni sura hii inayo onyesha shina la imani sahihi: Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. --al_ikhlaaS 1 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. --al_ikhlaaS 2 Hakuzaa wala hakuzaliwa. --al_ikhlaaS 3 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. --al_ikhlaaS 4

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora 14 днів тому

    Hebu jiulize katika 1korintho 6:11. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
    Hebu tambua hapo mwishoni mwishoni mwa mstari huo
    Anapo sema lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.
    Je huoni kwamba zimetajwa nafsi mbili hapo, yaani Roho wa Mungu, na Mwingine Bwana Yesu kristo?
    Na Nafsi ambayo haijatajwa Ni Mungu Baba. Ambaye yupo Mbinguni. Yeye ni nafsi ya tatu, baada ya kutajwa nafsi mbili zilizo kuwepo duniani.

    • @SimfolianKasokora
      @SimfolianKasokora 14 днів тому

      Mungu ni mmoja katika nafsi Tatu, pia hata Binadamu tuna viungo vingi lakini ni ni mwili moja soma 1korintho 12:12
      Katholiki haijadanganya Bali itawafikisha Mbinguni soma ufunuo 9:7. Hao ni wakatholiki.
      Alio iondoa sabato ni Yesu mwenyewe soma Mathayo 19:18-19. Amri Alizo tutajua Yesu sabato Haimo.

  • @petromachanga5538
    @petromachanga5538 14 днів тому +1

    Nimegundua ndasha anasoma kama gazeti hahahaa

  • @triuneapologeticsevangelis5912
    @triuneapologeticsevangelis5912 14 днів тому

    😂😂😂😂wasabato hawa ni shida sana

  • @FrederickBarongo
    @FrederickBarongo 13 днів тому

    Mnachobishania hamkiwezi. Mungu ni mkuu kuliko mawazo yenu. Lililo kuu ni kumwamini Yesu ukaokoka.

  • @samuelgacheru4854
    @samuelgacheru4854 13 днів тому

    Onyango,like jina ambalo Isaiah alisema ni Yesu

  • @SimfolianKasokora
    @SimfolianKasokora 14 днів тому

    Amesahau pale ambapo Yesu alibatizwa Roho mtakatifu alitoka Mbinguni kwa umbo la njiwa, na akatua Begani kwa Yesu, wakawa wawili, hapo alipo Batizwa Yesu, nafsi zikawa mbili na ya Tatu ilibaki Mbinguni Ambaye ni MUNGU BABA.

    • @Shomariamuri1
      @Shomariamuri1 13 днів тому +1

      Mbona umewatenganisha kipindi munasema kwamba watatu hao ndo wanaunda Mungu mmoja 😂😂😂😂

  • @AgahinyuzaTV
    @AgahinyuzaTV 14 днів тому

    Tunasoma kuwa Yesu alizariwa kupitia Miriam wakati anajifunua kwetu .Sasa nataka niwurize wakati Yesu anazariwa zamani zakare ali pitia kwanani ili tujue kwamba Yesu Ana mwanzo?