Shukrani, shekhe Kundian ,mwenyezi akupe lile unalihitaji kwa kweli unafanya kazi kubwa na nzuri ya hizi dawa ya kujitibu wenyewe.vilevile naomba kujua nitajijuaje kama nina jini mahaba nikiwa nijiandae nakisomo kwanza halafu ndo niendelee hiyo herufi ulisema ya Aini
I'm first today, shukrani shekh.
Shukran sana maalim kwa kazi nzuri
Inshaa allah
Shukrani, shekhe Kundian ,mwenyezi akupe lile unalihitaji kwa kweli unafanya kazi kubwa na nzuri ya hizi dawa ya kujitibu wenyewe.vilevile naomba kujua nitajijuaje kama nina jini mahaba nikiwa nijiandae nakisomo kwanza halafu ndo niendelee hiyo herufi ulisema ya Aini
Ahsante ila fuatilia DALILI nilizoelezea hapo