#LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 142

  • @mamyabui437
    @mamyabui437 Рік тому +2

    Allah amsameh maalim na wote waliotangulia

  • @nassorkhamis7091
    @nassorkhamis7091 Рік тому +4

    waliommisi Maalim gonga like 😭

  • @hamadrashid5140
    @hamadrashid5140 3 роки тому

    Wallah machozi yananitoka nikiangalia hz video. Allah amlaze mahal pema mzee wetu.

  • @sirmangush1432
    @sirmangush1432 2 роки тому

    Dah Allah amrehemu kiongozi makini maalim seif naangalia video huku machozi yanatoka

  • @abdullaabdullahmpakanjia2336
    @abdullaabdullahmpakanjia2336 3 роки тому

    Duuh sitaki kuamini kama leo 17/02/2021maalim katutoka

  • @tumaomar4417
    @tumaomar4417 4 роки тому

    Allah atasimamia Haki inshaaALlah 🙏🙏🙏🙏

  • @ustadhabuurahaleo3878
    @ustadhabuurahaleo3878 4 роки тому +2

    Ameen

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 роки тому +2

    Tunataka mamlaka kamili zanzibar tunataka Mashekhe wetu

    • @beaujude9412
      @beaujude9412 3 роки тому

      I guess im asking the wrong place but does someone know of a way to get back into an instagram account??
      I stupidly forgot my login password. I would appreciate any tricks you can give me

    • @jamarimauricio6394
      @jamarimauricio6394 3 роки тому

      @Beau Jude instablaster =)

    • @beaujude9412
      @beaujude9412 3 роки тому

      @Jamari Mauricio thanks for your reply. I found the site through google and im in the hacking process now.
      Looks like it's gonna take quite some time so I will reply here later with my results.

    • @beaujude9412
      @beaujude9412 3 роки тому

      @Jamari Mauricio It worked and I now got access to my account again. I'm so happy:D
      Thanks so much, you saved my account !

    • @jamarimauricio6394
      @jamarimauricio6394 3 роки тому

      @Beau Jude No problem xD

  • @TopTalentVoices
    @TopTalentVoices 4 роки тому +1

    wa zanzibar tumechoka tuna taka mamlaka kamili inshaallah mungu atujalie tuyapate mara hiii

  • @suleimanalisaid3178
    @suleimanalisaid3178 4 роки тому

    Hao ccm ndio wanalaaniwa na mungu kuwabainisha wanafiki hao kamati ya maadili.

  • @brahandoka1257
    @brahandoka1257 4 роки тому +2

    Na woba mola hakupe kusida kura kwa osalam na haman sukuran maalimu

  • @hamisishaame1458
    @hamisishaame1458 4 роки тому

    Mungu tusaidie kupata uhuru wetu kwani tunaenda kubaya

  • @omarsaid9398
    @omarsaid9398 4 роки тому +3

    mwakahuh Allah yupo pamoj nasi

  • @makariospeter9447
    @makariospeter9447 4 роки тому

    Mngepewa tuu inchi yenu. Mnanyonya sana bara. Hasa kwenye suala la umeme.

    • @zubeirjuma1856
      @zubeirjuma1856 4 роки тому +1

      Wabara wenyewe ndo wanapopatia mapato hauwoni wanangangania kinoma Kama kwao uku

  • @dermondermon5767
    @dermondermon5767 4 роки тому

    Kipindi km hichi mademu wa kipemba wanakuwa maukhti kweli hee, utasema sio wao wanoongoza kwa kuzini zanzibar mana wazuri, na kuwafanyia vituko waume zao

  • @charleschangare5208
    @charleschangare5208 4 роки тому

    Zanzibar Ccm hawana chao kwaherr ccm

  • @abdulikarimhamadi7145
    @abdulikarimhamadi7145 4 роки тому +1

    Hatushindwi

  • @mamafaiza2651
    @mamafaiza2651 4 роки тому +4

    Polisi wanaomba wakachukuliwe wahame pemba
    kazi imeanza wanachezewa MAKALIO usiku Yaani jua likizama amani inapotea

    • @kitulize
      @kitulize 4 роки тому

      😃😃😃

    • @radisafaa6676
      @radisafaa6676 4 роки тому

      Duh

    • @zubeirjuma1856
      @zubeirjuma1856 4 роки тому

      🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓 kweli jamani

    • @Raysam-ki1rc
      @Raysam-ki1rc 4 роки тому

      😃😃😃😃

    • @mrchefamour1987
      @mrchefamour1987 4 роки тому

      Hio ndio silaha ya wapemba muulizeni siro tangia siku aliyoenda kaenua tena mdomo kuzungumzia pemba maan kapewa haki yake kidg tuu na ndio maana ata akiongea anakuwa mnyonge

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 4 роки тому +3

    Kuitoa CCM madarakani ni ndoto za mchana kweupe ambazo zitatimia kwa uwezo wa Allah Subhaanahu waTaala tu, tunachotakiwa ni kuzidisha ibada na kuomba dua kwa wingi. Wao wana nguvu za Jeshi, Polisi, ZEC, etc, na sisi tumuegemee Mwenyezi Mungu awe upande wetu.

    • @tumaomar4417
      @tumaomar4417 4 роки тому +1

      Ndiooooo Hakuna njia nyengine ispokuwa kuelekea kwa Allah ,

  • @onesmoakwilini6254
    @onesmoakwilini6254 4 роки тому +1

    Mwenye zanzibari yake kaingia

  • @muuminmzee3459
    @muuminmzee3459 4 роки тому

    Nimejitahidi kuskuliza nn mtafanya mkichaguliwa sijakiona ata kimoja, maendeleo gan mtaleta?

    • @sameramwajdu9029
      @sameramwajdu9029 4 роки тому

      Hujakiona yaani ww hujaskiliza kampeni leo nisiku ya kufunga kampeni nasio kuelezea nn ata fanya kashaelezea zamani kila hatuwa ambayo binaadamu anaihitaji unayoijuwa ww pengine muda wote uwo umelala ndio máana huu sio muda wa kulala

  • @fatmahamad9314
    @fatmahamad9314 4 роки тому +1

    Namuona babu Duni katulia km maji yamtungi😃😃😃😃

  • @sgfdhaikuhusu6086
    @sgfdhaikuhusu6086 4 роки тому +2

    Mungu tuone nasiee tumechoka kudhulumiwa

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 4 роки тому +1

    Leteni seraa mmefanyamangapi pemba mpakaleo mmewalaza wezenu mahospitali mnanini nyinyiii tupishenii sieee

    • @teamlovesquare3207
      @teamlovesquare3207 4 роки тому +1

      Heeee ww sio upinzan ww unachuki binafs maaan cmment zako mbovu mpk jina lako nikiliona tu nakujua kam ww fisad

    • @abasamwame6583
      @abasamwame6583 4 роки тому +3

      @amina hivi Pemba wana serikali?
      Miaka mitano iliyopita ccm walikuwa wenyewe he walifanya nn Pemba
      Miaka 56 ccm wamefanya mini zaidi ya siasa za chuki na ubaguzi
      Kuongezeka kwa umasikini
      Zanzibar kupoteza mamlaka yake kwa wa Tanganyika
      Mdororo wa kiuchumi
      Na kuthibisha hilo kuwa Zanzibar si nchi pinda mizengopinda aliema hazarani kuwa Zanzibar si nchi;;;watu wa kisiwa ndui walitoa msimamo gani na walichukuwa hata gani kwa kauli hiyo ya pinda?

    • @tumaomar4417
      @tumaomar4417 4 роки тому

      Nitamshauri Raisi Maalim Seif inshaaALlah akupele mental huenda wew ni mgonjwa wa akili

  • @karimdaud3993
    @karimdaud3993 4 роки тому +1

    Act mume muondoa professor nilipenda sana anaongea kitu muhim sana

    • @amoural-harthy7312
      @amoural-harthy7312 4 роки тому

      Hata mimi alinifurahisha professor.
      Tunaomba aendelee na khutba yake.

  • @filomenaedmund5765
    @filomenaedmund5765 4 роки тому

    7

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 4 роки тому +1

    Hatubabaaishwi nawatu ccm oyeeee mkitakamusitake hatutowi nchi

    • @yunussshammis5489
      @yunussshammis5489 4 роки тому

      Km Hamtoi nchi utatoa ww uwoo uchiii wakooo cndio

    • @mrchefamour1987
      @mrchefamour1987 4 роки тому

      @@yunussshammis5489 hahahahah et atatoa uchi nimecheka kweli, 😂😂😂😂

    • @abasamwame6583
      @abasamwame6583 4 роки тому

      @@mrchefamour1987
      Hatoi nchi ila atatoa uchi da hii Kali kwa kweli!

    • @binsultan6981
      @binsultan6981 4 роки тому

      Amina uliolewa na mpemba ukaachwa au??

    • @sameramwajdu9029
      @sameramwajdu9029 4 роки тому

      Kumbe uyu niyule fisadi kiwembe amina nani alokupa jina Ilo ww mbona amina haliendi naww tabiya zako Ilo jina nila mamá yake MTUME WETU MUHAMMAD (SAW) nilazima mwenye jina hilo awe na adabu na wenzake

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 4 роки тому

    Kwasababu mnaubaguzii Asosaidilika ni Maalm sefu

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 4 роки тому

      Wallah....Na hili ndio linofanya hawa watu wahangaike tokea 1995.... Mungu Hasimami nao.....

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 4 роки тому

    🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 4 роки тому

    MSITANGAZE MATOKEO KABLA YA UCHAGUZI KULA NI SIRI...HICHO MNACHOLILIA MTAKUTA NI TOFAUTI NA MAWAZO YENU...MAJI YAKIMWAGIKA HUWA AYAZOLEKI

    • @sameramwajdu9029
      @sameramwajdu9029 4 роки тому

      Sio kula Kaka nikura

    • @tumaomar4417
      @tumaomar4417 4 роки тому

      Sio kula ni kura baba nenda nursery kajifunze kuandika ndio uje ucomnent nyauuuuuu weweeeeeee😂😂😂😂😂

  • @suleimanalisaid3178
    @suleimanalisaid3178 4 роки тому

    Hawa ndio act sasa kazi tu

  • @mahfoudhjuma4833
    @mahfoudhjuma4833 4 роки тому

    Hahahaha mko tayari kuchangia

  • @zainabmahmoud712
    @zainabmahmoud712 4 роки тому

    Inshaallah Allah atakujalia

  • @eissangyandetaulwa7141
    @eissangyandetaulwa7141 4 роки тому

    siku zaja

  • @nassirvarane1877
    @nassirvarane1877 4 роки тому

    Nyie act kuma kwl

    • @ismailjuma3581
      @ismailjuma3581 4 роки тому

      Wachakutukana ww?

    • @nassirvarane1877
      @nassirvarane1877 4 роки тому

      @@ismailjuma3581 ndo nishatukana ndio mn mnataka kuleta fujo kwenye nchi

    • @khadijahaji6341
      @khadijahaji6341 4 роки тому +2

      Ww mshenzi ulokua hukupata malezi kama ulilewa kwa malezi bora usende tukana watu wenye heshima zao katafute watu wakufunze adabu

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 4 роки тому

      Wajitukana wewe

  • @fatmahamad9314
    @fatmahamad9314 4 роки тому +1

    Yaani raha km zote natamani niruke kutoka nchini Omani

  • @nassirvarane1877
    @nassirvarane1877 4 роки тому +1

    Wapumbavu mnapelekeshwa na mzee uyo

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 4 роки тому

      Nakufakari bado

    • @maryamrashid1445
      @maryamrashid1445 4 роки тому +1

      Mpumbav baba ako na mama ako mbwa wee

    • @latifaame5579
      @latifaame5579 4 роки тому

      @@maryamrashid1445 usipoteze punzi zako kuwajibu hao, maana ni wale kina Salama Aboud na nduguye kiringo

    • @nassirvarane1877
      @nassirvarane1877 4 роки тому

      @@latifaame5579 kuma ww na baba ako

    • @hamadrajab8042
      @hamadrajab8042 4 роки тому

      Mshenzi wee mwana wa kharam

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 4 роки тому

    Nendeni kama mushajipanga

  • @ahmadmansur5901
    @ahmadmansur5901 4 роки тому

    Muungano haukupatikana kwa kura.. Mutajitoa Kweli wana act

  • @learningkiswahili5daysstre367
    @learningkiswahili5daysstre367 4 роки тому +1

    Sijawahi ona watu wabaguzi kama wa zanzibar

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 4 роки тому

    😂😂😂😂😂eti bumbwiiii ccm ushindilazima tukijaaliwa nyie pigeni keleletu

    • @mohdkhamis9170
      @mohdkhamis9170 4 роки тому

      Ndio maana mkasema hakuna mungu akipenda wala asipende mtashinda tu au sio
      Jiandaeni na akhera pia msiangalie ya dunia tu

    • @tumaomar4417
      @tumaomar4417 4 роки тому

      Na mbele ya Allah mukazalimishe kuingia jahannam, na itokezeee wew uliesema hivi njaa inakuwaka moto tumboni,kenge weeeeee😀😀😀😀😀😀😀😀😀🤣🤣🤣🤣

  • @mrlightelimutv7956
    @mrlightelimutv7956 4 роки тому +1

    maalim kaishiwa Sera
    coz Dr mwinyi aliomba radhi juu ya kauli yake lkn wao wamechukuwa sauti yke ili kutafuta kiki

    • @OmarMohamed-mt4ug
      @OmarMohamed-mt4ug 4 роки тому

      Acha nyege ww

    • @sgfdhaikuhusu6086
      @sgfdhaikuhusu6086 4 роки тому +1

      Wee komaa hiyo kiki akatafute kwa mkurangaaa maalim ni maalifu kabda ya huyo mwinyi kuzaliw tena ukoome mbwa mweusi weeeee

    • @iddykasheshe3913
      @iddykasheshe3913 4 роки тому

      Hiyo ndio ishapangwa hvyo ili kumshinda maalim mbn huku amna kura ya watu maarum

    • @mamafaiza2651
      @mamafaiza2651 4 роки тому

      Alieshima babayako anaefirwa kumamamako kenge wew

    • @mwanalikhamis9875
      @mwanalikhamis9875 4 роки тому

      nendeni kama wanaume taree ishirini nasaba ku