Dr.Ipyana - IBADA CLINIC // UTUKUFU WA MUNGU UNA SAUTI PAY ATTENTIO TO HEAR.
Вставка
- Опубліковано 3 кві 2024
- #dripyana #ibadaclinic
When you appear in zion by invitation through that song in your spirit, pay attention to hear the sound behind the manifested Glory of God.
kindly follow me as the Holy Spirit is dissecting this revelation in Jesus Name
Ila Kalumbu, umewapa watu nafasi ya kumtafuta Bwana Yesu, vijana wa umri wako, wanajiuliza wao wenyewe, hivi tupo wapi, tunazitumiaje nguvu za ujana wetu? Ktk eneo hili la kumtumikia Muumbaji wetu? Hakika umewaachia changamoto Vijana!! Kyala ugwa maka, akuzidishie vivuli vya kuishi ili, uzidi kumwaibisha shetani! Pokea Baraka za Bwana zaidi.❤❤❤🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌✅
I keep on growing in spirit when I listen to your music & teachings God bless you sir from Kenya 🇰🇪
Mungu naomba hiyo neema ya kutulia uweponi mwako
This is very important clinic.Wengi hatujui namna ya kutulia uweponi.Mungu akupe zaidi vya kutufunza Dr.Ubarikiwe
I believe i was meant to listen to this message.
Everyday I always have songs in my spirit,some last the whole day,some weeks and there was a time I had this song every day for a month.
Thank you and may God keep using you to bless many.
Madini mingi Dr Ipyana!! Keep teaching us MOG.
Am so much blessed with this song Daktari
Grace upon grace MOG
Hapo... I tap into this grace sir... More grace always
Amen, Amen. Thank you for allowing God to use you in this generation. I'm blessed
Asante sana mtumishi kwa neno la ufunuo ambao Mungu amekupa kwa ajili yetu
From kenya I'm so much blessed by your teachings more Grace Man of God
Amen sir, may God bless and keep you for our generations
Amen amen mmi nilikuwa nikiamka asbh nasikia wimbo na nilikuwa nikianza kuimba najikuta nanena kwa lugha na nilikuwa hata bos akiniita bado najikuta nanena rohoni
Amen. Asante sana mtumishi kwa ufunuo huu.
Am learning a lot from Ibada Clinic. Be blessed Dr. Ipyana.
Namshukuru Mungu kupitia Mtumishi wake nimepata kitu kikubwa sana hapa, Mimi nilikuwa niliamka na wimbo natafuta simu ilipo naplay then naanza tu kuimba sikujua maana yake nn Sasa nimeelewa na Mungu anisaidie kwenda viwango vya juu kumjua yeye
I wish I cud testify juu ya hii msg it has happened to me not so long ago and i hv seen God through this🙌🙌🙌🙌
Ahsante kwa ibada mtumishi
Barikiwa kaka mm nikiwa safarini uwa naomba hata masaa sita kumbe nimejua kitunkaka ipyana
Ahsante sana kaka Dr Ipyana nahisi kama Mungu anazungumza na wewe kwa ajili yangu🤝
Unabonge la Touch kwa Piano alooooo
Amen Amen may the lord bless your ministries of
Worship as God looking for worshipers
Bel blessed for this revelation he created Us to worship him alone during worship healing take place deliverance happening you are Nathaniel in our Tanzania 🇹🇿 you are chosen for this
Ooooh my Lord this sermon is for me thank you Lord Jesus 😢😢😢🙌🙌,LORD Am ask I for impartation from your Minister dear Lord 😭😭, Naamini mwaka huu sitabaki kama nilivyokua kwa Heshima na utukufu wa Mungu wangu uliye hai.
Am really blessed here in saudi 🇸🇦 🙏
Mungu akubariki man of God
we need more of this mtumishi
My testimony song, God I thank you 🙏,
God we glorify you for this message😫🙌🏽.
Ahsante Sana Mtumishi Kwa Huu Mfululizo...
Tunaomba Uandike Kwa NAMBA itatusaidia Katika Kuflow kutoka Moja Hadi Nyingine.
Barikiwa Daktari
Asante mtumishi wa Mungu, Kuna point umegusia hapo , Ya kwamba unaweza kukaa kwenye uwepo wa Mungu hata kama unaendeleea na shughuli zako, Please elezea kidogo hapo , Asante
Dr Ipyana
🎉🎉utukufu wa Mungu🎉🎉
Glory glory Dr. May God increase you
Ameen and Ameen Emmanuel 🙏
Amen man of GOD
This is my msg😢🙌🙌🙌thank you GOD
Be blessed Dr
I tap this Grace.
Seeing you minister ASAPH 2024 was such a blessing 🙏🙏.
Amina 🎉🎉
Am blessed with these series from Kenya. We love you Mtumishi nd may God bless you and continue using you
glory to God 🔥🔥🔥🔥
God bless you Man of God and thank you very much 🙏🙏....Nimejifunza Kitu🙏🙏🇰🇪🇰🇪
My favourite gospel minister.. i admire your grace sir
I connect with grace in Jesus let this grace work in my ministry
Ahsantee sana kaka napenda sana mafundisho Yako ila kinachoo niumiza unapokuwa una zungumuza Kwa kingereza Mimi hua hapo nabaki njiani kaka hua natamani Kila neno nilijue
Haleluya Haleluya..
Amen Dr. I am so grateful for these teachings. Mungu akubariki mno.
Hallelujah!
Dr. Nimepata kitu kikubwa sana leo, yatupasa kuwa ndani ya uwepo anytime anywhere...
Amen
Dr, watching from Pullman WA
Naomba please unapomalizia kila kipindi tuingie kwenye worship ya hata wimbo mmmoja tu. Please
Ameen nimejifunza na nimebarikiwa sana
Ameen
Barikiwa sana maana najifunza sana
Aaaah I love this...
I Glorify Your Name Oh Lord
❤❤❤👏👏👏
👏👏🙏🙏
Amen 🙏. Thank you Jesus Christ 🙏
nice subject god bless Dr Ipyana
So grateful for these teachings! thanks Daktari🙏
God is good all the time
I am blessed glory to GOD
Profound 🙌🏽
God's glory carries a sound🙌
Thank you so much Man of God for this
❤❤❤❤
Amen 🙌🙏🙏🙏
Hakika nimebarikiwa sana.
Amen Man of God
AMEN. TO GOD BE GLORY. AMEN
Stay blessed sir❤
Amen❤❤
Amen 🙌🎉❤
Glory to God
Amen my mtumishi
Amen. Thank you
Mungu akubariki mno
Be blessed, nice lesson🙏
Ibada clinic inanibariki sana Daktari. Endelea kutufunza... God bless
God bless u for this revelation
God bless you
Amen be blessedd🙌🏾🙌🏾🙏
😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙏🙏
Amen, I'm blessed
Wow thanks Dr ipyana
Amen thankyou 4 the teaching
❤
Amen. Learning a lot
🙏🙏
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante sana, Dr Ipyana. Jana niliamka na wimbo wako "Niseme nini (Baba ninakushukuru)" so nitakatafuta channel yako na kucheza. It's only later I found your clinic video about what to do and so I applied it. For sure, maagizo yako ni 💯💯. I would have aborted the process if I didn't know how to get into the Holy of Holies. Now I know and my prayer life will never be the same again.
dr.mm watu ninaoishi nao saiv huku chuoni hawana mambo ya kusali kwaiyo hua wananitoa kwenye uwepo kabisa sijajua nifanyaje 😰😰😰
You are doing an amazing job...but please improve on the quality of voice
Thanks for feedback my team will have to look at it. You are blessed
MUNGU akutumie apendavyo!.....
Obvious ni therapy
Amen
Ameen
Amen
Amen
Amen