Hii ndiyo Msondo ngoma tangu enzi wa Wahenga Nuta Jazz mpaka kizazi cha kidigitali, Wakongwe wa muziki wa dansi Tanzania ( RIP kamanda Gurumo muasisi wa mtindo wa Msondo ,Sikinde na Ndekule).
Mungu aendelee kuwapa umri mrefu anko Roma, anko zahoro,Abdul Ridhiwan aka Pangamawe,karama,Juma katundu Edo Kwembe,my brother Hassan ,na wenginewe, Huruka Uvuruge may your soul rest in peace 😭😭 🙏😅
Msondo ngoma, Baba ya muziki Tanzania, mnatisha sana, waenzini wazee wenu, Muhidini Gurumo, Said Mabela, Moshi William, Athuman Momba, Niko Zengekala, Joseph Lusungu, Suleman Mwanyiro, Shaaban Dede na wengineo.
Ila hili ni bonge la nyimbo ila sijui dance promotion ni ndogo jamn yan msondo mmenikumbusha mama angu may her soul rest in peace mana ilikua ni simba yanga enzi hizo mama angu msondo damu dah kwa niaba ya mama namuenzi jamn 😭😭
Wamejitahidi sana nasikiliza solo lonasikika na mpangilio wa sauti upo vzr,hongereni. Wengine wajifunze kupitia wimbo huu. Nimemkumbuka Saidi Mabela na wote waliotangulia mbele za haki.
Mbona hizi nyimbo nzuri ssna hamzifanyii promo ya kutosha kwenye media, these are very great songs na kizazi kipya cha Juwata
Media nyingi za siku izi zinapenda nyimbo za kileo zilizo bezi kwenye maudhui ya ovyo.
Za kusikiliza na familia mzee Zahoro mzee mmoja peace saa hana tatizo na mtu
Hii ndiyo Msondo ngoma tangu enzi wa Wahenga Nuta Jazz mpaka kizazi cha kidigitali, Wakongwe wa muziki wa dansi Tanzania ( RIP kamanda Gurumo muasisi wa mtindo wa Msondo ,Sikinde na Ndekule).
Msondo ngoma ngoma za watu wazima
💪💪💪🔥🎺🎸🎤🎶🎵
Kizazi kipya cha msondo mko juu
Video mzuri saa sana waimbaji wangeongoza jukwaa wangemaliA kazi
Msondo starehe msondo maziwa🔥🔥🔥🔥🔥😍
Msondo wako vzr sn hongeleni sauti adimu zipo msondo,,
Dah shikamoo msondo safiiiii
🙏🙏🙏
Mungu aendelee kuwapa umri mrefu anko Roma, anko zahoro,Abdul Ridhiwan aka Pangamawe,karama,Juma katundu Edo Kwembe,my brother Hassan ,na wenginewe, Huruka Uvuruge may your soul rest in peace 😭😭 🙏😅
hongereni sana msondo wonderful video na maudhui pia ni mazuri sana
Wahaya wanasemaga "e bya kala byagaruka" yaani vya kale vimerudi safi sana msondo ngoma twawapenda daima.
Vizuri sana, aina ya muziki wenu bado unahitajika sana. Sajilini mwamba mwenye sauti base na tulivu kama ya Mwalimu Gulumo
Nyie ni vichaa wa muziki baby yenu nakuja toka Iringa Kwa Panga mawe
WALAI 🤣
Msondo ngoma, Baba ya muziki Tanzania, mnatisha sana, waenzini wazee wenu, Muhidini Gurumo, Said Mabela, Moshi William, Athuman Momba, Niko Zengekala, Joseph Lusungu, Suleman Mwanyiro, Shaaban Dede na wengineo.
Kazi nzuri Msondo ngoma
Namuona ndg yangu romalio hii ndio band Bora ya muda wote
Baba ya music ilivyoaamua kutustua kidogo
Yaani jamaa wanapita mulemule kiasi cha kubakia na vionjo vilevile. Kongole.
Shukran sn
Rija, Eddo.,karama Baby nakuja kuwapa shavu je Panga mawe
Karibu sn
Ila hili ni bonge la nyimbo ila sijui dance promotion ni ndogo jamn yan msondo mmenikumbusha mama angu may her soul rest in peace mana ilikua ni simba yanga enzi hizo mama angu msondo damu dah kwa niaba ya mama namuenzi jamn 😭😭
Mmrudi kwa kasi
Asante Kizazi kipya Msondo kikiongozwa na TOTO LIZIWAN
Asante na we pia kwakuendela kutusapoti
Mmetisha
ASANTE SANA
Kazi nzuri
Hongera sana msondo ngoma, kazi nzuri sana
Wanakuja vizuri tuwape saport
Tx Junior unaungurumisha sauti kama ya baba yako tx moshi yaan hadi raha
promotion ya hizi nyimbo inakuwaje? nyimbo nzuri sana
Napenda wanacheza na mpini kama mabela
kazi nzuri sana
This is a great Juwqtq new generation
Wamejitahidi sana nasikiliza solo lonasikika na mpangilio wa sauti upo vzr,hongereni. Wengine wajifunze kupitia wimbo huu. Nimemkumbuka Saidi Mabela na wote waliotangulia mbele za haki.
🙏🙏🙏
baba ya ngoma tz
MSONDO NGOMA YAWATANZANI 🔥
Kusubiri si weeeeezi😢😢😮
Video nzur na video queen ameendan na nyimboo congratulations 👏👏👏
Shukran sn 🙏
Kazi nzuri sana. Hongereni sana Msondo Ngoma. Watu wanataka kazi kama hizi. Ila jina la wimbo lingekuwa Wife Material.
Asante sn
Balaa zito Hili! Hongera Sana 🙏
Asante Sana
Msondo ngoma kumekucha
Hatari kabisa 🔥🔥🔥
This is a very nice video. Well done Msondo
🙏🙏🙏
hitt
Thnx 🙏🙏🙏
Dah mmenikumbusha mbali sana 🕺🕺🕺🔥💥💥
Enjoy good music 🎵🎶
Hongehreni
Kazi nzuri hongera baba ya muziki 🙏🏽
Asante sn
Safi sana msondo kazi nzuri sana
Shukran sn
Safii
🙏🙏🙏
Makoo ya dhahabu hayo,sikia usafi wa solo hilo
🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana
Asante sn
The best solo by Pangamawe
Hongereni sana Msondo, wimbo mzuri na video iko poa sana💃🔥🔥🔥🔥
Msondo tafuteni mtu wa sax kama hanna muongeze uzito wa muziki
Ni. Kweli. Lazima. Apatikane. Ally. Rashid I.. Mwingine.
Sawa tuko mbioni kwenye ilo
@@selemani.matendo4091 🙏🙏🙏
Hakika msondo ni baba ya muziki