Mashallah,ujumbe mzuri hakuna sababu ya kuishi kwa chuki,au kwa uonevu,mtoto alihitaji msaada na si ubaya😭😭,tuache Mila potofu,kazi nzuri TT👌👌hongera utafika mbali na kipaji chako🔥🔥💯♥️♥️♥️
Kutoka nianze Hui movie nimeria machozi amemarizika. Let me see congregation for hall team mumefundisha wengi na somo muriyo tufundisha ninzuri kabisa. Samahani kwa kiswahili kidogo arakini mumenisikiriza nazani. God bless you guys. Shukurani kutoka AUSTIN TEXAS. But am from rwanda
@@ShifraBeibe-il5bg asante sana, imagine ninaacha kazi nasubiri hivi kazi ya tt. Wah, when I will be back to Kenya nitamtafuta nimpe zawadi yangu binafsi
Can someone hug Tt for me. Lesson ziko kwa hii channel is on top notch. Tt one day I'll hug you for being my best creative baby in the talent industry. Keep it up baby boy and the team. You make it real. Msalimie Dani too. She is good at her age..❤
@@ShifraBeibe-il5bg yes, arudi kukua king Wa hiyo Kijiji coz ameponya mzee Kijiji 🤣🤣🤣, plz make sure mtuonyeshe continuation Na vile mmetimua mbio kumfwata!!🤣🤣🤣🤣🤣
Lakini Mjuku sema tu ukweli,,, hiyo kofia aliomba wale wazee Wa Enugu from the gods of Enugu😂😂😂🤣🤣. I am soo addicted to this channel, am watching again and again
I was very emotioned while watching This episode. people dont see the truth...mama nduku.. niwewe ume cause all this kwanze nue muoi ula munene.. but the kipawa was on the right way...this is a good lesson for those who mistreat the others .congrats all..
Mashallah,ujumbe mzuri hakuna sababu ya kuishi kwa chuki,au kwa uonevu,mtoto alihitaji msaada na si ubaya😭😭,tuache Mila potofu,kazi nzuri TT👌👌hongera utafika mbali na kipaji chako🔥🔥💯♥️♥️♥️
Asante sana kwa support yako ❤❤❤❤❤
Hadija ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ TT love ur support hadija
From 🇰🇪 much love baby TT sai wewe ni super 🌟 wa kenya unashida wakubwa walioanza kitambo nakuombea uanze kupanda ✈️ uende kutumbuiza inchi za iche
❤❤❤❤❤❤thanks for your support
Shalom very true may God helps us
Kwa kweli unaonewa tu Bure Kipawa pole Sana, napenda comedie zako TT,From Lubumbashi DRC
Much love from TT comedian family ❤❤❤
Asante sana kwa support yako
From Tanzania congratulation baby TT always your the best
Sasa dadaa
Wooow much love chidada Mwenyezi Mungu akulinde na alibariki
@@shamamamalisa6513much love for ur support
Upo tz sehem gan
@@LucyNnko-c1oHii titi I have learnt something
It's a nice one too. Love you TT from uganda. Lesson ' kuwa mchamungu' only Allah will save us all.
Thanks for your support
Mungu tu ndio kimbilio letu
Shukran keep the support
Kutoka nianze Hui movie nimeria machozi amemarizika. Let me see congregation for hall team mumefundisha wengi na somo muriyo tufundisha ninzuri kabisa. Samahani kwa kiswahili kidogo arakini mumenisikiriza nazani. God bless you guys. Shukurani kutoka AUSTIN TEXAS. But am from rwanda
Asante sana kwa support
Desire hata sisi team TT tunakupenda sana much love ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kweli hii kijana ako na kipawa.ninapenda sana movies zake
Asante sana kwa support yako
Kuna somo kubwa sana kwenye hii movie
Loyce kweli kabisa
Nampenda Sana Tt comedy from tanzania❤❤❤
Tz tunakuja December
Nakupenda zainab from tz
Namupenda sana TT comedia,
Kijana huyo Mungu amutiye ngufu.
For @@ShifraBeibe-il5bg
Rr😂tp❤@@freddydunia434I
TT the young billionaire. Mwaaaaaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Karibu sana dominic
@@ShifraBeibe-il5bg asante sana, imagine ninaacha kazi nasubiri hivi kazi ya tt. Wah, when I will be back to Kenya nitamtafuta nimpe zawadi yangu binafsi
Dominic u are a blessing to us 🙏 💕💕💕💕
@@ShifraBeibe-il5bg amen
@@dominicongeri1992 amen kabisa
Itauma sana kuona mtoto anapitia hapa😊
Wlhi Mzee kofia Angalia tuu Wlhi 😭😭🥺🥺
Kweli kabisa
Niliapitia I thank God table turned into them,kama yatima niliumia sana but now I glorify God
Kumbe TT ww n mkamba❤🎉🎉
Kutoka kitui
Yes TT ni mkamba
uongo tt ni mluya
Shoshi ndio nasikia kama ni mlunje, lakini nyimbo ni ya kikamba
😂😂Leo n ukambani wow sinapenda kapawa mko nayo yawaa
Asante sana kwa support yako
Rose more to come❤❤❤❤❤
Great, , kiongos TT🎉🎉
Kiongozi anawachia kazi ❤❤❤
Hoo TT Thank u very much 🙏 ❤️ your are the best 👌
TT comedian my favourite Nakupenda sanaaaaaaa❤❤❤❤❤keep going lovie
Thanks for your support
Lucy TT anakupenda pia
Have mastered the song of Cucu......najipata nikiimba kwa nyumba kikamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 asante sana kwa support
Paul hahaha wimbo tamuu sana
Sorry 😔😔 just got home from ❤❤❤❤❤❤😢
T T love You unafanana na mutoto wangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aki msalimie ebu tumwombe aki
@@ShifraBeibe-il5bg ok
What marvels the lord has done to the young actor,am very glad, congratulations,I love you son
Wonderful and an amazing talented boy.He is destined for greatness. Much Love TT comedian
Thanks for your support
Kila nikicheki movie zako tt najikuta kidume namwaga machozi,hongera sana tt unajua sana,ww ni star wa kenya,Salva kutoka Tz Kilimanjaro
Nzuri sana nainahuzunisha nainafundisha sana kuliko move za kibongo Tt utafika mbali
from CONGO🇨🇩
tt is the best
Congo lazima akuje huyu kijana
Congo tunakuja soon
kweli tuna tamani ku muona
Can someone hug Tt for me. Lesson ziko kwa hii channel is on top notch. Tt one day I'll hug you for being my best creative baby in the talent industry. Keep it up baby boy and the team. You make it real. Msalimie Dani too. She is good at her age..❤
Thanks for your support
Wooooow likes za dani❤❤❤❤
🙏
Hamna kazi mbovu, nimejifunza kitu hongereni sana wahusika wote❤❤❤❤
Kweli kabisa priscah umesema ukweli
Asante sana kwa support yako
Nakupendaa sana TT mungu akubariki pole sana kwa ayo uyapitayo
Wow good job Tt the comedian Boy.May God keep you Long Life❤
Amen ❤
Lucy kabisa much love from TT comedian family
Much emotional 😢😢though it give us lessons ....Tt you are real actor 👏 🙌 ❤️
Asante sana kwa support
TT anatufunza sana ❤❤❤❤
@ShifraBeibe-il5bg walai just happy and I will watch over and over his 🎬
😂kwan tt anawaroga af tena anawaponya ,,,💥💥💥💥
I won't stop saying TT I becoming the GOAT🎉🎉🎉🎉 with respect, praying and Effort TT will go far
Amin
May God bless you sana ❤❤❤❤❤❤
May God bless you
😢
Good job tt you are amazing baby tena sana .translate in words to English to reach all the world
Sam iwafikie wote
Aki lakini Tena Mjuku amepamba Na hiyo kofia yake😂😂, likes za Mjuku Na team yake zikuje👍👍💪💪
Asante sana kwa support
Hizo hapo like za mjuukuu
Shukran keep the support dear
This is a great movie....I hope it has part 2.
No haina part 2 hoo imeishia hapo❤❤❤❤
Stay tuned for more
Aki ww kipawa nakupendaa ningekuwa uko ningekuchukua kama mtoto wangu aki wanisikitisha
TT waahhoo good job keep it up🎉🎉🎉🕺🕺🕺💓💓💓💓💥💥🔥
Asante sana kwa support
More to come Kwa mpigo ❤❤❤❤
Amen tt Machoz yangu yasiwe ya Bure Bali Mungu akuinue Zaid🙏🙏🙏
From Missouri State USA 🎉🎉🎉It’s lit
Thanks for your support
Yes John much love from 🎉🎉🎉🎉 TT team
Many thanks
Tt comedian you are the best ever you are one in a million keep shining
❤❤asanteni
Agozze hapo sawa much love from TT comedian family ❤❤❤❤
Shukran keep you posted
Am here too representing watu wa coast na mariakani at large Nani ako mombasa plz we hook up now
am here to represent watu wa mld❤.
big up team Tt comedy ju hizi movie ziko n mafundisho mob..
🎉🎉
Mjukuu kumbe wewe ni wamusiyi😂😂
Beba Ile kitu
Great work you are doing
@@dominicongeri1992 asante sana dominic kwa support yako God bless
Kipwa God protecte you this boy your so Amazing
Amen
Pole sana tt,unaumiza moyo wangu kwa hizi movie 2.
Ndivyo ilivyo ktk maisha ya walimwengu
Asante sana kwa support
Kweli inafanyika sana
Ishi maisha marefu tt comedian nakukubali sana janjaro wang,kutoka Tz Kilimanjaro
This is another level...tt and the group you are the best ...i like this 💪💪more blessings to the team 🙏🙏
Thanks for your support
@@Mzeekofia-dy4uh welcome 🤗
Aki nimelia,,, TT to the sky, hii channel ndio kipenzi cha roho yangu, every sutarday l keep on checking. This is more 🔥🔥
❤❤❤❤❤❤❤asante
U are ours we love you and we will not disappoint ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ we will give you the best
The best channel to watch on UA-cam. Waiting for the next continuation tuone kama mlirudisha TT Na Macmillan kuwa King😂😂
Asante
Haaaaaaaaaha Getrude haaaaaha arudi juwa king hehe
@@ShifraBeibe-il5bg yes, arudi kukua king Wa hiyo Kijiji coz ameponya mzee Kijiji 🤣🤣🤣, plz make sure mtuonyeshe continuation Na vile mmetimua mbio kumfwata!!🤣🤣🤣🤣🤣
@@gertrudelivondo7241 inakuja tena noma sana
TT you are on another level. God bless you 🙏🙏🙏🙏
Thanks
I was looking for this voice congratulations 👏👏 mummy for the good voice
Thanks for your support
Haaaaha umekuwa ni sauti ya shosh ❤❤❤❤❤❤
Lakini Mjuku sema tu ukweli,,, hiyo kofia aliomba wale wazee Wa Enugu from the gods of Enugu😂😂😂🤣🤣. I am soo addicted to this channel, am watching again and again
😂😂😂😂
Getrude😂😂😂😂😂 utaona vituko more to come
Ni aumwe sana tena analipizwa chenye alimfanyia kipawa, ati mzee wa Kijiji😜😜😜
I was very emotioned while watching This episode. people dont see the truth...mama nduku.. niwewe ume cause all this kwanze nue muoi ula munene.. but the kipawa was on the right way...this is a good lesson for those who mistreat the others .congrats all..
Asante sana kwa support
Imgn vile alimuita Alf akamfugia mpaka analia akijielezea
Truly Truly!!!!God does not leave his servant ateseke kwenye hii Dunia mbovu.Kama unakubali weka like.
I love this,this talent is mighty 🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤ thanks for your support
Keep the fire burning TT🔥🔥🔥🔥 you are going far💖💖 More Love.
Asante sana kwa support
Jane this boy is talented
this is a thumb up, you guys are on other level, as i have been watching this movie , nimekua emotional sana😢, congrats .The goat is already made❤
Thanks for your support
John goat is in kenya
Nimejikuta niki lia, Mungu simama na wale wanao kutumainia kila wakati
Amen
Kabisa tery ikitegemea Mungu siku zote kuna matunda yake
@@ShifraBeibe-il5bg namini hilo kwa maana mm mwenyewe ninao ushuhuda wa kutosha
Congrats Tt n ua team . keep up the good work 💕 you all
Asante sana ripser kwa upendo wako
Thanks
@@ShifraBeibe-il5bg karibu
Tt your talent is on another level 🎉 keep it up ❤❤❤
Thanks for your support
Much love from TT comedian family 💓💓💓
Wonderful baby TT may God keep you strong
Wooow ,you mean u have been acting at kivutini near my home❤❤
Yes hata sai tuko hapo
Imagine tumekuwa hapo karibu na penye maji inapanda mlima
Woow
Good napenda movie zako❤❤❤❤
Tt commedian iko poa sana napenda kiswahili chenye mnaongea na movie zenu pia ni ningependa kujua tt ako na miaka ngap Father Ritta from mwanza tz
Asante tuna shukuru support yako.... sana sana..
Kuna somo kubwa kabisa, Pastor toto from DR Congo.
Am proud of this boy and his group.keep shinning lads.
Asante
🙌
Very soon 1M subscribers 🎉
❤
Thanks for your support
Lydia kweli kabisa ❤❤❤❤❤🎉🎉
TT Comedian group hitting big Big steps. The industry is changing
❤❤❤❤ we doing it kabisa
Thanks tt commedian from maina l am waiting for part 2 kipawa wee ni mtoto mzuri katika Jamie love your comedy indeed l may God bless you
@@mukiriah wooow lets support TT comedian kwa kazi pouwa wanafanya
100%
This is great news keep it up tt❤
This kid and cucu make my day. Thanks for Kamba song i like.👋👋
Kikamba safi sana hata nyimbo nice sana.
TT u have made me shade my tears 😭😭😭 keep going on you're so talented boy 💞💞
Thanks for your support
Asante sana lynnn kwa upendo ulionao kwa tt
Am not a kamba but I love the song grandma singing, this boy can act❤
Congratulations team tt, much love from gulf
Thanks for your support
❤❤❤❤❤ Rebecca
Maombi mhimu sana thank you for the lesson.
Thanks for your support
Yes God all the way
Tt ata Burundi tunagupenda san🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tunashukuru talents of this TT, tunaitaji movies zake ziwe translated into English language on the screen as they're acting.
Kevoo from Tanzania nampenda tt comedian an hatareee
Mama ndukuu unachofanya kwa kipawa si haki unataka kipawa akufe😭😭😭😭
Aki huyu mama, mungu anajua tu😭😭
Waoooo good👍 muendelezo
Asante sana kwa support
Inakam noma sana
Funzo nzuri ata Mimi nyanya alipoaga 2007 I say haikuwa rahisi ila nashukuru Mungu
Asante sana kwa support
True God is there for us fearful
Kipawa movie had meant me to turn the clock back to when people lived in small villages and took care of each other unlike nowadays
Hehehehehe sai kila kitu changed
Aki but don't worry Adrian it's life
Muvi nzuri love it from tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
TT have gone to another level,congratulation TT team keep it up
Yes my hapo sasawq
@@ShifraBeibe-il5bg iko poa hata Leo nimeona amechanya maneno ya kamba
We are doing our originality kabisa hatuta copy Nigeria
@@ShifraBeibe-il5bgyes ndio tuwafuatila usiku na mchana
@@richardmunuve4753 may God bless you sana
Kweli TT umesrugle sana na life eeh what a life.
Whaoo ,a miracle boy through lord Intervention, your blessing to me
For those who managed to watch it full, TT is the raila and that kijiji is kenya, thank you.
Na Hii mateso imenitowa machozi because of this mujuku wenu bana
Usilie yy anatufunza sana
Congratulations to the whole team.
Thanks for your support
Getrude much love from TT comedian family
Shukran
@@ShifraBeibe-il5bg ❤️❤️🔥🔥
Nakushukuru sana dada kwa kumfungua uyo mtoto
Aki ww mama mungu akulipize chenye unamfanyia kijana wa wenyewe apo
I like this move so munch
Karibu sana ❤❤❤❤ much love from TT comedian family
this is really great!
Thanks for your support
Much love from TT comedian family ❤❤❤❤❤ we love you 💗💗💗
Uyu mtoto anaskitisha sana lakini mungu anamona napenda sana films zenu Mungu Awabariki
Asante sana kwa support
Kumbi tt huwa hanasikia kikamba serious
❤asante sana
Mercy yes huwa anasikia kikamba
I love that boy❤
Mtoto anapitia maisha makali,maskini anapitia mitihani migumu lakin mungu yupo kipawa atakusaidia😢😢😢😢
I love you baby boy ❤🎉🎉🎉🎉wooeee
Thanks for your support
Easter much love from us TT comedian family
SasaTT Ana fantastic.nini
Huyo mama aky yenye amefanyia tt, Mungu amekuona,hutaona mbingu
Hii nao imeweza kabisa
Thanks for your support
Power imeweza zaidi ya jana
Happ kwa kuku nmelia
Good job younger brother ❤❤❤❤
Thanks for your support
😢😢😢😢😢😢😢 inasikitisha mtu anakuomba umsaidie rakini anakugeuka nakukwambia wwe nimwezi huoni kama niushenzi nimeria wakati tt akijitetea Wallah inauma
Inauma sana
Inauma sana kwa kweli kumfanyia hivyo tt