Vitumbua vya mchele | Jinsi yakupika vitumbua vya mchele vilaini sana | Vitumbua.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 131

  • @RukiaLaltia
    @RukiaLaltia  3 роки тому +1

    If you would like to watch this recipe in English language press the link ➡️ ua-cam.com/video/0UmghrhyBDI/v-deo.html and for those who are interested to purchase vitumbua pan kindly contact shunas kitchen :+44 7984 393302

  • @user-ff1hl1ev7k
    @user-ff1hl1ev7k 8 місяців тому +1

    Sijawah kufnya vitumbua nkapatia ....leo nmefanya kama vipimo vyako mashaAllah MashAllah hasbiyaAllah vimetoka sijaamin😘❤️👌

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  8 місяців тому

      Awww asante sana my deae … nimefurshi sana kuskia hivyo

  • @bijumafundi1737
    @bijumafundi1737 3 роки тому +1

    Umenitia njaa dada😂😂 Mapishi mazuri mashallah 👌

  • @hajrafarid8942
    @hajrafarid8942 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah you never disappoint , naomba recipe ya meat balls. Hakuna upishi wako sijajaribu, nimejifunza sana

  • @nizmsuya6906
    @nizmsuya6906 2 роки тому +1

    mashaallah nimejarib nimeshindwa

  • @Dinajpurtop1i
    @Dinajpurtop1i 3 роки тому +1

    Wow Thanks for sharing your aplodingfriends🔔🔔🔔
    Likeeee 70

  • @halimambwana4690
    @halimambwana4690 2 роки тому

    Mashallah
    Allah akuzidishie kwa kutupatia ujuzi

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 роки тому

    Kama kawa...vitu nadhif vitu pambe ma sha Allah aleyki😘😘😋😋👌👌

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Shukran habibty 😘 ❤️ kama pamba 👌👌

  • @tajiriskitchenswahiliflavo1723
    @tajiriskitchenswahiliflavo1723 3 роки тому

    Masha'Allah Vitumbua vimetokekezea vizuri hadi raha😋👌

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Shukran my sista sista ❤️ 😘

    • @latiferameer4922
      @latiferameer4922 11 місяців тому

      ​@@RukiaLaltianikipika vitumbua vinanata nakosea wapi?

  • @fatimarasheed5432
    @fatimarasheed5432 3 роки тому

    Asalam alaikum Dada mapishi mazuri mashallah mimi nafatilia sana jinsi unavyopika napenda kwa kweli ila nauliza kama wafunza watu naomba unijuze plz niwe mwanfunzi wako

  • @noorayaqoot1294
    @noorayaqoot1294 3 роки тому

    Mashaallah vizuri na soft. Wapi ntapata chuma cha kuchomea size kubwa kama hiyo.

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Kwa shuna kitchen nambari ya simu wasiliana naye ➡️+44 7984 393302

  • @johnmgonja8812
    @johnmgonja8812 2 роки тому

    Ubarikiwe dada Mungu akuzidishie maarifa utujuze zaidi

  • @rehmamakoty2249
    @rehmamakoty2249 Рік тому

    Asante mm naitaji kupika vya biashala

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 3 роки тому

    MashaAllah tabarakaAllah, samahani nauliza kikombe ulopimia Mchele ndicho ulopimia tui

  • @thehonesty6765
    @thehonesty6765 3 роки тому

    Ma shaa Allah kitu simple kabisa and 😋😋😋😋

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Shukran sana habibty 😘 🙏

  • @einotikisivani9447
    @einotikisivani9447 Рік тому

    Nzuri sana

  • @cillyajoachimchuwa7432
    @cillyajoachimchuwa7432 Рік тому

    Jamani nimependa sana pishi lako zuri san

  • @diascookout8270
    @diascookout8270 3 роки тому

    Shukran saana kuni elimisha na Upishi Superb 😋😋😋😋😋😋

  • @a.856
    @a.856 3 роки тому +1

    Asante sis😋

  • @MwatumAlly
    @MwatumAlly 4 місяці тому

    I like this

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 роки тому +1

    mashallah

  • @violakabare7885
    @violakabare7885 3 роки тому +1

    Thanks for the recipe

  • @agneschami968
    @agneschami968 3 роки тому

    I real like it and I will try to do it thanks dear

  • @user-st9zu1vq1q
    @user-st9zu1vq1q 9 місяців тому

    Shukran

  • @mariambori513
    @mariambori513 2 роки тому

    Mashallah

  • @user-gv4vd5cz4b
    @user-gv4vd5cz4b Рік тому

    Umejua kunifurahisha

  • @malaikahansen
    @malaikahansen Рік тому

    Rukia asante sana kwa mapishi. Naomba kuuliza jiko lako ni la induction? Na hiyo pan yake ulinunua wapi? Mie nimenunua kama hiyo nilipokua likizo Africa, nimeitumia summer tu kwenye jiko la barbecue la gas nje, maana ndani jiko langu ni induction.

  • @swaumabdi4213
    @swaumabdi4213 3 роки тому

    mashallah vitumbua vizuri sana

    • @jamilatende6266
      @jamilatende6266 3 роки тому

      Nikitaka vya biashara naweza kusaga mchele mashineni?

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 3 роки тому

    Maashallah 😍😍😍

  • @sashasalma5963
    @sashasalma5963 3 роки тому

    Masha Allah

  • @fatimabinsayid1323
    @fatimabinsayid1323 3 роки тому

    Mashallah ❤❤

  • @estarkaitel4610
    @estarkaitel4610 2 роки тому

    Respect to rukia

  • @rehemamkakile5028
    @rehemamkakile5028 3 роки тому

    Hongeraa

  • @aishaabdallah4560
    @aishaabdallah4560 3 роки тому

    MaashaaAllah mate yanidondoka dadaa nitulie location nije mana mmm

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      😂😂😂😂 karibu sana my dear

  • @mohamedmohd8373
    @mohamedmohd8373 3 роки тому

    Mashaallah ❤❤ mrs🇰🇪

  • @fama0043
    @fama0043 3 роки тому

    Nimependa shukran

  • @JuhysKitchen
    @JuhysKitchen 3 роки тому

    Mashallah habibty yummy vitumbuas😋

  • @yelonimasigissamo5673
    @yelonimasigissamo5673 2 роки тому

    Nimeyapenda mapishi yako ant!

  • @nadiakhamiss5797
    @nadiakhamiss5797 3 роки тому

    MashaAllah kipenzi changu 👌🏾 Naomba kujua mchele umeuroweka kwa mda gani? Nimeamka Nna hamu yakula vitumbua lakini sijui natakiwa kuroeka for how long. Asante mamy nasubiri jibu inshaallah

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Hey love, shukran sana habibty , mm naroweka mchele usiku mzima

  • @minnahisaac3163
    @minnahisaac3163 2 роки тому

    God bless you 🥰

  • @annahalick7520
    @annahalick7520 2 роки тому

    Nice

  • @tumaomar8999
    @tumaomar8999 3 роки тому

    MashaAllah

  • @yasminmeghani892
    @yasminmeghani892 3 роки тому

    Vitumbua mzuri Sana Asante. Rukia where can I buy the vitumbua chuma. (Pan)

  • @catherinemallya6004
    @catherinemallya6004 Рік тому

    Nimefurahia mapishi yako Asante. Eti ni lazima kupika uji na ukae masaa 12 ndipo uanze mapishi?

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 3 роки тому

    Je unga wa vitumbua nikikorogea uji unakuwaje?nipee majibu my dear

  • @swifatsukimtuliaswifatsuki3730
    @swifatsukimtuliaswifatsuki3730 3 роки тому

    Asante

  • @farida.salehhaji1517
    @farida.salehhaji1517 3 роки тому +1

    Mashallah!! Can I use the same recipe in making vibibi?

  • @user-nv2ob5mx4c
    @user-nv2ob5mx4c 7 місяців тому

    wengine wanaeka uji au so lazima

  • @doreenkandosa5395
    @doreenkandosa5395 3 роки тому

    Me penda somo lako dada Asante

  • @janemwakyusa762
    @janemwakyusa762 Рік тому

    Hapo ukitoka na vitumbua vingapi

  • @zakinamakongwa2677
    @zakinamakongwa2677 Рік тому

    Habar dada vitumbua vyangu vinatoka vigum nifanyaje

  • @siperathasimo2897
    @siperathasimo2897 Рік тому

    Naomba utoe namba yako ya Sim,kwanza nakushukuru Bwana yes akubaliki.

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 роки тому

    Mashaallah vimetoka vzury swa da umetumia mchele ngani na umeroweka kwa mda gn na kama huna nazi waweza tumia nni?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Basmati nimeroweka usiku mzima

    • @siriyangu4724
      @siriyangu4724 3 роки тому

      @@RukiaLaltia Oooh shukran habibty

  • @joycembawala8781
    @joycembawala8781 2 роки тому

    Swal:kuna wengine wanaweka mayai kwa ajili yann na wakat gan wanaweka,pia wanaweka na unga wa sembe ni lazima

  • @rayamsellem9297
    @rayamsellem9297 2 роки тому

    Asalam alekum napenda sn kuangaliya mapishi yako nauliza mimi nikipika vitumbua siku ya pili vinakufa vigumu sn sababu ni nini

  • @khadijaadarusi5443
    @khadijaadarusi5443 3 роки тому

    Mashaallah ukhty, kwahiyo sio lazima kusaga kwenye machine hata blender naweza tumia kumbe au inategemea na mchele wenyewee?

  • @rachelsabato7393
    @rachelsabato7393 2 роки тому

    me nimefanya kama ww shida imekuwa kwny unga mara ya kwanz ulikuwa mwepes vizur but ulivyoumuka ukawa mzito kidogo au unafaa kuongezewa maj?

  • @hellensholo5423
    @hellensholo5423 3 роки тому +1

    Upishi maridadi da.

  • @khadijaqatar9080
    @khadijaqatar9080 2 роки тому +2

    Mchele unauroeka kw muda gani?

  • @corneliaponera4034
    @corneliaponera4034 Рік тому

    Nakama Sina Brenda nawezaj kupata kitumbua kizuri kama hicho

  • @aluhaziz7768
    @aluhaziz7768 3 роки тому

    Hey habibty mchele ni basmati???

  • @tahiyajuma5887
    @tahiyajuma5887 Рік тому

  • @anjelathomas3335
    @anjelathomas3335 2 роки тому

    Unga wa klo1::naweka maji kiasi gan

  • @ireneshayo5161
    @ireneshayo5161 3 роки тому

    Na vile vya mchele kusangwa mashine ya nafaka inakuwaje?

  • @rosemaryeliwaon2919
    @rosemaryeliwaon2919 Рік тому

    Naomboa kuuliza, mchele kilo 5 natumia Nazi ngapi, na hamira kiasi gani.

  • @hiyammwasha7926
    @hiyammwasha7926 2 роки тому

    huo mchele unakaa kwenye maji kwa mda gani?

  • @sifa5846
    @sifa5846 3 роки тому +1

    Hello
    Ikiwa situmii nazi ninaweza kutumia maji au maziwa?

  • @DianaRobert-en3mr
    @DianaRobert-en3mr 4 місяці тому

    Nini kinasababisha vitumbua kunatanata ndani kama ugali??? Msaada please

  • @daisyrosey8447
    @daisyrosey8447 3 роки тому

    Sister hicho chumaa ume nunuwa wapi?

  • @anjelathomas3335
    @anjelathomas3335 2 роки тому

    Mchele kilo1::maji au tui kiasi gan??

  • @tabbywamtz501
    @tabbywamtz501 3 роки тому +1

    Swali langu la kwanza naweza kutumia nini kingine kama Sina tui la nazı?. Swali langu la pili nikiwa Sina hicho chuma cha kuchomea vitumbua naweza kutumia nini kingine? Naomba jibu tafadhali

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому +3

      Waeza tumia maziwa au maji na Chuma ni lazma uwe na Chuma

  • @queenmaletho1158
    @queenmaletho1158 3 роки тому

    Naomba kujua kutengeneza skonzi

  • @neemarocha174
    @neemarocha174 11 місяців тому

    Mambo, nauliza hio pan naeza ipata wapi na Kwa bei gani

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  10 місяців тому

      Duka ya vyombo ama sokoni mami

  • @skonga3106
    @skonga3106 2 роки тому

    Ningependa kujuwa kama hiyo pan naeza tumia kwa jiko la infrared cooker/ceramic furnace

  • @corneliaponera4034
    @corneliaponera4034 Рік тому

    Kama natumia kilo Moja ya Michele mchanganyiko wake unakuaje

  • @fatumakitwara4793
    @fatumakitwara4793 3 роки тому

    Hi,Rukia nami nahitaji chuma cha vitumbua size kama hiyo ntakipataje?

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Mm nanunua kwa shuna yupo uk buy ikiwa uko kenya nawal center utapata pia

  • @jolenta-mx1ph
    @jolenta-mx1ph Рік тому

    Je ninaweza kutumia maziwa badala ya tui????

  • @gloryamate8061
    @gloryamate8061 3 роки тому

    my dear mbona nishajribu kusag naona mchele hausagiki unbaki na vichenga chenga shida itakuwa nnini

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      Inategemea na mchele , michele mengne hayonya maji , itbidi uwongezee tui ama maji

    • @gloryamate8061
      @gloryamate8061 3 роки тому

      @@RukiaLaltia nikiongeza maji si nitafanya mchanganyiko utazidi kuwa mwepesi maaan ninajitaidi na loweka mchele usiku kucha na bado nikija kusaga unabaki na vichenga

  • @miriammziray5023
    @miriammziray5023 3 роки тому

    Dada nimejaribu vinakua kama. Uji ndani nakosea wap

  • @yusramkamiamaji7565
    @yusramkamiamaji7565 3 роки тому

    Unatumia mchele UPI kwa vitumbua?au wowote?

  • @claudinentirampeba250
    @claudinentirampeba250 3 роки тому

    Please jina la hiyo cover juuu ukimaliza ku blenda inaitwaje

  • @faridaabdallah3913
    @faridaabdallah3913 3 роки тому

    Mchele unaloekwa kwa mda gan maah?

  • @carimabadali3713
    @carimabadali3713 3 роки тому

    Please translate in inglês

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  3 роки тому

      ua-cam.com/video/0UmghrhyBDI/v-deo.html all my videos are in English and Swahili thts the English link

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 роки тому

    Asl alaykum samahani umetumia mchele aina ipi?

  • @AlidesaChundwaamina
    @AlidesaChundwaamina 2 роки тому

    Kamahua nazi

  • @dekipepeo8512
    @dekipepeo8512 3 роки тому

    mchele unaloweka kwa muda gani

  • @cutiethuma9931
    @cutiethuma9931 3 роки тому

    Naroeka Kama kiasi Cha wa Sinia huo mchele

  • @mariamharoon4725
    @mariamharoon4725 3 роки тому

    Mashallah

  • @Qadar-vx4gj
    @Qadar-vx4gj 3 роки тому

    Shukran

  • @mialibakari6002
    @mialibakari6002 3 роки тому

    MashaAllah