Chadema acheni ujinga msikilizeni huyu mzee anachoongea na historia ya hapo sio mnaanza kusema Bwawa la nyerere, yaani huyu mzee tumpe mau yake maana anaongea ukweli
Yaani kwa ajili ya future ya hii nchi watz acheni kuchochea chuki kupitia chsngamoto mf mafuriko, ona huyu mkt mstaafu alivyoeleza vema sasa wanaopolitisize kila kitu sio sawa, tz ni yetu badala ya kulalamika tuu hebu toeni ushauri jamani.kweli hatuna nchi nyingine sisi watu wa hali ya chini
Sasa lile limtu la Chadema linasema Mafuriko yamesabishwa na serikali, ushenzi mtupu wa Pambalu,, mie si mwanasiasa ila kuna vitu vinaboa sana ukisika watu wanaongea, Yaani Pambalu ameniudhi sana aisee.
DUU!! Leo nimeamini kwamba Wapinzani wengi wanatumia ufinyu wa uelewa wetu kutafuta rizki zao.😊 MZEE huyu amenifungua sana kuhusu hayo mafuriko😢 LKN pia nakumbuka huko nyuma Mto Rufiji ulikuwa unafurika mara kwa mara mpaka barabara haipitiki ya kwenda Kusini, ndipo likajengwa daraja kubwa pale Rufiji maarufu kama daraja la Mkapa.
Ok, huyu mzee hajapangwa cha kusema, kashitukizwa tu, na kasema ukweli anaoujua tangu miaka ya nyuma kuhusu mafuriko. Kumbe chanzo siyo Bwana la Nyerere. Tumeelewa.
Hapana mie NI MTU WA rufiji pia kule nyumbani kuna mafuriko mala kwa mala ila haijafikia hatua hii hii imekua Sana Sababu mama samia alifunga lile bwana toka mwaka Jana Sababu ya umeme akaja kuyachia mwaka huu ndio maana yamekua mengi zaidi yameongezeka Sababu wao waliyafungia kwa muda
@@mamasalhat dada acha kuingizwa kwenye kundi la wanaodanganya watu, tafadhali sema ukweli dada, hata mimi pia Rufiji ni nyumbani, Nyamwage, Muhoro, na visiwa vyake kama Kiongoroni, Jaja, Mbwera kote huko ni nyumbani. Yale mafuriko ya Muhoro kipindi kile yalivyotokea je bwawa la Mwalimu Nyerere lilifunguliwa?! Nyamwage kabla ya barabara mpya kujengwa pamoja na daraja la Mkapa kuwepo wakati wa mafuriko mabasi yakawa yanashindwa kupita watu wa mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara wakawa wananasa njiani kwa wiki nzima ndiyo wafike Mtwara au Dar je kipindi kile bwawa hili la umeme linalolalamikiwa lilikuwepo?! na maji yale yaliyoleta maafa mpaka barabara kushindwa kupitika hivi ni nani aliyekuwa akiyaleta?! Ndugu, Mimi nimelelewa na chakula cha bonde la mto Rufiji, baba yangu kalimisha sana hapo mashamba ya mpunga, na alikuwa anauza mpunga na magunia mengine ya mpunga yalikuwa yanaletwa nyumbani, tunakula mwaka mzima, tambua mafuriko Rufiji ni jambo la kawaida, Nakuzindua dada yangu usiwasindikize bila ya kujua wanasiasa kufanikisha kutekeleza malengo yao. Hao wala hawapo kwa ajili ya kutujali na wala kututhamini sisi kwa mtihani huu uliotufika, wanachokifanya ni kutumia mafuriko haya kwa ajili ya kujijenga kisiasa wakati wa uchaguzi 2025. Zinduka dada!!
Ndioma ukwel nawasema kweli huwa hawaishi huyu mzee kasema kwel lakin zaid ya asilimia tisin wamechukia ukwel huu minilisema maji hayajawai mfuata mtu ila siai ndio tufuata maji ikitokea tunajifanya hatujuwi
Alafu unamsikia mtu analaumu serikali wala.hajui historia ya rufiji kwakuwa mwanasiasa anaharisha maneno tu na anaejiita kiongozi wadini anasema sio.mipango ya mungu wala shetani
Ila Mzee ulitakiwa usaidiwe Kwa sasa wakati mnasubiri mbegu na maji kukauka unaposema upewe mbegu ili maji yakikauka upande sasa kma inaendelea kunyesha itakuwaje mwenyekiti?
Mzee uko njema unawaza mbegu uweze kupanda baada ya mafuriko ❤
Kwa kweli ukweli tunaupata Kwa wenyeji tunakuchukuru Mzee Kwa ufafanuzi wako! Poleni Sana Mwenyezimungu azidi kutuhurumia waja wake!
Subbhanna Allah, mola awasimamie na awaokoe na mafriko inshaallah.
Chadema acheni ujinga msikilizeni huyu mzee anachoongea na historia ya hapo sio mnaanza kusema Bwawa la nyerere, yaani huyu mzee tumpe mau yake maana anaongea ukweli
amini tatizo bongo wao kila kitu wanaketa siasa
Fact
Kuna Mzambia mmoja anajita mwana mapinduzi anaongea utumbo serekali wanamuangalia Babu kuongea ukweli
Yaani kwa ajili ya future ya hii nchi watz acheni kuchochea chuki kupitia chsngamoto mf mafuriko, ona huyu mkt mstaafu alivyoeleza vema sasa wanaopolitisize kila kitu sio sawa, tz ni yetu badala ya kulalamika tuu hebu toeni ushauri jamani.kweli hatuna nchi nyingine sisi watu wa hali ya chini
Hayo mafuriko ya 1974 yalikuwa balaa mimi nilishuhudia
True short and clear and wisely
Watu wa visiwa vya Unguja na Pemba tokea miaka ya 70 tulisikia sana habari za mafuriko huko Rufuji. Poleni sana ndugu zetu.
Aliyeona kuku anataga anipe like zangu
Mi sijaon nimerudia km mar 100 ila sion
Like za nn apa sasa
Poleni Wazee wangu naskitika ila Muungu Atawasaidia
mmesikia mafuliko yapo msisingizie bwawa la nyelele acheni unafki histolia mmepewa 74 bwawa la nyelele lilikuwepo jibu halikuwepo acheni midomo kila kitu selekali ujinga uo
wajinga hao wanajihujumu wenyewe watanzania
bwawa linafaida kubwa sana kwa nchi na wana nchi ila wanawasikiliza mafisad na wauza solar eti bwawa linaleta mafuliko ni uongo kabsa
Iris imetafslriwa kiswahili djmurphy
Milard Upewe tu Mauwa yako umekua chachu kubwa sana kwa maendeleo ya Tz
Mzee 🔥🔥🔥
😮🎉
Subhanna Allah 😭
Mjomba km mjomba polen sana wanarufiji wenzangu hususan watu wa mohoro
Huyu mzee kaongea kwa uwazi na ukweli.
Njunde❤❤
Poleni ndugu zetu wa Rufiji
Sasa lile limtu la Chadema linasema Mafuriko yamesabishwa na serikali, ushenzi mtupu wa Pambalu,, mie si mwanasiasa ila kuna vitu vinaboa sana ukisika watu wanaongea, Yaani Pambalu ameniudhi sana aisee.
Kuna siri kubwa ya hayo maji,@ baada ya miaka kadhaa inajirudia
Sio bali bali kila baada ya miaka minne au mitano kuna mvua kubwa hunyesha kuanzia november hadi May
Tatzo tz kila kitu tunalazmisha kiende kisiasa jmn haya mambo mengine tumuachie M/MUNGU cz serikali hainyeshagi mvua so inahusika je na mafuriko
Utuuzima dawa mpango wa mungu hauzuiliki uko vizuli mzee umeongea kitu sahihi
Poleni ndungu zangu
Wazeee wa zamani kuku haangaiki jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndugu zangu hapo mhame
mungu waongezee mvua hao ili wavue kambale hao kumbekama bata wanapenda sana maji
Ajali morogoro
Duh pole xna ndg
Nikipelekwa mimi sasa 😅😅😅😅serikali haioni haya mambo inasubiri tufe 😢 akili ni mali
Mbona tulisikia wengine wakisema bwawa ndo limesababisha kumbe sio kweli
Nilisoma kwenye kitabu cha tujifunze lugha yetu darasa la 5..Mafuriko yamto Rufiji
Matukio dodoma
Poleni ndugu
Huo ndio ukweli Mzee hongera yupo mpumbavu anajiita mwanamapinduzi kaenda kuropoka kinachotakiwa hameni
Mh! Haya maisha?😳
Rufiji mafuriko tumesoma kwenye vitaba mashuleni miaka ya 80 sioni kama hata kuna sababu sana
Mzee kaeleweka . Yani yeye amezoea mafuriko..
2074🙆🙆
Mbona JinA lako la mwisho lina fanana na langu mzee 😂😂😂
Kumbe pia waliwahi juhamishwa lakini wakarudi mm naona wahamishwe na nyumba zivujwe kusiwe na makazi
DUU!! Leo nimeamini kwamba Wapinzani wengi wanatumia ufinyu wa uelewa wetu kutafuta rizki zao.😊
MZEE huyu amenifungua sana kuhusu hayo mafuriko😢
LKN pia nakumbuka huko nyuma Mto Rufiji ulikuwa unafurika mara kwa mara mpaka barabara haipitiki ya kwenda Kusini, ndipo likajengwa daraja kubwa pale Rufiji maarufu kama daraja la Mkapa.
Ok, huyu mzee hajapangwa cha kusema, kashitukizwa tu, na kasema ukweli anaoujua tangu miaka ya nyuma kuhusu mafuriko. Kumbe chanzo siyo Bwana la Nyerere. Tumeelewa.
Kweli tumejua kilakitu siyo kwasababu bwawa la nyererer
Hapana mie NI MTU WA rufiji pia kule nyumbani kuna mafuriko mala kwa mala ila haijafikia hatua hii hii imekua Sana Sababu mama samia alifunga lile bwana toka mwaka Jana Sababu ya umeme akaja kuyachia mwaka huu ndio maana yamekua mengi zaidi yameongezeka Sababu wao waliyafungia kwa muda
@@mamasalhat dada acha kuingizwa kwenye kundi la wanaodanganya watu, tafadhali sema ukweli dada, hata mimi pia Rufiji ni nyumbani, Nyamwage, Muhoro, na visiwa vyake kama Kiongoroni, Jaja, Mbwera kote huko ni nyumbani. Yale mafuriko ya Muhoro kipindi kile yalivyotokea je bwawa la Mwalimu Nyerere lilifunguliwa?! Nyamwage kabla ya barabara mpya kujengwa pamoja na daraja la Mkapa kuwepo wakati wa mafuriko mabasi yakawa yanashindwa kupita watu wa mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara wakawa wananasa njiani kwa wiki nzima ndiyo wafike Mtwara au Dar je kipindi kile bwawa hili la umeme linalolalamikiwa lilikuwepo?! na maji yale yaliyoleta maafa mpaka barabara kushindwa kupitika hivi ni nani aliyekuwa akiyaleta?! Ndugu, Mimi nimelelewa na chakula cha bonde la mto Rufiji, baba yangu kalimisha sana hapo mashamba ya mpunga, na alikuwa anauza mpunga na magunia mengine ya mpunga yalikuwa yanaletwa nyumbani, tunakula mwaka mzima, tambua mafuriko Rufiji ni jambo la kawaida, Nakuzindua dada yangu usiwasindikize bila ya kujua wanasiasa kufanikisha kutekeleza malengo yao. Hao wala hawapo kwa ajili ya kutujali na wala kututhamini sisi kwa mtihani huu uliotufika, wanachokifanya ni kutumia mafuriko haya kwa ajili ya kujijenga kisiasa wakati wa uchaguzi 2025. Zinduka dada!!
Kuwa Muelewa basi Mzee anakwambia Mwaka 74 Yalikuwa Makubwa zaidi Ya hayo hilo Bwawa la lini
Sasa hawa wanasiasa wanaosema bwawa la umeme ndo limesababisha mafuriko, msikie mzee
Millard simama uende mbele ya camera kaka tv yako imeanza kupoyeza mvuto inashuka sky ameanza kutake over amkaaaa
Mzee kaongea kiufupi ila kaeleweka
Wa kwanza Leo..naombeni likes zangu
Ushamba acha
Hayo mandixi mbona hayajskomaa.
Mimi pia wa huku sehem peke tanzania hi yenye history ya mafuliko ni rufiji fatilieni hilo
Afadhali baba umesema si bwawa la nyerere. Nami nakumbuka huko rufiji kunakuwaga na mafuriko
Mmelala kwenye mkondo
Nilishangaa kuona vyama vya siasa vikitengeneza mafuriko kuwa mtaji wa kisiasa hadi mtu unashangaa
Utuuzimaa Dawaa chadema waache uongo
Mzee waambie ukweli watu.
Ndioma ukwel nawasema kweli huwa hawaishi huyu mzee kasema kwel lakin zaid ya asilimia tisin wamechukia ukwel huu minilisema maji hayajawai mfuata mtu ila siai ndio tufuata maji ikitokea tunajifanya hatujuwi
Alafu unamsikia mtu analaumu serikali wala.hajui historia ya rufiji kwakuwa mwanasiasa anaharisha maneno tu na anaejiita kiongozi wadini anasema sio.mipango ya mungu wala shetani
H😢😢😢
Matukio kibaigwa
Ila Mzee ulitakiwa usaidiwe Kwa sasa wakati mnasubiri mbegu na maji kukauka unaposema upewe mbegu ili maji yakikauka upande sasa kma inaendelea kunyesha itakuwaje mwenyekiti?
Kuna mjinga mmoja eti ni askofu kakusanya watu anawajaza ujinga eti ni bwawa la nyerere pumbavu kabisa yule
Kuna kitabu sijui Ni Cha darasa la pili kina hadithi ya mafuriko rufiji
😂😂 aroo, kama namie nakumbuka vile
@@MarcyChola ndiyo nadhani Ni kile chenye hadithi ya mzee tola mchoyo
😂😂😂,
😂😂😂😂😂jaman unakumbukumbu
kitu kama kiswahili darasa la 5 au lasita zamani tulisoma mafuriko mto rufiji
Alufumbili na sabini na nne
Chadomo mje huko 😂😂
Serekali iwasaidie ..isisubiri janga likawa kubwa...
Mzee kasema hata wakutoka hapo maji yakikauka wanarudi kwaajiri ya mashamba ndio tatizo,maana walishawahi kufanya hivyo nawakarudi.
VIONGOZI WENGI WA CHADEMA NI WENDAWAZIMU, 😮😮😮 HAKI YA MUNGU
Huyu mzee mbona kama hahitaji msaada
Msaada sio lazima mtu aombe,,,
KUKU KATULIA TU HALUKI
Usifanye mchezo na balaa
Hamen uko njoon uku mikoa ya kati
propaganda kazini