AUCHO ALISTAHILI KUPEWA TUZO / NI NGUMU KUMRIDHISHA KILA MTU KWENYE TUZO / NAWAPA 70% TU - NASRI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 жов 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 16

  • @RichardNgumbulu
    @RichardNgumbulu 2 місяці тому +1

    Fact

  • @mazaramatucha
    @mazaramatucha 2 місяці тому

    Anzisheni Wasafi Football trophies kisha wapeni mnaowataka.

  • @RashliyHamad
    @RashliyHamad 2 місяці тому

    Mm niko pamoja na Nasir khalfan mwamba hapepesi macho yupo sahihi

  • @DM_15
    @DM_15 2 місяці тому

    Aucho hakustahili kwasababu yautovu wa nidhamu alikua anazibua watu na vipepsi

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 2 місяці тому +1

    AUCHO NI NOMA

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 2 місяці тому

    Watu Huwa Wanakosea Kufanya Maamuzi Pale Wanapokea Kwenye Mihemko.

  • @allyalmandhiry4785
    @allyalmandhiry4785 2 місяці тому

    Hili jamaa nilijua kuwa linajua kumbe hamna kitu. Ww unaweza kumfananisha muda na halid. Kabis anda xako

    • @Tee-King
      @Tee-King 2 місяці тому +2

      Sio kila shabiki wa mpira anafuatilia mpira wengine kama nyinyi mnaangalia highlights. Sasa aucho na Yahya useme Yahya bora kuliko aucho 😂😂😂😂. Kafatilie tenis mjomba achana na mpira usilete mapenzi kwenye mpira.

    • @baracknyalucy3346
      @baracknyalucy3346 2 місяці тому +1

      We chenga kumbee

    • @allyalmandhiry4785
      @allyalmandhiry4785 2 місяці тому

      @@Tee-King unaongea kwa fact au unaongea pumba!! Yahya aneisaidia yanga kushika ubingwa kwa zaid ya goli kumi na tano. Sasa ww kigezo gani ambacho unaweza ukasema hapo hakupaswa kuchukuwa tuzo..kwa maana watu wote walio kwenye kamatì ni mabumbumbu. Basi sawa kampe ww tunzo. Kesi tuishie hapo

    • @Tee-King
      @Tee-King 2 місяці тому

      @@allyalmandhiry4785 kwaiyo we kwako amaegunga ndio bora kwaiyo ata diara na Yahya bora yahya kwakuwa awajafunga gori. Rud kaangalie nan kati ya aucho na yahya nan kaanzisha nafasi za gori. 😀

    • @allyalmandhiry4785
      @allyalmandhiry4785 2 місяці тому

      @@Tee-King naomba nikuulize ..kwani kazi yao kubwa wote ni ipi wapiwepo uwanjani..!? Nadhani ukilijua hilo utapata jawabu..!!. Mpira ni matokeo..unajua kwa nini azizi amefanikiwa kuchukuwa tunzo nyingi. Umewahi kujiuliza.. na kwa nini asiwe pakome ?