BIASHARA YA UKAHABA MBEYA, VIGOGO WATAJWA KUWANUNUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • #Baharia TV #Mbeya
    Exclusive tazama biashara haramu ya ukahaba inavyofanyika Mbeya mjini, Mamlaka za serikali zinashughulikia hili suala lkn imekuwa shida kwao kudhibiti!

КОМЕНТАРІ • 126

  • @karibubongo-tv636
    @karibubongo-tv636 Рік тому +1

    Acheni hawa MALAYA WANATOBOAGA KONDOM UKIENDA NAE UNAPATA UKIMWI...

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 2 роки тому +10

    Wapo kwa sababu mnawapa pesa msinge wanunua wasinge jiuza wanamme pia muwanase

  • @hamisisteven2018
    @hamisisteven2018 2 роки тому +7

    Wanatusaidia Sana Tena nipic Kali baraka mwandishi kidogo anase nandio maa kesi zakubaka hazipo saizi makaman zimebaki tu za migogolo ya ndoa

  • @nurungole3961
    @nurungole3961 Рік тому +4

    Mungu uturehemu ardhi yako tumeiharibu kwa matendo mabaya. Tusaidie tupate kuyashinda mambo mabaya huku tukiwaombea wenzetu waziache hizo tabia mbaya

  • @babygirllove6442
    @babygirllove6442 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yani kujiuza nibiashara kubwa duniani hakuna hajira so watu wafanyenini

  • @sumawellngton1305
    @sumawellngton1305 2 роки тому +4

    Hiii kitaalam tunaiita shetani yupo kazini.inaskitisha sana

  • @ShalulaWazili
    @ShalulaWazili 11 місяців тому

    Mbona apo ndio tunapo chukua madem msi wavuluge ao wana tusaidia kam wakezetu wKo kwene skuzao au wafyele

  • @alphoncekagezi4950
    @alphoncekagezi4950 2 роки тому +4

    Hiyo ni sodoma na gomora.

  • @NkindaNzobe
    @NkindaNzobe Місяць тому

    Naitwa dr, nyangaki nikiwa safarini kampala uganda jamani kwa hali tanzania tumeshwa

  • @lilianmwandenuka168
    @lilianmwandenuka168 2 роки тому +5

    Hili jua linalozidi kutuchoma n dalili Tosha hata shetan kasalenda🙌

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому +8

    Watumishi wa Mungu wamegeukia siasa, wamemuacha shetani akiwanyakua kondoo wa bwana akiwaangusha dhambini! Shame on them!

  • @kairatiswahilli7024
    @kairatiswahilli7024 Рік тому +1

    Haya mambo mengine nataka niyaine tu mitandaoni Au niyasikie kwa wengu namuomba mungu Yasinifike🙏

  • @kasanzu-te8cq
    @kasanzu-te8cq 2 місяці тому

    Nendeni na iringa makambako huko ndiyo balaa

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 Рік тому +2

    Innahlillah wainnah illah rajiun...Allah atuepushe na ibilisi huyo.

  • @joshuamchiwa861
    @joshuamchiwa861 2 роки тому +4

    Ha ha haaaaaaaaaa!!!!

  • @hamzaadrin941
    @hamzaadrin941 2 роки тому +4

    Hili chimbo ndio nimelijua leo aisee natimba

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 2 роки тому +1

    Sasaivi ukahaba umesha shamili sana Kila kona mwa dunia mambo ni hayo hayo na huwezi kuwadhibiti maana wamejificha kwenye jamii ambayo tuna ishi Kila siku 😄😄🙆🙆

  • @migoboy569
    @migoboy569 Рік тому +1

    Unyamaaa mwingiii,tatizo pesaa????

  • @lucynatasha2742
    @lucynatasha2742 2 роки тому +3

    Nimependa unavyotangaza

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 Рік тому

    Hiyo ni biashara ya shetan ni mafreemason mwanaume wa kawaida.hawezi kuwanunua hao.wadada ni misukule tuombe sana watanzania

  • @BusokeloTV
    @BusokeloTV 2 роки тому +4

    Excellent job! Saafi sana

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 2 роки тому +3

    Innaalillaahi wainnaa ilayhi raajiuun

  • @ephraimmwandemange5083
    @ephraimmwandemange5083 2 роки тому +4

    Mungu atusaidie mpaka hapa mkoa umefika pabaya

  • @lusajokasyupasr3996
    @lusajokasyupasr3996 2 роки тому +7

    Excellent reporting Mr. BARAKA and Mr. FADHILI…yyoouu guys are PROS!!!!!!

    • @Bahariatv
      @Bahariatv  2 роки тому

      🙏🙏🙏🙏💪💪

  • @ahazminga5723
    @ahazminga5723 2 роки тому +5

    Big up huu ndio ubaharia wenyewe

  • @mchinaammy
    @mchinaammy Місяць тому

    😂

  • @kushcultureralph568
    @kushcultureralph568 Рік тому

    Ndugu uchi unauzwa dar,fika kitambaa!fika kidimbwi af malizia kona bar!vip mbona dar huendi na hadi mashoga wapo

  • @elizabethaniseth4560
    @elizabethaniseth4560 2 роки тому +3

    Dah inasikitisha sana

  • @kushcultureralph568
    @kushcultureralph568 Рік тому

    Wakiuza Mahindi mnataka ushuru!bora Wauze uchi tuone mtawatoza nini!af ni kihelele tu kwani uch mali yenu?watu wanauza Madawa na tunaona mateja na mashoga dar huko hamsemi!acheni unafki uch mali yao wache wauze Hawali kwa mama zenu hao na mnajua ajira hakuna

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 Рік тому

    Mnaonesha picha kificho mnamficha Nani,acheni watu waone pengine ndugu zao watapata kuwatambua

  • @ramadhanchambela9648
    @ramadhanchambela9648 Рік тому

    Niunge

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 Рік тому

    Acheni kutoa maneno ya ovyo juu ya nchi yetu huwezi unasema Tanzania inanuka ngono nikulitukana taifa bila sababu

  • @mussakiyondomagoga5051
    @mussakiyondomagoga5051 Рік тому

    Ulikuwa unakaziyakufanya sasa umetanini kutowa aibuzawatu wapeajilaa

  • @mashakambugi6730
    @mashakambugi6730 Рік тому

    Naamini hii ni Bonge la advertise kwa biashara

  • @bahatitumaini347
    @bahatitumaini347 Рік тому

    Apo ni noooma saaana njooon na tunduma valentine na unyiha hoooo Zaid ya mbeya mbeya Hadi Gest ya hapo nyuma Chamtoto

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 Рік тому

    Duh..!? SALUTE to you Reporter

  • @salomevenance9555
    @salomevenance9555 2 роки тому +1

    Hahahah why usitoke jmn kaka?

  • @stephanocornely130
    @stephanocornely130 Рік тому

    Nlipanga geto hapo jiran aisee... Dah kila mtu alikua anahisi nanunua hao dadazetu hadi nikaamua nihame. Ila Mbeya kwa sasa ukahaba umezidi sana hyo mitaa ya mafyati

  • @banlincoln5646
    @banlincoln5646 Рік тому

    Punguza maneno ya intro take us to show

  • @SessyKweka
    @SessyKweka Рік тому

    Wanaume wanatekeleza sana ndoa maana iyo hali inakuwepo

  • @sharifahamisi3477
    @sharifahamisi3477 2 роки тому +3

    Baraka toka kyl mpaka mby Safi Sana,

  • @thezanzest96
    @thezanzest96 2 роки тому +1

    Waendelee tu kufanya maana wanatuokoa Sana aseee wapambanaji

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 8 місяців тому

    Jiuzen sana moto unakuja watakuja kujuta

  • @pendobaharia7227
    @pendobaharia7227 2 роки тому +3

    Baharia tv Tena au we ndug ang 🤣🤣new subscriber blood

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 Рік тому

    Hapo hakuna wa kulaumiwa , upande wote wanahitaji muuzaji na mnunuzi.

  • @hilalmlemeta7990
    @hilalmlemeta7990 2 роки тому +2

    Yauweni hayo mashetani

  • @stanleymwaluseke6463
    @stanleymwaluseke6463 2 роки тому +3

    Inasikitisha mbeya kwa kweli

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 Рік тому

    Endeleeni kuwafichua waache

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 роки тому +2

    Subuhanallah

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 2 роки тому

    Haina tofauti na mchezo wa ngumi mbona yote inafanyika usiku

  • @Abelmandac
    @Abelmandac Рік тому

    So painful😝😝😝😝😝

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 Рік тому

    Yaani wanaume hawana kinyaa humo yanayoka mavi ndio unaingiza huko.

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu Рік тому

      Weeh Elizabeth nawe!!! Hiyo si ndio utamu wa chocolate? Wee vipiii???

  • @thezanzest96
    @thezanzest96 2 роки тому +2

    Mungu awasamehe tu maana hawafanyi hivyo makusudi ni maisha tu mbali na hivyo wanaokoa watu WENGI Sana DUAAA

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 2 роки тому +4

    Mwandishi unajua sanaaaa

  • @happymacha9053
    @happymacha9053 2 роки тому +1

    Duh...

  • @IbrahimAmsi-z6t
    @IbrahimAmsi-z6t Рік тому

    Mungu airehemu ardhi yetu

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 Рік тому

    Malaya wa Trisha wazuriii

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 Рік тому +1

    Mungu Baba wa Mbinguni,nyoosha mkono wako.Hawa nao ni wana wa Ibrahim ,shetani anawatesa ndugu zetu.

  • @prosper5427
    @prosper5427 Рік тому

    Picha...nyingine

  • @silajulius3467
    @silajulius3467 Рік тому

    Ni jambo la hatari Sana na ni la kusikitisha mnooooooooo kwa mwanadamu na kwa Mungu ni kosa kubwa mnoo. Mungu atusaidie na kuokoa kizazi hiki na Cha badae

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 Рік тому

    Maimwi wa usiku

  • @johnsulle4679
    @johnsulle4679 Рік тому

    Tatizo serikali

  • @PAULOWILLIAMWILLIAM-bs2fv
    @PAULOWILLIAMWILLIAM-bs2fv Рік тому

    Duu

  • @kasanzukasanzu3073
    @kasanzukasanzu3073 2 роки тому +1

    Baharia oniraini

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 роки тому

      Mmh🤔njoeni kwa warabu muoshe vyoo uku mjipatie lizki zenu za harari mrèe famiria zenu

  • @rajabumussa8867
    @rajabumussa8867 Рік тому

    V

  • @dalfinombore2898
    @dalfinombore2898 Рік тому

    I no

  • @denographics
    @denographics Рік тому

    Biz n biz

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 2 роки тому

    Ao niwahuni awanajipya

  • @AsAs-ng9rb
    @AsAs-ng9rb Рік тому

    Wanajiuza ak

  • @emmanuelbura3033
    @emmanuelbura3033 Рік тому

    Poleni

  • @candylegend6629
    @candylegend6629 Рік тому

    Daaah mungu tusaidie

  • @thomaselias7343
    @thomaselias7343 Рік тому

    Vp

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 2 роки тому

    Mmmh!!!

  • @isayamabena7827
    @isayamabena7827 2 роки тому

    Mhhhh

  • @rechokidi7874
    @rechokidi7874 Рік тому

    Champaa mojaa uyo

  • @mremymtatiro6618
    @mremymtatiro6618 2 роки тому

    Jaman kweli duia imeisha

  • @batmedia6199
    @batmedia6199 2 роки тому +1

    Bahariaaaaa nilewa kabisa

    • @yasinterleonad9926
      @yasinterleonad9926 Рік тому

      Ongera san unaweza kaz yako na unaipenda san ongera san ten san

  • @silajulius3467
    @silajulius3467 Рік тому

    Ngoja niwe Raisi hili la Kwanza kulishughulikia

  • @sautimoja8832
    @sautimoja8832 2 роки тому

    Mzm

  • @sareheallymgaya3084
    @sareheallymgaya3084 Рік тому

    Bahariya

  • @barakaemmanuel2634
    @barakaemmanuel2634 2 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @kipatamaestro
    @kipatamaestro 2 роки тому +3

    Daaaah

  • @jestinakanji8168
    @jestinakanji8168 2 роки тому

    🤔🤔🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️

  • @alispeya1778
    @alispeya1778 2 роки тому +1

    Bahaliaa

  • @jairusezekiel5237
    @jairusezekiel5237 2 роки тому

    Fiti

  • @danielmichael1791
    @danielmichael1791 2 роки тому

    Vp

  • @tajilimtoto5009
    @tajilimtoto5009 2 роки тому

    Unaongea sana

  • @arnoldlyimo4291
    @arnoldlyimo4291 2 роки тому

    Mbey bado sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Mungu wangu wanatumia kweli silaha

  • @kagwilengaiza2050
    @kagwilengaiza2050 2 роки тому

    Mj

  • @shabanramadhan
    @shabanramadhan Рік тому

    Tanzania inanuka ngono da mungu saidia Tanzania ina zamakw.angono.

  • @williamkakule9334
    @williamkakule9334 2 роки тому +1

    Ni meisha eleza hili sikuzote,
    Bunge limefungia macho jambo la ukahaba, kwamba mila na desturi ya Tanzania hai ruhusu,
    Jambo hili lina fanyika kabisa Serekali itakiwa kufanya utaratibu wa Jambo hilo, kukusanya yake maeneo na wahusika, wateja wao pia wapate uhuru kuingia eneo husika, na kodi ipangiwe taratibu zake.