Kwani vijana wa kiume wa Tanzania kwani mmekuaje jamani mbona mnapenda kuvaa nguo za kike mmevamiwa nanini😮 lakini mbona mm sipendi yani naumia kama nafanya mm😭
Kwani mkibaki kwenye halisia zenu mnadhani hatuwezi tazama video zenu sio maadili ya kiafrika hayo vijana mnapotea kwann msiwe hata na hofu ya Mungu 😭😭
Kwani vijana wa kiume wa Tanzania kwani mmekuaje jamani mbona mnapenda kuvaa nguo za kike mmevamiwa nanini😮 lakini mbona mm sipendi yani naumia kama nafanya mm😭
Huyu nae 😅😅😅
Atulie tunatafuta ugali😂😂😂🎉@@jumaJesca-fk5ss
Kama bwabwa😅😅😅
Na ni sasa ? Mm niliekoment au huyo anayecheza ?
@@MichaelGeraldMbanga mimi ubwabwa haya bana
Kiledio pamoja nauyo msta yukey nawapenda sana atakina asma nawependa sana piya
Kiredio na hilo dela lak jekund kama mganga wa kienyeji😂😂 shenz kbs kwann ujishike ivo
Kikedio mjinga sana mshezi mulio laniwa masheteni nyinyi
Halaf hao ndio tuwafuat Coz ni w2 wa mitandao Allah awalinde wtt wet2 Amin 🤲 , man hata hao wasenge wengin wameanz km hivyo
😂😂😂 Ushaniingizia hela kwa kutizama, ahsante kwa support
@@kiredio_ 🤣😂 hela gan umeingiz billion ngapi Kwa hiyo time niliyo angaliy
Inaonekana wazo la kuvaa vijora alitoa kiredio mana wenzake hawapo comfortable wananyanyua juu kila mda😂😂😂😂😂
😂😂😂😂umefikiria kama mm
Nikajua wamekuponda umelazwa. Mbona atuoni kazi. Pia Mr Uk
Machizi sana nyie 😂😂😂😂😂😂 nimecheka Kwa sauti
kiredio ni mzefuuu kabisa 😂😂😂😂
Duh kiredio umenichekeshs😂😂
Kwani mkibaki kwenye halisia zenu mnadhani hatuwezi tazama video zenu sio maadili ya kiafrika hayo vijana mnapotea kwann msiwe hata na hofu ya Mungu 😭😭
Kwaiyo wanaume fasheni kuvaa madera chefuu😏
Asma ni mwanamke mzuri sijaona tanzania
Fala kwel wew uyo nae ni dem mzur wew uwoni
Hahaah eti mzuri kah amwambie acheke aone😂😂😂😂@@SeifJuma-l8t
Ila dem wakiredio mzur
Wakwanza hapa like zangu
wanaume popote mlipo muwe mnaitana vikao, mnapeana akili mana wengine haziwatoshi, inakera mwanaume kuigiza upande usiomuhusu sio sifa ya mwanaume hio
Nawapenda ivyoivyo ❤️
Wanaume wa hovyo kabisa
Mr uk mbavu zangu jamn 😂😂😂😂
Kiredio hadi anakela kila maala yuko na mke wake kha!
Uo sasa wivu
Upuuzi mtupu
Apa kiredio Leo umetuwekea utopolo 😢
Kumbe Mr UK yupo mamaaaaaa nyieee wakaka mnakoelekea sio 😂😂😂😂😂
Kaeni mauno km mnayowakatia watoto wa mama mkwe mcjifanye mmekaza viuno😂😂
asa huko ni kujitia wazimu
Ila mr UK 😅😅😅😊
Eti to tajiri😂😂 zuchu uyo
Alie toa wazo pumbavu zake
Kiredio nisalimie asma
Mr uk kimemkaa kinoma😂😂😂😂
Kwan lazima mvae nguo zakike ndio mwanzo wa kua Aggrey
Zuch Forever 💯💯
Nice❤
Kiredio kaacha kugombanisha mahusiano ya watu kwa kipigo cha mbwa kachoka 😂😂
Nyie kweli machizi😂😂😂😂😂
Madera yamewatoa sio poa aisee
nauliza kiredio milini mia zilizo changwa kesha zimaliza ndo karud kutafuta pesa zetu nyengine
Ndio😂
Midume mizima aina aya
Mbn km tajieer kijora kimemkaa 😂
Mh tukio ata alionyeshwei mnacheka tu
kiredio pesa za mchango zipo wapi
Tumeshakula tumemaliza😂
🎉🎉 0:14
Dont take life too serious commentators 😅
Yani wanalalama😂
😂😂😂😂🎉
Kiredio unapotea
😂😂😂
Hii ni content wanapotea wanaenda wapi???😂😂
Umenichekesha wallah
@ZubedaMbegu kwann?? 😂😂
Hahaaaaaa emu waambie maana kila mtu wanapotea wanapotea! Hata wakipotea kwani kuna kitu chao kitapotea pia ?
😂😂😂😂waulize tena
duh 😂😂😂😂😂
😂😂❤
😂😂😂😂
😂😂
❤❤❤
😂😂😂