KIUMEUMANA! SAKATA LA SUKARI MPINA || SPIKA AWA MBONGO KUDANGANYWA ATOA TAMKO BUNGENI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • kamati ya maadili ya Bunge
    Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kumhoji mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kwa madai ya utovu wa nidhamu.
    Akitangaza uamuzi huo bungeni jijini Dodoma leo Jumanne, Juni 18, 2024 Dk Tulia amesema kuwa Mpina amedharau mamlaka ya Spika na Bunge kwa kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu.
    Awali, Mpina alipewa wiki moja kuwasilisha ushahidi wake baada ya kulieleza Bunge kuwa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amelidanganya bunge katika sakata la uagizaji wa sukari.
    Taarifa zaidi zitafuata

КОМЕНТАРІ • 12

  • @JaneChissawilo-dr7nn
    @JaneChissawilo-dr7nn 3 місяці тому

    Tunaomba kwa ajili ya Bunge. Najua waziri Bashe Mungu atakutetea maana anajua moyo wako. Barikiwa sana!

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 3 місяці тому +2

    😂😂😂 Issue ya Mpina inanikumbusha ileeeeee ya MH. Zitto na mitambo ya dharula ya kufua umeme .

    • @GThebaber
      @GThebaber 3 місяці тому

      Na hili litawabomoa sana wasipokuwa makini,,,,,ni bora wamwondoe Bashe n hi itatulia

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 3 місяці тому +2

    Mpina amemkosea Spika na Bunge, lakini Bashe amewakosea wananchi na Taifa! Kazi kwenu kupima uzito wa hoja!

  • @Zenny89
    @Zenny89 3 місяці тому +1

    Muheshimiwa Mpina!!! Watakuadhibu lakini ukweli umetuambia..na huu Ndo ushujaaa. Wahindi na Waarabu katika hii Nchi wamewaweka MAWAZIRI wengi sana mifukoni mwao….Ukimwangalia tuu Bashe unajua lazima awape tano wenzake.

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 3 місяці тому +1

    Tatizo hatupendi kuambiwa ukweli

  • @GThebaber
    @GThebaber 3 місяці тому

    Nitasimàma na Mh Luhaga Mpina Hatutaki wezi wa lasilimali za Tanganyika

  • @JesusJesus-ny1sm
    @JesusJesus-ny1sm 3 місяці тому

    MUNGU atakusimamia kaka yetu Mpina

  • @ChezarlyMvanda
    @ChezarlyMvanda 3 місяці тому +1

    Yaangaliwe masihi mapana ya taifa 😂😂

  • @eliasody2912
    @eliasody2912 3 місяці тому

    Bashe amelikosea taifa