Am a Christian but I just love how this Shiekh is GRILLING wrestling the so called "" yesu wa Tongaren"" to the ground with hard straight forward true and real questions both from the Holy Quran and the Holy Bible, keep it up SHEIKH, we need to expose these FAKE prophets calling THEMSELVES ""JESUS"
Laahaula Walaaquwata Ila Billah.Itoshe kusema Alhamdulillah kwa kuwa muislam.Walahy siku ya Kiama hesabu zetu zitakuwa nzito sana.Umetakasika RABB wangu.
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah na hawape pepo ya fildas na hawalinde na vijicho lnshaallah nawapenda kwa hajili ya Allah lnshaallah
Sasa Mungu wangu jameni hizi ni vitu gani jameni mimi sitaki hata kuwa mkristo nataka tu kumjua Yesu hii ugonjwa ni mbaya asante. sasa hawa yesu amerudi Mungu tusamehe...asante kwa subra yanu mzee Yusufu na mlifanya interview very professionally. Mungu wa mbinguni awabariki.
Jamani shekhe wetu kipenzi chetu shekhe yusufu kitambo sana ulikua wapi jamani au majukumu yalikua mengi ila kazi ya dawa km kawaida Masha Allah hongereni mashekhe wetu twapenda sana Kwa jili ya Allah Masha Allah nimefurahi kukuona Tena
Mashallah mashekh Allah awajaze kheri na awape umri mrefu ili muweze kutufundisha waislamu na wasio kuwa waislamu na Mzee wetu ameonekana tena mashallah karibu
Sheikh ramadhan Allah akulinde na akuhifadhi kwa kazi unayo ifanya Allah akujaze Iman Allah akujalie Pepo Kwa kazi kubwa unayo ifanya alhamdulilah seeing this beings tears in my eyes as a convert subhanaAllah Allah akupee jazaa kwa Kila unachofanya la kheir in shaa Allah barakalahu feik sheikh 🤲🏾🤲🏾
😳innalillah Wa Ayna Alayh Raji'uun ...Wallah Msiba mkubwa huu jmn. Am proud to be a muslim Alhamdulillah🙏 kwa hii Ne'ema ya Uislam Qullhu Allahu ahad Allahu swamad lamyalid walamyuulad walamya Qunllahu Qufuan Ahad🥰🥰 mashekhe mnaofnya hii Da' awa jazaaqallah kheir Jannaty firdaus iwe ndo makaaz ynu Ameen🤲🙏 Waislam wte Takbeer🥰🥰
ila waislam mnachekesha, mnaenda kweli mnamsikriza na mnaamin kuwa ni yesu huyo, hamna kazi za kufanya, mmekosa kazi wote,..hamna mtu yeyote ataenda kwa baba bila kupitia kwa jina yesu, na ole wake wale waislam ambao wameshamjua yesu bado wanakana ndio hao masheik, ni bora zaid wale waliomtambua yesu, the only son whose takes the sins of the world...na bado makubwa yatakuja zaid
Secondly, wallahi at this time people are still worshiping fellow human in front of our eyes 👀. Ustadh Ramadhan kurya asanti sana kwa kazi kubwa unayofanya
Subhan Allahil adhim... Yaani watu wanaabudu binadamu mwenzao hii enzi.... Wallahi tuko na kazi... Allah Awahifadhi masheikh wetu na Awalipe jazzaa iliobora kabisa
SubhanllAh innallah wainaillah rajoon namshukuru Mwenyeez Mungu kwa kunijulia kuwa muislam Yesu karudi anaomba na kuimba mtihan mzito pole ndugu zangu katika Adam badiliken haraka mtaangamia
Thank you to yesu wa tongoren by laeding by example by showing this guys religious torelance, very humble by welkaming them into your home and listening to them humbly, otherwise kama ni ww ulikuwa madera, haungetoka ungekatwa kichwa.
As salaam aleykum warahmatullah wabarakatuh, napenda vile my brother Ramadhan hufanya dawah bila kelele mingi, he is very humble giving his reasoning and very humble, brother you are a blessing to the Muslim ummah, may Allah keep you safe uendelee kueneza neno la haki
Yesu wa Tongeren hawezi kujibu amri ya kwanza iliyopewa na Musa. Wakina dada pia walikimya. Kwa jina gani ya Yesu Alikuwa ana omba na yeye ni Yesu. Wallahi Ajabu.
Muslims vs christians,,,Muslims will always try to fight christians,,,Mungu ni mmoja tafadhali mtulie,,,Mungu ni mkuu kuliko sisi sote,,,God is great🙏🙏
Xpeng kuona wapigania dini et wapo tyr kufa kisa dini wamekaa na wakristo wenzangu wangejua kua wanakaa na majin matuupu wasingeendelea hata kuongea nao,
Innalillahi wainna ileyhi rajiun.. May Almighty Allah forgive us coz this is direct polytheism.. Sh. Ramadhan and Sh. Yussuf may Almighty bless and reward you for reaching these people to spreading Islam
SubhanllAh innallah wainaillah rajoon 😭😭😭Huyu Yesu wa uongo namuona Leo kwa mala yaa pili asante shekh Ramadhan ila nimecheka kwa baba yetu Mzee Yusuf pale alipokuwa akiambiwa na shekh Ramadhan tumekuja kwa Yesu alivyokuwa akijibu na huku Yesu anapoimba na kushukuriwa nimeshindwa kujizuia ndugu zetu katika Adam badiliken haraka mtaangamia
there is nothing there, listen to this powerful man of God, who teaches correctly the power of jesus in our lives,...Pastor ezekiel, apostle mwamposa, prophet samwel kakande, pastor uebert angel, benny hinn, prophet malisa, apostle samwel joshua, the tb joshua teaching, and so on, at least can help to truly know the power in that name jesus.
Jamani huu ni umma wa muhammadi swala na salaamu zimuendee lazma tuwaonee huruma inaniuma ukiwa watakufa hivi wataenda kuchomwa tumuombe ALLAAH awaongoze waingie ktk wislaam na atuthibitishe ss ktk wislaam atupe mwisho mwema
Cjawai kubaliana na nyinyi bt leo nakubaliana na nanyi leo waambie hao watu ukweli ....mungu ni wasisi sote waisilamu na wakristo bt si huyu ati mungu baba
La haula wala quwata illah billahi jamani tuwape Sapoti ma shiekh hii kazi ni N'gumu please 🙏my brothers and my sister's ombeni dua hatakama hauna yaku saidia
Ndugu zangu kuisoma dini ni muhimu sana yaani kama ni mimi hata babangu aniambie mimi ndio yesu siwezi muamini ntajua ni njaa inamsumbua na nikiwa elimu yanikataza lakn hii family imemuamini mpaka wengne ati ni manabii..astaghfirullah nmsiba huu jamani mungu atuongoze kwenye hakki
Ustadh ramadhan hapo una kazi ama kazi ipo , manabii wake kwa waume jamanani na wameamini kikweli kabisa kupotezana si ndio huko .wakti Allah akiwateremshia zilzala hapo wtajificha wapi hao subhana llah
Muulize Yesu kile kichapo alichochapwa hadi akafa alijisikiaje siku ile 🤣🤣. Na Mbinguni kukoje 😄😄. Yarabi tustiri na hawa washirikina wanao kufuru Amiin.
Sasa hawa watu wanaongea vitu gani hizi jamani aki Hawa watu Wana chosha. Kazi ya daawah kweli inahitaji subra. JazakumAllah khairan mashekhe!
Mm hizo nyota wamepataje
Quran is the Way to go
Ningependa kuuliza yesu anaomba vipi kwa jina la yesu
Am a Christian but I just love how this Shiekh is GRILLING wrestling the so called "" yesu wa Tongaren"" to the ground with hard straight forward true and real questions both from the Holy Quran and the Holy Bible, keep it up SHEIKH, we need to expose these FAKE prophets calling THEMSELVES ""JESUS"
🤣🤣🤣
Laahaula Walaaquwata Ila Billah.Itoshe kusema Alhamdulillah kwa kuwa muislam.Walahy siku ya Kiama hesabu zetu zitakuwa nzito sana.Umetakasika RABB wangu.
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah na hawape pepo ya fildas na hawalinde na vijicho lnshaallah nawapenda kwa hajili ya Allah lnshaallah
Sheikh Ramadan..good to pass message to Ummah. May Allah S w bless your work and reward you here on earth and hereafter
Sasa Mungu wangu jameni hizi ni vitu gani jameni mimi sitaki hata kuwa mkristo nataka tu kumjua Yesu hii ugonjwa ni mbaya asante. sasa hawa yesu amerudi Mungu tusamehe...asante kwa subra yanu mzee Yusufu na mlifanya interview very professionally. Mungu wa mbinguni awabariki.
Amua hivyo jua yesu kwnza soma bibilia Then Qurani pia usome utaona penye roho itakubali
Jamani shekhe wetu kipenzi chetu shekhe yusufu kitambo sana ulikua wapi jamani au majukumu yalikua mengi ila kazi ya dawa km kawaida Masha Allah hongereni mashekhe wetu twapenda sana Kwa jili ya Allah Masha Allah nimefurahi kukuona Tena
Am stranded we have another Jesus,we eee Dunia imeisha kweli,Yesu Yuko mbinguni let us not be lied to there is no Jesus in Kenya
@@oumajoseph1102 hahaaa nanyi wakristo pia mmeshindwa kuamini eeh!!
@@fatmazullu4933 I can't believe in the man, maybe hunger, Jesus Christ said He will never touch this filthy ground again
Hyu Ramadhani kuria sio yusuf
Mashallah mashekh Allah awajaze kheri na awape umri mrefu ili muweze kutufundisha waislamu na wasio kuwa waislamu na Mzee wetu ameonekana tena mashallah karibu
Subhana Allah, eti yesu amerudi,mpaka anaimba,kweli wamepotea ndugu zetu,Mungu awaongoze njia iliyo nyooka
🤣🤣🤣uuuiye😥😭 mungu awie radhi
Sheikh ramadhan Allah akulinde na akuhifadhi kwa kazi unayo ifanya Allah akujaze Iman Allah akujalie Pepo Kwa kazi kubwa unayo ifanya alhamdulilah seeing this beings tears in my eyes as a convert subhanaAllah Allah akupee jazaa kwa Kila unachofanya la kheir in shaa Allah barakalahu feik sheikh 🤲🏾🤲🏾
😳innalillah Wa Ayna Alayh Raji'uun ...Wallah Msiba mkubwa huu jmn.
Am proud to be a muslim Alhamdulillah🙏 kwa hii Ne'ema ya Uislam
Qullhu Allahu ahad Allahu swamad lamyalid walamyuulad walamya Qunllahu Qufuan Ahad🥰🥰
mashekhe mnaofnya hii Da' awa jazaaqallah kheir Jannaty firdaus iwe ndo makaaz ynu Ameen🤲🙏
Waislam wte Takbeer🥰🥰
The best person ever the most knowledge able and the most shine all created prophet Muhammad S.C.w♥️♥️♥️
What u are saying is a big lie,some of us who know how
Muhammad really lived can never be decieved by ur words
ila waislam mnachekesha, mnaenda kweli mnamsikriza na mnaamin kuwa ni yesu huyo, hamna kazi za kufanya, mmekosa kazi wote,..hamna mtu yeyote ataenda kwa baba bila kupitia kwa jina yesu, na ole wake wale waislam ambao wameshamjua yesu bado wanakana ndio hao masheik, ni bora zaid wale waliomtambua yesu, the only son whose takes the sins of the world...na bado makubwa yatakuja zaid
Uislamu ni dini ya majini
Nijikute nikiinamia binadamu mwezangu😂😂😂😂😂😂
@@charlesmwaisaka1613 he lived thug life
Masha Allah Baba yetu sheikh Yusuf karibu sana. Siku nyingi hatukukuona. Sheikh Yusuf na Sheikh Ramadan wakipatana ni furaha sana.
Secondly, wallahi at this time people are still worshiping fellow human in front of our eyes 👀. Ustadh Ramadhan kurya asanti sana kwa kazi kubwa unayofanya
It's God who we are worshipping
Inna lillahi wa inna alayhi rajiun. Yaani wanamuabudu wanadamu wenzao. Mwenyezi Mungu awaongoze. Allah awalipe washekhe wetu
Ameen
Mohamed ni malaika au vp
@@puretv8742 Muhammad ni nabii kama manabii wengine sio Mungu kama mnavyo dai na kumuita yesu Mungu ..
Maneno ambayo yesu mwenyewe anayapinga..
@@ukweliwauislamu9590 hivi Yesu unaweza kumlinganisha na Mohamed Yesu aliyo yafanya Mohamed amefanya nini mpka afuatwe?
@@rehemaabinelynyagawa2878 yesu Hana watoto na yesu aliokonga na miaka kumina bili huyu amemujua yesu miaka mingapi
Subhan Allahil adhim... Yaani watu wanaabudu binadamu mwenzao hii enzi.... Wallahi tuko na kazi... Allah Awahifadhi masheikh wetu na Awalipe jazzaa iliobora kabisa
SubhanllAh innallah wainaillah rajoon namshukuru Mwenyeez Mungu kwa kunijulia kuwa muislam Yesu karudi anaomba na kuimba mtihan mzito pole ndugu zangu katika Adam badiliken haraka mtaangamia
Thank you to yesu wa tongoren by laeding by example by showing this guys religious torelance, very humble by welkaming them into your home and listening to them humbly, otherwise kama ni ww ulikuwa madera, haungetoka ungekatwa kichwa.
Allah Awanusuru.
Maana wa Tatizo la ugonjwa wa Afya Ya Akili.
SEMA
Alhamdullillah 🤲 kwa KUPATA neema ukawa MUISLAAM
Alhamdulillah kwa neema ya uislamu. Allah amuongoze huyu Yesu wa Bungoma na wafuasi wake waingie katika uislamu.
Sh ramazan msshallah upo sawa ksbisa napend jitihada zako za kusimamish dini yetu y kiislam
As salaam aleykum warahmatullah wabarakatuh, napenda vile my brother Ramadhan hufanya dawah bila kelele mingi, he is very humble giving his reasoning and very humble, brother you are a blessing to the Muslim ummah, may Allah keep you safe uendelee kueneza neno la haki
Innalillah wainna ileyhi raajiuun. Subhanallah. Alhamdulillah a'laa neematul Islam
Mashallah shehe Yusuf tulikumiss sana
Shekh umeuliza swali zuri sana hakuna utatu mtakatifu Mungu ni mmoja tuuu..
Niulize wewe waonekana kuwa wa SDA ama
Asanteni sana ndugu zetu Waislamu kwa kutoa elimu. Mungu awajalie Rehema na Neema mzidi kutuelimisha.
Karibu bro Yusuf
Ati mpaka ako na scribes, Ina lilahi wainailayhi rajiun.
Subkhanallah duh siku zakiaama zinaeneya,Allah tupe mwisho mwema yaa Rabie 🙏🙏🙏🙏
MashAllah MashAllah Alhamdullillah Alhamdullillah kwa muda wa miezi MENGI hatuna muona Shekhe yusuf mohmed
Allah Akbar,mungu waongoze waliopotea
Huyo bibi Mtukufu wa Yesu hapendi ujinga akikasirika anaweza patia mtu kofi ya left. Hallelujah, amefufuka na akaoa.
Yesu wa Tongeren hawezi kujibu amri ya kwanza iliyopewa na Musa. Wakina dada pia walikimya. Kwa jina gani ya Yesu Alikuwa ana omba na yeye ni Yesu. Wallahi Ajabu.
😂😂😂
Muslims vs christians,,,Muslims will always try to fight christians,,,Mungu ni mmoja tafadhali mtulie,,,Mungu ni mkuu kuliko sisi sote,,,God is great🙏🙏
Hakuna vita hapo ni watu wazima wanajadiliana Kwa amani. Tumia akili bro
Masha'Allah. May Allah ease for you and reward your efforts. Amiin .
Hii ndio jihaadi kabisa
Sheikh Allah azidi kuwaongoza inshaalah muzidi kuwaonyesha njia ya haqi iliyonyooka allahuma ameen
Exactly what Kibe said, when women cheer you a lot, and very men, just know things ain't right
MashaAllah shelkh yusufu upo kitambo ujaonekana Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah
Xpeng kuona wapigania dini et wapo tyr kufa kisa dini wamekaa na wakristo wenzangu wangejua kua wanakaa na majin matuupu wasingeendelea hata kuongea nao,
Ustadh anajua Quran na Bible 👏👏 good work
Innalillahi wainna ileyhi rajiun.. May Almighty Allah forgive us coz this is direct polytheism.. Sh. Ramadhan and Sh. Yussuf may Almighty bless and reward you for reaching these people to spreading Islam
SubhanllAh innallah wainaillah rajoon 😭😭😭Huyu Yesu wa uongo namuona Leo kwa mala yaa pili asante shekh Ramadhan ila nimecheka kwa baba yetu Mzee Yusuf pale alipokuwa akiambiwa na shekh Ramadhan tumekuja kwa Yesu alivyokuwa akijibu na huku Yesu anapoimba na kushukuriwa nimeshindwa kujizuia ndugu zetu katika Adam badiliken haraka mtaangamia
Mimi kama mkristu ziwezi abudu binadamu,najua mungu mwana na roho mtakatifu,which is God almighty,uyu ni WA tongareri c yesu Kristo
Mashallah sheikh yusuf karibu tena
Asulubiwe mapema ndio best 😁
there is nothing there, listen to this powerful man of God, who teaches correctly the power of jesus in our lives,...Pastor ezekiel, apostle mwamposa, prophet samwel kakande, pastor uebert angel, benny hinn, prophet malisa, apostle samwel joshua, the tb joshua teaching, and so on, at least can help to truly know the power in that name jesus.
Sheikh Yusuf good to see you. It has been a while. May Allah bless you and your family and give you the best of health and high spirits.
Ameeeeen!
Jamani huu ni umma wa muhammadi swala na salaamu zimuendee lazma tuwaonee huruma inaniuma ukiwa watakufa hivi wataenda kuchomwa tumuombe ALLAAH awaongoze waingie ktk wislaam na atuthibitishe ss ktk wislaam atupe mwisho mwema
Mbona anaomba kwa jina Yesu na yeye ndiye ajiita Yesu
Yesu WA mchongooooo subhanna Allah ........ila WA Islam tuna juhudi maà shaà Allah
Mansha Allah karibu tena sh Yusuf tumekumisi
Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh?, For sure Ustadh Ramadhan may Allah bless u Janna and open rizqi for u and your team
Ameen ya Rabu
Sheikh yussufu nampenda sana anakuwanga straight
Furaha ilioje kumuona sh yusuf back kiwanjani. ALLAH AKBAR
Yusuf anakuanga na channel yake ..Yusuf daawah kenya
Mkono kwa mkono mpaka Jannah. Mashekh ww cc twawapenda endeleen kufikisha kufuat ni jukum Lao sisi twawaombea afya njema ili Allah atangazwe🤲
Mashaallah keep going ❤
Cjawai kubaliana na nyinyi bt leo nakubaliana na nanyi leo waambie hao watu ukweli ....mungu ni wasisi sote waisilamu na wakristo bt si huyu ati mungu baba
Ustadh Ramadhan , Allah atakuwezesha uwatoe kutoka gizani na upotovu wa hali ya juu
Mashallah Shekha kuria Mzee wetu alikua wapi jaaman tumemisi sna
Mimi niliulizia lakin ilawa kimya rabda majukumu 😂
Unakazi ngumu sana shk wangu😢😢 Allah utakulipa ujira mkubwa kesho yako inshaallah
Dini ya haki mbele ya mwenyezi mungu ni uislamu Q (3:19)
😢😢😢😢innalillahi wainailehi rajiuni
Innallah wainnailaihirajiun
Ma sha Allah mzee Yussuf amerudi tulikumiss Allah akupe kila la kheir
Hahaha Masha Allah sheikh Ramadan mumerudi huko kwa hao jamaa. Nafrahi kumuona msomaji mahiri amerudi viwanjani. Allah awazisidhie elimu n afya
INNALLILLAH WAINNA ILEYHI RAJIUN. UKISTAAJAB YA MUSA UTAONA YA FRAWNI. MUNGU AWAPE HIDAYA WAIYONE HAKI WAEZA IFWATA
La haula wala quwata illah billahi jamani tuwape Sapoti ma shiekh hii kazi ni N'gumu please 🙏my brothers and my sister's ombeni dua hatakama hauna yaku saidia
Aminaaaaaaa,,,,,, ,🙈🙆😂😂😂😂😭😭😭Huu mi musiba
Hatuna Mungu watatu Mungu ni mmoja Yesu ni mwana kutoka kwa huyo Mungu holy spirit anaingia kwa mtu ukibelieve Jesus but all this one is God
Hakika Allah atukuzwe mwenye subra Allah angekua nahasira kama zakwangu Dunia amesha iyangamiza Kwa watu majahiri kama hawa
Ndugu zangu kuisoma dini ni muhimu sana yaani kama ni mimi hata babangu aniambie mimi ndio yesu siwezi muamini ntajua ni njaa inamsumbua na nikiwa elimu yanikataza lakn hii family imemuamini mpaka wengne ati ni manabii..astaghfirullah nmsiba huu jamani mungu atuongoze kwenye hakki
Hii ujigah iko na wa2 m2 akifuta bagi akalale
Allah akuhifadhini mna changa Moto watu w Allah ila daawa mpka kiama
Inna lilaah wainna ilaihi raajiuuna poleni masheekh wetu kwa hivyo vituko vya waja wa aallah
Ustadh ramadhan hapo una kazi ama kazi ipo , manabii wake kwa waume jamanani na wameamini kikweli kabisa kupotezana si ndio huko .wakti Allah akiwateremshia zilzala hapo wtajificha wapi hao subhana llah
Wafuasi wa yesu alikuwa na wanaume wengi but Yesu huyu wa sasa nashangaa ana wafuasi wengi wa wanawake kuliko wanaume...Mungu awasaidie hao.
This is very funny😂😂😂😂😂👍
Very 😂
Mungu baba awafungue macho Hawa watu wa bungoma
Subhannah Allah 😲
Hi I ni vihoja na vituko Allah atusamehe kweli daawa ya hitajika kweli vijijini
Nataka kujifunza kusoma Quran
Njaa mbaya sana !
Yesu hakua ana differentiate ati watu no waislamu ama Nini kwa hivo huyu Yesu namshuku
Nawaonea huruma mashekh wetu walivoingiwa na tafshani za yesu na manabii haaa Allah awalipe kheri inshallah
Muulize Yesu kile kichapo alichochapwa hadi akafa alijisikiaje siku ile 🤣🤣. Na Mbinguni kukoje 😄😄. Yarabi tustiri na hawa washirikina wanao kufuru Amiin.
😂😂😂😂😂hawezi kumbuka
😂😂😂
@@sumayananabintimusa6321 🤣🤣🤣 haweziii
🤣🤣🤣🤣🤣🤣atuonyeshe alama SA misumari
Huyu Yesu anaepa maswali😂😂😂😂...
Sisemi kitu😅😅
Jamani mmmm!
May God have mercy 😢😢😢
Subhanallah... No lesson learnt from Pharoah because of such blasphemy. May Allah open their eyes, ears and hearts. Astaghfirulla.
MashaAllah kaka zangu Mzee Yusuf na Ramadhan kwa kufikisha ujumbe.
Aslkm Hao wachekeshaa Inna lillahi wa Inna ilaihi rajiun
Hiii kali sana
Wazimu upo aina nyingi
😂🤣😂😂🤣🤣
Tunahitaji yesu kama huyu coast
Vichaa ni wa aina nyingi hata kwenye Imani Kuna vichaa
Masha Allah sheikh Ramadan wapige dawa mpaka kiama ishallah
Mashallah
Mimi kwenye hizo nyimbo zao nimecheka 😂😂😂 uyo anaepiga hio kengele mungu msidie. T ila kazi ipo nawasikitikia hawa watu
Mbona anasema "naomba katika jina ya yesu" "amiina"kama yeye ndie yesu si angesema Kwa jina langu
Innslilah wanna ilahi raanjiun nimsiba mzito mtizo mno waislam tunuke tusome tusiwe mabubusa jamani 😭
Kwakweli kuzaliwa katika uislam nineema kubwammno waislam tusomeni tuujue uislam wetu kamwe hatuto hadaika na yesu wakuchonga
😅😅
😊
This is worship person. .I serve living God who is highly praised and who is so jealous. None must be worried but him. God of Abraham Isaac jocob
Where does that god live?
Huko Kenya yaonyesha wakiristo ni wingi sana ,Inshallah mungu awafunue akili na awajalie ufahamu waje kwa Allah tunawaombea kwa Allah
Kenya is a Christian Nation
@@elizabethawino8598 uwongo.zii
Yeah but twashukuru watu wanaona hakki na ALLAH nawapa hidaya sana waja wake
Masha Allah 🥰
😂😂Muna vituko mukikutana Leo live na yesu Shekh Yussuf