Umevaa mapete, mawigi pamoja na mavazi ya kiume... Una kipaji na Mungu angetaka sana kukutumia LAKINI UKO BADO CHINI YA VIFUNGO USIVYOVIJUA.. MAWIGI NI DHAMBI NA KUVAA KIUME NI DHAMBI.. Mungu akujalie kujinasua kikamilifu katika ufalme wa giza..
Lakini kimtazamo wangu una waelewesha watu jinsi yakuwa Freemasons sio bure mimi naitaji kufahamu wewe ume nawiri na gari mpaka sikuhiii nawenzio huwa wana lost life mum makini saana
C unitumie no yko
Umevaa mapete, mawigi pamoja na mavazi ya kiume...
Una kipaji na Mungu angetaka sana kukutumia LAKINI UKO BADO CHINI YA VIFUNGO USIVYOVIJUA..
MAWIGI NI DHAMBI NA KUVAA KIUME NI DHAMBI..
Mungu akujalie kujinasua kikamilifu katika ufalme wa giza..
hili pia lanitatiza
Napenda vipindi zako lakini hizo Pete nne ni sa Nini?
Haiiii.....background noise is too much.Can't hear anything.
Mungu atusaidie
Mziki upo juu sana hatumsikii
Fanya kwa bidii hiyo kazi kwani shetani hana urafiki ni mwongo tangu mwanzo ,pepo hawezi kutoa pepo ,Yesu wasaidie wanomsikiliza huyiu
Ila kuna kelle iyo atukusikii vzuri .uomziki
The background noise is quite irritating... Too loud
Huu mziki, au kelele, zinaondoa raha, na utamu wa Habari yote.
Nahitaji kuwasiliana na wew pls nakupataje
Jesus Christ is coming soon 🙏🏾
Kama umetoka frimason mbona bado una mipete kama ivyo
Tafadhali naomba unisaidie kujiunga na freemason. Niko Kenya
Yesu Christo akusamehe
Utuelezee namna gani ulitoa sadaka ya mume wako na mtoto wako na uokovu wako ulikuja namna gani
😂😂😂😂😂😂 waaaah
Ata wengine utumia mapete oh Jesus Christ
Very good
Toa background music tafadhali
Toa background music hiyo beati
Lakini kimtazamo wangu una waelewesha watu jinsi yakuwa Freemasons sio bure mimi naitaji kufahamu wewe ume nawiri na gari mpaka sikuhiii nawenzio huwa wana lost life mum makini saana
Asante nataka naba yako
The no
Kuna fujo kwenyi micro
mimi nataka kuwa freemason
Nata kua member
Bass haya mungu akujalie uwe filimasoon
mimi sijali kafara nitatowa kafara yoyote ilee
Subhanallah 🤔🤔🤔, muongope Allah, wewe nakuona muislamu yaani utoke katika Dini ya Mwenyezi Mungu uingie katika ushirikina kisa pesa,
@@Sandra39823 imagine ashindwe katika jina la yesu🙏🙏🙏🙏🙏
Very good